Nimependa milliard Ayo ametupa full story sio kama source nyingine zinatoa habari ambayo hajakamilika , hongera sana team nzima ya Millard Ayo
@fridamusa81523 жыл бұрын
Ndmn huwa nkisia habar naingia kwa millard ayo
@emmanuelzao3 жыл бұрын
Kuna baadhi ya maneno ameyaficha lakini.😁
@CAPTAIN_GALAXY133 жыл бұрын
@@emmanuelzao ᴷᴬᴹᴬ???
@aliazakumba48263 жыл бұрын
Mbona ata milad katoa clip nusunusu au hujazionana acha kukurupuka fatilia atayeye anazo zanusunusu
@kajikaone3 жыл бұрын
Kwanzia leo Harmonize akitoa nyimbo nitakuwa naiwatch KZbin kishenzi. Love from 254 🇰🇪🇰🇪
@elleno41193 жыл бұрын
Same here
@delamioiangelz59523 жыл бұрын
Same
@peterdavid42303 жыл бұрын
same to me
@bodosam77983 жыл бұрын
Ungefanya hivyo ngoma za Kenya ingekuwa vyema zaidi
@kajikaone3 жыл бұрын
@@bodosam7798 ngoma gani sasa mko nazo. Mimi nikae chini nisikie sijui sipangwingwi. Una wazimu. Kina sauti sol, nameless wako sawa,Otile brown etc but ukweli ni kuwa nyimbo mob ni bogus tu hazibambi.
@mjosebounchezkuchez55753 жыл бұрын
My respect for harmonize has increased to another level,,,amevumilia Kondegang Never give Up
@jumasago10843 жыл бұрын
Binadamu hawana wema, watakuchekea usoni, ukiwapa kisogo wanakusema.NEVER GIVE UP bro keep on moving.
@spro2523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e6jWg3ybeKyom9k
@ffreed62953 жыл бұрын
Unajua nu vizuri ukiajiriwa ukifanya kazi, ufanye bidii utoke ufungue kampuni yako uanze kazi nawe na uajiri watu.! Huyu kijana aliamua kuanza kivyake! Am proud of you harmonize. I will get your contacts and bring you to europe. Be patient😘😍u r on my list and we gonna talk more soon.
@cyriacuskakira11013 жыл бұрын
Aiseeh!😥 Ubinadamu ni kazi sana. Pole sana Harmonize na salute kwako! Umepitia mengi mno ambayo yanafanya ya sisi wengine tuone kumbe ni kama hatujapitia magumu hata! Keep going Harmonize🙏🙏🙏
@etakwadaniel3 жыл бұрын
Kondeboy is the definition of a true gentleman.all this time just being silent with all this pressure.i salute.love you song bro
@Kingtiger983 жыл бұрын
Hj. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@eddyemmy48073 жыл бұрын
Kama unampenda konde boy gonga like
@DogoDicks Жыл бұрын
Nipoa
@mikecycle-ze4pj Жыл бұрын
Konde geng for everybody
@angelacheboi65893 жыл бұрын
Harmonize... Kile Mungu amekupangia, kitakuwa chako daima. I swear you're so humble, you're patient and sincere. Your journey is teaching a lot!! I'm glad you're now independent and outstanding. May you shine forever. More love from 254❣️❣️
@Shannyreigns973 жыл бұрын
Mimi I started loving Harmonize the moment alitoka WCB....I loooooove him!!!🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nelsonmataba14263 жыл бұрын
Huyu jamaa kweli ni jeshi..✊🏾
@nzeyimanamwavita19043 жыл бұрын
Ni jeshii kweli kabisa mungu hatamsadiya
@nainaiblack17893 жыл бұрын
Namuelewa tangu akiwa wcb na msanii wangu niliyekuwa namuelewa ni huyu kuliko wt alivyohama Nani nikahama
@whyjay0143 жыл бұрын
At first I didn't feel the pain but after the reshuffling time of the termination contract goosebumps started to form😥😥😥this man has a great ❤️💜
@bibiabdallah17643 жыл бұрын
This guy he is talking from deep down of his heart haki, and there is alot of sincerity in his words. Keeping moving bro, and you shall conquer.
