Wasichana ishini kulingana na uwezo wenu au uwezo wa wazazi/walezi wenu, kweli kama huwezi kujitegemea baki kwenu. Aunt Sadaka asante kwa point muhimu sana, hivi vyombo vya habari Tanzania kama mpo serious na kumnyanyua mtoto wa kike Aunt Sadaka anatakiwa kuwa na kipindi somewhere kila wiki. Nyanyueni mabinti kwa saikolojia ukiongezea na imani, tutafanikiwa. VILEVILE WADADA TUTAFUTE PESA, TUFANYE KAZI NA BIASHARA KWA BIDII ZOTE HATA UKIWA MWANAFUNZI BUSINESS NDOGONDOGO ZINAWEZEKANA.HATA UPATE 20,000 KWA WIKI NI YAKWAKO.TUSAKE SANA PESA TUWEZE KUJITEGEMEA BAADA YA HAPO NDIO TUJE MEZANI NA BOYFRIENDS KUJADILI MAPENZI YA KWELI NA FUTURE. Ujumbe: GIRL CHILD, SECURE YOUR BAG, MONEY STOPS A LOT OF NONSENSE. Kwa tafsiri ya haraka: MTOTO WA KIKE, JIZATITI MFUKONI, PESA INAONDOA UPUUZI MWINGI.
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Had saiz nina miaka 32 sijawahi kumuomba mwanaume pesa na ndy mana napambana sana sana mama nimekuelewa sana yan nina haib mm yan kwanza ile wazaz kumuona huyu mtu kaz nashuru mungu nimepambana had saiz nipo kwenye mikono yangu wazaz wangu sijawahi kuwatia haib za ajabu
@paulloops6952 Жыл бұрын
Hongera zako
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Vipindi kama hivi vinatakiwa viwepo sana kusaidia kuelimisha jamiii Hongera sana Millard na team yako hapo hata makampuni yapo tayali kudhamini kuweka mzigo pesa good content audience watu wengi wanafuatilia kipindi kizuri sana
@marymolel616 Жыл бұрын
Millard hongera kwa kujua vitu vizur vyakuwafikishia watu wako wa nguvu, alafu mbona siku hizi huvai kofia jaman zinakupendeza sana siku mojamoja tupia kofia
@mugoliciroyi5088 Жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania kwa vizazi na vizazi vyao sababu Mimi ni Mu congomani Ila na faidika ki maisha psychologia ku pitiya vipindi vya mitandao vya wa 🇹🇿 Tz na na amini ni wengi wana faidika Kama Mimi ,Mungu aibariki media za tanzania na wafanya kazi wema 🙏Mungu abariki mama yetu Aunty sadaka ❤
@macrinasalaho2093 Жыл бұрын
Ahsanteee aunt Sadaka kwa kupigilia pin,This is My always principle in life 😘😘
@zulfasaeed7445 Жыл бұрын
Nakumbuka kuna mkaka nilpenda sana alinipenda sana ila aliniomba kinyume na maumbir nilimuacha siku yasiku aliniambia mm nolikutania sijawai muamini na nilimuacha akaja niambia ww unajua kisa unapambana una shida ndogo ndogo ndy mana jeur nimjib mm sio jeur ila siwez kufanya vitu ambavyo vitaniasili kisa nitaonekana jeur au kisa kipato changu kiniganye hiv nilipiga chin 😭
@rumanyikachange Жыл бұрын
Huyu Mama namuheshimu sana 👑👑
@saysophyfarm1780 Жыл бұрын
Millard mbona kama umetuacha njiani, come back with aunt Sadaka please! Sijawahi choka kumsikiliza Aunt Sadaka and even Millard, so you two are my favorite, please tuletee kipande kingine cha madini. Our girls need to learn from Aunt Sadaka
@marthaigogo18 Жыл бұрын
Millard haupo serious.. wasanii wanaongeaga hapa interview 35-40mins huyu mama mwenye madini 16mins kweli?????
@ibbu-tz Жыл бұрын
Tunahitaji zaidi Millard. Moe mama airtime, arudi tena na tena akiwa na mada tofauti tofauti.
@rehemangowi-zk6qu Жыл бұрын
Mama umejua ,,uko vizuri na mungu akubariki .Tunaona kwenye jamii zetu wapo mabinti wenzetu hadi wanajiingiza kwenye vifungo vya ndoa ilhali hampendi huyo mwanaume sababu kuu ni kuomba pesa na kupewa pesa ,,mwisho wa siku hata hiyo ndoa haiwez kudumu pale pesa ikikosekana so sad😢
@HermentMrema-fw1kp Жыл бұрын
Shida haiwezi ikahalalasha umalaya kwa njia yeyote ile. Kulipiwa kodi ni kujiuza
@nichorousjohn1659 Жыл бұрын
Mama umejua kunipa funzo pia Asante sana kwakutukumbusha majukumu yetu Asante sana millard
@ellydonatus9748 Жыл бұрын
This needed to be even 3hrs long.
