Jamani sijui nini kilimkumba Joel.Lakini pamoja na yote,bado ni maombi yangu kwa Mungu amlinde huyo mtoto huko aliko na apatikane akiwa salama.InshAllah!
@muhidinally34603 ай бұрын
Kwa kwely mungu atawale tuu maana hamna anayejua chochote...
@joycekelvin54343 ай бұрын
Amen
@nismaali29823 ай бұрын
Amiin🤲🤲🤲
@TamalyMichael3 ай бұрын
Inauzunisha lakin utakuta hayupo ata huko mliman maan watoto wasiku hizi ningumu kuwaamin utakuta yupo dar kitambo😢
@annajohn1753 ай бұрын
Huyu kijana afuatiliwe sana kuna kitu anafahamu..hawezi kusemaWANAHANGAIKA WHY?KWELI HUJUI MWENZIO ALIPO UNAWAZA MTIHANI ?KQELI KICHAA ANACHEKESHA ASIPIKUA NDUGUYO
@isamony582 ай бұрын
Leo mungu kawaumbuwaaaa kwa uongoo mlio fundishwa joweli kapatikana ataongeya kilakituu
@SalomeMasawe-t4l3 ай бұрын
Poleni wazazi,Mungu awatie nguvu apatikane, ila nawashauri waje Ngome ya Yesu kufanya maombi kwa Kuhani Musa , kimara Temboni. Atapatikana kwa imani. Mungu wetu hashindwi jambo.wengi walipotea wakapatikana.
@pendoW.tarimo2 ай бұрын
Mungu ni mmona dada isipokuwa Imani ndyo kitu kinacholeta mafanikio chanya na cyo Mungu wenu lkn pia siyo mpaka afike kimara tembon Mungu yupo kila sehemu pengine ungemshahuri wakatafute kanisa la kiroho lenye Nguvu za Mungu
@MariaLucas-i8l3 ай бұрын
Huyu mwanafunzi kwa mimi ninavyoona alikua hataki shule maana ukifika form two huwa kuna changamoto sasa naisi kuna mahali yupo.. ila yote kwa yote Mungu amsaidie huko aliko
@ziddyziddy25243 ай бұрын
Mawazo yangu na yako yako sawa kuna sehemu ametowekea ila atarejea tuu
@NtamamiloGibson3 ай бұрын
Yawezekana kabisa inawezekana huo mtoko wa kujifunza ndio fulsa aliipata ya kutimka.
@paulinaobiria96493 ай бұрын
Naamini hivyo
@MwanakomboNassor-bw3by3 ай бұрын
@@ziddyziddy2524 mungu atamsaidia atakuwa salama
@RosemaryMalya3 ай бұрын
Tumefanana mawazo Mungu asaidie apatikane
@BENTLEYB-n4p3 ай бұрын
Ni iv kwa Imani kububwa niliyo nayo huyu kijana yupo tena yupo hai kabsa bila shaka yoyote. Machale yangu hayajawahi kukosea Niko kagera ila niwahaidi kama wazazi wa huyu kijana yupo nimejimuika nanyi wakati wote na kwa kila hatua Kijana yupo nirudie kwa mara nyingine Mtanipa like zangu Muda sio Mrefu
@avitusmichael53 ай бұрын
Piga katerero tu ndugu yangu, haya ni mazito kuliko machale yako ya ndizi
@ProsistaTarimo3 ай бұрын
Hajamezwq nachatu huyu kweli@@avitusmichael5
@janembalinga70743 ай бұрын
@@avitusmichael5😅😅😅😅
@Rajab-Raj3 ай бұрын
@@avitusmichael5😂😂😂😂
@prettynayally21773 ай бұрын
😂😂😂kwann lakini😂😂@@avitusmichael5
@aminamollel35713 ай бұрын
Navaa viatu vya hawa wazazi vinanibana,Mungu mlinde mtoto wetu popote alipo inaumizaaa sana tuzidi kuomba jamani Mungu hajawahi kushindwa
@GetrudaMushi-o7i3 ай бұрын
Mungu amlinde huko aliko , navaa viatu vyenu wazazi havinitoshi, Mungu azidi kuwatia nguvu naamini hakuna linaloshindikana mbele zake
@lilianwaflotina12883 ай бұрын
Huyu atapatikana tu akiwa mzima angekuwa amefariki wangeukuta mwili naamini ni mzima kwa jina la yesu
@siamuchunguzi3 ай бұрын
Akipatikana tutaujua ukweli sasa hivi mnaweza kutoa hoja zenu tu. Mwenyezi Mungu amlinde huko alipo
@lulus62723 ай бұрын
Hii story wamemlisha huyu mtoto. I wish kama angejua effect ya ushahidi huu anautoa.
