No video

STEVE ASHTUSHWA NA UWOYA KUVAA JEZI YA SIMBA “NJAA MBAYA, NIMELIA SANA' IDRIS APIGILIA MSUMARI

  Рет қаралды 47,965

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 107
@abdalahzungu6264
@abdalahzungu6264 Ай бұрын
Hao walio comment hivyo pamoja na nyinyi watu wa Millard nyote ni wapuuzi,mbon hamumshangai diamond na hamisa mobeto pamoja na haji manara hao nao tuwaambie Nini njaa au kitugani
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Ай бұрын
IRENE uko SMART SANA !!!!, MAPOVU yangewatoka saa ngapi????
@IsaacPhilemon-mt7bk
@IsaacPhilemon-mt7bk Ай бұрын
Kama Steve Nyerere anahisi ni njaa,basi aanze kuwaambia akina Diamond,Manara na Hamisa Mabeto,wote walikuwa Simba ila wakahamia Utopolo. Atuachie dada yetu Irene Uwoya ainjoy kuwa unyamani.
@elsonmushi9491
@elsonmushi9491 Ай бұрын
Kaziii kaziii pambana dada owoya
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Ай бұрын
Kwan diamond ana njaaa 😅😅Kwan kiba ana njaa nyie Kuma nn
@salemarahbi9171
@salemarahbi9171 Ай бұрын
Bila ya kutukana ujumbe hauwezi ukafika?? Tukumbuke wote tumezaliwa kwa njia ya hicho kitu akiwemo mama yako .
@ngusashimselftv3740
@ngusashimselftv3740 Ай бұрын
Aloo! jezi nzuriiii hasa ya red
@user-dp4uo3xh
@user-dp4uo3xh Ай бұрын
Smart sanaaa
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Ай бұрын
Wamuache Irene uwoya kapendez haswa. One love SIMBA
@brightonchedego8100
@brightonchedego8100 Ай бұрын
Acheni hayo mambo ya kinafiki,mbona kwa Hamisa hamzungumzii???!!!pia huyo Diamond naye hadi anajihisi aibu kujiita tena jina la SIMBA ukizingatia na tuzo ya kukuza brand tayari anayo
@user-ck2vl5ry1l
@user-ck2vl5ry1l Ай бұрын
Kama chama kavaa jezi ya yanga alikuwa Simba Irine kwani yy ninani
@halimalachpat1927
@halimalachpat1927 Ай бұрын
Kwani shida nini?mbona wengi wanahamahama?huyu steve hamtendei haki huyu dada.siyo vzr
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Ай бұрын
Kapendeza haswa 🎉🎉
@LindaMbilinyi
@LindaMbilinyi Ай бұрын
Mtu mfupi tulia,,njaa we una shibe??
@DaimonMwapelele
@DaimonMwapelele Ай бұрын
Sawasawa kabisa hizi ndio dalili za kiama na ujio wa wachungaj wa bongo move
@frankfelix3876
@frankfelix3876 Ай бұрын
Kwani hapo tatizo nn hiyo nibiasharaaaa sio mapenzi na club
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 Ай бұрын
Mijezi ya magoma fc, haina mvuto
@Prisca-ro6os
@Prisca-ro6os Ай бұрын
Me mwenyew cjaelewa
@franccoz94
@franccoz94 Ай бұрын
VIPI DIAMOND, MANARA NA MOBETO N NJAA ZIMEWAPELEKA UTOPOLO
@nadhifamustapha7557
@nadhifamustapha7557 Ай бұрын
Hiyo siyo Jezi 😂😂😂ni SANDA so Soon she will be in 😅
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c Ай бұрын
Huyu anatafuta maokoto na so dhambi mama mtumishi ucjal piga kazi
@fetychina3969
@fetychina3969 Ай бұрын
Hao hawana wakina Steve hawana akili sasa mtu kama kalipwa asifanye???anajirfutia pesa mnataka akadange???
