NDANI YA CHUMBA CHA MAHAKAMA, MEYA JACOB NA MAWAKILI “KOSA LA JINAI”

  Рет қаралды 10,592

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 29
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 5 сағат бұрын
Mbona yule afande haonekani mpaka Leo,mnaonea Sana wapinzani,kwakuwasingizia,yanamwisho.
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 5 сағат бұрын
Kaka letu la nguvu boni utashinda mungu yupo nawe muda wote
@DataRahisi-ob7ft
@DataRahisi-ob7ft 6 сағат бұрын
Kama kesi zote Tanzania zingekuwa hivi hakika tungekuwa na mfumo mzuri sana wa kisheria. Mtu amekamatwa jana na leo chap mahakamani ili mambo yaishe chap. Sio mtu anashikwa 2024 anakua mahabusu miaka 12 au kesi yake haisikilizwi kwa wakati na ikisikilizwa tarehe zinarushwa siku mpaka 40 mbele huku anaozea tu gerezani.
@johnmike6059
@johnmike6059 4 сағат бұрын
Sasa jiulize wale walio baka wameishia wapi kisa ni wenzao
@EliaHiluka
@EliaHiluka 5 сағат бұрын
Police 🚓 waache kuwatisha wananchi mbona makada wa ccm hawapandishi mahakamani mbona wauaji hawakamatwi
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 6 сағат бұрын
ataje na yule afande ili mambo yawe matamu.
@ZuliaOmmy
@ZuliaOmmy 5 сағат бұрын
Mi Naumia ila Sina jinsi Hakika Hii nchi Unaweza vaa bomu
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 4 сағат бұрын
Pole Kaka najuwa hapo hawakosi la kukubambiakiaaaa
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 2 сағат бұрын
mungu akipambanie broo wetu jacob wapinzani oyeeee na nyie mapolice hatuna imani na nyie mnzaingua
@faridiathumani3114
@faridiathumani3114 3 сағат бұрын
Wote tucomment mafwele mtekaji na muuaji kama mlivokuwa mnacomment ila harmonize
@petroyohana1126
@petroyohana1126 5 сағат бұрын
Afande alietuma wafiraji yuko huru, viongozi endeleeni kumchokoza mungu
@salama1113
@salama1113 6 сағат бұрын
Muamini mungu utavuka salama inshaallah
@KaizaMfuse
@KaizaMfuse 6 сағат бұрын
Watekaji tutawajua tu
@joshuaedward275
@joshuaedward275 32 минут бұрын
Wanamuondoa kwenye maandamano ya Tarehe 23.....huyo jamaa ni kiungo mchezeshaji....anaweza kuandamana peke yake. ....very bold ...ni Jasiri Hana Woga kabisa....
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 5 сағат бұрын
Wasi.wasi.wangu sio hiki ninachokiona miaka hii 15 iliyopita ila naogopa Aina ya viongozi tutakao kua nao 20 25 or 30 years to come watakua viongozi wa aina gani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo..😂😂
@boxdad
@boxdad 6 сағат бұрын
Ila ik kirais maku
@RehemaMtono
@RehemaMtono 5 сағат бұрын
Watekaji hamuwakamati
@SaidiIduri
@SaidiIduri 3 сағат бұрын
Nataman na mm ningekuwa na confidence km ya huyu jamaa licha kuwa ndan ya mahakama
@lucasathanas9554
@lucasathanas9554 4 сағат бұрын
mm naona haikuwa na haja ya kumkamata wangemkamata mafwele afu mashahidi waje wadhibitishe basiiiiij mafwele atumikie adhabu yake na hata maandamano yangekoma sasa mtu kaua hatafutwi ila mtu kaasaidia police kutafuta tu wauaji kakamatwa 😂😂😂😂
@TembaLeonce
@TembaLeonce 6 сағат бұрын
wakwanza mimi
@BarakaOchuu
@BarakaOchuu 5 сағат бұрын
Kataa wahuni
@SmithJacob-f2r
@SmithJacob-f2r 5 сағат бұрын
Mtu alituma watu wakamubaka na kumlawiti binti mdgo hajafanywa kitu alikuwa ana bembelezwa kwenda mahakamani baada ya sku Leo huyu ndgu yetu mhuuuu hapo upelelezi umeisha kamilika tayari kaishafikishwa mahakamin dah😅😅😅😅😅
@lifardKombolela
@lifardKombolela Сағат бұрын
cc watanzania tunaendelea kushukuru kwani huu unyanyasaji unamwisho namwnzo waselikari zalimu kushindwa ndo huu katakamata na mau?????? cc turawashindia kwenye sanduku lakuka
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 5 сағат бұрын
Hivi kutuma vijana wako kwenda kufira mande si jinai?
@EmmanuelChrispin-bo5xh
@EmmanuelChrispin-bo5xh 6 сағат бұрын
Ilahawaja wa sirikali hv wanakwenda kusalikamaigizo tu maana hawana aibu kabisa anapiga michongo ya sukari yukozake mbezi anakula upope wa bahari
@faridiathumani3114
@faridiathumani3114 3 сағат бұрын
Mafwele muuaji na mtekaji
@SamiaMbada
@SamiaMbada 5 сағат бұрын
Hawa watu wanataka kutuletea vurugu hapa nnchini kamata wote fungia ndani kagfuga ndevu kama jambaxi sugu sukuma ndani uchu wa madaraka hii nnchi haitolewi kwa makaratas tukumieni na hiyo🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 2 сағат бұрын
we n senge na utafungwa ww hu mwezi nakutabiria malaya ww
@lifardKombolela
@lifardKombolela Сағат бұрын
kuma nyie ote mnaejipendekeza kwa ccm chama cha zuruma
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 72 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 113 МЛН
RSS ഉം ADGP ഉം!''ഗം'  | #GUM | 13 September 2024
19:57
asianetnews
Рет қаралды 251 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 549 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 72 МЛН