@StanleyBarushi3 ай бұрын
Yaani umewaza kama Mimi huyu kapangwa
@HyacintaGugu3 ай бұрын
Wamewapanga@@StanleyBarushi
@JELSONMAUKI3 ай бұрын
@@StanleyBarushi. Naisi
@nurdinmfamau34933 ай бұрын
Msiiseme Hivyo Inategemea. Binafsi Naamini Wanayozungumza Ndio Uhalisia Wamambo Sirahisi Kuongeopa Kwenye Situation kama Hizo.
@SalmanMughal-lq5lt3 ай бұрын
HatamiminaonaHuyu niMuongo huyu alikuwa wapi kusema sikuzoote hizo kwanini wasi mfunge kaumba kama walimuona Anawewesekweweseka kwanini hamkumfunga kamba
@MumyGifty-rs7yx3 ай бұрын
Wamefundishwa wanafunzi kusema hayo maneno maana,anababaika sana huyu mtoto 😊
@SamiaMbada3 ай бұрын
Mungu wewe sio muhitaji bali sisi tunajitaji kutoka kwako mrejeshe mtoto huyu wazazi wake hawalali fanya miujiza Yako kwako hakuna gum
@joycemashikolo90963 ай бұрын
Joel yupo hai tu mambo ya makuzi yanamsumbua umri huo ni shida wanafunzi wenzie wamesema ukweli alikusudia kutoroka yupo sehemu anaogopa kurudi
@getrudasanga94692 ай бұрын
Ku assume huku haya alikua Bado mlimani
@MariamShaban-n6o3 ай бұрын
Asanteni kwa kupangwa wanafunzi
@israelkisaila84013 ай бұрын
Umeona eeeee😢😢😢
@LindaMbilinyi-n3n3 ай бұрын
Hta mm nimeona
@Syikiwaryoba3 ай бұрын
Saahii kabisa Hawa wamepangwa
@HyacintaGugu3 ай бұрын
Wamewapanga mama
@gregorymassawe14413 ай бұрын
Mawazo hasi hayo, Tz kuna shida ya uelewa!