@FATUMABACARCADANGE
@FATUMABACARCADANGE Ай бұрын
kweli
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Ай бұрын
Mmejinunulia Sanda mapema hongereni Kwa kuujua msiba wenu na kujiandalia mazishi mema wananchi wanakaribia kuja kuua
@kudrathmohammed
@kudrathmohammed Ай бұрын
Basi tutengemee kumuona hamisa mabetto nae akivaa jezi mpya ya yanga wakiwa wanatabulisha niko pale 😁😁
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Ай бұрын
Yeah watu wanazingatia maokoto,washamba wachache tu ndio hawaelewi
@shabaniahamadi3798
@shabaniahamadi3798 Ай бұрын
Ubaya ubwela
@elsonmushi9491
@elsonmushi9491 Ай бұрын
Sisi wabongo uelewa mdogo kukariri kunatutesa sanaa pesa na tumbo zinafanana Steven acha ushamba ww
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
Mama Mchungaji
@adolfjoakim7995
@adolfjoakim7995 Ай бұрын
Safi woya
@user-be9zb4eg2l
@user-be9zb4eg2l Ай бұрын
🔥🔥
@user-pv4ry5dn9j
@user-pv4ry5dn9j Ай бұрын
Kigumu kuhama ni kabila na ukoo tu
@Esquire266
@Esquire266 Ай бұрын
Mchungaji mwenye shepu zaidi duniani 🔥
@PaulinaOctavian
@PaulinaOctavian Ай бұрын
Shepu wapi bhana😂😂
@Gersah
@Gersah Ай бұрын
😂😂😂
@Esquire266
@Esquire266 Ай бұрын
@@PaulinaOctavian Ina maana huoni?Kweli?😂😂
@PaulinaOctavian
@PaulinaOctavian Ай бұрын
@@Esquire266 akuna shepu apo 🤣🤣
@Esquire266
@Esquire266 Ай бұрын
@@PaulinaOctavian Rangi anayo,maziwa yapo vizuri, shepu anayo.Jamani, huoni hayo yote,kweli?😂😂
@abdalahhassan5759
@abdalahhassan5759 Ай бұрын
Leo kwa uwoya mnasema tamaa na kiba nae Ana tamaa achani uzandik
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp Ай бұрын
Jez n kali
@adolfkimaro5267
@adolfkimaro5267 Ай бұрын
Ni manadilishano Tuuu Coz Hamisa Atavaa Ya Yanga
@Willsonadamu449
@Willsonadamu449 Ай бұрын
Mbona amzungumzii ya hamissa mobeto na azizi k acheni unafki
@user-xy5sj7fm7h
@user-xy5sj7fm7h Ай бұрын
Ameiyelewa
@hopemwalemwale2100
@hopemwalemwale2100 Ай бұрын
huyo steve anawivu sana
@Faya884
@Faya884 Ай бұрын
Ubwela ubwela tupo juuu😂
@EsterMwalongo-ox2sk
@EsterMwalongo-ox2sk Ай бұрын
Irene ni mchungaji sasa atashabikiaje timu ambayo hata kwenye biblia haipo
@nicoluiz6795
@nicoluiz6795 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l Ай бұрын
Jezii nzuriiiii kweliii
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Ай бұрын
Mtu mfupi mbwatukaji huyo hana njaa kama nyinyi mlivyo toka kwawazazi mpaka yeye hawana njaa
@user-gh7uo4ry1n
@user-gh7uo4ry1n Ай бұрын
Watu wote mnao mwambie Irene woya kwamba njaa amna hakili mbona wapo wengitu wanaobadili ata uraiya na kuingia nchi nyingine wakati yeye niwa nchi nyingine acha mtu atafute maokoto
@relaxstarman
@relaxstarman Ай бұрын
Bwanaake anaitwa AHUA
@franccoz94
@franccoz94 Ай бұрын
SIMBA NI KAMA MAJI,USIPO KUNYWAA UTAOGA,TULIANZA NA KIBA NOW N ZAMU YA UWOYA,HII NDOO MAANA HALISI YA UBAYA UBWELA
@victorgogadi55
@victorgogadi55 Ай бұрын
Simba nao wapuuzi tu, wana wake wamejaa tena warembo kweli kweli
@HellenSteven-y2y
@HellenSteven-y2y Ай бұрын
𝐚𝐦𝐮𝐧𝐚 𝐧𝐣𝐚𝐚𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐧 𝐢𝐥𝐚 𝐚𝐧𝐚𝐢𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐤𝐚𝐳 𝐲𝐚𝐤𝐞 ❤❤❤❤
@BaoEngenMasaki
@BaoEngenMasaki Ай бұрын
Ubaya ubwela tu safi irene
@rudiutotoni.