@millitophynotv3 жыл бұрын
Leo ndio nimemuelewa Harmonize...Inauma lakin kuanzia leo naona umepona 💯💯💯
@mosesouma28713 жыл бұрын
What Erick Omondi is fighting for is right ...we need to listen our own music
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
Pole sana konde boy kumbe umepitiaa mengi sana. Domo kumbe sio mtu mzuri na team yake yote ya wcb. Kuanzia Leo I'm your number one fan inshallah.
@tanntiger12063 жыл бұрын
Duuuuuh gata mambo so poa
@mahmoudaziz47173 жыл бұрын
@@tanntiger1206 Noma😂✌️🇹🇿
@Ben-gj6is3 жыл бұрын
kwa hii interview pekeyake, kaisambaratisha WCB yote na maubaya yao...God is on your side bro!! umeshachukua NUsu ya followers wote wa hao wanafiki..big up konde boy
@wellbrand34153 жыл бұрын
There are no negatives in life, only challenges to overcome that will make you stronger. CONCERNED BUT NOT CONSUMED! Beautiful souls are shaped by ugly experiences. Keep going #jeshi #harmonize
@markmwambaji29373 жыл бұрын
Na huu ndio mfano mzuri wa kikulacho kinguoni mwako.. Ila bro wewe ni JESHI let no one tell you otherwise.. am proud ulifanya uamuzi mzuri kutoka Kwa hao wanadamu kupe..
@SalimSalim-bv3wb3 жыл бұрын
Ni kawaida kwa mfanyikazi kula 40% na boss kula 60% tuulizeni sisi tunaoishi na commission ndiyo tunajua,kwa mfano umerediwa music bure,audio bure,mavazi bure,ticket ya ndege bure sasa wataka ukifanya show upewe ngapi??????
@getrudamartin24092 жыл бұрын
@@SalimSalim-bv3wb sikia stor yake vizuri alikubalian n yote kukatwa asilimia sema alitoka wcb maneno yalizid hao machawa wa diamond walikua wanamwambia diamond kua makin n harmonize atakupita kimziki bifu ndo lilianza hapo source ni kupitwa kimziki
@ozacsic28323 жыл бұрын
Woooo i never saw this side of a coin. Harmoniz is a strong guy much respect. U gat my surpot from today onwards
@ombenisanga29273 жыл бұрын
Daa nimeangalia hii interview nimejifunza mengi kwakweli ,mungu akusimamie Sana harmonize upo kwenye vita Kali Sana ⛪⛪
@MrMindsettz3 жыл бұрын
Du Pole sana #Harmonize , sikujua ukweli Mimi shabiki wa mziki tu kawaida but niliwaza hivo kuwa umeleta jeuri sababu unajiba umemdharau Diamond kumbe ndo Vita ilikuwa Kali hivo mpaka nimeumia mazee but I'm happy because you still growing day after day Mungu hajakutupa so keep going man as you Sang #Never_give_up.
@SalimSalim-bv3wb3 жыл бұрын
We sidhani hata kama unaelewa music
@rummyheenatutorials60683 жыл бұрын
Never seen a human being so humble and strong.... U are an icon to humanity
@Kingtiger983 жыл бұрын
Ui0. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@angelohakizimana4723 жыл бұрын
Bro mungu azidi kukupambania
@clarawella26363 жыл бұрын
I agree
@crementinajoseph33972 жыл бұрын
I agree
@lattoirene88153 жыл бұрын
Listening to what this guy is saying, hurts most.. Watching in tears😭😭😭. Never knew what you went through bro but I know God is working something beautiful in your life.. Watching from Kenya. Hugs
@husnamadai70523 жыл бұрын
Watu kama hao wengi tu cyo kwenye mziki tu
@shabansaleem42773 жыл бұрын
@@husnamadai7052 0
@husnamadai70523 жыл бұрын
@@shabansaleem4277 ?
@roseboaz18193 жыл бұрын
Eti mwambie atume e-mail niconfirm kuonana na yeye,dah nyie maisha aya...pole Harmo...hapa hamna ata haja yakusema nisubir niskilize upande wa pili maana namjua ni muongo,atakuja na maneno kibao yakujikosha ili afute hii aibu lakini atagonga mwamba..we love you and we encourage you to go even far.MUNGU ni wetu sote.
@fatmaabdul14073 жыл бұрын
Saana!!
