Huwa ni mgumu sana kupongeza kwenye hili nakupa hongera mkuu wa wilaya ya ubungo kazi nzuri mno
@AzizaMengwa-wg5ik2 ай бұрын
Mama samia hongera sanakwa kumteuwa mkuu wa wilaya huyu,kwani kazi ikifanywa vizuri heshima kwako mungu awalinde nyote
@mh.dismasmbawalla14762 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa DC kwa kusimamia haki na kulinda amani ndan ya boundaries zako Ushaur wangu tumia sana lugha ya kiswahili ili ujumbe uweze kueleweka kwa watu wote Big up kazi unapiga kaka Mungu azid kukupa hekma zaid na unastahili KUWA ulipo
@mustafaidiy90742 ай бұрын
Sijawahi kuelewa kama nilivyokuelewa DC bombora. Respect 2u kaka
@chilopowder23692 ай бұрын
DC anaongea kisheria zaidi hongera sana boss
@ChrisantJohn-d3l2 ай бұрын
Sure among of the best leaders, you are among of them Keep it up DC
@NoelaPeter-dc4dn2 ай бұрын
Asante Mungu umesikia kilio Cha uyu Mama na familia yake🙏
@sabteectanzaniaLimited2 ай бұрын
For the first time bomboko umefanya kazi nzuri na imenifurahisha keep doing bro
@digital-d2t2 ай бұрын
Kazi nzuri kwako. Ungekuwa ww ndo muhusika ungejua hujui
@robertphilip3852 ай бұрын
Hamna kazi yeyote ni usanii tu
@JemaMhagama-oz6me2 ай бұрын
@@sabteectanzaniaLimited ndugu yangu hapo Hanna lolote hao jamaa lazima wataweka meanasheria na watashinda kwa sababu sisi asilimia kubwa tumemsikiliza dc tu kampuni hawajapata nafasi ya kuongea kabisa. Halafu kwa mjibu wa kampuni wao hawausiki na mgogoro mgogoro ni wa familia make na mme. @tumesikiliza maelezo ya upande mmoja
@Brunn-mh2bq2 ай бұрын
@@digital-d2thuuh!!!😢😢
@TatoTato-t7s2 ай бұрын
Ul@@robertphilip385ulitaka apigane ndio ujuekama kafanya kazu
@rosetreffert41792 ай бұрын
Shida MTU akiwajibika samia anamuhamisha!! hongera DC kwa kazi nzuri ❤
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Ndo kinachofuata😢
@adamhashim33522 ай бұрын
Wanaohusika na utapeli ndo wanamshauri
@philemonmagesa55482 ай бұрын
Eeh! Utasikia amemwamisha hata mchelewesha atamtupa uko mkoani
@nishaabdula50152 ай бұрын
Yn i nchi haitaki kuona mtu anatetea masikini na wanyonge
@jojigeorige10562 ай бұрын
Tutasikitika sana. Amuache kwanza amalize hili. Hapa kuna majitu yana roho ya ukatili sana. Watu wananguvu kuliko mahakama na Rais yupo Tanzania hii
@allyabdallahmsusa2 ай бұрын
Mwenyezi mungu akubariki muheshimiwa mkuu wa wilaya ya ubungo @Dc bomboko🎉🎉🤲
@winnesakara69572 ай бұрын
Mungu amulinde dc huyo mama kanyanyaswa sana
@thabitdaudi98152 ай бұрын
Never heard of this guy bomboko but this is a good first impression. Keep it up
@RickshabyVlogs2 ай бұрын
I am also surprised of this powerful DC
@danielblance25152 ай бұрын
Kwahili mkuu wa wilaya nakupa big up sana kazi nzuri sana kuna watu wanajifanya wapo juu ya sheria na wanashindwa kuheshimu wenye mamlaka
@anuambosehemmanuel2 ай бұрын
Never heard about this guy bomboko but keep it up
@marianmartin74832 ай бұрын
Safi sana DC Bombora. Kijana umefanya kazi nzuri, hongera kwa hilo.
