WAKILI KIBATALA AELEZA MASHTAKA YA BONIFACE JACOB, ANYIMWA DHAMANA

  Рет қаралды 67,747

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 199
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam Ай бұрын
Huwa Mungu husimama upande wa wenye haki daima, kumbukeni maisha yetu ni ya kupita tu hapa duniani, haijalishi wewe una cheo Gani na unafanya kazi Gani, Mwogopeni Mungu.
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Ай бұрын
Amina
@EliaHiluka
@EliaHiluka Ай бұрын
Hongera sana kibatara pamoja na timu yenu Mungu awabariki watanzania tunawaombea dhidi ya ubabe huu wa sheria
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Poleni Sana wanachadema wote Mungu wetu yupo atajibu
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 Ай бұрын
Hongera Sana Tena wakili msomi sio msomi Tu mtetezi kama wewe upo tunarizika sana
@ferdinandikubila3669
@ferdinandikubila3669 Ай бұрын
Asanteni sana mawakili wetu wa Chama chetu kwa weledi huo mkubwa mlio nao na Mungu awasaidie ktk majukumu yenu.
@IvanKambindu
@IvanKambindu Ай бұрын
Namkubali sana Brother Boniface Jacob
@DataRahisi-ob7ft
@DataRahisi-ob7ft Ай бұрын
Mawakili makini sana. Kazi njema sana Kibatala
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 Ай бұрын
Kazi nzuri mawakili wasomi
@deuskamugisha3627
@deuskamugisha3627 Ай бұрын
Najisikia Raha sana kukuona wakili kibatala
@KumbushoMbanga-hf3wx
@KumbushoMbanga-hf3wx Ай бұрын
Poleni kwa yote wanaharakati munguyupo
@godwinshoo5032
@godwinshoo5032 Ай бұрын
Kweli ni wanaharakati siyo wanasiasa!
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e Ай бұрын
AMEN, MUNGU YUPO!!
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 Ай бұрын
Kwanza tunakuamini Kibatala nyie sio watu wa utani MUNGU AWE Pamoja Nanyi DAIMA hongera Sana asilimia mia moja ushindi kwenu
@JustineWangi-j2t
@JustineWangi-j2t Ай бұрын
Wakili msomi hongera mkuu kwa kazi nzr.
@BungeyiSaiboku
@BungeyiSaiboku Ай бұрын
Hongereni sana wakili wetu
@andrewmagwila1602
@andrewmagwila1602 Ай бұрын
Mungu anaona kila tukio na kila chozi akikasirika Mungu hatasalia mtu
@samwelandrew3852
@samwelandrew3852 Ай бұрын
Oh
@josephkessy36
@josephkessy36 Ай бұрын
Big up Bro Kibatala.. nimefurahi sana unavyojiamini. Umepumzika sana yaani.. safi sana
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 Ай бұрын
Ongeleni Sana mawakili wetu mungu awabaliki Sana
@dkalbertoanyasime9357
@dkalbertoanyasime9357 Ай бұрын
Tunakuamin Kibatara
@mosesgasana7109
@mosesgasana7109 Ай бұрын
Navutiwa na chuo kikuu Mzumbe baada ya kusikia kuwa PKibatala na HBashe ni zao la chuo hicho. Wote wanazitendea haki fani zao👍👏
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Ukuu wa Mungu ukajidhiilishe🙏🤲
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un Ай бұрын
Hao askari wanataka kukutoweni ktk point ya tarehe 23
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 Ай бұрын
HIZO ACCOUNT HATAKI KUWEKA WAZI AU ZINAUTEKAJI MIPANGO YAO KAMA MSAFI KWA NINI ANAGOMA KUTOWA PASWORD??
@SaidHassan-ot3un
@SaidHassan-ot3un Ай бұрын
@@abdillahiabdallah438 kila mtu ana mambo ambayo ni siri yake,kama ulivyo ww na hao maaskar pia wana siri zao ambazo hawako teyar kuzitoa.Iv i ww utakubali nikwambie nataka niingie chumbani mwako unamolala na mke wako utakubali?
@HijaxZone
@HijaxZone Ай бұрын
Nyie Mungu yupo tena yupo kweli fanyeni utafiti mtaamini ninacho sema na mtauona ukubwa wake.
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 Ай бұрын
Aaah wakil Ina maana kwel humfahamu ndugu mafwele😊
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Ай бұрын
Wakili anaweza akakuuliza unaitwa nani ili hali anakujua vizuri na ameshika cheti chako cha kuzaliwa mkononi...