@FatmaAbdala-bu9zl3 ай бұрын
Mungu amsaidie wallah apatikane akiwa salama😊
@Jacklinejohn73 ай бұрын
Mbona maongezi tofauti kidogo kwa hawa watoto
@josephineokama22003 ай бұрын
mara amepotea mara amekaa kwenye mlima mara snakimbia woi
@Jacklinejohn73 ай бұрын
@@josephineokama2200 nashangaa kuna namna hapa vitu havieleweki
@Stellastella-yi5vu3 ай бұрын
Joel njoo Mwanangu kama upo sehemu umejificha uhai ni Bora kuliko elimu, niambie kama shule imekua ngumu yanazungunzika wazaz wamelia sana wahurumie basi. Kama unaogopa kurudi home kwenu kajitokeze basi tujue upo .Mungu mlete akiwa hai jamani
@kwayaviwawaparokiayabashne92813 ай бұрын
Amina
@ShoseManjira3 ай бұрын
Kumbuka huko ni porini lazima amepotelea huko sizani kama amekimbia uko porin atakimbilia wap sasa,mungu asaidie tu wanyama wakal jmn
@gemaakaro2353 ай бұрын
Ww mwanafunzi muogope mungu aliye mbinguni hivyo mnaniambia mlimuona mwanangu yupo nyuma ya mti mkubwa mkamuacha pekee ,bila hata kutoa taarifa kwa walimu mliokuwa nao hakika hakika ,sioni,sielewi ,sitambui mnayoongea hapa ,waambieni walimu wanipe mtoto wangu Joel kwenye mti waliomuacha
@unknownbutterfly63103 ай бұрын
Kama wewe ni mzazi/ndugu wa Joel usifuatilie sana hizi habari zitazidi kukuumiza, Funga muombe sana Mungu, atakujibu maombi Mungu ni mwaminifu. Poleni sana
@shakilamasoud29833 ай бұрын
Pole sana, Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi umpate mtoto wako kivyovyote.💔😨
@ceciliamanfred97573 ай бұрын
Pole mama,Mungu awatie nguvu ,tunaomba Mungu amtumze mtoto Joel apatikane akiwa mzima kabisa,Mungu hashindwi chochote
@NtamamiloGibson3 ай бұрын
Kama huyo ni mtoto wako basi wote ni vilaza. Yaani mwanafunzi wa Sekondari eti kwanini mlimuacha kwenye mti. Huyo sio mtoto Mdogo Bwana na akipatikana anatakiwa atandikwe bakora za kutosha.
@ruqaiamohammed3453 ай бұрын
Ht mie nimeshangaa kwann wasiwaambie viongoz wao kuwa Joel hatumuelewi mbona walimuacha tuu ktk huo mti ?😢😢😢mungu amnusuru huko aliko na mabaya yote
Kwa maelezo ya huyu mwanafunzi Isiwe kafanywa msukule tu maana watu wa manyara Kwa misukule mungu amlinde huko alipo
@GetrudarCelestineAmede3 ай бұрын
Mwongo t huyo kijana!! Et alijirudisha nyuma, Mungu mfanyie wepes t Joel aonekane akiwa salama
@aishafrancis77143 ай бұрын
Walimu wamejitahidi kumpanga huyu mwanafunza ila Mungu anawaona,joel popote ulipo kama upo hai jitokeze wazazi wanakulilia muonee huruma mama ako joel.😢😢😢😢
@getrudasanga94692 ай бұрын
Kwakweli
@samkimweri58933 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅asikar anzien hapaaaaaa
@ZuwenaMussa-r1qАй бұрын
Familia ya wazazi pole I sana.
@OmegaJustine3 ай бұрын
Ametoroka vipi wewe ulimhoji kwanini mulimuacha akakimbia na hamkutoa taarifa kwa mwalimu baada ya kumuona amekaa mwenyewe chini ya mti. Umesema mlimuona alikuwa hayupo sawa ana wewesuka hata ongea yake ilikuwa ya kuangalia chini kwanini hamkusema kwa mwalimu
@AhmedSeif-q6u3 ай бұрын
Mmoja chini ya mti mwengine juu ya mti ajikuna anaupupu
@hazinaelmzirai48753 ай бұрын
POINT ASEE
@Zuonist-y3q3 ай бұрын
Vijana wamekaririshwa na wamepishana kwa maelezo
@yusufismail31163 ай бұрын
Kupokea maarifa mapya ni ngumu kwenye ubongo wako.