@denisyohana81042 ай бұрын
ongera DC,one day na mimi ntakuwa kiongozi bora,,nimekupenda sana
@janelyatuu11352 ай бұрын
Makonda una mdogo wako huu anapigaa kazi Kama wewe anatetea haki ❤
@ShabaniAthumani-q3r2 ай бұрын
Atakemewa tuu nchi hiiinawakubwa zaidi ya dc
@florianmasawe95202 ай бұрын
Unataka niambia yakua hapa eneo likiuzwa serikal za mitaa hazikwepo mpaka pesa zimelipwa 1bilion na milion 300,, propaganda tuu izi wataendelea kujenga soon maana alie uza ni mwenye eneo 🤷♂️
@dorahmushi-we6ts2 ай бұрын
Team Makonda...
@alphoncealmack92402 ай бұрын
Anachokfanya Dc si propaganda anatekereza sheria inavyotaka.na hawa jamaa km wana haki kwann wasisibir hukumu itoke ndio warmdelee na zoez lao kufuatana na hukumu ilivyotoka.na ss raia ni lzma tusapot viongoz wenye maafili km hawa ili wengine wenye mapungufu waige
@bennymochiwa48002 ай бұрын
Hamna kesi hapo
@MohamedFadhil-m7r2 ай бұрын
Hongera DC kwa kazi nzuri kaza buti ndugu
@namungolubala17882 ай бұрын
NAHUO MUME WAHUYO MAMA ASHIKWE WAWEKWE NDANIWOTE I'M WATCHING FROM CANADA 🇨🇦
@paulshija76322 ай бұрын
la msingi Mh. DC hakikisha ulinzi wa huyo Mama, kama mtu anadharau amri halali ya Mahakama, anadharau maagizo rasmi ya Mh. DC huyo mtu ni kirusi na hafai kwenye jamii iliyostaaribika, Mh. DC nakushauri huyo jamaa lala nae mbele amekosa utaarabu na ni Mshenzi, mpaka sasa umeupiga mwingi na naamini Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan anajivunia kuwa na kijana kama wewe kwenye uongozi wake. Hongera sana Mh. DC Bomboko 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@cd4wakikando2 ай бұрын
Congratulations Dc maisha marefu bro mungu akubless
@FrancosMnyinga2 ай бұрын
I just cried ,Hongera DC kwa kusimamia haki ifike mahale watu wajue kuwa no one is above the law
@marymanoni55362 ай бұрын
Safi sana DC Mungu akulinde
@MerryMboya2 ай бұрын
Yaani kaweza mom
@r9ayyansaid6522 ай бұрын
Mimi nampa pongezi DC na pia millad Ayo maana wasingekuwa wao serikali wasinge jua na sisi wananchi tusinge jua vip watu tunavoonewa na watu wa chini
@FrankKashamakula-xb1pc2 ай бұрын
Jamaa ana kibri na Sheria Hazijui kabisa Nani alimwambia anunue sehemu yenye zuio la mahakama Anadhalau mahakama au ndio kutokusoma Au Kibri cha pesa Akishinda Mama itabidi Ajenge Apo Nyumba Mpyaa Hongera kwa DC Kafanya kazi nzuri sana
@jasonwatz74572 ай бұрын
Anadhani wananunulika, au amesha zoea hiyo michezo
@zaytunhijja67712 ай бұрын
Sizani kama atashinda huyu mama mungu amjaalie tu
@WillysonShilagwaАй бұрын
Eneo limenunuliwa mwaka juzi ila mgogoro umetokea mwaka huu ndo nilivyosikia jamaa hana kiburi ika amekalili namna alivyozoea kuishi na kutumia Mali za watu bila kufuata taratibu na sheria za ardhi
@MaryLee-sh4nd2 ай бұрын
DC kijana lakini unabusara Sana hongera. Kiongozi bora
@kinotasontravel20932 ай бұрын
Inchi inaongozwa na vijana hata kwenye utawala wa Mwalim Kambarage walikuwepo vijana yeye akiwa na miaka 41 alichagua vijana wen wenzake wakiwa na miaka 31 n.k
@twiseghekisilu88452 ай бұрын
Yaani mkalaze watu nje u babe ubabe tu!Mungu akubariki
@BeatricealphonceHalotel2 ай бұрын
Wameshalipwa ela wamekula awataki kuhama
@NageMsuya2 ай бұрын
Kiongoz tunae. Hatak makofi hataki mwamvuli saf sana Mungu akulinde Kiongoz.
