Pole saana luludiva allah akupe subra katika kipindi hiki kigumu🙏🥰🥰 wangapi wamefurahi kuona interview ya kijanjanja ya mirad ayo ♥ twakupenda kaka uyu ndiyo King 🤴 of interviews ♥ 👌 🇴🇲 🇹🇿
@theresiafrancis13432 жыл бұрын
Pole lulu wewe Ni shujaa sana una baraka zote za mama yako …. Mungu amlaze mahala pema peponi amina Amina
@husnashindano11922 жыл бұрын
Allaahuma Ameeeeeeeeeeeen 🤲 😭 😭 😭
@winfridapeter94552 жыл бұрын
Pole Sana 😭😭,tuliofiwa na mama tunaumia na mengi tukiyaelezea yao,pumzikeni mama zetu wote mliotangulia mbele ya haki na marehemu wote🙏🏽
@lydiamutunga75382 жыл бұрын
Aisee inauma sana miaka 20 sasa tangu kuondekewa na mama ni mambo mengi tu magumu lakini mungu yupo pamoja nasi🙏🏻
@husnashindano11922 жыл бұрын
Allaahuma Ameeeeeeeeeeeen 🤲
@husnashindano11922 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@mwahijalukali23872 жыл бұрын
Amiin thuma amiin
@aliburhan30152 жыл бұрын
ALLAAHUMMA AAAMIIN YAA RABBI 🤲
@rachelgeofrey15002 жыл бұрын
Napenda sana Diva akitabasamu anakua mzuri sana na anaongea vzr sana in short nampenda sana na Mungu amjalie maisha marefu na mazuri pia kajitoa sana kwa mamake
@christinewomanoffaith54792 жыл бұрын
Nimekupenda kwakweli,sio kutamani kuzaa tu , Mungu akupe ndoa ktk jina la Yesu, mpate watt wazuri!
@beshuuambarali49602 жыл бұрын
Kwani UYo christu
@petronchalangi10332 жыл бұрын
Kwenye comments wengi wanalaumu Lulu kujibizana na hao waliomsimanga kuwa hajajenga kwao....lakini kiuhalisia hii story kwa upande wangu iko kifasihi Sana. Na ni story ya kitaaluma zaidi na Millard Ayo umeiendesha vizuri Sana. Kweli wewe umeiva kuinterview watu wa kila carrier. Kwa ujumla ukiisikiliza hii story Ina vitu vingi mno vya kujifunza. Mimi ninayependa fasihi nashauri Lulu kwa kushirikiana na Millard Ayo iwekeni kwenye kitabu ili jamii ijifumze zaidi. Nakupongeza Sana Lulu kwa kuamua kuleta hii story juu ya marehemu Mama yako. Inatufundisha mengi hata maisha yako ulimopita pia ni funzo tosha. Na yule atakayekuoa atakuwa amepata donge nono. Wewe ni malkia wa nguvu na ni wa mfano.
@chikurashidi70852 жыл бұрын
Kweli pole Lulu
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Sana
@ngache462 жыл бұрын
Abdul atafaidi eeeh
@rahmaabdallah58212 жыл бұрын
😍👏
@wejja4232 жыл бұрын
Mwalimu wangu
@mozam44962 жыл бұрын
Pole sana Lulu wang Mungu akupe maisha marefu 🙏i love you 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@suzymakwawa54082 жыл бұрын
Ata Sielewi Ni Andike Nini Lulu Ume jua Kuniliza Mdogo Wang 😭😭😭😭😭Mungu Afanyike Faraja Kwako Ww Ni Shujaa Sana Nakupenda Sana 💕💕💕💕
@gradnessshitindi36942 жыл бұрын
Duuuuh pole sana dada Diva, umemfanyia sana Wema mama ako malipo utayakuta mbinguni🙏
@joycemlwale54222 жыл бұрын
Weww ni shujaa wangu wa 2021 ulinipa hisia sana ktk kumuuguza mpk kufariki kwa mama yako.Mungu aendelee kumpa pumziko la milele.