@bakariisack5537
@bakariisack5537 Ай бұрын
Nimeipenda sana!!!!
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Ай бұрын
GOD is control, binadamu anapanga Mungu anakamilisha
@KashingoMollel
@KashingoMollel Ай бұрын
God bless you kibatala
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Allahumma Aamiin hao ccm sawasawa na nyoka Hasbunallah Waniimal Wakiil
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 Ай бұрын
Tunakuombea kwa sala zote mungu yu pamoja nawe kaka
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 Ай бұрын
Viongozi wetu walindwe sana hasa usiku huuuu
@CosmasErnest-i3t
@CosmasErnest-i3t Ай бұрын
Mungu tusaidie
@cleofasladislaus2177
@cleofasladislaus2177 Ай бұрын
Mzeee KIBATALA mkandaji 🎉🎉🎉🎉
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka Ай бұрын
✌️✌️✌️✌️
@aciphiweobethkinsindi2932
@aciphiweobethkinsindi2932 Ай бұрын
Binafsi nakukubali Sana mzee wa PGO 😂😂
@flavianmushi
@flavianmushi Ай бұрын
Jamaaa Akili nyingi sanaaa
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo Ай бұрын
Waoooo! Wakili kibatala nilimis Sana kukusikia. Nilikupenda Sana tangu kwenye kes ya mbowe yaburuze tena tena haya mambwa yanatusumbua sana
@AthumanDauda
@AthumanDauda Ай бұрын
Police watanzania wameamukufanya kz ya izrahri dah 😭😭😭😭
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Exactly ovyo tena ovyo kama uharo unonuka
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Exactly
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Yaani hawa ni wakati wa kushikamana
@EmmanuelMpali
@EmmanuelMpali Ай бұрын
Kweli tumwombe mungu sana maana nchi inakoelekea sko
@raphaelmacha1173
@raphaelmacha1173 Ай бұрын
Hii yote ni uwoga wa watawala wameshaingia upepo wameshindwa kutoa maelezo ndugu zetu na watoto wanaopotea wako wapi tutajua tu panapovuja ni wapi wako wapi akina Hitler na wengine waliouwa watu ili wao waongoze. Ni hivi ufalme unaoanguka lazima iwe na dalili hizi mnakwenda kufa kifo cha mende.
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Tunawaombea dua kila siku ndani ya nyoyo zetu Allah awazidishie nguvu busara hekima na ulinzi kutoka kwakwe
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Exactly chinja chinja kasema na furaha khasa Samia muogope MMungu wewe khiyari yako
@geraldabel8784
@geraldabel8784 Ай бұрын
nimemiss kibatala sana
@EmmanuelSimion-d3e
@EmmanuelSimion-d3e Ай бұрын
Kibatara na wengine kama wwe MUNGU awape LONG LIFE!!!
@AbasiKiata
@AbasiKiata Ай бұрын
Kibatala kichwa sanaaaa
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub Ай бұрын
Haya ma ccm hovyo kabisa badala yahangaike na matatizo ya wananchi yanahangaika na upuuzi tu
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Wamemuona Jacob hayumbi
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Sala zetu dua zetu na leo siku ya Ijumaa Allah atutaqabalie Allahumma Aamiin
@w4058
@w4058 Ай бұрын
Kwasababu wao CCM wanapenda kuwalaghai ndio maana image yao
@sokastreet
@sokastreet Ай бұрын
Nmekuelewa hapo mwisho kibatala hao maRCO ni wa nchi gani waliotajwa 😅
@khadijaismail2000
@khadijaismail2000 Ай бұрын
Viva peoples power
@gililwise
@gililwise Ай бұрын
Asante wakili msomi
@munyawerasosthene7548
@munyawerasosthene7548 Ай бұрын
Msomi Somamia Boniface Vzuri Tukaminia Na Mkono Wa Mungu Uwe Nanyie Lakini No Ukweri Polisi Wanaua Watu 100/100
@NeemaKimambo-l6g
@NeemaKimambo-l6g Ай бұрын
Da!!! jamani huu sio utamaduni wetu
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat Ай бұрын
Elimu bado tunahitaji katika taasisi zetu
@nickodemsimchimba594
@nickodemsimchimba594 Ай бұрын
Kiukweli ukijua sheria alafu ukawa mjanja mjanja unakua umeula, KIBATALA anasema kwanza huyu Mwafele sijui ndio nani 😂😂😂😂😂😂 kisheria hajatajwa majina yote
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 Ай бұрын
Nchi yakijinga sana tz wa tized km ndio hivohivo mnafanyiwa na viongozi wenyu waserekali
@EmanuelPallangyo-n4q
@EmanuelPallangyo-n4q Ай бұрын
Jipangeni viongozi wa chadema ndo safari kubambikiwa makesi imeanza.Ila mungu anaechukizwa kumwaga damu atawapigania.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Ай бұрын
Mapolisi na Mahakama za TANGANYIKA lazima zifuate sheria na zitende HAKI.