@AfricaYangu2 ай бұрын
Mungu akulinde Dc maana umeinua vita juu yako
@johnkiimbila67992 ай бұрын
Ma DC wana ulizi imara.
@sbboymkaliofficial9108Ай бұрын
We kenge kama kenge wengine kama una bisha tuje tukuchukue usione una comment utombo saw 😂
@StephanoMbwamboАй бұрын
hongera sana mhe mkuu wa wilaya uko sawa sawa mhe. ninakupongeza kwa kazi yako nzuri sana sana. mungu akubariki kwakujali wananchi.
@marryngaiza20612 ай бұрын
Unachapa kazi Dc kama inavyopaswa kuwa, hongera sana Kiongozi na wengine waige mfano wako!
@athumanismail1643Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde kwenye kile unachosamia tunahitaji viongozi jasiri na wa mfano kama wako 💪🏽
@eddykatamba10082 ай бұрын
Safi kabisa kaka upo vizuri sisi tunaitaji viongozi wa hivi
@mohamedwwnurumasagcom81712 ай бұрын
Hongera DC kwa kazi nzuri wana ubungo watanzania tunaitaji viongozi kama nyinyi
@JeannetteManirambona-o6m2 ай бұрын
Kweli
@vickyshayo78802 ай бұрын
Hongera Sana DC Mungu akutunze Na kukuinua kwa kuwatetea wanyonge
@rehemaathhmani357Ай бұрын
Jamani waziri cjui utatusaidiaje sisi tulioko huku nje hasa mimi nitana miaka minne nimenunua viwanja viwili nazulumiwa mimi 😢 na mume wangu kashafariki Ndugu yangu Bakari chijumba naomba unisaidie mimi niko huku Nje nchi za kiarabu nafanya kazi kila nikimpigia alie niuzia kwa sasa hapokei simu yangu tafadhari naomba mtusaidie sisis tulioko nje maana tunazulimiwa 🙏🏽🙏🏽
@AsungaSteven2 ай бұрын
This one is really good and knows his job and people's rights.
@BaloonMacheni18 күн бұрын
Dah!! Hayo ni maamuzi ya kiroho mtakatifu na mungu nakupongeza sana mkuu wa wilaya najua mpo wachache sana Tz. Najia maumivu yake ya kuvunjiwa
@benjaminf3612 ай бұрын
Wanakiburi sana hawa watu - hakuna mtu yupo juu ya sheria. Na kama wamekiuka amri ya mahakama, ukweli sheria uchukue mkondo wake. Hata wafute makubaliano yote kwa sababu ya uvunjaji wa amani. Kiburi chao hakifai kabisa kwa maendeleo ya Taifa letu. Mheshimiwa DC, ubarikiwe 🙏🏾 Usiogope watu. Endelea kuwatumikia wananchi.
@LloydsTech2 ай бұрын
Huyu mzee Op manager Ni mpuuzi kweli
@chesconkwera20052 ай бұрын
DC hongera kwa kazi.Ila Huyu mwanafunzi ungemuacha ajifunze jambo physically.
@mussaelias35352 ай бұрын
Safi Sana kiongozi wananchi wanaonewa sana
@ipyanamwasampeta6532 ай бұрын
Ndiyo tatizo la mijitu mingine kuamini kuwa hela ndio kila kitu na unaweza kufanya lolote lile, sasa wame kumbana na DC, uncorrupted person like this DC. God bless you DC. Let the mercy,favour and grace of our almighty God be upon you!!