@enterenter19212 жыл бұрын
Mirlad nakupenda saan kwaajili ya ALLAH 🥰 🥰 na Lulu umependeza mashaa Allah pole na 🤲🤲nakuombea
@sabrinahm56512 жыл бұрын
God will see you through Lulu . My prayers 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sophialaurent24062 жыл бұрын
Pole sana dada Lulu, najua jinsi gan umeumia, umenitoa machozi 😭😭😭😭
@salmahalfani63072 жыл бұрын
Pole mwanangu M/Mungu akupe Subra. Hio njia ni yetu soote. Kwake tumetoka na kwake ni marejeo. Kila nafsi itaonja mauti. M/Mungu akujaalie mume mwema wa dunia yako na akhera yako na pia akujaalie kizazi chema cha kike na kiume chenye kheri na wewe.
@mohameddara15022 жыл бұрын
Your strong woman lulu Mey Allah grant her in jannah
@carolineotieno81542 жыл бұрын
Take a heart Lulu, it's really painful and heartbreaking I feel your pain let's her soul rest in internal peace Pole Sana You're a strong woman according to what you passed through.
@luluukwaju80512 жыл бұрын
Pole sana wajna Lulu! Umeniliza wallah! Allah Amrehemu, Amsamehe Alipokosea na Amjaaliye jannat firdaus mama yako ameen. Nawe Allah Akuzidishie wepesi ameen
@taturajabukhalfani79532 жыл бұрын
Amen
@zuenampandeni33472 жыл бұрын
lulu wewe ni jasiri hongera, pia pole Allah atakupa mume mwema na watoto wema
@helgaaporinaly28112 жыл бұрын
Hongera dada kwa kumpambania mama. Mwenyezi Mungu akupe ujasiri wa kulikubali hili. Wewe ni mama jasiri na mbeba majukumu.
@janetmwangombe62676 ай бұрын
Pole sana mrembo wetu ❤usijali mama amepumzika ameteseka sana mahali yuko hateseki tena.wewe pambana na maisha dadangu mwenyezi Mungu atazidi kukupa nguvu.
@chocolatedrop39682 жыл бұрын
Pole sana Lulu 😢 Mungu yuko nawe na mama amekuachia baraka zake nyingi
@azizymachadeson35772 жыл бұрын
Ila binadamu tunajua kuongeaga sana na kutoa maneno mabaya bila kujua ni mangapi mtu kapitia na ni changamoto gani mtu alikua nazo , hakuna binadamu ambae anapenda shida au anapenda apitie mateso ! Dah pole sana Dada angu pole sana sana sana Nakupenda sana Lulu D
@prettyh75092 жыл бұрын
😭😭😭😭story inaumiza jamani hakika umepambana Mdg Wang Mungu awapumzishe mama zetu kwa amani
@sintaibra3552 жыл бұрын
Watu Wanazungumza Tuu Coz Midomo Hailipiwi Vat Hawatizami Hata Age Ya Mtu Wanatiririka Tuu Sasa Umri Wa Lulu Ni Wakujenga Kwao Amepambana Lini Na Ajenge Lini Jamani Tuwe Na Kiac👐👐👐
@adolpheaoci57062 жыл бұрын
Pole sana dada, Nina kumbuka shida nilio pitia kwaku mchunga Baba yangu alipo vunjika hip. Machozi ime toka sana. Jipe moyo dada
@shadrackvicent37112 жыл бұрын
Usiombe yakukute,hapa utaona kawaida but ni hali ngumu,ngumu zaidi MUNGU AMSAIDIE SANA LULU DIVA NA ALLAH AMPOKEE MAMA YETU
@rahimarahima7465 Жыл бұрын
Pole sana DaDiva mungu ailaze roho y mama mahali pema
@mohammedkombo37272 жыл бұрын
Pole Sana Lulu Allah amlaze mahala pema insha allah napia Allah akupatie Afya njema naww napia umepata Baraka zote za mama amini utaishi Maisha Mazuri Sana hapa Duniani lolote utakalo kulifanya litakua bila kipingamizi kwa uwezo Wa Allah ila umenitoa machozi lulu 😭😭😭
@RajatSharma-uq7pz2 жыл бұрын
Mambo Uliyapitia na umri wako ni makubwa mno, Mwenye Ezi Mungu ajalie mema ya dhunia na akhera
@azzamahamdu70392 жыл бұрын
😭😭😭😭😭pole lulu .insh mungu atakupa mume mwenye kheri na ww..🙏💟.dah umejua kumpambania mama ako.uko na pepo yko kesho insh.insh mungu atakupa mume bora .