@RuzoOwzy Жыл бұрын
Ni ndefu, sema millard ayo siku hizi anazikata kata na kuzipost. Nadhani kaona views ndo zinakuwa nyingi na watu kumfuatilia zaidi kutaka kujua mwendelezo.
@Kiirumba Жыл бұрын
This what we call real Aunt ❤️🩹💯
@khatijakhatija6172 Жыл бұрын
Mashaallah mama umeongea maneno mazima hayo wanawake tujue thamani yetu
@samkoka3 Жыл бұрын
Aisee aunt kichwa snaa h
@Misskavalau Жыл бұрын
Millard we need part 2
@raymondmjebe2412 Жыл бұрын
Dahh Kuna maisha tunaishi lakini naamini ni Kwa sababu ivyo nachoamini mimi ni nguvu za mungu zinaitajika tunaposhikana mikono Ili kufikia malengo. Maisha ni tofauti sana ivyo mungu atusaidie
@aikt. Жыл бұрын
Mama nimekuelewa sana . Nadhani unastahili kua mshauri wa taifa kwa girls haswa hawa premature
@VeronicaSalvertory Жыл бұрын
Asante Sana aunt swadaka
@samkoka3 Жыл бұрын
Naomba aunt apewe kipndi kirefu zaidi ana madini mingi snaa anajibu vizur snaa
@leandrymmassy9916 Жыл бұрын
Naomba interview na SAID SALIM BAKHESA pia ANGELINA NGALULA
@linuslucas425 Жыл бұрын
My role model millard ayo
@husseinismailseme6727 Жыл бұрын
Siwezi kukubali kumruhusu mtoto wangu alipiwe ada na mtu yeyote , nitafanya chochote ilihali mtoto wangu asome
@mbunah255 Жыл бұрын
I love that spirit mana wazee wengine wa hovyo kwa kwel😂
@emmanuelstephens1891 Жыл бұрын
Maaan!💯💯💯
@Hungrydonkey9345 Жыл бұрын
@@mbunah255 saaaaaana!!!!
@AbdulkarimNestori Жыл бұрын
Pamoja sana mzee
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Ongera sana kumbe unajuwa maana ya kua baba
@MisosimitamuC Жыл бұрын
Asante sana aunt Sadaka. Somo limeingia .
@نجمةموبيبي Жыл бұрын
Aunt Sadaka, bila kumlaumu kwanza bint tuwalaumu wazazi kwanza, wazazi wakiskia to uko dar na unaishi kwako na hajui kazi unayofanya ndo kwanza anaitisha pesa kila mwezi tena anaweza mwambia vp hujapata chochote huko uturushie
@GwidoSinsungwe3 ай бұрын
Huyu mzaz gani akamatwe Maramoja
@tatutumbi4640 Жыл бұрын
Nakuunga mkono Aunt Sadaka. Pigilia hapo hapo, vijana wanatukosea sana.
@shamhamood755 Жыл бұрын
Very nice topic
@ireneassey2022 Жыл бұрын
Umeongea kwel madam juz tu kuna dada kauliw na mwanaume wake kwa kukosa kujua thaman yake mwanaume ana mdangany anamtumia lkn alikua ana nia nae njema alipo kuja kujitambua akakataa kuenda nae next time aka mvizia kwao aka muua ni tatizo kweli 😢
@amanmaleko3085 Жыл бұрын
Mama yupo vinzur 👍
@Dantaata Жыл бұрын
sema uzuri sasa hv siogopi kuombwa hela hata siku ya kwanza,, ukiomba km siridhiki hapo hapo nakataline
@shamhamood755 Жыл бұрын
Kweli kabisa aunt sadaqa
@boscokikoti Жыл бұрын
MAMA HUYU AKAJENGEWE SANAMU PALE MAKUMBUSHO
@agriparose3942 Жыл бұрын
Sipendi nilipe kodi janaume lijijie tu ndani kwangu bila haya
@elidiustudoy2640 Жыл бұрын
Vido upo makin atari 📌📌
@jumambuma1101 Жыл бұрын
Umeongea vizuri Mama
@Tygaspark Жыл бұрын
bro Millard Hiyo b mkubwa yuko sahihi sana... 100%
@shamhamood755 Жыл бұрын
You are really lady
@danielthomasmsigwa31 Жыл бұрын
Uchafu na upumbavu umehalalishwa...!
@charlesjaphet79 Жыл бұрын
Mama asant Sana nimekuhelewa Sana ww ndo mama
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Umepajuaje malangali kwetu aunt sadaka
@vickyadrian1503 Жыл бұрын
THANK YOU AUNT SADAKA VIJANA WETU WAMEKUWA MR AVAILABLE NA MADAM AVAILABLE
@nichorousjohn1659 Жыл бұрын
Millard naomba hii nada kuhusu hili umuite tena Aunt nimependa sana nakufuatilia nipo congo
@alexmushi6017 Жыл бұрын
APEWE MAUA YAKE HUYU AUNT, NIME PENDA KADONDOSHA NONDO MUHIMU SANA, VIJANA UPWIRU UNA WASUMBUA NDY MAANA MAFANIKIO HUWA NI HADITHI KWA WASIO NA FOCUS
@Amplifiedtz Жыл бұрын
MILLARD TIME IS NOT ENOUGH
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Aunt sadaka 🌹
@SaraChanjarika-zp5ct Жыл бұрын
Yaani hii nimependa sanaaa ili mabinti zetu wasiharibiwe,watambue thamani yao
@EsperanceNimubona Жыл бұрын
Asatamama
@yakobolusasu1821 Жыл бұрын
Yaan nimemwelewa wanaume wanamakosa tena mara 2 maan mwanaume ni kichwa hajui kuwa na sauti kwa family
@Hungrydonkey9345 Жыл бұрын
Mbona hata wanaume pia wanaomba omba peso!
@ahmuhally4430 Жыл бұрын
Huyu Aunty Sadaka ni Geneous
@noelmelkior3401 Жыл бұрын
Huyu mama huwa namuelewa Sana
@chidybwax8080 Жыл бұрын
Paula unasukia huko
@testerjeff-f2n Жыл бұрын
mama utaenda mbinguni naona kabisa alaf huyo dada ni kolo wa hapo studio ana support ujingaaa anjaribu kumbishia hata mama yake 😂
@dostovan5142 Жыл бұрын
Hiki kizazi cha amapiano ni kigumu sana kuelewa kina Frida hao
@wishjrtz Жыл бұрын
Maza ana logic
@gilbertprudence3563 Жыл бұрын
ni ngumu anachoongea huyu Mama Kwa hii dunia et kwetu Hakuna pesa za kunisomesha itokee mwanaume ananipenda na ananisaidia nampenda pia nikatae msaada wake mtapiga Kelele Sana
@benomdaile7081 Жыл бұрын
Kweli kabisaaa kaisha chelewa dunia ipo mbele zaidi ya hayo anayo yaongea huyu mama ni vigumu sanaaa
@emmanuelstephens1891 Жыл бұрын
Part 3:46 - 4:22 😢😢😢
@EsperanceNimubona Жыл бұрын
Nimejifunsamama
@sakinamixpambe2602 Жыл бұрын
Swadakta
@samiahJoseph Жыл бұрын
hapo ni kujitambua na kujilinda ukabiliane vp na hisia zako ili usishawishike mpaka utakapoolewa
@dayana5513story Жыл бұрын
About kuomba pesa girls punguzeni inamaana ulipokua single ulikua unaishi je girls lizikeni ulicho nacho kumbukeni akuna vya bule
@dostovan5142 Жыл бұрын
Mama aongezwe mda, mbona wasani waongeaga pumba hapo mda mwingi
@frankomart5801 Жыл бұрын
Mama anaongelea Maadili . Afu kuna kitu kinaitwa UMASIKINI . Kabla ya kuondoa UMASIKINI hakuna mapenzi , wa Maadili , kujielewa Wala chochote. Mama hajaijua shida uyu .
@neemamartine7630 Жыл бұрын
Anaongea mambo mawili tofauti... Umasikini na maadili...
Hao wanawake wakutongozwa hawapo ,, ndotatzo kubwa Lililopo Binti anajitongozesha nawanafosi ngono mpaka unaona ni kipepo flani
@saidimpako5186 Жыл бұрын
hawataki mameno wanataka pesa ndio shida
@PatrickMuna-u6l Жыл бұрын
Sio Kwa Dunia ya sasa Untie Sadaka.... Now days watu wanakutana kwenye daladala halafu hawajui wanakokwenda wanaenda kufanya nini, so wakikubaliana tu kwenye daladala wanashuka popote wanamalizana
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Aunt sadaka kaolew?
@saidimpako5186 Жыл бұрын
kwanin mwanaume amefanywa ni chanzo cha mapato
@joyce55727 Жыл бұрын
Jmn mbona kipindi kifup mno wap sehem ya pili❤❤❤❤
@millardayoTZA Жыл бұрын
inakuja soon Jo
@adriafurahamatemu6080 Жыл бұрын
@@millardayoTZA kipindi ni kizuri sana. Kama vipi aongezewe mda jamani. We like to hear more about mahusiano. And kwa ushauri tu, kama itapendeza unaweza collect maswali kwa wasikilizaji au hata wadau wa kipindi ile kuwe na mengi ya ku discuss. Thanks. 🎉
@nicospack3893 Жыл бұрын
@@millardayoTZA milard huyo mama inatakiwa dk 40 ai lisaa
@MwanaishaHemed-xi6rj Жыл бұрын
Nimecheka😂🤣 etitunaomba pesa sana
@kulture_jah Жыл бұрын
mh....ukwel mama yangu🦾🦾
@jescamichael3901 Жыл бұрын
Jamna mbona malangali iringa @aunt sadaka
@liesharehema5193 Жыл бұрын
Namimi nikasema mfano umekuwa kwetu malangali tu au ndo kubaya Sana au haaaa
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Wanawake ni wa kupigwa kila saa kila muda kila saa kila wakati kila wiki kila mwezi kila mwaka... Wanawake ni washenzi kabisa.. Tutawapiga mpaka Yesu arudi
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Ni wako siyo sisi acha makasiriko
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
@@jescajulius8023 wewe utapigwa tu. Muda siyo mrefu
@jescajulius8023 Жыл бұрын
@@BabaBalingasi-hp6gd uzuri nmeshajiweka mbali na viumbe kama nyie,niko huru na mambo yangu
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
@@jescajulius8023 hahaha usiogope. Kama hauna kiburi wala hautopigwa.
@jescajulius8023 Жыл бұрын
@@BabaBalingasi-hp6gd siko nayo,naomba kuuliza mbona unanyamaza akiwa anakusema anasema mbona unanyamaza ko naongea na bubu? Ukiongea na pia ni kosa sa ufanye aje????? Nijibu
@asiaahmedy8944 Жыл бұрын
Jmn 😂m na baki kumuangalia tu Millard kwa maana anavyoyauliza maswali kwa uzoefu htr Sanaa😂😂
Mie naomba kujua umri sahihi wa Kua na Boy friend lakini pia hamjui hawa mabinti wanakutana na nini hasa hawa wa vyuo vya kati huko duniani hakuna maisha marahisi hasa kwa nyakati tulizonazo ikiwepo na Tanzania , wazazi wengi wanapambana lakini nilichogundua hawa wanafunzi wengi wanaingia katika shida kwababu wanakua wameaga kwao wanakuja kusoma na wakifeli wazazi wengi Hawawatiii moyo wa kuwaendeleza kwa kuwalipia ada ili wafikie wanachokitarajia hivyo wanafunzi wengi hawawaambii wazazi ukweli kua wamefeli hivyo wanaanza jitafutia kwasababu wakisema wamefeli wazazi wengi wanaona ni bora mtoto aludi nyumbani , sasa hicho kitemdo kinafanya hasa mabinti kujiingiza katika mifumo isiyosahihi ya maisha kwa sababu anapambana huku akificha siri ili tu kuogopa kurudi kijijini maana wanahisi kama malengo yanaweza yakafia huko village @ Sadaka antie ongea na wazazi paza sauti wazazi wengi ni chanzo cha watoto wao kutofika kwenye malengo yao kwasababu yao , na sio wanapenda ila ni kulingana na maisha ambayo yaliyopo sasa hivi , waangalie hasa namna ya kuwasaidia hawa watoto ambao wanalazimika kufanya pia vitu visivyosahihi ili kutaka kufika katika malengo yao
@mohamedsung4891 Жыл бұрын
Pale pale kutojitambua" Pale pale kutojikubali''
@shabanfitnesstv3977 Жыл бұрын
Sex ni kama petrol kwenye gari, so bila petrol gari haitembei, Likewise kwa mpenzi bila sex, mapenzi hayaendi,
@machinefannatic99 Жыл бұрын
huyu bibi anaongea sana naona hajui tupo kizazi cha nyoka madada wanajiuza kushoto kulia ni kupiga tigo tu siku hizi hakuna cha mapenzi ni pesa tigo tu mbele kwa mbele..