@salomelisence3163 жыл бұрын
I have shed tears knowing that there someone somewhere going through the same manipulation.Trust the process.Much love from Kenya🇰🇪
@jeffmunyi81723 жыл бұрын
Hii ni story yake ni inspiration kwa wengi .Hata wakuonee Kijicho Mungu hampi baraka yako mwingine.Ata wakuwekee vikwazo
@asmaingabire26863 жыл бұрын
Ata usowako hamuna uwongo kabisa huwogopeye mtu apo harmonize forever ❤️
@johnbenedicto89353 жыл бұрын
Kaongee wew
@johngervas29943 жыл бұрын
😁 😁 😂😂
@esterndullu3903 жыл бұрын
Harmonize 💪💪
@btylove18703 жыл бұрын
Roho imeniuma kuskia hii news kwa kweli! Harmonize wewe ni jeshi and we love your music baba. Endelea kupiga kazi baraka zinatoka kwa Mungu tu. Rizki yako iliandikwa tokea ungali tumboni kwa mama Kondeboy. Kweli wewe ni jeshiii🐘🐘💪💙💙 stay strong Konde🥰🙏
@vanevannesa71543 жыл бұрын
Much love from 254 🇰🇪🇰🇪
@btylove18703 жыл бұрын
@@vanevannesa7154 🙏💙
@princehajinson52323 жыл бұрын
Piga moyo konde aise endelea kupambana aise
@alexaiddan9793 жыл бұрын
Uyoo shoga tu ana lolote
@btylove18703 жыл бұрын
@@alexaiddan979 Mashoga huwa wanajuwana ndio maana unamuona shoga kwa sababu na wewe ni shoga! Harmonize/Tembo for life hutaki kufaaa😎
@lydiahsachita41473 жыл бұрын
Take heart Konde Boy, God will do you more than you can imagine
@kathylilians46683 жыл бұрын
He should be tanzanian number one musician,,,he is humble and very straight
@Kingtiger983 жыл бұрын
Ml. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@bonfacetumain25243 жыл бұрын
Hiyo story ni noma manze, Daaaaah! Harmonize you've poured out so much that I felt tears in my eyes. If it wasn't for the late Magufuli we don't know how this could have ended. Big up Jeshi much love Kenya. Endelea kuhustle pekee yako tembo.
@Kingtiger983 жыл бұрын
Bh. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@mugalansekelele9093 жыл бұрын
I'm a Zambian bt your story is so emotional😢...Surely, I think there's jxt something to why I've never loved Diamond Platnumz n I guess this is the damn thing...So sad man. Edit: Simba is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 He deserves flowers while he's still able to smell em...because he has mentored so many talents who are now stars🏆👑
@ilovejesus93033 жыл бұрын
Big up Harmonize for opening up. Nlikuwa sio fan wako lakini I salute you. Will start supporting your music
@bolingomwana59633 жыл бұрын
Welcome to the big gang
@dijjer_khalidy73533 жыл бұрын
Me too, I give up on Wasafi😏😏😏😏
@mutulamashondo34623 жыл бұрын
Big up Tembo
@mymunamymuna48073 жыл бұрын
Hormonize mungu atazidi kujufungulia kila lenye kheir nawenye kukutakia mabaya mungu atawashinda
@ilovejesus93033 жыл бұрын
@@bolingomwana5963 thanks so much. Kwakweli naishi nje but hata alipokuja Minnesota siku enda, ila baada ya kutoa ya moyoni roho imeniuma. Ni kijana mchakarikaji aliyekuwa anapewa lawama for no reason😢😢
@gacheruleah803 жыл бұрын
Harmonize has shown alot of wisdom since the whole scandle between him and Diamond started. He's remained silent no matter how many times Diamond pocks his nose. Diamond has had disagreements with so many artists in Tanzania including my favorite Ali kiba, meaning he's the problem. He believes that no one should be ahead of him in music career. He wants them to stagnant where there are as he remains at the top..
@tallybance3 жыл бұрын
That's Capitalism. The best always succeed and if you can't keep up get out of the game. I understand your concern is all about his way of dealing with competition but that's business 😅.
@sogag.27673 жыл бұрын
@@tallybance That is called EXTORTION, not business!