@aminaomy81392 жыл бұрын
Pole Sanaa dadangu Lulu .... Allah atakulipa ujra wako na mamako Insha Allah huko kuugua kwake iwe ndoo msamaha wake kwa Allah na ndoo njia yake ya peponi ... Allah awasamehe wazazi wetu .. Allahuma Ameen
@taturajabukhalfani79532 жыл бұрын
Amen
@SululuZungu-kx8ws9 ай бұрын
Bless nyng mrembo wetu yamungu mengi Allah akupenda muombee inxhaallah huko aliko😢
@marlenezaina21962 жыл бұрын
Mamako alifariki siku moja na mamangu mzazi na pia wametoshana umri na waliuguwa kwa miaka sawa😢😢😢😢inauma sana Mungu awampumzishe marehemu wote kwa amani
@farikkaqueen23672 жыл бұрын
amina sorry for your loss
@lydiahbhoke22842 жыл бұрын
Lulu natamani nikukumbatie kwa nguvu yu are so special lady Lulu
@dalhiyarashid25722 жыл бұрын
Kuna vitu vingi Sana nimejifunza kutoka kwako dada Lulu,umenifanya nimekuwa na nguvu ya kutokata tamaa, nimekupenda Sana na pole kwa matatizo kipenz🙏🙏🙏😓
@casablancastudioarusha7752 жыл бұрын
Pole sana kwa jaribu ulilopangiwa kukutana nalo Duniani Mungu akubariki kwa yote uliyomtendea Mama yako.
@rodapaulo20902 жыл бұрын
Pole mamii.....Mungu alikupatia usingiz mzito....ili2 usishuhudie mama akikata roho pole sana
@tildahongkong60862 жыл бұрын
Daah pole sana luludiva umepitia wakati mgumu sanaa sio kazi rahisi MWENYEZI MUNGu atakufuta machozi na atakupa furaha ya moyoni MUNGu ampunguzie adhabu ya kaburi 🙏🏼❤️
@sharmelasaif472 жыл бұрын
Pole sana lulu ukilia namimi nalia nalia kwauchungu umasikini mbaya mbele zao nyuma yetu sote tusio na mama au tusio na wazazi
@coletashirima21932 жыл бұрын
Congratulation Lulu ..... Mama apumzike kwa amani ,,,,big up sana Millard nampenda one day ntafanyiwag interview na ww tu
@nasrimohamed75562 жыл бұрын
Lulu haustahili kulaumiwa kwa kweli pole sn Allah akupe nguvu kpnd kgumu unachoptia
@zamzamzamzam48982 жыл бұрын
Mungu atakuwezesha inshallah lulu inauma xnaa muombe Dua mama ilo ndo la muhimu
@justinejackson17312 жыл бұрын
Kuna watangazaji alafu kuna "MILLARDAYO"... interview ni ndefu but unatamani isifike mwsho, kama ilivyo siku zote..hongera sana mtu wetu wa nguvu Millard, Mungu azidi kukupa nguvu. Kuhusu Lulu, pole sana sana kwa kumpoteza mama yetu hyo ni mipango ya Mungu ata ungefanya nn bado ingefika mda, so pole sana. Kuhusu wewe ni shujaa na malkia wa nguvu wala hahitaji kutumia nguvu nyng sana kuwaonyesha/kuwaelekeza watu ulichokifanya kwenye maisha yako na kwa mama kiujumla..ata ungefanya kipi sisi wanadamu hatujawahi kukosa la kusema..so..usikate tamaa endelea kupambana utafika unapopataka Kwa uwezo wa wake Mola. Jinsi unavyojieleza inatosha sana kuonyesha uwezo wako mkubwa wa kujitambua km kuna mapungufu hyo ni kawaida Kwa ss binadamu, hakuna aliyekamilka.
@millardayoTZA2 жыл бұрын
Muchlove Justine
@khadijajuma71422 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Pole sanaa mamy, Allah akufanyie wepesi kwenye kipindi hiki kigumu.