@PendoPatrick-eo5ej2 ай бұрын
WOW mpk machozi ya furaha yameniyoka hongera sana Dc kazi nzur nimeanza kukupenda tu makonda kapata kijana mpambanaji kama yeye Mungu awalinde💞
@sleeprelaxation84312 ай бұрын
matajiri wengi huwa wanajiona miungu, wao ndo wamiliki nchi. Hongera Bomboko
@margarethpolepole7438Ай бұрын
Kazi yako nzuri sana Dc Bomboka unatetea haki kabisa mgogoro wa kifamilia
@mr.yahzadochuno79142 ай бұрын
Hawa ndio viongozi na mungu akulinde baba ❤
@stevensanane2 ай бұрын
Hapan anatumia kifua sana😅
@aliciamwalimu5822 ай бұрын
@@stevensananewe unafikir kuongea sana ndo kushinda kes
@veronikandamalyaАй бұрын
Kwakweli unaupiga mwingi mkuu keep it up unatetea wanyonge waliodhulimiwa hongera sana mkuu
@Noelywiliam2 ай бұрын
Ondoa huo mwamvuli, huwezi kuniwekea mwamvuli wakati kuna wanainchi wamevunjiawa hapa, mwamvuli hauwezi kunisaidia chochote, safi nimeipenda hiyo.
Huyu ni kiongozi wa kweli mungu akubariki mkuu uzid kutetea wanyonge
@JamilaJamila-i7p2 ай бұрын
Safi sana mkuu wawilaya kijana akili nyingi mungu akubariki sana
@MussaPeter-d2h2 ай бұрын
Ukiondoa dotto biteko unafuata ww hongera kwa maamuzi ya kisheria na ya busara
@scholarmawala14032 ай бұрын
Mdg Ake makonda❤❤❤ Wakiwepo 50 Kawa hawa vituo vya kura vitajaaa. akiamungu.
@alexsumari6912 ай бұрын
Safi sana Mr Bomoko,Mungu akulinde na kukutunza nchi inaitaji viongozi kama wewe
@OmarAme-hd3fd2 ай бұрын
Huyu mtu wa Mungu kweli kweli namtu kama huyu mara anapotezwa Mungu Amlinde na watu wa ovu watu wa motoni.
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Amyn. Nikweli nikuomba Duatu kunawatu wana mihuli ya moto hawaogopikuuwa Allah atulinde na fiongoziwetu
@margaretkayombo37172 ай бұрын
Safi sana Mkuu wa Wilaya umetenda vyema wengine hapo wangefanya kwa ajili ya matumbo yao. Watu hawafuati taratibu ,sheria wala kanuni za nchi wao ni kupindisha tuu ili tu apatr kugandsmizwa mwenye haki. Hongera sana Dc congrants.
@dianahamishalawa43342 ай бұрын
Kiongozi safi sana mama SAMIA SURUHU HASANI OMBI LANGU MPANDISHE CHEO MHESHIMIWA BOMBOKO.
@Brunn-mh2bq2 ай бұрын
Ampandishe kuwa nani na wewe! Hii kazi inamtosha
@francisnemesikauki35722 ай бұрын
Apa apa inamtosha huenda akipandishwa akawa Hana maamuzi
@HinohiatHidoCo2 ай бұрын
Shida nyingi zipo kwenye hii ngazi ya Wilaya. Hivyo ni busara kumwombea aifanye kazi yake kama ambavyo tunashuhudia hapo. Pia wahanga wa migogoro ya aina hiyo ni wengi na wanahitaji wafikiwe na viongozi kama huyu Mkuu wa Wilaya.