@AnnaUrio-x1b3 ай бұрын
Wafanye maombi ya nguvu kuna pepo🙏
@angelmalima60913 ай бұрын
Hawa wanafunzi ni waongo sana pia hawana upendo kwa nini hawakumshika mwenzao au kumkabidhi kwa mwalimu huzuni sana Mungu mtetee joel aonekane akiwa salama
@ramadhankhatwib85613 ай бұрын
Huyu mtoto ukisikiliza maelezo alikusudia kutoroka kabisa yani
@ireneshao79503 ай бұрын
Una uhakika na maelekezo unayo yasikia
@sikudhanimohammad76923 ай бұрын
Hata mie nahisi hvyo
@SalmanMughal-lq5lt3 ай бұрын
Syo kweli tumuombe Mungu Aonekane Asibitishe haya maneno wamemuekelea waongo Hawa ushahidi sehem mbili tumsikie namwenyewe ndyo niamini waongo hawa
@darajalakidatukilomgi23622 ай бұрын
Mliwapandikiza watoto maneno ya kuongea mpaka mmechelewesha utafutaji kwa sababu ya maelezo yasiyo sahihi, mmeaninisha kijana kaenda kitaa kwa mambo ya ovyo, mmewakosea sana hawa watoto kwa jitihada zenu za kujisafisha
@SurprisedFlamingoBirds-ed3fh3 ай бұрын
Jmn huo ni ugonjwa waakili ulimpata hata mtoto wangu wagegundua mapema wagemsaidia Mungu amlinde tuu apatikane akiwa salaam
@MumyGifty-rs7yx3 ай бұрын
Pole sana wazazi
@hildajoel53 ай бұрын
Itakua alikua na mipango yake ila chance ndio liipata hapo. Form two nayo ina mambo mengi ujana umechanganya,kila kitu unataka kujaribu,shule unaona inakuchelewesha anyway Mungu amlinde
@masalakulwa76013 ай бұрын
true dat
@PrisilaMlimahadala3 ай бұрын
@@masalakulwa7601sidhani 😢 sababu mtihani wanafanya mwezi ujao kwanini asingesubiri akafanya mtihani akafeli makusud ama wenzie vile wanaondoka angekataa kwenda na angetoroka
@Justinaombay3 ай бұрын
We umelishwa hayo maneno. Kuna kitu mnaficha
@StellahSaid3 ай бұрын
We kijana mungu anakuona!!!umelishwa maneno huko na ww kweli umesemaa 😢😢😢😢
@fidesbernard48353 ай бұрын
Mwenyezi Mungu tunakuomba umlinde kijana wetu apatikane akiwa hai
@YusraSiyaleo-yk2fz3 ай бұрын
Mungu asaidie apatkane wazaz wapo kwenye maumivu makali 😢😢😢😢😢
@stanslausbernard59503 ай бұрын
Huyo mtoto atakuwa amepotea mlimani baada ya kukosea jiografia ya mazingira ya mlima walioupanda. Mlima au pori ni sawa na bahari. Hivyo kupotea ni rahisi sana kwa binadamu asjye na mafunzo maalum ya kutembea maporini.
@yusuphabsaid81513 ай бұрын
Upo sahihi kuna kipindi tulienda porin wenzetu walipotea tuliwatafuta had Giza liliingia na Wai walienda had waktokea Kijiji kingine ndio wakapta mawadiliano aisee
@Zuhuramahadhi3 ай бұрын
Mimi yalishawahi nikutaga,tena usiku,Yani nilipotea tulienda kijijini huko milimani kuzika,uzuri hiyo jografia niliiweza,
@emanuelandedela79013 ай бұрын
Hata Mimi ndoo nachohisi
@novatusabond92533 ай бұрын
Huyu alikua group la kwanza,kajuaje ya group la pili
@likimaro63 ай бұрын
Kwani huwa mna shida ya masikio?
@HAWANassoro-o2j3 ай бұрын
@@likimaro6kwakweli mpka keroo😂😂
@rajah93283 ай бұрын
Ebu sikiliza sana ujasikia vizur uyo mwanafunzi uwatesa wazazi wake ila upo hai
@RajabuMkonje3 ай бұрын
Unamuuliza nani?