@saidybhokey57442 жыл бұрын
dada kwa dini yetu umefanya kazi kubwa sana kwa mama yetu mzazi ni mfano wa kuigwa sana
@theresehakizimana63452 жыл бұрын
She’s a Super woman 💪❤️
@pinahoscar67352 жыл бұрын
Lulu katika umri mdogo miaka 27 ila umepitia mengi Mungu ampumzishe pema peponi mama lulu Umempambania sana mzazi wako ila Mungu kampenda zaidi😭😭😭😭ila interview yako imeniliza sana
@josendaki23212 жыл бұрын
Pole lulu Mungu awe nawe akupe neema ya moyo
@josendaki23212 жыл бұрын
Wewe safi sana
@josendaki23212 жыл бұрын
Wema safi sana😍😍
@carolinaadolf69552 жыл бұрын
Strong woman Luludiva ❤
@mimamum65062 жыл бұрын
lulu allah akupe subra dadangu nasi sote tuliopoteza wazazi wetu allah awarahamu wazazi wote waliotagulia najikuta2 nalia wallah kuondokewa nikuzito
@silviaantony6772 жыл бұрын
Pole lulu diva nakupenda kweli mdada unayejielewa mungu akutangulie katika shughuli zako upate watoto waige tabia yako
@zabronmadano90532 жыл бұрын
Exactly
@neemajulius62492 жыл бұрын
Ni maombi yang kwa Mungu ampe kila mwanamke mtoto wake hii interview imenigusa sana
@semenimohamed81562 жыл бұрын
Pole sana lulu kufiwa na mzazi alafu ukiangalia U mezaliwa pekeako ni machungu sana wenye hali hii tunaijua vizuri ila nikumuombea kwa mungu
@mwabakabwe97332 жыл бұрын
Millard ye so professional🙏I love yur sense of humor🙏Lulu may God bless ye ❤️I started following ye th day I spotted yur video n yur mom 👏I loved ye from that day 🙏❤️sending ye enough love from Zambia 🇿🇲
@vumiliahamisi70462 жыл бұрын
Allah amrahamu mama na hakika unaradhi zake mutakutana kiyama
@mariammsolini72872 жыл бұрын
Pole sana lulu, Mungu atakulipa mema kupitia mazuri uliyomtendea Mama
@hashkhantantrasiraji1182 жыл бұрын
Pole sana Lulu Diva hakika Allah atakulipa kheri Inshallah 🙏🙏🙏
@marthadeogratius79132 жыл бұрын
Pole sana Lulu Wewe ni shujaaa! Umepambana sana Mungu aendelee kukusimamia siku zote akupe mume mwema akujalie watoto♥️♥️♥️
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Polesana kwauliyoyafanya Allah atakulipa lnshallah Sasa ukae uswali umuombe Dua Allah. Amsamee amuingize peponi lnshallah
@CertifiedGavin2 жыл бұрын
The voice of truth says do not be afraid, u gonna be alright I promise ❤️
@lucybenjamin72052 жыл бұрын
Pole sana mamy, Mungu akutie nguvu kwa kipindi hiki kigumu🙏
@mercypeledawson16222 жыл бұрын
I love you Lulu, no matter what they say nakuombea mamy
@Polly-uj3ky2 жыл бұрын
The interviewer, what a beautiful man and a great listener. Lulu is gorgeous. My deepest love and comfort sis. ❤️
@adelinasanga67102 жыл бұрын
Dada lulu pole sana! Mwenyezi Mungu akutie nguvu!! Apumzike kwa Amani!!!
