FULL VIDEO: ALIKIBA ALAMBA DILI NONO APEWA UBALOZI NA KAMPUNI WANAOIDHAMINI MANCHESTER CITY

  Рет қаралды 15,756

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Leo Jully 16, 2021 Mwimbaji Star Alikiba ametambulishwa kama Balozi mpya wa kinywaji cha energy drink na kutoa ufafanuzi kuhusu kinywaji chake cha Mofire Pamoja na mengine. PLAY kutazama

Пікірлер: 22
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 2 жыл бұрын
Dili moja LA kiba sawa na dili 5 za mond, analipwa kwa dollar, cyo mchezo Manchester city itakuwa home kwako pia
@nuratorait3876
@nuratorait3876 2 жыл бұрын
King kiba kaz iendelee
@beautywithnay5974
@beautywithnay5974 2 жыл бұрын
Nikinywaji kizuri sana ni enaji drink uku nje ya nje tunakunywa sana nzuri mno mashaallh
@idayamataifakey7813
@idayamataifakey7813 2 жыл бұрын
Yeebaba mfalume mi nakuelewa sana ongera sana walikubeza sana ally apati madili sasa do huyo sasa
@maryaidan7745
@maryaidan7745 2 жыл бұрын
Aiseee noma kingnkiba
@ramathedon4001
@ramathedon4001 2 жыл бұрын
oo Mara sijui kiba hana ubaloz Mara vile sijui vile vidomo vyote kwishnei
@ericklucas5010
@ericklucas5010 2 жыл бұрын
Kwenye sauti mmezingua
@sirbinladen786
@sirbinladen786 2 жыл бұрын
*Habar zenu ndgu zangu naomba nikukaribishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za Asili mbali mbali bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia KZbin andika sir Binladen 786 yaliyomo, tiba ya nguvu za kiume, Tiba ya kizazi, Mvuto wa biashara,na mengineoo mengi karbuun mjifunze*
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 2 жыл бұрын
Huyu Kiba hajuwi kupromoti bidhaa japo ana mashabiki wengi.Sijui anafeli wapi.
@theclambiki110
@theclambiki110 2 жыл бұрын
Mbona anaejua hajapewa?...mnaumiiiiiia king kula dili
@gbbuku4714
@gbbuku4714 2 жыл бұрын
Kwan mkubwa ile mofaya yako imekuaje tena unapromote ya wengne dah nachanganyikiwa sijui nyie wenzangu kama mnaelewa 🤭
@jemamhagama4978
@jemamhagama4978 2 жыл бұрын
Karanga zile ziliishia wapi?
@SAM_163
@SAM_163 2 жыл бұрын
Hivi hili ni tukio ni La Dini au 🤔🤔🤔🤔? Mbona Team K hamuwezi kushauriana mnatuvalia Kanzu kwenye matukio ya business ya vinywaji kama haya ambayo kiuhalisia wateja wake ni watu wa Dini zote????. Ushauri tu mjipange pia na vitu vyakuongeaaaaaaaaaa mnapoalikwaaaa😎😎😎#Team Rolls Royce√√√√
@daveme9180
@daveme9180 2 жыл бұрын
We jamaa una akili sana
@zedennjate548
@zedennjate548 2 жыл бұрын
Leo ijumaa wakitoka hapo, wanaenda msikitini halafu wanamalizia clouds
@karpykay9641
@karpykay9641 2 жыл бұрын
Boya wew
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 2 жыл бұрын
Ijumaa Leo au haujui
@davidmwakibinga5058
@davidmwakibinga5058 2 жыл бұрын
Unaumwa mavi
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 2,9 МЛН
ТАМАЕВ vs ВЕНГАЛБИ. ФИНАЛЬНАЯ ГОНКА! BMW M5 против CLS
47:36
Shantal K - Elinya lya Yesu (Official Lyrics Video)
2:05
Shantal K
Рет қаралды 10 М.
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
KIREDIO
Рет қаралды 112 М.
LULU ATOA MACHOZI MAHAKAMANI, HUKUMU YAKE NOVEMBA 13
1:52
Dande Tv
Рет қаралды 24 М.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 232 М.
SAKATA LA MADADA POA: MAWAKILI WAFUNGUKA KULIFIKISHA MAHAKAMA KUU
6:48
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 2,9 МЛН