@3leggedbird2223 ай бұрын
Acha tu
@FaithPeter-s1j3 ай бұрын
Mmmh bora wangenyamaza waongee akipatikana
@ROZITHOMAS-y4q3 ай бұрын
Inawezekana alikubwa na pepo mchafu
@masalakulwa76013 ай бұрын
hakuna pepo wala nn..ni fool8sh age
@zabubamudy1263 ай бұрын
@@masalakulwa7601kabisa
@SalmanMughal-lq5lt3 ай бұрын
Napepo woote wachafu walikuwa walimuona Yesu wanasema Mwana wamungu na wafuasi wao Mpaka Leo wapo humuita Yesu MwanawaMungu
@justermulengeki69703 ай бұрын
Ee mwenyezi Mungu walinde wazazi wa Joel, na Joel mwenyewe popote alipo akumbuke nyumbani. Amen
@WitnessKimaro-sx3rj3 ай бұрын
Waongo Hawa wamepangwa ni story ya kutengeneza
@Janemuthoni2893 ай бұрын
Ndivyo nimesema haww wamelipwa kusema ndio shule ijitoe kwa kesi,mtoto ajifiche juu ya nn ajawahi potea
@SagulePazi3 ай бұрын
Kweli awa wamepangwa
@melanialeonard40313 ай бұрын
Tunamuomba MUNGU apatikane
@VictoriaCharles-f7x3 ай бұрын
Kwl kbs hata me naona wamempanga
@MaryJackson-q7x3 ай бұрын
Hiv kama sio kupangwa mnamuonaje mwenzen na hali isyo ya kawaida na msiwashrkishe walimu waliokuwepo au kuwa karb naye?ushahid unaponza
@JELSONMAUKI3 ай бұрын
Hawa madogo wameshapiga rehiso ya kutosha sana hapa kilichobaki ni kushuka scene tu😅😅😅😅
@JosephineApporinary-cg5wl3 ай бұрын
Huyu mwanafunzi ningekuwa karibu ningempa ngumi ya uso moja tu Hadi amtaje mwalimu aliyemwekea maneno mdomoni
@getrudasanga94692 ай бұрын
Hawa wanafunzi walipangwa.masikini hii itawala sana maisha yote hawa watoto😢
@AllyNgollo-td6il3 ай бұрын
Alivuta bangi uyo anasumbua watu 😂😂
@Nelly-s3h3 ай бұрын
Nyieeeeeeh hivi mnatuchukuliaje mnaotupa taarifa 😮
@jamilanassor69753 ай бұрын
Allah ajaliye aonekane akiwa hai naafya njema ameen
@remidusmwanandenje-yy5gs3 ай бұрын
😢😢😢 Ee mungu mjlie awe wa afya uko aliko duu😢🙏🙏🙏
@MRPRESIDENT-w4l3 ай бұрын
HUYO Joel Ni MIMI Nimetoroka Shule Siji Ng'oo 🤣
@ifonlyiknew6193 ай бұрын
Kwa Maelezo hata huyu Hajapotea Ila Ameondoka Kwensa Anapopajua..!Tena Kama Vijana wa Form Two Aseeee ni Shidaaaa na Mara Nyingi wazazi Huwa Wengi sababu hawakai Nao Muda mrefu na Wengi Nyumbani wanaficha Tabia ila Ni Pasua Kichwa Sana..Mungu Asaidie Arudi Nyumbani
@leilahshayo15503 ай бұрын
Sitaki hata kuskiza wanasema kitu gani zaid sana tumwombe Mungu Joel apatikane salama hiko ndio kikubwa
@beautywithnay59743 ай бұрын
Nyinyi watoto waongo mmepanga na walimu muongee ivyo sio kweli kusema joeli akae peke yake kila kuwa na shida yoyote Ni uzembe umefanyika Kwa viongozi mlioenda uko ulinzi aukuwa mzuri bwana
@abbassalum68243 ай бұрын
Kwel Elimu haiyongopi watto wanajieleza vzr unawaelewa kbs
@StellaPendaeli3 ай бұрын
Washafundishwa uwongo na walimu,, wapuuzi sana tunataka mtoto apatikane akiwa mzima😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@ZuhuraHamadi-py4cu3 ай бұрын
