MREMBO MARYAM MWANAFUNZI WA CBE, ANAPENDA MICHEZO HATARI YA PIKIPIKI "WENGI WANASHANGAA NA HUVUTIWA"

  Рет қаралды 118,904

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 211
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Жыл бұрын
Namshauri huyu Bike Lady baada ya kuhitumu masomo yake asifikirie Ajira bali afungue Duka la Spare za Pikipiki kisha baadae awe agent wa kuuza Pikipiki nafikiri atafanikiwa zaidi maana ukifanya biashara kitu unachokipenda Pesa inakuwa mingi sana.🇹🇿🇹🇿
@yusufm1
@yusufm1 Жыл бұрын
Ushauri mzuri na mzito sana
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Жыл бұрын
🤝🤝🤝
@iantussa9064
@iantussa9064 Жыл бұрын
Umetisha sana❤ ushauri mzurii
@jivitafoundation450
@jivitafoundation450 Жыл бұрын
Hongera sana kwa ushauri ukubwa sana ndiyo mawazo yanatakiwa kwa wengine ubarikiwe sana
@aminielmwasha3994
@aminielmwasha3994 Жыл бұрын
Dah! Natamani aone huu ushauri, akifanya hivyo atatoboa
@Infohoney670
@Infohoney670 9 ай бұрын
Wow she is strong and 2morrow i will be at my college to Meet this lady❤
@queenandchill91
@queenandchill91 Жыл бұрын
It's normal. Pikipiki haichagui mwanaume au mwanamke pia kama ni kufa kifo kipo tu kila mtu atakufa hata kama hauendeshi pikipiki. Go girl fanya unachopenda❤
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Hongera binti kwa kwenda na ndoto zako, sasa ununue magwanda ya kuvaa kwa usalama wa mwili wako, magwanda ya kuvaa magotini, viatu vizito maalum, gwanda la kifuani, mikononi na helmet hata pikipiki likikudondosha madhara yanakua madogo
@evanccast6228
@evanccast6228 Жыл бұрын
Ongera sana mimi napenda mwanamke anaependa pikipiki ongera sanaa 👏👏👏👏 @ cast madude
@rachelgunagujemedan2082
@rachelgunagujemedan2082 Жыл бұрын
Ww n mtoto wa kishia at pikipiki ya kwanza million 4 hongera sana Mungu akulinde 🤝
@MurtanSeif
@MurtanSeif Жыл бұрын
Nice inshaa Allah utafika mbali 🤲🏻
@yousuphnzira3209
@yousuphnzira3209 Жыл бұрын
Nakupongeza sana mungu akulinde
@friesinger0963
@friesinger0963 Жыл бұрын
Anaeamini kua uyu dogo akili zake ni finyuuu agonge like hapa
@waltermaro5334
@waltermaro5334 Жыл бұрын
Bro jioni huyo Ni wakishuwa mzee hiyo level zake sio za bongo
@JacquilineNoah
@JacquilineNoah 7 ай бұрын
@@waltermaro5334Nmecheka 😂😂😂😂
@zahirallyzorro3940
@zahirallyzorro3940 Жыл бұрын
Mungu akulinde Binti yangu.
@emmiradorjunior3153
@emmiradorjunior3153 Жыл бұрын
Watoto wa kishua hao...😂😂 eti pkipki yake ya kwanza ilikuwa m4 😮😂😂😂
@koffianodi9453
@koffianodi9453 Жыл бұрын
Usafili mzuri kwake Lakini nimbaya asiuwekee kipaumbele sana watoto wakushua wengi wamepoteza maisha kwasababu yakupenda pikipiki
@Thekidsknowledger
@Thekidsknowledger 3 ай бұрын
Miundo mbinu ya inchi yetu si rafiki take care cute🎉
@abdulrahiymkhaify2078
@abdulrahiymkhaify2078 11 ай бұрын
Hongera yakee
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 Жыл бұрын
I saw this lady barabara ya Victoria/bagamoyo road, ni rider mzuri wa pikipiki na anautulivu barabarani
@vumbakingvumbaking9571
@vumbakingvumbaking9571 Жыл бұрын
Please tuna kupenda USI karibu kusafiri mikoani na bike maana bara bara ya Moro kuna madereva Wana wazimu haswa wa ma Basi hawanaga akili vizuri tusije kuku poteza chonde
@jomba6514
@jomba6514 Жыл бұрын
Dada wa nguvu hongera sana
@Mbogo.E
@Mbogo.E 6 ай бұрын
Hongera
@gloriasitta9102
@gloriasitta9102 Жыл бұрын
I miss you baby sis, hongera saana❤
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Жыл бұрын
Mimi mwanamke hapo tanzania kuendesha gari safari ya mbali siwezi hata kuwaza, usalama barabarani ni mbovu na ukiwa mwanamke ndo kabisaa, hongera kwa ujasili wako.