@lydiamvungi99892 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni pekee ndiye faraja yetu, mungu mpe faraja sana Lulu Diva
@paulinacherement25342 жыл бұрын
AMIIIN
@mwemajuma14312 жыл бұрын
Masha llah Lulu mdogo wangu umeongea vzr sana raha ya watt uwepo kwenye ndoa
@deborahrehema58192 жыл бұрын
This is really heartbreaking and ☹️ sad and painful to loss someone you love 💔 Pole da Diva
@sirahchocolate85082 жыл бұрын
Lulu wangu Allah akupe afya njema na Umri mrefu InshaAllah ♥️♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏
@sintaibra3552 жыл бұрын
Pole Saana Kwa Yote Lulu M/MUNGU Aendelee Kukufunga Mkanda Ktk Nyakati Hizi Ngumu Kumpoteza Mzazi Mama Kwa Kweli Ni Zaidi Ya Maumivu
@consolatamaunde89672 жыл бұрын
Pole sana lulu na mshukuru Mungu umemuuguza Mama yako
@lizzygabriel96012 жыл бұрын
Daaah Pole sana lulu 😢, umepambana sana , Mungu akupe faraja kwa kweli
@subirachuta81692 жыл бұрын
Lulu umeniliza sana coz nilipoteza mama kwa kushindwa kumudu matibabu, Hii ya kwako imenikimbusha mbali sana😭😭
@mariamlymo65482 жыл бұрын
Kufiwa kufiwa kufiwa aisee hili neno lione na ulisikie kwa mwenzio omba yasikukute tena kufiwa na mama jamani nyie mama anauma 😭😭😭 niliuguza mama yangu hadi nikafikia hatua ya kukufuru naona bora afe apumzike mateso ya dunia ila leo hii natamani hata angekuwepo niwe namuona tu... Pumzikeni salama mama zetu😭😭😭😭
@florencekaranja87362 жыл бұрын
Pole sana lulu may God give u strength you are a strong woman
@ashaulaya74122 жыл бұрын
Mpare mwenzngu karibu uparen 🤲🙏❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰💯💯
@agnessnkana80792 жыл бұрын
Chozi uliolimwaga mungu atakufuta kwa namna yake na hongera Sana umekuwa mdada jasiri na mwenye upendo na ninaimani upambanaji wako utakufisha mbali Sana pia unabaraka za mama hatuna cha kusema zaidi ya pole mungu akutie nguvu usimame imara kazi iendelee
@samiraahmed89662 жыл бұрын
Tuliopitia hii hali tunakuelewa lulu mungu akupe nguvu zaidi
@khadijashabaninimba78902 жыл бұрын
😭😭😭😭💔💔Pole sana diva 😭Hakika mungu ni mwema wa kila jambo Allah amrehemu 😭hii ni safari ya kila mmoja kila nafsi itaonja umauti Allah atujalie mwisho 🙏🙏💔💔Allah awarehemu wazazi waliotangulia 😭 😭😭😭😭😭😭💔💔💔
@monicasimpilu62572 жыл бұрын
Ulimpenda sana mama yako Mungu akubariki sana sana
@ChristinaAloyce-pp6vj3 ай бұрын
Kumuuguza mama nakuindoka mikononi mwako huku ukimpambania hd mwisho niviwanja namajumba tisha. Hongera diva nakupenda sana natamani nikuone nikukumbatie tulieeee 😢😢😢😢
@devothastive80072 жыл бұрын
Daaaaah Mungu amtie nguvu huyu dada😭😭
@awadhkhamis25922 жыл бұрын
Mwamamke kama huyuu ukimpta rahaa kwasababu keshamaliza kila kitu na hana kigeni tena huyuu mke washoka lulu WEEE ntafutee 😂😂😂😂
@richardfilibert54112 жыл бұрын
Umepambna Sana Lulu mungu niwawote kilam2 anachance yake kwenye maisha🙏
@ztvonline25232 жыл бұрын
Brother Millard ni no one
@sifamugwaneza87742 жыл бұрын
Jaman me nakupenda sana kaka angu #Millard unamfariji mwenzio na kujitahidi kumuelewesha😊 na penda pia kazi zako and pole sana #Lulu kwa msiba wa Mama ww nimfano wakuiga japo kuna wazazi wengine sijui wapije unawafanyia wema hawaoni but Mungu atakulipa na nzuri zaidi ulikua unaelewana sana na Mama❤
@zaiiomary89702 жыл бұрын
tuloondokewa na mama ndo tunao jua chungu na mamumivu pole mamy hat mim imenigusa
@user-yy2fc8uz2x4 ай бұрын
Duu pole sana lulu mwenyez Munqu azid kukutunza na kukufunqaa❤️
@alvinmbugua98302 жыл бұрын
May lulu mum soul rest in peace...we love you so much our sister lulu.nairobi kenya tuko na wewe kwa prayers
@nannakhamis53502 жыл бұрын
Huyu msichana anapepo ya mama ake utaokuta Kesho Kwa allah my
@agnethamsigwa3373Ай бұрын
Pole Lulu kwa msiba ..... Mungu akubariki kipenz Nakupenda wewe ni mwanamke shujaa
@elizabethmwalo84242 жыл бұрын
God will reward u Lulu. You did your part as a human, but God saw it good for her to rest.