Ety Joel km kunakitu ametumia,wanataka kutuaminisha nn hawa ,hamna ukweli hapa ....mungu mwema ataipa faraja Familia inshaallah
@sabinamwanjela83863 ай бұрын
Mungu amtunze Joel arudi akiwa hai
@ElizabethFabian-pn8bv3 ай бұрын
Haya kengere hiyo ingieni Darasan
@FidesKimati3 ай бұрын
😂
@isamony583 ай бұрын
Hawa wanafunzi wamefundishwa
@SalmanMughal-lq5lt3 ай бұрын
Kabisa hauwezi kuwa mbele Akajirudisha nyumba labda kama wamemla mwenzao
@AminaAmina-cr8jq3 ай бұрын
We mtoto acha uongo unasema joeli ukimsemesha,hakuaangalii machoni halfu tena unasema ametoroka umepagwa
@Grecyimadabu3 ай бұрын
Kabisa. Wanapangwa
@marthamangasta23413 ай бұрын
Ata mimi nmeona hilo
@masalakulwa76013 ай бұрын
we naye hujaelewa nn hapo
@AsumanMoses3 ай бұрын
Kupangwa ni lazima hapo ni mbele ya camera hiyo ni kess
@rahema19923 ай бұрын
Yan huyu ni muongo kbs
@teddiekwai84243 ай бұрын
Haya maelezo yanatia hasira
@MariamSaid-k6g3 ай бұрын
Mmh tunaomba mungu mtt apatikane jaman
@FatmaHamad-g6s3 ай бұрын
Kulea changamoto sana Mungu tusaidie kuna 1alikamatwa kenya wa kigambini nae atafutwe ninaimani yupo hai
@hassankarume50583 ай бұрын
mbona kama amwpangwa nn cha kuongea,,,,,huko nyuma walimu na jamaa anaeongoza kupanda mlima wamesema wameanza kupanda saa 3 asubuh ,,,huyu dogo nae anasema wameanza kupanda saa1🤔🤔🤔🤔 All in all mm hii ishu naipa Double chance ima dogo katoroka yupo bze na maisha ya mtaan au limemkuta jambo.
@franciscakija17023 ай бұрын
Wamepangwa hawa. Kwa nini wasiongee siku hiyo alopotea au siku ya poli 😭😭😭
@yukundapeter82003 ай бұрын
Eee Mungu Joel popote ulipo ulipo,rudi home,km umejificha sehemu,angalia jinsi 2nav'oteseka japo ha2kufahamu ila 2namlilia Mungu.
@elizabethkalemwa47143 ай бұрын
Mungu mjalie aonekane
@muanashaswaleh51103 ай бұрын
Huyu kijana yaonekana ame tekwa na mashetani ama vipi mungu amlinde uko aliko
@rahmaismaily33583 ай бұрын
Najaribu tu kujiuliza yaan hadi anabaki peke yake anaachwa tu .... Mmmh Mwenyezi Mungu asaidie wadogo na watoto wetu wamalize salama shule.. Wanafunzi ua wanapandikizwa maneno eti alipanga kutoroka.... Hii Kitu uisikie Kwa mtu usiombe ikukute 😢😢nimeumia wallah namuomba Mwenyezi Mungu ampe njia huyo mtoto arudi nyumban Inshaallah 😢😢😢🤲
@mariej69622 ай бұрын
Jiulize, yaani mwalimu amekabidhiwa group anaacha mtoto peke yake, mtoto anawezaje kufanya hayo tunajua shule zina taratibu zake, mtoto hawezi kuamua hayo na kuna walimu ambao ni wasimamizi. Shule iache kuwalisha wanafunzi maneno
@ziadamrisho73203 ай бұрын
Awezi kutoroka kunakitu labda kimempata mmuombee kwa mungu apatikane salama
@viviankihiyo10763 ай бұрын
Basi kama alipanga kutoka,Roho Mtakatifu aseme naye na amkoseshe amani arudi nyumbani, wazazi wanateseka jamani, inauma sana Sanaa tu!