@herimagenge
@herimagenge 7 ай бұрын
wuuuuuuuuhhh, cc600, 4piston ni fire, ningekua na hiii ningefanya cross country
@FathmaIbrahim-pj7es
@FathmaIbrahim-pj7es Жыл бұрын
Go girll🎉🎉🎉
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w Жыл бұрын
Me mwenyewe chizi Mapikipiki kama yale YAMAHA umbo la dondola nayaelewa sana.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Naogopa siku moja kusikia yule dada anae chezea pikipiki amefariki kkwa ajali kama kijana wa arusha😢😢 fanya kama usafiri usifanye michezo
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Yaani michezo ya hatari tukiongea kuna bàadhi ya watu wanakwambia umesikia kuna siku niliongea kuhusu yule kijana wa Arusha mmoja alisema huyu jamaa mtaalamu tunuombea Mwenyeez Mungu amnusuru na ajali ila awe makin barabaran
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Habari ndo hio anatafuta kutolewa kafara
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 sie tumetoa ushauri tu na tunapotoa ushauri kuna bàadhi ya watu wanacomment hayo ni maisha yake hayawahusu yakitokea wao ndio wakwanza ameyataka
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Nimewaza jamani hivyo hivyo 😨
@DangoteNgote-d1p
@DangoteNgote-d1p 9 ай бұрын
Noma dream iyo
@SadaSada-oc8bi
@SadaSada-oc8bi Жыл бұрын
Safi sana
@yassirgiya6743
@yassirgiya6743 Жыл бұрын
Sijaona unyama wake ata mmoja
@JonathanLyimo-gs6zv
@JonathanLyimo-gs6zv Жыл бұрын
Karibu sana katika chama la bike the Rider
@directorsagumo
@directorsagumo Жыл бұрын
sasa kwa michezo gan ya hatar apo?
@Ayoon_Furniture
@Ayoon_Furniture Жыл бұрын
I am proud of you girl
@salitosofo5561
@salitosofo5561 Жыл бұрын
BMW zanzibar zipo nyingi
@masakakambesha4521
@masakakambesha4521 Жыл бұрын
Kuna dada mmoja wa kiarabu yupo Shinyanga asee wanaenda sambamba na huyu watafutane waungane
@rajabmohammed234
@rajabmohammed234 Жыл бұрын
Ma-shaa-llah💕
@mussamussa3006
@mussamussa3006 Жыл бұрын
Arusha wapo mbona wengi tu
@leejems142
@leejems142 Жыл бұрын
Nifanyie mpang nimuoe uy nna shid na namb yak
@joshxrv7503
@joshxrv7503 Жыл бұрын
Unyama🔥🔥🔥
@experienceafrica6905
@experienceafrica6905 Жыл бұрын
Hongera sana dada, BMW RS 1000 zipo mbili hapa Bukoba, 25 mil per each
@ototek8037
@ototek8037 Жыл бұрын
Hiv mail 25 sawa na kilomita ngapi? 250 au? Mbona kama hesebu nshazisahau! duh, nsaidie ndugu yangu..maisha sio poa!.
@ramadhanijuma4130
@ramadhanijuma4130 Жыл бұрын
Mile 25 ni sawa na km 39.5
@ototek8037
@ototek8037 Жыл бұрын
@@ramadhanijuma4130 asante
@brandsmedia4861
@brandsmedia4861 Жыл бұрын
​@@ototek8037huyo alimaanisha milioni 25 kila moja
@alenialex6941
@alenialex6941 Жыл бұрын
Bukoba akuna duka la izi pikipiki kuna za Kwa noshad na mtoto wa Aziz wanaendesha for fun
@adammwaipopo1648
@adammwaipopo1648 Жыл бұрын
Apo bado poa
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 4 ай бұрын
Maryamu wanakuaga na mambo jamani... Kiabinti kangu sijui katakua na kipaji gani
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 Жыл бұрын
Hatumuombei hatariiiii ilaa kikwetu kwetuuu watu nuksi mrembo bhana kutwa ujue km watuuu kila leo wanatoa kafara sasa isije kupita kwako jitu linatoa karafa uko ukanasa wewe my dear ayoooo njooo huku kwa wenzetu my dear kwetuuu ni nomaa uko ukifanya mchezo umechokekewa demmmm shit🤦
@emiryfaida2437
@emiryfaida2437 Жыл бұрын
Yaaani kama unaipenda familia Yako naomba usitafu hiyo sio kazi matokeo yake mabaya sana unawaona madogo wa arusha
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Kwanini? Munapenda kuongelea wenzenu positive sio vizuri
@mackenzie8037
@mackenzie8037 Жыл бұрын
@@asiamerey9081 yes kamuongelea positive 😁, ama ulimaanisha negative??