@rudiutotoni. Ай бұрын
Kalii
@barakaayubu6126
@barakaayubu6126 Ай бұрын
Ni mchungaji wa kanisa Gani?
@faridarahasanakwakweliutas4168
@faridarahasanakwakweliutas4168 Ай бұрын
Amependeza
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 Ай бұрын
Hii ndio bongo full usaliti
@VedasElly
@VedasElly Ай бұрын
Yuko kikazi😂😂😂😂😂😂😂😂
@saidilindukwa
@saidilindukwa Ай бұрын
Njaa mbaya jmn Irene Leo Ni mnyama ajabu japo si ajabu,kapata bwana bhn Kule Simba piga Pesa dada angu,km vile KIBA jipigieni Hela mkiwamaliza rudini nyumbani
@FATUMABACARCADANGE
@FATUMABACARCADANGE Ай бұрын
nyerere upo vzr mwambie aache tamaa
@abuushaymaatz
@abuushaymaatz Ай бұрын
Hacheni usenge kwani hamtaki atengeneze pesa?
@fadhiliabasi6585
@fadhiliabasi6585 Ай бұрын
Wabongo bwana wanashangaa Enga ikitundikwa nguo ni ujinga UWOYA KATUMIKA KAMA ENGA SHIDA IPO WAPI.HAPO NI KUWASIFU SIMBA KWA UBUNIFU WAO WA KUMTUMIA UWOYA KAMA ENGA YA DHAA YAO.
@rosemwanazyungu1175
@rosemwanazyungu1175 Ай бұрын
Dada umenikosha nimekupenda bulee kalibu musimbazi
@rukiyamohammed2945
@rukiyamohammed2945 Ай бұрын
Itakuwa kaona yanga wapo busy na kazi na c mapenzi...Yanga Bingwa
@allymtunge5530
@allymtunge5530 Ай бұрын
Baba mtoto wake alikua mchezaji wa simba hamisa mobeto
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 Ай бұрын
Amekana Chama naye sio njaa?
@antonychristian1369
@antonychristian1369 Ай бұрын
Shabiki wa Yanga kafanya kazi na Simba, kachukua pesa zake na anaendelea kushabikia Yanga shida ipo wapi???
@user-xy5sj7fm7h
@user-xy5sj7fm7h Ай бұрын
Sasa n maamuzi yeye inahusu nn mjinga nn
@julianagowele9163
@julianagowele9163 Ай бұрын
Hiyo ni kazi jamani
@nasrakambimton9522
@nasrakambimton9522 Ай бұрын
Kwaiyo walio ama wananjaa mfate na manara chaajabu nin
@richardngubesi8419
@richardngubesi8419 Ай бұрын
Asa kama ni ambasador.
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Ай бұрын
Uwoya moto
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Mijez mibayaaaa
@saimonntani6831
@saimonntani6831 Ай бұрын
Jezi mbaya kwako kwetu nzuri sana. Umalaya peleka kwenu
@boniventurehussein7276
@boniventurehussein7276 Ай бұрын
Steve mshamba ulipewa hata uongoz ukashindwa sababu ya mdomo 😂
@user-fi6hb3lp5y
@user-fi6hb3lp5y Ай бұрын
Mbona waandishi m ahoji Sanaa Mambo yanayoihusu Simba tu na kwa wale waliohamia Simba itakua ni kiu au? Mbona hamuwataji akina cheupe dawa na mashoga zako ? Si alikua mtukanaji mzuri au nnajitoa akili ? Wacheni mapenzi kwenye kazi nyinyi
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 Ай бұрын
Toka lini wasanii wa bongo wakawa na msimamo
@MbossoMbosso-rw4ox
@MbossoMbosso-rw4ox Ай бұрын
Ww miladi mbona atukuelew kuna vitu vya kuposti
@muhamedjaffar5653
@muhamedjaffar5653 Ай бұрын
Millardayo utopolo
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 Ай бұрын
Kakasirika mmempaa mobeto aziz key na yeye anataka apewe mtu simba awa wachezaji wageni waliokuja
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 Ай бұрын
Huyu amelipwa Hela atangaze biashara Sasa shida ipo wapi mwana
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Ай бұрын
Njaa ipi??