@kadito-music3 ай бұрын
Huyo yupo huku Kenya aliingia jana
@HyacintaGugu3 ай бұрын
Acha utani bwana
@kadito-music3 ай бұрын
@@HyacintaGugu ukweli
@hollymore49043 ай бұрын
mmh!! bora kuwa kimya
@Papie-zp5vv3 ай бұрын
Angekua hataki shule asingefika mlimani angetoroka toka mpo mjini kuelekea mlimani kubalin tuu mtoto amepotea kwenye mazingira ya kutatanisha msitengeneze story
@aminamollel35713 ай бұрын
Natamani mtoto huyu aonekane akiwa hai,Mtoto mzuri popote ulipo naomba urudi wazazi wako wanateseka wahurumie mama na baba yako na sisi wazazi wengine tunalia kila siku nafatilia habari zako napata uchungu kama upo hai jitokeze mtoto mzuri
@JudyNMichael2 ай бұрын
Pamoja na uzembe wa viongoz wa shrle
@JeniferMsele3 ай бұрын
EeeMungu baba ninamuomba umrudishe mtoto huyu akiwa salama Mungu hujawahi kushindwa na jambo fanya jambo wakuu kuwa upo baba
@zakayondiheleye5303 ай бұрын
Mungu naomba umrudishe huyo mtoto kwa uweza wako
@abdullahwaziri54993 ай бұрын
Aya sawa ametoroka na asipoonekana au akija maiti itakuwaje?dogo chunga sana umelishwa matango pori uongee maneno hayo Tumuombee mungu awe mzima in shaa allah
@georgenyamsenda2173 ай бұрын
Hao ni watoto wao wanaripoti walichokiona, hawachambui matukio kama watu wazima
@gloryr94973 ай бұрын
Juu ya mti anajikuna upupu nyuma ya mti which is which,na huo upupu umpate yy tu hapa kuna something wrong
@NambuaMshana3 ай бұрын
Hawa watoto waongo mtoto wa kwanza amesema alikaa chin ya mti huyu WA pili anasema juu ya mti SI kweli
@franciscarsongea79483 ай бұрын
Mashaka makubwa ebu tizama huo msitu hawezi baki huko kwazkili Yake au akae vibanda vya Moira matangazo yote hayo Watu wangeluona watoto wamepangwa kupooza mambo
@sarahmdindile43013 ай бұрын
Sikiliza maelezo vizuri, anasema mwanzo alikuwa anajikuna kwenye mti akasema waende watamkuta hapo lkn baadae wakaungana nae wakati wanahangaika kutafuta njia ndo hapo wakapotezana
@SheilahBenson-df9wh2 ай бұрын
ni tabia hii imeanz kuenea mimi pia wifi ang atujui mpk leo yup wapi na atak ata tujue alipo mpk sas ana miez mi3 hatujui
@estertiffa-ew5id3 ай бұрын
Kwq maelezo ya mtoto wa pili😢umakin aukuwepo kbxaaa walimu wazemb watoto wanatafut njia muda wote jmniij mara imefungwa aisee ck nyingne msithubut kbxaaa kupelek watoto hko
@ShidaBilali3 ай бұрын
Polen Sana jaman 😭😭😭😭😭😭😭
@JanethAndason3 ай бұрын
Mungu awatie nguvu
@HafsaShayo-iv5xh3 ай бұрын
Kama Mungu aishivyo huyu kijana haifiki jumatatu bila kuonekana
@marymariki-m5w3 ай бұрын
Mungu tusaidie tushinde katika hili hawa wanafunz wanachokiongea kina ukweli jaman 😅
@renatuswilson15773 ай бұрын
Kama umepangwa na uongozi wa shule. Na akawa amepata madhara Damu yake itakukost. Kama anatulia Darasani iweje Mlimani aweweseke na atoroke?? Ukihojiwa vizuri inaonekana kunakitu. Mimi simjui ila naumia coz ni mzazi pia.
@sikudhanimohammad76923 ай бұрын
Siyo kuweweseka ni alikuwa mwenye wasiwasi. Watoto wetu sometimes wanajarbu vtu vingi na huu umri ni wa foolish age. Yote na yote mjuzi ni Allah
@HyacintaGugu3 ай бұрын
Amepangwa huyu
@mariej69622 ай бұрын
Hiyo ya kuacha wanafunzi hadi wnata mjia wenyewe wazazi kemeeni hiyo tabia, ni hatari sana maana hakuna anayewajali wanafunzi.