@hayat0683
@hayat0683 Жыл бұрын
This crazy friend of mine❤😂..proud of u
@ibrahimmalik5425
@ibrahimmalik5425 Жыл бұрын
Instagram anatumia jina gani?
@mackenzie8037
@mackenzie8037 Жыл бұрын
@@ibrahimmalik5425 ammam
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 Жыл бұрын
@hayat0683
@mutamusa7634
@mutamusa7634 Жыл бұрын
Demu mkali❤
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 5 ай бұрын
Michezo yenyewe Iko wapi sasa
@alexchungu6263
@alexchungu6263 Жыл бұрын
Mbona vitu vya kawaida tu, wabongo bhanaa
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 Жыл бұрын
Na we muombe ela mshua ununue 😂 hiyo
@petetjoseph3990
@petetjoseph3990 Жыл бұрын
Noma sana
@edwardouma1630
@edwardouma1630 Жыл бұрын
Nunua Kawasaki Ninja H2R Kama hazipo deresalam njoo hapa Nairobi Kenya ujinunulie
@racerbmkali
@racerbmkali Жыл бұрын
Mbona mm sijaona mchezo hatar
@FathmaIbrahim-pj7es
@FathmaIbrahim-pj7es Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 Жыл бұрын
WIFE MATERIAL NDO HUYU SASA😍😍😍😍😍
@SwahiliTheTraveller
@SwahiliTheTraveller Жыл бұрын
Fungua Account ya KZbin weka Video zako itakupa hela ya Mafuta na ku Travel sehemu tofauti
@salumabdalla4759
@salumabdalla4759 Жыл бұрын
Njoo zanzibar huku utazipata bmw
@hamadally3697
@hamadally3697 Жыл бұрын
Zipo hadi cc1200
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Watoto wakishua - Sisi hawatuambii kitu tukawaelewa !
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Жыл бұрын
😂😂😂
@EddahBure-te7ft
@EddahBure-te7ft Жыл бұрын
Akumbuke tu makaburi yote ni ya mashujaa hakuna kaburi la muoga...
@LiberathaMachibya
@LiberathaMachibya 4 ай бұрын
Iyo pikipiki ni toeo la mwaka Gani??? 2:12
@JudithKimaro-fw6dd
@JudithKimaro-fw6dd Жыл бұрын
Ni kwel unapenda bike mwenyew nilikua napenda Kama we Ila Kuna siku utafika Mahal utaichukia mwenyew nilikua naendesha sana
@rehemaphillingsonmlawa4206
@rehemaphillingsonmlawa4206 Жыл бұрын
Nimefurahi wanawake tunàongezeka waendeshaji pikipiki nami miongoni karibu mkoani.
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 Жыл бұрын
Kitu chochote ukiamua tu unaweza ukafanya kwa kweli
@LiberathaMachibya
@LiberathaMachibya 4 ай бұрын
Iyo pikipiki ni toeo la mwaka Gani???
@KirengaFredreck
@KirengaFredreck Жыл бұрын
Me nimempenda kiukwel
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Iyo michezo sikushauri ni hatari fanya tu biashara ya bike
@2pacFreeStyle96
@2pacFreeStyle96 Жыл бұрын
Mwandish was sctript kazingua, kamwambia aseme alifundshwa na rafik take half baadae anaulizwa we ndo unaweza ukawa mwanamke wa kwanza kwa bongo kufanya hivo anajibu yah
@isackmrope1231
@isackmrope1231 Жыл бұрын
Ana kipini, Kwanza tuanzie hapo.