@luifdls62172 жыл бұрын
very touching story..safi sana lulu..pole sana kwa kufiwa na mama..Mungu ampumzishe kwa amani🙏..u are so courageous na umempigania mama sana..Mungu akupe nguvu dear its not easy🙏💪
@aishahassani342 жыл бұрын
Malikia wa nguvuu nakupenda sana wew dada allah akutunze
@revocatuszabruza27952 жыл бұрын
Big up madame Wema
@bellahappy21192 жыл бұрын
Lulu pole sana ulilopitia nakijua wanaosema awajui uchungu wa kufiwa na mama
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Watoto wakike wanakumbukwa tu wakifanikiwa ili wapeleke maendeleo kwenye miji ambayo wala siyo yao. Urithi hawapewi lakini wanangojewa wajenge ili wataifishwe. Big up Diva usijenge kijijini kama hujapewa eneo lako hapo.
@shifaaal-baity45032 жыл бұрын
Huyu msichana ni mwema na mtiifu lkn wapo wasichana wengine wabaya na urithi kwa dini y kiislamu wanapata hata kama umri wake ni dakika moja
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
@@shifaaal-baity4503 Kuna mila hawazingatii dini.,mila nyingi za Kiafrica unakuta watoto wa kiume wanapewa, wakike wanaachwa
@trayfosaharrison91992 жыл бұрын
Hiki kitu sio kizuri, kama unapenda mtoto wako wakike akifanikiwa asaidie nyumbani muwape pia sehemu ya urithi. Kama ww ni wakike hujapewa urithi kwa vile ni wakike usipojenga kwenu na una uwezo hakuna laana. Wasaidie mambo mengine kama chakula, matibabu n.k. kujenga watajenga wanaume wao walioona wanapaswa kupewa urithi
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
@@trayfosaharrison9199 💯
@waheedahtanzania49122 жыл бұрын
Maskin inahuzunisha 😭 Allah akuzidishie subra na akupe faraja baada ya mtihani na allah akujaalie upate mume mwenye kheri na wewe naamini ukishazaa na ukawa na familia watoto wako ndo watakuwa wanakufariji,najua kusahau ni vigumu sana Allah akutie nguvu maskini 😭 Allah ampe kauli thabiti mama 😭 Allahumma ighfirlaha warhamhaa waskanhaa fii janna yaa kareem 😭👏
@sharonnemartins27982 жыл бұрын
Dah! Pole Lulu. Mama is in a better place and free from pain🙏🙏
@rahabmwaura31052 жыл бұрын
Lost my dad 12/9/21 due to pneumonia, i know what Lulu is feeling... Ain't easy at all.. Mungu atupe nguvu sote jemeni
@taturajabukhalfani79532 жыл бұрын
Amen !!
@chocolatedrop39682 жыл бұрын
Pole sana
@fatumahamad112 жыл бұрын
Pole sana lulu Allah akufanyie wepesi InshaAllah katka kipindi hiki kigumu Inauma sana
@devothawilbardwilbard15762 жыл бұрын
Achana nao jukumu lako umemuuguza Mama na unatakiwa kujenga kwako na sio kwa babu
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Mcheza kwao hutunzwa..my brothers..kwa moyo wa huyu dada ataweza yoote na mwenyezimungu atamtunza kuwa msaada wa familly zote...God is good...at all.
@msasenathpotiphar17322 жыл бұрын
Machozi yamenimwagika Lulu umenitonesha maumivu ya Mama hayaelezeki 😭, MUNGU akutie NGUVU kama alivofanya kwangu 💔😭 wapumzike salama Mama zetu 😭🙏