@samwelclement8108
@samwelclement8108 Ай бұрын
Hunakuelewa. Wakil. Kibatala. Ulimwokoa. Mboe. Kwenye .kesi ya ugaid
@ChainesBoufee
@ChainesBoufee Ай бұрын
Khutba ya mama bdo inaendelea kufnya kazi sas tutaona meus na meupe ..
@HansHans-ye6gn
@HansHans-ye6gn Ай бұрын
Daa huu ni wakati wa wananchi kujifunza tena ya mahakamani,zamu hii ni yuleyule kibatala tena.mambo ya PGO tulishayajua ,sasa sijui itakua zamu ya nini,yetu masikio.
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh Ай бұрын
Jamani masanduku ya kura si yataamua shida nin ccm
@MpitamumoHamisi
@MpitamumoHamisi Ай бұрын
Hiv askari police huwa akili zao wote ni kama robot? Maana wanaofanya mambo ya hovyo 2, Ila chama tawala hawakamatwi. Lkn pia kuna wa2 wanamsifu Samia Suluhu kuwa anaupiga mwingi. Which is which!!
@peteraleck6962
@peteraleck6962 Ай бұрын
Hao Ni form 4 failure, unategemea nn hapo
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Ай бұрын
Ya mengi kama hajafa kwa Ajali watekaji wallahy tumeumia
@MussasamliMawazo
@MussasamliMawazo Ай бұрын
Kibatala.kumbuka wewe ni wakili mkubwa sana itapokea kila kinachokuja mbele yako leo kesi ya binti yombo umefunikwa
@mtanganyika-e2b
@mtanganyika-e2b Ай бұрын
Mambo gani yanafanyika kiushamba na mapolisi wa Tanzania
@AnoldDenis
@AnoldDenis Ай бұрын
Tuwe wamoja watanzania
@LoisoloiTailek
@LoisoloiTailek Ай бұрын
Siku hizi hakuna kifo kinachotokana na Mungu binadamu siku hizi ndo wanaondondoa roho za watu😭😭kikubwa tusubiri tuu kiama
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Angalau kaonekana na ameletwa Mahakamani.. Maaana dahhh
@SylvesterKameo
@SylvesterKameo Ай бұрын
Hivi mtu akitishiwa maisha yake suluhu yake ni kumweka mahabusu?
@TeamKRX
@TeamKRX Ай бұрын
Ccm wanataka kujionesha uchaguzi karibu vituperative Wauwatosa Ccm wakibwa mbona hawakumkamata Yule Alosema yeye ndie chinja chinja Ccm hujaskia hii nchi kushikwa Ila Mungu yupo
@johnsamuel7298
@johnsamuel7298 Ай бұрын
Nchi ni ya kwetu sote, sio vema watu kutoheshimu Sheria, Taratibu na Kanuni kwa mgongo wa jambo lolote lile, liwe la kisiasa, dini, au Kijamii. Watanzania hatuna mbadala wa nchi yetu. Tuitunze Amani yetu kwa akili, nguvu na maarifa yote.
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 Ай бұрын
Why serikali ikishindwa hamuifungulii kesi!!??
@pendobruno111
@pendobruno111 Ай бұрын
Teseni watu tupo duniani na mna watoto wenu nanyi siku moja watateswa hivyo hivyo
@Omarymgaywa
@Omarymgaywa Ай бұрын
Mmmh kwani uongo kua hajachapisha taarifa hizo ambazo anashtakiwa nazo( Shida ni chadema kuna kitu kikubwa Cha Siri ndani yenu) Mungu atuepushe na shari na fitna zenu katika kuleta vita katika Taifa letu. Kwanini asitoe password za simu yake??