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 Жыл бұрын
Mi hapana
@ShijaMdee
@ShijaMdee Жыл бұрын
Ila pikipki Haina umaarufu kumbuka mwili bodi tafuta kazi ingine ya kufanya sio dili
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Yaaaaan akuna kitu naogopa kama usafili huu pikipiki nimeshashuudia mtu alivyo mwaga ubongo.hapo dar es salaam aise toka hapo kupanda hapana ila kuwa makini angalia wale vijana wa Arusha huu mwkaa walivyo pata ajali au mmoja wa hapo dar es salama junior kuwa makin
@imaniplumbingwaterpointdar1378
@imaniplumbingwaterpointdar1378 Жыл бұрын
Kaka mm mwenyewe naendesha bike mpk Rwanda usifananishe Boda Boda na mtu anaendesha bike kubwa huwa tunajielewa sana
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
@@imaniplumbingwaterpointdar1378 inshallah kaka yangu basi kuwa makin na icho chombo cha moto Maana madereva WAaroli Akili za zao wanazijua wenyewe aise ohk
@queenpius
@queenpius Жыл бұрын
Weeeh huyu tunaweza ishi😅
@africanwildcatsexpeditions9862
@africanwildcatsexpeditions9862 Жыл бұрын
Hawa watoto wakishua wasituchangie habari
@lucasthomas188
@lucasthomas188 Жыл бұрын
😅😅😅
@athumanfuko199
@athumanfuko199 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂❤
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Жыл бұрын
Jaman 🤣🤣🤣🙌
@justinlyimo9863
@justinlyimo9863 Жыл бұрын
Aje chuga rara!! kama ugomv
@kendkendrick775
@kendkendrick775 Жыл бұрын
Hi Pikpik ni shingap jamn
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 Жыл бұрын
Duuh napenda sana bike sana sana ila ndio hivyo tena nazitamani hasa hyo mikubwa
@chamimdesa148
@chamimdesa148 Жыл бұрын
Kuna wadada wanaendesha bike balaa, wanabeba mizigo acha kabisa
@mnyangabejowrlicecy1747
@mnyangabejowrlicecy1747 Жыл бұрын
Huyo ndiyo mnamshangaa nendeni Tabora Arusha wapo wengi Sana Hadi wanachora
@رقيهالخصيبي
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Wanachora ila chombo cha moto sio cha kuchezea wengi walimpa sifa vijana kama yule waarusha walisema mtaalam wa kuchora
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Ndugu yangu sio kama tunashaangaa angalia matukio ya ajali yalivyo tokea huu mwaka kuhusu hiz pikipiki mhhh kikubwa awe makin
@ommymsagati8342
@ommymsagati8342 Жыл бұрын
𝐔𝐍𝐘𝐀𝐌𝐀 𝐍𝐈 𝐌𝐖𝐈𝐍𝐆𝐈 𝐃𝐀𝐃𝐀
@tabithadaniel7364
@tabithadaniel7364 Жыл бұрын
Mbona kawaida tu jamani
@therealkingo
@therealkingo 7 ай бұрын
Ahsanteh 😢 TZ tuma Talent kibao sasa sijuh wanaangalia Matako 😢😢😢
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Mambo ya safari za mbali acha kabisa mazingira ya bongo sio rafiki kwa huo usafiri, na hiyo bmw acha nayo, nina experience ya bike na gari nimesettle kwenye gari
@mxofmfk8406
@mxofmfk8406 Жыл бұрын
How mazingira sio rafiki? Lotta people riding those super/Trip bikes kwenda mkoa bila tatizo
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
@@mxofmfk8406 mazingira sio rafiki hata kwa gari tu, mara kibao nakutana na mashimo katika ya lami, hizo pikipiki unazosema miaka zaidi ya mitano sijamuona mtu anasafiri njiani na hizo, pikipiki ninazoziona ni za wanakijiji tu mizunguko yao ya hapa na pale, zaidi ya hapo naonaga ma prado, marange na ma Ford ranger watu wanapepea ujinga huu sijaona
@lazarokitwika2432
@lazarokitwika2432 Жыл бұрын
Ni mipango ya mungu mi mwenyew naenda na bike morogoro mara nyingi
@praisegodtv4988
@praisegodtv4988 Жыл бұрын
Kwako yaweza kuwa hatar lakn kwa mwnye hobby/mahaba nayo c hatar hata kdgo
@youngrich8560
@youngrich8560 Жыл бұрын
Kabsa anakalbisha kifo
@hijarashidi8718
@hijarashidi8718 Жыл бұрын
Anajitaidi sema apo kunamakosa kidogo kwenye uendeshaji