@baizobaizo6638Ай бұрын
Big Up Sana Kiongozi Wangu Wa Nguvu DC Bombora
@rebeccamagita91742 ай бұрын
Ubarikiwe sana DC kazi nzuri maana maskini tunanyanyaswa sana
@PascalMsafiri-x1f2 ай бұрын
🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲Kijana unaijuwa shida
@tanzaboy48242 ай бұрын
Watu wasio na pesa wanatesema sana na matajil mungu aisimamie hii familia
@salimomari150Ай бұрын
DC Nipo Zanzibar,,,, nimekukubali Sana, we need this people in Republic of Tanzania,,, sio watu wakufanya Kazi kimazoea
@dianajohnson72682 ай бұрын
Wewe kaka Mungu akubarik
@osmanbairu82132 ай бұрын
We have a leader.
@azizamvungi18712 ай бұрын
Mungu akulindea DC
@rodgersmwagu2392 ай бұрын
Uyu kak Sheria anaijua na ana busara , kiongozi Bora mitano tena
@dameboyboy20682 ай бұрын
Safi sanaa mkuu watu wenye pesa wananyanyasa sana wasio na uwezo
@MatimaJR-q9k2 ай бұрын
Viongozi wote wangekuwa kama huyu, warah nchi ingenyooka. Safi sana kiongozi
@annabyekwaso-wt7oi2 ай бұрын
Ukapandishwe ngazi kiukweli Mungu alikupa huduma ya maongozi tangu ungali tumboni mwa mama yako,afya njema na neema zaidi nakutakia wewe ni mtumishi wa Mungu kwa mjibu wa warumi sura ya13-5,ubarikiwe.
@AgnesNicholaus-t1zАй бұрын
Hongera magu !!! Penda sana wewe!❤❤❤
@estakapufi75822 ай бұрын
Safi sana mkuu maana kunawatu wakiwa na pesa wanataka kunyanyasa wengine, nakupongeza sana mkuu kwa ujasiliwako maana kuna viongozi kama wewe wakiona haya wanakaa kimya hawaingei ukweli wanakaa kimya.
@AzizaMengwa-wg5ikАй бұрын
Mungu amsimamie dc weti
@LuganoMwalwembe2 ай бұрын
Dc hongela sana nimekukubali sana ndo maana tumependa viongozi vijana na huyo mzee unemwambia vrz sana na upo sahihi kama dc wetu manase wa kyela hongeleni sana madc wetu
@DeogratiaszachariaАй бұрын
Akika wew ni kiongoz bora Mungu akupe nguvu
@KoleYasini2 ай бұрын
Waziri wa Ardhi wa sasa yupo wapi na anaitwa,mama mludishe waziri wetu wa Ardhi..
@ChoroTesla2 ай бұрын
Kesi iko mahakamani so mahakama ni muhimili unaojitegmea wazir akiingilia mahakama anaingilia utendaji kazi wake
@NgaakakuretАй бұрын
Sure among of the leader, you best leader
@BrianShemahonge2 ай бұрын
Big up mheshimiwa. Mungu akubariki
@MaryLyimo-y9z2 ай бұрын
Ubarikiwe DC
@VeronicaPasko2 ай бұрын
MUNGU amsimamie huyu mkuu wa wiraya bomboko haenderee kusimamia wanyonge🙏
@JimmyAhazАй бұрын
👏👏👏
@salimomari150Ай бұрын
Hawa ndo G Z,,,, nice 🎉nchi itabadilika hakuna kufanya kz kimazoea 🎉🎉
@sylvestercharles35852 ай бұрын
I appreciate ✅
@francismepukori98402 ай бұрын
Kazi nzuri. Mungu akusaidie/awasaidie. Moja ya matendo ya huruma❤️
@RichardMajala2 ай бұрын
Tanzania ingekuwa na viogozi Kam Hawa ingekuwa safi DC ongela Sana kwa msimamo wako na kutetea wanyonge
@TwalibuOmary2 ай бұрын
Allah atakuhifadhi habibi Hassan DC unajitambua Sana unajua majukumu yako
@kadaskarim50812 ай бұрын
Nimefurah sana inaoneka hyo jamaa ana dharau sana honger sana DC unafaa sana kabsa hao wenye pesa wanawaona wasio nayo ni mbwa asnt
@halimakuju60762 ай бұрын
Haya mambo usikie kwa mtu mwingine nakumbuka sikumoja kunasiku walivyamia nyumba zawatu machana kweupe wakabomoa nyumba watt wanarudi nyumbani wanakutz nyumba imebomolewa na wakati waliacha nyumba nzima niliumia ile siku sitasahau harafu kumbe wale watumwa to namtu moja ambaye hata hajyulini huko
@BaloonMacheni18 күн бұрын
Sina tofauti na hili kwa familia yangu yalio nikuta
@ananiaszinns73242 ай бұрын
Wewe ni mdogo tu mkuu wa wilaya!!!!!!😂😂😂😂😂 Nyuma ya Pazia kuna KIGOGO au Mkuu wako soshangai kesho kusikia mkuu wa wilaya kasimamishwa kazi au kuhamishwa😂😂😂 shem my Tanganyika!!!!!