@Kingtiger983 жыл бұрын
Y. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@franciskarera5453 жыл бұрын
@@tallybance Capitalism is letting the market choose bana. Hio ya diamond ni cowardice yaani kua mwoga
@omwengaomwenga97433 жыл бұрын
it happens all over africa
@evaristmbunde79473 жыл бұрын
Kaka napenda kukuakikishia Kama haya yote unayosema yanaukweli ndani yake na umeweza kuyavumilia kwa kipindi kirefu kesho yako Ni kubwa Sana naachilia baraka zote mungu awe nawe katika mziki wako, Amina
@ibrahdimpoz58203 жыл бұрын
Mambo yama Team yamesababisha watu tukuchukie bila kujuwa tatizo kwahilo tunaomba msama kwa kukuchukia Matatizo ni sehem ya maisha kwa kila binaadam Now naamini wewe ni JESHI Mda wote huu kuyabeba kifuwani ukweli wa mambo yote hayo.Daaah Respect Jeshi🙌🏾🇧🇮🇹🇿
@karimmkejina9803 жыл бұрын
Ww unaamini vip kama aliyoyaongea ni ya kweli au uongo?
@princegerard47043 жыл бұрын
@@karimmkejina980 Tupe wewe ukweli ambao utaongea tuuamini mkuu
@7evenlyrics1543 жыл бұрын
Kabisa broh am a Kenyn but inauma sanaa yaani kushuhudia taifa stars ikichezwa anakatwa😭
@mosesdeogratius64823 жыл бұрын
@@karimmkejina980 kama ni uongo mwambie domo wako ajitokeze hadharani apinge na alete ukweli halisi
@Kingtiger983 жыл бұрын
Hu. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@Dalaman103 жыл бұрын
Welcome back jeshi. Tuko na wewe. Unajitahid lakini tunajua wcb wanajitahidi sana kukuporomosha. Wala usiwaangalie endelea na kazi zako. Unajitahidi sana na tunaona. Na wao hawapendi maendeleo yako. Kila siku wao wanaku attack. Tumewachoka
@Idafa3 жыл бұрын
Duh! He's very humble. Very talented. Keep praying and staying true to yourself and you will be where God intended you to be. Next time you come to the US I will make sure I attend your show and will bring many people with me. God bless you and be strong.
@sashapendo49073 жыл бұрын
I used to really hate him but now getting his side of the story makes me give him all the respect...🙌🏻♥
@Kingtiger983 жыл бұрын
H7. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@emmanuelyambo41433 жыл бұрын
This is a lesson that we should always hear both sides of the story.
@magembesitta56573 жыл бұрын
Jeshiii yupo sawa asilimia 10000
@Rennyburito3 жыл бұрын
True, I love this guy
@slowmenino78043 жыл бұрын
how can u hate someone who doesn't know u fala wewe
@ephraimnjoroge84803 жыл бұрын
After this interview I've just liked the man.. Bongo si mambo yangu lkni nimempa sabuskripshon... Kumbe Diamond mchawi
@evahkinyua14863 жыл бұрын
The love I have for u aaaaw especially matatizo...it lifts me...mob love from kenya
@Nadia-ii9kl3 жыл бұрын
😭😭😭😭🥺🥺 such a humble human being.. mad respect to you harmo, you deserve more and by the grace of God you will get more❤️❤️ -your Idaho fan👊🏽
@Blue-vk5ce3 жыл бұрын
He really is very humble person, I cried when he talked about his mom. Amepitia mengi mno God bless him
@ahmedsdk67363 жыл бұрын
Official nimehamia Konde Boy ❤️ Much love to this Guy
@kennedykipruto12673 жыл бұрын
Hama kabisa wacha si tubaki wasafi
@Officialrockzompa3 жыл бұрын
Welcome
@ahmedsdk67363 жыл бұрын
@@Officialrockzompa Nimesha pewa Kadi Mzee
@ahmedsdk67363 жыл бұрын
@@kennedykipruto1267 ww bak kwenye dhurma
@jeniphachristian21313 жыл бұрын
@@ahmedsdk6736 😂😂😂😂 situation aliyonayo mond n mbaya Zaid kuliko huyu aloongea ili aonewe huruma. Sikuzote mtoto wa kambo hanaga shukran n wachache wanaojua kumshukuru, ukimlea mtoto haijalishi umemleaje either kwa kipigo au kumdekeza hii haimaanish akikuwa akulipe hy😂😂😂😂 acha tuone
@freddyugzofficial55983 жыл бұрын
