BABA LEVO AMCHANA MWANA FA "MNAMFICHA MWIZI WA NINI, TANGU UMEFIKA MAMBO YAMETUBADILIKIA"

  Рет қаралды 37,620

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 106
@EastOneDiamante
@EastOneDiamante Жыл бұрын
Mzee baba Leo umenena kweli❤
@juliethabel6425
@juliethabel6425 Жыл бұрын
Bravo sana Ba Levo!! kwakuwa wasanii ni wengi na wote wanhitaji mkopo ni kweli sanaa zao ndio iwe colateral ila nawaza kwa sauti kuwa kuwe na bodi ambayo msanii anatakiwa aandae mchanganuo wa vipaumbele vyake katika sanaa mfano natakiwa nitoe EP,nilipie matangazo,radio tour na vingine hapo achanganue vitu vipi vya muhimu aanze navyo kuwe na msimamizi kutokea kwenye bodi wa kutathimin gharama ya hivyo vipaumbele vilivyoainishwa na msanii kisha yeye afanye malipo ya kazi husika kwa kushirikiana na msaani/menejimenti yake hope akipata support hivyo itamtoa from A-B kisha outcome ya pesa iliyokuwa invested aanze kulipa mkopo
@kdazzy9967
@kdazzy9967 Жыл бұрын
Leo umeongea point ya muhim sana hongera kwako wachane hao
@kefamkv3743
@kefamkv3743 Жыл бұрын
Hili lijamaa ukiachilia uchawa lina busa na huwa linaongea points nashangaa ana fail wp kuwa waziri wa bandari😅
@yavanjaphet997
@yavanjaphet997 Жыл бұрын
Kaka huyo ni kiongozi aliwahikua diwani
@lodvee1717
@lodvee1717 Жыл бұрын
DR MAPANA MUNGU AMBARIKI SANA HE IS VERY HUMBLE KWELI NA UTENDAJI WAKE NI WENYE TIJA NA NI MSIKIVU
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Ukiwa sio kiongozi kuongea is very easy,,,ukipewa uongozi tu ,unakuwa different
@esaukalanje5378
@esaukalanje5378 Жыл бұрын
Yani huyu waziri duh
@yuzotv458
@yuzotv458 Жыл бұрын
siku zote mtu mwenye kipaji cha uongozi atabaki kua positive na point zake out of Promax Diamond plutnam chawa😂😂😂😂😂😂😂😂,msilike pita sirent😎.
@stewardmbena3737
@stewardmbena3737 Жыл бұрын
Watu kama hawa Wana hitajika sna kwenye hii Nchi ya Wajuaji sana 😂😂😂😂😂😂😂
@husseinmkoka4251
@husseinmkoka4251 Жыл бұрын
Umetisha Baba levo👏
@davcodavid8651
@davcodavid8651 Жыл бұрын
🎉🎉🎉akili kubwa sana hili jamaa siasa inalihitaji akili kubwa sana ya mtaani
@mussamlaponi2821
@mussamlaponi2821 Жыл бұрын
Duuuuh...... yuko sahiii baba levo
@mariamshabani7107
@mariamshabani7107 Жыл бұрын
❤❤❤ leo umesema kweli
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 Жыл бұрын
Huyu ndie Babaake Levo👊
@mrbabadtz9074
@mrbabadtz9074 Жыл бұрын
bi levo baba 😊
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
😂😂😂Chawa yuko vizuri 😅😅😅😅
@ujimansylivanus944
@ujimansylivanus944 Жыл бұрын
Baba level akinywa pombe anaongeaga points tup.
@moudykishoya6968
@moudykishoya6968 Жыл бұрын
Naombeni like zangu jamani leo wakwanza ni wakwanza tu
@legangatzmedia4846
@legangatzmedia4846 Жыл бұрын
Huyu jamaa ana hakili saana kumbe
@casmilyjuma6818
@casmilyjuma6818 Жыл бұрын
Wasanii wengi bongo anasa saaana hata waongeze vigezo zaidi
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 Жыл бұрын
Diamond kapata chawa kweli kweli
@sokwerecords
@sokwerecords Жыл бұрын
Najivunia kuzaliwa Kigoma
@ramadhanalphan4435
@ramadhanalphan4435 Жыл бұрын
Nikweli anacho sema swala la mb dog mpaka leo kimya kilakitu siasa tu hatuoni utendaji wake
@abdulwahababdulkadir9965
@abdulwahababdulkadir9965 Жыл бұрын
Serekali iendelee kuwekeza kwenye kilimo kinalipa sana haya mambo ya sanaa naona kama tunaenda kupoteza bure,unaposema wasanii unajua kua ni mambo mengi au unahisi izo nyimbo zenu tu za inama inuka,cha msingi wakulima wapatiwe pembejeo za kisasa ili tupate chakula
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Жыл бұрын
😮umekula maalage nin?tambua serikali kua nikubwa mno ndiomaana Kuna wizala mbalimbali na pesa zipo katika wizala zote sasawe inakuuma nini. acha watu waseme ya moyoni mwao kama vipi basi wizala ya michezo na Sanaa iondolewe
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Жыл бұрын
Hii yote ilaletwa na swala la mb Dogg Bada ya hamisi mwijuma kuamua kumsaidia swala la wizi wa kazi zake
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Very positive mindset!
@salimakuyela7813
@salimakuyela7813 Жыл бұрын
😂😂 Tim konde boy jeshii gonga like hapa tujuane na tuende sawa😂
@dobidotz3696
@dobidotz3696 Жыл бұрын
Yan wewe unasema mil 15 ndogo? 😂😂😂😂😂
@Minor_kidayo
@Minor_kidayo Жыл бұрын
Kaongea point sana
@RashidiMkumbeni
@RashidiMkumbeni Жыл бұрын
Domo bwaku ila yuko sahihi
@mnyakitz2007
@mnyakitz2007 Жыл бұрын
Point ipo na anakitu cha kusikilizwa....
@mumuog7876
@mumuog7876 Жыл бұрын
Ila umeongea point tup
@MbagaMzirai
@MbagaMzirai Жыл бұрын
Kunamda unakuwa unaakili sana
@dobidotz3696
@dobidotz3696 Жыл бұрын
Yan kama 15M ni ndogo bora tuwekeze kwenye kilimo, Baba levo umezingua bro! Mimi ni msanii lakin kwa hilo hapana siungi mkono hoja.
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
@dobidotz3696: eti wewe msanii? Sanaa gani unafanya uchoraji,au sanaa ipi
@mohamedmuhajiribakari
@mohamedmuhajiribakari Жыл бұрын
𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙞𝙣𝙜𝙞𝙖 𝙢𝙖𝙤𝙣𝙞 𝙮𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙪
@HusseinNgendanyi
@HusseinNgendanyi Жыл бұрын
Kila mtu ni MJUAJI hii nchi
@denismvile-nu2vc
@denismvile-nu2vc Жыл бұрын
Umeongea ukweli lakini jaribu kufanya na mishe zingine
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 Жыл бұрын
😅😅😅huendi mbinguni
@davidpeter8099
@davidpeter8099 Жыл бұрын
Naomba nioe mwanamke toka kigoma ili nipate mtoto mwenye pua kubwa ili nipate toto lenye akili
@jituakilimali15
@jituakilimali15 Жыл бұрын
Sasa zuchu hana nyumba watu wanapiga pumbu bure cammon
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Жыл бұрын
that's why huw nkupnd
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Inabidi uwe waziri wa bandari ...🤣🤣🤣..umeongea vyema..ila tu kipengele cha kufungwa usiporudisha mkopo kiwepo..!
@nwntz
@nwntz Жыл бұрын
Staki uhaini😂😂😂😂
@gabrielywilliummbega6577
@gabrielywilliummbega6577 Жыл бұрын
Hamna kitu hapo.. Sema sisi watanzania tunapenda kusikiliza upande mmoja tu.. Hivi tujiulize kwa hali ya kawaida Mtu anakuja kukopa bila kuwa na kitu chchte mkononi na akienda huko pesa ikashindwa kufanya alichotka atarudi? Sioni alichozungumza hapo zaidi naona maneno ya hasira na kelele za mfamaji tu... Hamna kitu..rudi kwa aliekutuma muulize tena kama uko sahihi na kama mawazo yangu yako sawa naona natafuta nafasi tena ya siasa.😂😂..
@HansBwoi
@HansBwoi Жыл бұрын
B levo ba
@ellyitete938
@ellyitete938 Жыл бұрын
Mikopo ya nn si wanaela wanaturingisgia na marange ...waweke dhamana ma range au viwanja wwkope waache kulialia
@daudmwalimu971
@daudmwalimu971 Жыл бұрын
Kweli chungu
@safarirockerz2781
@safarirockerz2781 Жыл бұрын
Kupewa uongozi haimaanishi ndo amepewa final say .. yeye anatoa hoja na kizisimamia na kila uongozi una mifumo.. huenda anafanya kazi yake kwa level yake . Don't attack someone uliza wizara yeye kuwa msaniingaimaanishi ndo anamaamuzi..
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Hahahahaha asa pesa wanazo pata hao wasaniii hua wanakula bata tu hawajengi ??‽
@moudys
@moudys Жыл бұрын
Watu wameshtukia , mnakopa hela mnatokomea nazo, acha kulalamika tafuta hela sio mserereko.
@issawamba6233
@issawamba6233 Жыл бұрын
Wewe jamaa ni mjimga sana. Sikilia hoja ya muongeaji
@joycekaishozi1177
@joycekaishozi1177 Жыл бұрын
dk 20:29
@maxmia100
@maxmia100 Жыл бұрын
Mwana FA fala tu kaingia kwenye siasa za kalia hana lolote kwanza toka aingie hajafanya chochote
@michaeljustine2367
@michaeljustine2367 Жыл бұрын
Kuna vitu nimeshangaa hapa...Zuchu Hana nyumba?Kumbe umaarufu ni uwaki tu
@robsondalink6206
@robsondalink6206 Жыл бұрын
Ndo maan walikufunga lazima uwe na hasira maan kutoka udiwan had kua chawa mchezo😂😂😂
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 Жыл бұрын
Sasa aliekwambia udiwani unahela ni nani
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 Жыл бұрын
Ukitaka kulalamikia hela za bank kwanza inabidi ujiulize bank wanazitoa wapi hizo ni akiba za watu watazimwaga tu kwa mtu bila vigezo eti kisa ni msanii anaimba bank zingekuwa zimeishakufa
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 Жыл бұрын
Hajalalamikia bank elewa kinachozungumzwa.....rais ametoa fungu kwaajili ya kukopeshwa wasanii kwamaana kama vile mikopo ya chuo....wanatakiwa kupewa mikopo kwa mashart nafuu kama ambavyo hata hao wafanya biashara kila cku wanalia mashart magumu
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
Mbona tofauti? Na unachosema?😂😂
@augustinhopastory1142
@augustinhopastory1142 Жыл бұрын
Hujui unachokiandika
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 Жыл бұрын
Wewe shule ulifaulu hata kgd kweli?😂😂
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 Жыл бұрын
Kuna bil 30 imetolewa na serikali kwa ajili ya wasanii imepelekwa bank
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 Жыл бұрын
Unataka ukopeshwe ukacheze kamari. na ukalewe haiwezekani
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Жыл бұрын
#baba levo fundi majumba kubwa lao tukupe Maua yako
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Жыл бұрын
Wasanii hawapaswi kupewa mikopo maana ni genge la ccm mikopo wapewe akina mama na wadada huyu mfano akipewa mkopo anakwenda kucheza kamali na pombe ovyo sana hawa
@bonabonala5559
@bonabonala5559 Жыл бұрын
mwana fa usimsimsikirize chawa kama mwijaku huyo
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 Жыл бұрын
Alimsaliti muulizeni Sugu atawaambia jamaa yupoje
@adambakule7066
@adambakule7066 Жыл бұрын
Kumbe zuchu hana nyumba? Aisee!
@nassornamosa4235
@nassornamosa4235 Жыл бұрын
Kuna muda hta saa mbovu inasem ukwel
@mudigames5479
@mudigames5479 Жыл бұрын
😅million 500? Au anamuongelea Harmonize? Na kulipa lile deni la Wasaf? Alikopeshwa na mkuu? Dah😢😅 Cjui
@IbrahimSaid-d5h
@IbrahimSaid-d5h Жыл бұрын
Saa mbovu kuna muda inasema kweli
@denisngowi2955
@denisngowi2955 Жыл бұрын
Huyu jamaa aelewi mifumo ya pesa ndio maana anaongea ivyo yane ww ulete maneno matupu mtu akupe m10 ivi uyo anae toa iyo pesa atakuwa na akili timam kweli? Kuusu kampuni ya kusambaza muziki ziksanyie serekali pesa kwanini msiende kukopa kwenye hayo makampuni ya kusambaza mziki alafu muwape mziki wenu waize alafu wajilipe? Sikubaliani na babalevo hata kidogo wasabi wengi mnapenda anasa na maisha ya juu angalia uwezo Hamna ninachoomba nikwamba kama wanataka pesa waunde vikundivyao vya watu kumi kama Inavyo fanyika kwenye vikundi vya mikopo kwa vijana lasiivyo serekali itapata asara kilasiku ninachosema hata maandiko yanasema mwenyenacho ataongezewa na asifanya kazi asile kwakweli lazima uoneshe juhudi ili ili usaidike kuusu mirahaba hii ni changamoto lazima serekali ilifanyie kazi kwa karibu na kwa utashi nikirudi kwa wa sanii Bado na kazia thamana ni lazima au wathamin nilazima napia Bado kuwa na nyumba sio kigezo chakupata mkopo unaweza pia kuwa na nyumba na Bado ukakosa mkopo hata iyo milion15 wanayo toa Bado serekali ijitafakar viziri hili ni janga lazima tuseme kweli
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Жыл бұрын
Hivi huyu baba ni msanii?😊
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
Unaonaje?
@shaaonga4894
@shaaonga4894 Жыл бұрын
Wewe upewe mkopo .wafanya biashara wadogo wadogo wa mtaani wapewe nini.nawakati nyie mnachezea mahera kila sikuuu
@abdulrahmanbakar3818
@abdulrahmanbakar3818 Жыл бұрын
Tatizo la ufara wko ww ni mmoja tu unapokua seriouse katika kutetea haki za jamii uwe seriouse katila kila sector unaleta ushbiki kwenye kitu cha uharisia unawezaje ku mention majina ya wasanii bora wa tz ukamruka aly kiba acja unazu ndomana hadi leo unalilia mkopo .bado sana wngine mmeumbwa kwa nyota ya ngazi tu utaishiwa kutumika kina daiomond watajilike
@fazeelshomary2704
@fazeelshomary2704 Жыл бұрын
Mbona kiba kamtaja sana leo kwenye press conference full
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Toa tigo
@owenmutale8686
@owenmutale8686 Жыл бұрын
Pole naona utakuwa ziro brein
@leahzuu6468
@leahzuu6468 Жыл бұрын
😂😂ww no zero
@jenahando2747
@jenahando2747 Жыл бұрын
Aisee your brain ni ziiiiii!
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 Жыл бұрын
Halafu huku kwenye vituo vya Radio wanakaba na mainvoice kila mala,sasa wanagawaje?
@zamalisaide3209
@zamalisaide3209 Жыл бұрын
Sio vinzuli kumdhalau mtu
@fredrickmapunda3110
@fredrickmapunda3110 Жыл бұрын
Muziki ni sehem tu ya Sanaa mbona Sanaa ziponyingi nahawalalamiki? Acha uzwazwa wewe mwanaume unanungunika.
@pitosjuma7224
@pitosjuma7224 Жыл бұрын
Ebanee, kumbe usimkatie tamaa mutu ,
@JoelAlex-z1x
@JoelAlex-z1x Жыл бұрын
Hilo jambo tukupe wewe baba levo ukapambanie
@khadjamhozya
@khadjamhozya Жыл бұрын
Sikupendiii mipua mikubwaa🤧🤧🤧🤧🤧
@MeksonyJoseph
@MeksonyJoseph Жыл бұрын
Mama ako ana mpenda huna jinsi ndio baba ako
@bibliakitabukitamu6015
@bibliakitabukitamu6015 Жыл бұрын
Nimekushangaa kwa kusema hii point to geuza iyo koment iwe nimetoka kwangu na ni nakwambia ww alafu uniambie umejiskiaje
@williamkeita1519
@williamkeita1519 Жыл бұрын
Umekopa
@zachaamaster5378
@zachaamaster5378 Жыл бұрын
#ww kichwa mavi pita uku
@supermwinula8531
@supermwinula8531 Жыл бұрын
Ukiachana na uyanga unajua kuongea
@kilonzokallage6159
@kilonzokallage6159 Жыл бұрын
Huyu jamaa ana vipaji na uwezo mkubwa,ni msanii,ni comedian,ni mwanasiasa. Wasanii mpeni nafasi huyu awasemee acheni kuangalia heka heka zake za matangazo za kutafuta pesa.
@saidimkome3818
@saidimkome3818 Жыл бұрын
Acha siasa wewe ulikuwa diwani kigoma ulifanya nn?
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 Жыл бұрын
Soko la jioni
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 Жыл бұрын
9😊😅😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😅😊😅😅😅😮😊😊😊
@Bokajr453
@Bokajr453 Жыл бұрын
100🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂
#LIVE: BABA LEVO ANAFUNGUKA MUDA HUU
34:05
Millard Ayo
Рет қаралды 24 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 33 МЛН
OYUNCAK MİKROFON İLE TRAFİK LAMBASINI DEĞİŞTİRDİ 😱
00:17
Melih Taşçı
Рет қаралды 13 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 23 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 33 МЛН