@othumanimberwa2747
@othumanimberwa2747 Жыл бұрын
Mwambie aende cfo vingunguti ataipata bmw motorcycle
@maistorydavies1246
@maistorydavies1246 Жыл бұрын
Aliwahi kunipita pale kinondoni alipita mwendokasi haloo speed yake sio ndogo
@BABAYIGITI
@BABAYIGITI 7 ай бұрын
Acheni upuuzi kuna mchezo gani hatari,,,,,,, njooo chuga uone show utakimbia😂😂😂
@shanifesto9037
@shanifesto9037 Жыл бұрын
Huyu atakuwa wa arusha ,,ameloa tu dar ama mzee wake ni mtu wa chuga huwezi tuambia ni WA dar uongo,🤣🤣🙏chuga moja
@stn4873
@stn4873 Жыл бұрын
Oyaaaa weeeee nakubaaaaliiiii
@josephdionizy2868
@josephdionizy2868 Жыл бұрын
Hamma ua rusha hapo
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Жыл бұрын
Huu mchezo sio Ushaur wangu tafta kaz
@dvosokoloo2948
@dvosokoloo2948 Жыл бұрын
Ahaaa yuko kama yule Neema wa chuga anayesukuma Subaru asee sio powa 😅😅😅😅
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
MICHEZO GANI,,MNAMALIZA BANDO ZA WATU,,HIYO MICHEZO ME SIJAIONA CLIP NZIMA
@godblesskamnde6671
@godblesskamnde6671 Жыл бұрын
Nimetafuta mwenyewe cjaona
@twotimes503
@twotimes503 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 Жыл бұрын
Angalia 12:42 utaonaa😂
@eddypol7090
@eddypol7090 Жыл бұрын
Rip in advance
@KulwaMbeko
@KulwaMbeko Жыл бұрын
Wakixhua uyuuu
@sultanjames9395
@sultanjames9395 Жыл бұрын
🥰🥰
@geraldmasuma7810
@geraldmasuma7810 Жыл бұрын
Bike model gani hyo anayotumia? Zinapatikana bongo?
@andrewlutego5018
@andrewlutego5018 Жыл бұрын
Cbr hzo zinapatikakana kwa mwingira motorcyle
@huseinmoto5026
@huseinmoto5026 11 ай бұрын
Bongo zipo Mpaka 1250cc sio to 1000cc dada labda hela yako haitoshi baki humo kwenye cbr 600cc labda ndo hela yako inatosha huko😂😂
@iambaizo
@iambaizo Жыл бұрын
Diploma ya pili ya biashara ndo ipi?mwenye uelewa anieleweshe
@emmylaurent-bf7mh
@emmylaurent-bf7mh Жыл бұрын
Hatufanyi kazi tunazozipenda ila unaanglia location husika watu hao wanataka nini
@MyMohd12
@MyMohd12 Жыл бұрын
Hajanyanyua tairi hta maramoja shenz kanimalizia mb zangu bure
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu
@AmusedAstronomicalModel-lq3yu 7 ай бұрын
Bariadi asilimia kubwa ya wanawake wanamiliki pikipiki na wanaendesha wenyewe. Kwanini huyu aonekane ajabu?
@omarymuya142
@omarymuya142 Жыл бұрын
Minampaongela uyodada sasapikipiki aichagui mwanamke wala mwanaume minampaongela sana uyo
@RasheedyKingsley
@RasheedyKingsley Жыл бұрын
mmh! Eti Pikipiki kanunua 10Milion
@queenandchill91
@queenandchill91 Жыл бұрын
Hutaki au?
@christaoman8890
@christaoman8890 Жыл бұрын
Wanaume .ndevu zao zinawauwa hizo pikipiki sembuse ww tafuta shughuli nyingine ufanye isijitafutie kifo kwa pesa zako
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Subhanallah maneno gani hayo
@naghemsuya5218
@naghemsuya5218 Жыл бұрын
Gud mrembo
@wazirally1791
@wazirally1791 9 ай бұрын
Milad au yule dogo mwengine mtuambie mmekula hyu dada?? nyie mmeona maajabu gan ya hatari hapa?
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 Жыл бұрын
BMW Bongo zipo kibao, ila ndo hivyo pkpk sio salama sana, Bike imenilaza ICU siku 5 kupona ilikuwa majaliwa ya Mungu, tafuta kitu kingine mama achana na bike
@othumanimberwa2747
@othumanimberwa2747 Жыл бұрын
BMW bongo hamna huyu muoga
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 12 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
MARIAM MAPIKIPIKI ANAVYOITESA MITAA YA DSM
6:09
Gangana Info Channel
Рет қаралды 675
ZAIYLISSA ATARAJIA MTOTO NA MANARA. @iptvTZ
1:43
IP TV
Рет қаралды 283
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 179 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН