Nice show nawaomba muzidishe hapo. Ili sisi tuliyo wadogo tuendelee kujifunza mengi kabla ya kuingia kwenye ndoa 😍🙏❤️💯
@pindabutter27365 жыл бұрын
una dada anaitwa Tryphose Ndayishimiye?
@priscillaamossen82495 жыл бұрын
Mimi nampenda sana huyo mama mwenye kirembo point zake ataelimisha dunia nzima...
@lightnesselia7655 жыл бұрын
Aunt sadaka mie nimekupenda sanaa sanaa yaan mpaka nashindwa kusema nikiasi gan
@rahiimal-shuwehdy12035 жыл бұрын
Baby sky you was awesome..I really appreciate your points 👍
@cmoshi70145 жыл бұрын
Jamani yani nyinyi wamama, Mungu awabariki sana, I wish kama wanawake wote wapate fursa ya kuangalia vipindi vyenu. Mnatufudisha mambo mazuri sana na tukichukua ushauri wenu, nyumba zetu zitapona. Be blessed 🙏
@nicksonfrancy60434 жыл бұрын
Baby sky bado hajazoea Mic lkn ameongea vyema " ant sadaka , na mama pale lilian hongereni sana kwa kuwakumbusha vyema wanawake wenzenu vyema.
@halimahalima23455 жыл бұрын
Aunt sadaka love you ,nimwapenda bure 👏👏👏
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Yaani mungejuwa nilivyo furahi Leo hadi sielewi, sns forever
@lailatyabdallah17235 жыл бұрын
Jaman mmenipa somo kubwa...! SNS for life 🙌🙌🙌🙌
@تركي6-ض3ق5 жыл бұрын
Mbarikiwe nyote kwa kazi njema ya kutupa ufahamu wa kuwajuwa wanaume walivyo na watakavyo
@fatmazullu49335 жыл бұрын
Very true! Hisia yoyote kwa mumeo ni ukweli tuuuu!
@furahaabdallah73695 жыл бұрын
Kuna mtangazaj wa kike yupo clouds hua namsifia namuonaga tz hakuna kumbe nimejichanganya weww dada Lili ni noma unaijua hio kazi looooh kiboko kwakweli
@fatmamajuu52555 жыл бұрын
Nimewapenda sana muendeleze ili tunaosikiliza sns tupate faida ya kichwa na sio kumaliziwa mb tuu na kusikiliza ushubwada
@lucyjohn79045 жыл бұрын
Nawapenda sn Hawa wamama
@kevinlonghe2945 жыл бұрын
Wouw I love you all muzindi kuwa na umoja
@joshuakaminyoge49545 жыл бұрын
Ahaha Lilian uko vizuri i like the way unavokandia ili Uwape nafas Panelist watufunze Big up
@nabintukadende23885 жыл бұрын
Tume enjoy jameni. Sns sns muko njuuu sana
@sharonndowo69225 жыл бұрын
Waoooo mama Deborah nakupendaga bure
@aligniyokindi90835 жыл бұрын
Nice show I love the conversation but sio kweli eti mwanaume ana asilia ya unyama sio ukweli Sababu wanyama walikuwa wakali na tabia tafauti apo zamani wanyama walikuwa wakiishi pamoja na upendo kabla awajala tunda ndio chanzo cha kila kitu kuvurugika
@adamsonmagushi43325 жыл бұрын
hahahaha ni wanyama kwel
@lilianjeremia10245 жыл бұрын
Asante sana akin mama
@khadeejaabdullah70835 жыл бұрын
Wooow sns kweli yajayo yanafurahisha
@mwaminindayishimiye44345 жыл бұрын
Thanks ❤from UK in Newcastle
@emilianandrew52485 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana!!!! Asanteni sana jamani daaa!!!!
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
TUNAKUJA KUJIFUNZA PIA JAMANI.. SHULE NZURI SANA🙌🙌🙌🙌🙌
@tawoostanzania96025 жыл бұрын
Hapo kwenye kufanya tukio nmecheka snaaa.... Ila lily nkupenda snaaa
@tawoostanzania96025 жыл бұрын
Lily ujue nkupenda sanaa ur voice it's so unique
@leonarastanley95405 жыл бұрын
Mungu awainue Zaid, kazi yenu inabariki
@veronicascottmollel78975 жыл бұрын
Da! Leo nimejifunza vingi hongereni.
@angelinasimchimba7055 жыл бұрын
Huyu mama ni so brilliant.... Good clarification
@daktarij3815 жыл бұрын
very great show.....sns big up
@mariamsalum78495 жыл бұрын
Asante kwasomo wakina mama asanteni san
@aidathhamidu42775 жыл бұрын
Nice ukweli women matters nawapenda mno kwa mafunzo yenu
@nicksonfrancy60434 жыл бұрын
Nataka kumjua zaidi huyu mama kaisi anajua vitu vingi mnoooh . Mama kaisi wewe mwanamke toleo jipya na la zamani safiiii.
@mpundujeanine3155 жыл бұрын
Perfect show thx guys
5 жыл бұрын
Nampenda sana Lilian....sns forever juu
@aminajuma14355 жыл бұрын
Umeonaeeee yaani anajua kuchangamsha mada
@teddygabriel56624 жыл бұрын
Oooih i like it (cry like a man)
@neemakevin27785 жыл бұрын
Nawapenda
@zubedakaluli66385 жыл бұрын
Duuu hiki kipindi kitamu jaman hata ukiwanastress zinaisha na mafunzo juu mungu awafanyie wepes kinamama ktk kila changamoto za maisha
@salumkomba76825 жыл бұрын
Nimewafuatilia sana na mada zenu na nimetokea kuzipenda ila leo mmefeli sana... Wanaume bado hamjawafahamu. Wanaume sio wanyama kabisa, mwanaume hawezi tupa mtoto chooni
@faaali2445 жыл бұрын
Hahaha Lilly una vituko jamani nakupenda nawapenda nyote apo
@nadyahassan79245 жыл бұрын
yan ukweli nimependa sn kina mama zetu kuzid kutuelimisha
Huwezi muelewa mwanaume kwa kuwauliza mwanamke katu..
@halimatanzania6455 жыл бұрын
Uwiii kipindi kipo good nimejifunza
@neemahamza11165 жыл бұрын
nimemuelewa zaid mma kaisi anafundisha kidini na kiafrica
@lodrickkisanga86819 ай бұрын
Hahahahahha aseee wanaume kazi tunayo,,, ila ukiingia kwenye 18 za hawa 4 kazi unayo.
@maliharajabu89175 жыл бұрын
Mama kaisi kaongea point sanaaa.
@candybenardy31105 жыл бұрын
Baby skry nakuelewa sana na Mwanaume akikuchoka utajuta sana
@marthajeremiah5 жыл бұрын
Mama deboraaaa,kweli asili ndio inamtambulisha mume
@mungholomakalanga89585 жыл бұрын
Siwapendi wanaume kbs
@خسنموس4 жыл бұрын
Hi
@lightnessraymos84205 жыл бұрын
Mama Debo wew unavitu haatari nakupenda bureee
@fatumahengo68495 жыл бұрын
Kipindi kizuri saaaaana jamani dah
@theresewakubenga94435 жыл бұрын
Naweza je ku control akili ya mwanaume?
@padilijamesmikomangwa5192 жыл бұрын
Kwanini wanawake wanajadili uanaume ni nini? Kwanini wanaume wenyewe wasiwaambie haswa sisi ni kina nani? Inachekesha sana, siku hizi inatulazimu kuskiza wanawake wakitupa, pangilia na kutuelezea utu wetu.
@wahidawahida66755 жыл бұрын
Jamani nisaidieni namba ya ant sadak au nikimuitaji anapatikan wapi.
@chesadennis2544 жыл бұрын
Mi ni mnyama chui
@mr.bikeman.lg20244 жыл бұрын
Hakuna mwanamke amjuaye mwanaume Bali ni Wanaume wenyewe.
@daudisimwinga13245 жыл бұрын
I see sns now it is doing to be house media where full contents are available
@متعبالصيعري-ك2ي Жыл бұрын
kwel kbs
@sophiabarnabambunda65195 жыл бұрын
Najvunia kuwackiza aisee nmewapenda bule
@salimbabz30705 жыл бұрын
Hapo kwa mwanaume kulia nakataa
@linnetmbotto72122 жыл бұрын
That hair looks good on you Lilian
@zumbaabiyah31845 жыл бұрын
.....SNS you're doing good,keep it up! Love you all four.!
@nkubahenriette14995 жыл бұрын
Baby sky umemutambua sky alivyo?
@johnpella87035 жыл бұрын
Ma' Mch, you are there to control our actions?
@lodrickkisanga86819 ай бұрын
😂😂😂😂 hiii ya wanaume wa mężów na na wanyama mbona kama inamake sense kdgo,,,, maana utaona mdada mtu mzma anaogopa kupita mahali usiku kwa hofu ya wanyama anaogopa but akiwa na mtoto hata mdgo wa kiume ujasiri Una rise
@vailethsiyame19875 жыл бұрын
Nakipnda sana iki kipnd sana
@danielmenya68514 жыл бұрын
Mwanaume ni mtawala
@galaxykahalid31725 жыл бұрын
Honger san mama zangu najifunz vingn san love so much
@lindasophia12885 жыл бұрын
Big up sana 🙏❤️❤️❤️❤️🙌
@asinathasinath50905 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@dieumercibarrack65395 жыл бұрын
Kwa hufupi nyinyi mna taka nini??
@kinghman83534 жыл бұрын
Nilikuwa nauliza uyo dada muongoza kipind kaolewa au
@teddygabriel56624 жыл бұрын
Lil uwe unatuwekea clip ip inaanza na ip inafuata
@luccabosslugendo97225 жыл бұрын
Kipindi kizur lkn kina mapungufu kibao hasa kweny kumdicusa mwanaune mkiwa wamama tu ata kma ni woman matter s inabid akae mwanaume mweny kujua vyema saikolojia ...
@husnauthman76095 жыл бұрын
Mambo ni motooo
@noelarhobininestide51905 жыл бұрын
kiukweli mwanaume ni mtu dhaifu sana kimawazo...%kubwa y wanaume hawana namna ya kuboresha wazo likaonekana kwa uzito wake na likaleta maana kama wazo hilohilo litafanywa na mwanamke..kwa maana ya kwamba.kuna uwezo flani wa kufikiri unagota kwa mwanaume..lakin mwanamke anaweza kwenda extra miles kidogo kwa jambo hilohilo...na hio ndo tafsiri halisi ya mwanamke kuwa msaidizi wa mwanaume.
@nelsonmandela69415 жыл бұрын
kama ndo hivyo mbona vitu vingi/mambo makubwa yanafanywa na wanaume??
@gilefambambukatavali33115 жыл бұрын
Asante sijui niseme nini
@lucasjeremia71375 жыл бұрын
l like
@stevenngaitv70015 жыл бұрын
Huwezi kuwaelewa Lilian 😂😂😂
@pindabutter27365 жыл бұрын
Kumbuka biblia inavyo sema, tuliumbwa bila zambi ata ya fornication ilikua aipo, baada alivyo umbwa Eva nakutakakujuajua kama zile siku za sodoma yule mwanamke alie geuka , sikilizeni tu wanaume na wanaume wasikilize wanawake wao. acheni story za simba na chui, si ni binadamu, alafu mwanamke alikua karibu sana na shetani
@neemakevin27785 жыл бұрын
Napata material
@mariamnamwa1885 жыл бұрын
baby sky kaa usome
@revocatusthomas41905 жыл бұрын
Bonge la idea kipindi kinaelimisha na kuburudisha sana