@hoseasteven62412 ай бұрын
Hata kama atahamishwa lakini umeoneaha ujasili wake katika kusimamia haki ya mtu
@rahabnkya82762 ай бұрын
Asante Sana mh DC kwa kuingilia Kati jambo hili.
@simonchristian63192 ай бұрын
Mkuu wa wilaya simamia hii kesi ,nchi inaenda pabaya sana ,maskini Hana chake
@stevensanane2 ай бұрын
Kweli hajui kusimamina huyuu
@ukhtyrehemaabdy28302 ай бұрын
Watu wa kazi utawajua tuu🎉
@MariamKombo-s2v2 ай бұрын
Huyo mzee ana jeuri n kibuti
@aliciamwalimu5822 ай бұрын
Hatar yaan jeur balaa,naona DC akipigwa kirogo cha maana😂
@nuruurio83192 ай бұрын
Umewaza kama mimi Mungu amlinde tu@@aliciamwalimu582
@veeJesus2 ай бұрын
😂😂😂😂@@aliciamwalimu582
@danielkanso2 ай бұрын
Kazi nzuri sana Mungu ambariki sana ni miongoni mwa watu wema
@fidelismwakanyamale67872 ай бұрын
Wanazalau sana hawa ni wauwaji kama wauwaji wengine. Kitendo cha kuvunja nyumba wanayo ishi binadamu ni kosa kubwa
@jimmyhabarugira42322 ай бұрын
Hilo ndo tatizo rushwa ukipitiliza haki inakuwa hakuna
@jamalkishangu2 ай бұрын
Kazi nzuri tunataka wakuu wa wilaya kama huyu. Dc chapa kazi wananchi wanakabiliwa na changamoto nyingi.
@maryamhannif8972 ай бұрын
Mungu akulinde
@dorcasdavid22472 ай бұрын
Hongera sn sn Mkuu,,Una Hekima,Busara kubwa sn,,Eeeeh M/Mungu Naomba Weka Ulinzi Mkubwa kwa Kiongozi wetu wanaofanya kazi Ipasavyo ktk Jina la Yesu Kristo 🙏🙏
@HussainMaula-l1s2 ай бұрын
Ila mama samia tunakuomba huyu usimuhamishe kama jery silaaa .
@JayndevuNgare2 ай бұрын
Weee umesema hahaha
@christinewomanoffaith54792 ай бұрын
Sidhani km atabaki
@JamalySeleman2 ай бұрын
Ww broo uko sawa kamata ili siku nyingine wawe na heshma na tofali ni bei
@annazephania74632 ай бұрын
Mwili mdg akili kubwaa hongera sana kaka
@JeremiahMakeseni2 ай бұрын
Hongera sana mkuu ubarikiwe mungu akulinde kweye kazi Yako uwendelee kuwatetea wana nchi