@mwanaishamasoud
@mwanaishamasoud Ай бұрын
mwacheni mama mchungaji kwani wakwanza yy kuhama fyuuu
@user-oh6wc8xr5w
@user-oh6wc8xr5w Ай бұрын
Ao wote anatafuta maslai akuna mshabiki apo ata mmoja ukianzia mond manaea na wengine ambao stowataja
@kudrathmohammed
@kudrathmohammed Ай бұрын
Watanzania wana kaushaba furani Hivi 🤣🤣🤣
@richshayo4924
@richshayo4924 Ай бұрын
Media unprofessional
@filbertjohn9356
@filbertjohn9356 Ай бұрын
Imeandikwa Sanda?. Mkosi
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Ай бұрын
Acheni ushamba
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 Ай бұрын
Jezi za simba sc ni hatari ni kali utakosaje kuvaa
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m Ай бұрын
Sanda tena mbele
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Kwan stive nyerere yeye ninanii, wazee wengine waajabu sana.
@BabMuniwe-pg7el
@BabMuniwe-pg7el Ай бұрын
Hiyo sindilia jez gani
@TedyElisha
@TedyElisha Ай бұрын
Wivu 2 unawasumbu weka yako 2one hapo
@hangoson24
@hangoson24 Ай бұрын
Duh ila neno (Sanda) hapo limekaaje??
@user-no5xr7qc8y
@user-no5xr7qc8y Ай бұрын
Neno sanda kwako ni geni?mbona mnavaa mavazi ya kutoka kwa wazungu yameandikwa fila?
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 Ай бұрын
Sanda ni kifupi cha Jina Sandalandi hivyo basi tasfiri yake ni jina sio sanda ya kuzikia
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 Ай бұрын
Jamani mbona mna Hanisa mobeto huko chaajabu nini Hyline kuja Simbaaaaa. Utopoloooooooooooo🐸🐸🐸🐸
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo Ай бұрын
#Hyline😂😂😂😂😂mmmh😂😂 hata kiswahili zerooo
@AishaJuma-py7ve
@AishaJuma-py7ve Ай бұрын
Steve mbn povu linakutoka Kwan yanga unaimilik wewe mfyuuuu
@officialYvaH3232
@officialYvaH3232 Ай бұрын
Kusema kutolewa utu kivipi Kwan ni kazi haramu?? Wangapi wanahama timu bhn achen hizo bhn
@frankraphael7546
@frankraphael7546 Ай бұрын
Stev nyerere wewe nijinga sana
@hamishatibu699
@hamishatibu699 Ай бұрын
Huo mjadala wa kijinga Owoya ni msanii na nihaki yake kuvaa stive sawa na ashura tu utu kwa yanga asipige ela kwa ajili ya utopolo fala stive kweli
@elsonmushi9491
@elsonmushi9491 Ай бұрын
Sisi wabongo uelewa mdogo kukariri kunatutesa sanaa pesa na tumbo zinafanana Steven acha ushamba ww
@omaryrazalo4302
@omaryrazalo4302 Ай бұрын
Ubaya ubwela
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 90 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 32 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 40 МЛН
Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024
10:47
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 59 М.
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
NDARO STEVE WE NI TAPELI   MSIKILIZE MANENOYAKE
14:35
Steve Mweusi
Рет қаралды 272 М.
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 32 МЛН