@ThomasiMatoke-hm3dr
@ThomasiMatoke-hm3dr Ай бұрын
Huyo mafwele ajitoke mahakani muuaji mkubwa yy atakwenda wp mungu ni huyu mmoja ameuwa watu leo boni anasema jwa nn serikali icmuoji huyo muwaji mafwele? mnawalinda watekaji mb
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
SERA YA SACCOOS NI UWONGO NA UDINI NA CHUKI 😢😢😢😢
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Ай бұрын
Kwa nini CCM na CHADEMA kuna jambo halipo sawa, vyote ni vyama vya siasa eh wapi shida.
@AnaniaMmari
@AnaniaMmari Ай бұрын
Mm nawakubali sn
@pendobruno111
@pendobruno111 Ай бұрын
Kila jambo na wakati wake ahadi ya MUNGU itatimia tu siku moja
@migerajacob581
@migerajacob581 Ай бұрын
Serekari onevu, mtu akiongea kweli anakuw Adui,
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Ай бұрын
Utawala wa ASP chini ya Iddi Amini mama samia
@IssaKaminyoge
@IssaKaminyoge Ай бұрын
Mama mama nimama yako kisa umepewa kapikipiki
@pendobruno111
@pendobruno111 Ай бұрын
Haki ipo kwa Mungu duniani hakuna haki kama MUNGU uishivyo usalama wake upo mikononi mwako MUNGU.
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 Ай бұрын
Amina Mungu atamlinda atokapo na aingiapo🙏
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 Ай бұрын
so funny
@kiazikitamu3985
@kiazikitamu3985 Ай бұрын
Kwa nini wasiulize ni familia gani hizo zimemlaumu Mafwele maana Kasikia kutoka kwenye hizo familia hizo familia ziitwe
@veronicanabina3380
@veronicanabina3380 Ай бұрын
Nikimuona kibatala naona haki
@JoelKigobanya
@JoelKigobanya Ай бұрын
Comments zote nimezisoma mtu akipelekwa mahakamani. Si mkosaji Bali ni mtuhumiwa acheni Sheria itumike haki ipatikane hakuna aliye juu ya Sheria,
@nicolausisaya
@nicolausisaya Ай бұрын
samahni wanasheria na mawakili iv polisi anaruhusiwa kumpeleka mtu mahakamani bila kuwa na ushahidi
@ThomasiMatoke-hm3dr
@ThomasiMatoke-hm3dr Ай бұрын
Wasenge hawa wanasimamiwa na huyo mama haki aipotei
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Ай бұрын
Genge hilo
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 Ай бұрын
MUNGU asimamee tuu zidi ya uonevuu
@DogoJanja-l5f
@DogoJanja-l5f Ай бұрын
Nikisikia kibatala ntobesya kidatu , sina shaka na utetezi
@SaidiSelemani-l1n
@SaidiSelemani-l1n Ай бұрын
Saf wakir
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Mwamba sijamuona muda mrefu, piga kazi ni 18 zako hizi Mungu yuko upande wetu nani yuko juu yetu?
@promisetenson7258
@promisetenson7258 Ай бұрын
Mawakili wasomi kabisa peperusheni bendera hiyo polisi hamna kitu kila siku wana kurupuka na kuambulia aibu mahakamani
@happymushi4493
@happymushi4493 Ай бұрын
Sasa zile shahidi debe zije jamaniiiiì
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Ай бұрын
Mbowe msanii sana
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Mithali 29:2b.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Ай бұрын
Hivi vitu tuvikemee wadamu tu na visasi kuna siku visasi vitalipwa
@AnoldDenis
@AnoldDenis Ай бұрын
Maandamano yapo palepale
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Ай бұрын
Dadalaya kuwatafuta wabaji, watekaji, wauaji , wahujumu, mafisadi wameamua kuikabili Chademana viongozi wa chadema. Wanataka kumtoa reli kwenye uchaguzi. Aibu kwa wahusika wote.
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Hi serekali inaongozwa na mtoto wa shetani
@MbendaHalfan
@MbendaHalfan Ай бұрын
Hapa kuna kitu kimejificha mwambie atoe simu
@TumainieliMamuya
@TumainieliMamuya Ай бұрын
Unyanyasaj huu
小路飞还不知道他把路飞给擦没有了 #路飞#海贼王
00:32
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 73 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 133 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 194 МЛН
Scent of Trouble: Raila’s Power Play To Destroy Ruto
21:03
Herman Manyora
Рет қаралды 25 М.
NILIONA RAISI  WA TANZANIA AKIPINDULIWA: PART-2 SANAMU YA TANZANIA
25:33