@hubimogela91673 ай бұрын
Ndiyo maana kila wakati sipendi walaumiwe walimu aiwezekani wapande zaidi ya 100 afu mmoja anatoweka afu tuwalaumu walimu swali ni kwanini mmoja na sio watatu au wawili hapa kuna tatizo tusionee tu walimu
@sleeprelaxation84313 ай бұрын
Mwalimu lazima alaumiwe, walipo muona ana hama group kwanini walimu hawakusema njoo utembee na mimi hapa na hakuna kuhama. Na wakawa wana mfatilia. Huwezi kumuona mtoto anawasha moto alafu mtu mzima umwangalie tu.
@patricemushi87863 ай бұрын
Hujui unachokisema
@israelkisaila84013 ай бұрын
Mimi naomba MUNGU,atekwe au apotee wako tena first born,halafu tunakuomba urudi hapa utusimulie tena utamu wake,NA HUSIWALAUMU HAO WAALIMU.😢
@israelkisaila84013 ай бұрын
@@patricemushi8786 Mimi naomba MUNGU ANISIKIE ATEKWE AU APOTEE WAKE TENA FIRST BORN,HALAFU ARUDI HAPA TENA ATUSIMULIE UTAMU WAKE NA HASIWALAUMU HAO WAALIMU,EEE MUNGU SIKIA MAOMBI YANGU.😪
@HalimaNamangupa3 ай бұрын
Ndugu yangu huna uwelewa!!
@mugapro3 ай бұрын
Hawa madogo sikuhizi, na kuna yule mwingine alichora ramani ya kwenda Marekani, ile Ramani hata ukiwa na D mbili hutoboi, ila dogo alitoboa mpaka Kenya
@MonicaMfinanga3 ай бұрын
Jamani MUNGU afanye wepesi apatikane tena akiwa Hai jaman inauma sana 😭😭
@abdulkarimkheri81053 ай бұрын
Mm nadhani kabla ya kuenda hiyo safari basi wazazi wake walikuwa hawatak na pia hawakuwa radhi aende hiyo safari
@NuruZebedayombise-ie5zb3 ай бұрын
Mungu mkumbwa atapatikana tu
@LucySanga-jb9wb3 ай бұрын
Huyu mwanafunzi Muongo sana kama alianza kukimbia watu mulimsaidiaje Amepangwa huyu mwanafunzi limdomo linaonekana limepangwa
@agnesspaul18662 ай бұрын
Hawa wabanwe vizuri kila kitu kitakaa sawa
@HusnaB1483 ай бұрын
Inawezekana kakutwa na pepo mchafu ndo wamempoteza...muhimu dua apo
@scolasticamaro3 ай бұрын
Mbona km maelezo hayajitoshelezi, ina maana huyu mwanafunzi wa kwanza alikuwa kwenye magroup yote matatu au alikuwa kazi yake ni kumfatilia Joel. Na km Joel àlikuwa anarudi nyuma alikuwa anarudi nae?
@gladnessmushi3 ай бұрын
Kuna mdudu ukimkanyagaa huwa anakupotezaa akili mpk zirudii ni mtihani sanaa au ni pepo tu mchafu kaingiaa maan huo ni mlimaa nao una mambo mengi tumuombeee tu
@MaroChacha-rb6il3 ай бұрын
Hoyo mwanafumz m navyo ona alichoka sana na pamoja na njia zilikuwa Zina watesa akamuwa kukata tamaa na kijiludisha nyuma nyuma Ili ashuke chinani maana navyo sikia maelezo ya wenzake ni mtu wa kama kuzila iv ndo maana akachukuwa maamuzi ya kuludi nyuma Ili alud shulenii au aludi nyumbani na hizo njia zimechangia asilimia kubwa sanaa ila nina imanii yupo haii