90% fans here in Uganda 🇺🇬 harmonize straight to the world
@kijonalusay3 жыл бұрын
Me team kiba ila pole sana mze umezidi kuinspire watu wengi kwa uthubutu wako na upambanaji wako keep it on mze mwisho nadhani watu ndo wataelewa kwanini Alikiba alikataa kumpa kiganja cha mkono mdomo thank you sir✌️❤️🇹🇿🇨🇦
@jenifajuma53953 жыл бұрын
Kabisaaa
@mamaamourtamba78013 жыл бұрын
kwamba alitaka kumchota nyota 😀
@kijonalusay3 жыл бұрын
@@mamaamourtamba7801 haswaaa🤣
@lylyanefletcher69583 жыл бұрын
@@mamaamourtamba7801 😹😹😹😹😹
@Nedjadist3 жыл бұрын
Why this guy is not a number one in tz? Such an eloquent, humble، confident....and has a meaningful music
@hamzayusuf29993 жыл бұрын
mitanzaniya hayapunguwi kuwa mijinga ni mijinga ya mwinsho katika duniya
@mosesbendera67963 жыл бұрын
@@hamzayusuf2999 kuwa na akili ww
@mbujibuibrahim19303 жыл бұрын
Ffffgggggggggggfffffffggffggfggffgtggggdpdp
@mbujibuibrahim19303 жыл бұрын
L
@biddeux99673 жыл бұрын
Mikunye
@rabrab80733 жыл бұрын
Binadamu bwana Mm nilimpenda harmoo tangia happ mwanzoo Much love ❤from here Iraq 🇮🇶
@WebTechExperts3 жыл бұрын
Not only Harmonize is wise, but he is kind of Kanye of Africa. He is a genius and my only prayer is he succeeds forever.
@Kingtiger983 жыл бұрын
Bj. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@sumahtanzania49913 жыл бұрын
I LOVE YOU SO MUCH MY BROTHER HARMONIZE UKWELI NI MZURI SANA UNAKUWEKA HURU CONGRATULATIONS
@Kingtiger983 жыл бұрын
Oo. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@KIPUDA20213 жыл бұрын
Gud
@CPMusic2543 жыл бұрын
The fact that you are still calling Diamond Bro shows the respect you have for yourself and to others. And this confirms how disciplined you are as a man. Mungu yupo na malipo ni hapa hapa duniani. Ipo siku.
@KelvoTushf3 жыл бұрын
Jeeshi. Big up bro we never knew the truth but now we know."NEVER GIVE UP" we LOVE ur music
@beryviolet39403 жыл бұрын
Waaah this is so sad ...big up bro its good u have opened up.
@Kingtiger983 жыл бұрын
N Nv hj. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@augustinemulaa29833 жыл бұрын
Never has tears rolled down my cheeks in a long time....be blessed Harmonize...
@Kingtiger983 жыл бұрын
8u. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@ednabwatuti48563 жыл бұрын
me too it so sad
@spro2523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e6jWg3ybeKyom9k
@omaryally92683 жыл бұрын
Really
@alunimwashimanga Жыл бұрын
@@ednabwatuti4856uqakika
@chazm96033 жыл бұрын
This interview makes sense of what artustes go through with bad management. Diamond is jealous of anyone who is making it in life. Its a record label, your artists should blow up more than you if at all you have their interests at heart. I'm happy that JESHI held it down and is vindicated from all the paid gossipers on radio, tv and social media who tarnish his name on a daily basis. WCB should focus on their artists, stop following former artusts if at all you're confident about yourselves. #KondeGangGang @Harmonize milele.
@spro2523 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/e6jWg3ybeKyom9k
@FlorianAntony4 ай бұрын
Umetisha kaka
@makakawillys41333 жыл бұрын
I’m so sorry for the difficult time you've sailed through. I don’t know what to say, except that Keep the faith. Things are going to start looking up soon bro.....Don’t let anyone dull your sparkle, you're unique
@Kingtiger983 жыл бұрын
6u. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@jennytugara94703 жыл бұрын
Sorry but what happened to him? You said difficult time when and where?
@makakawillys41333 жыл бұрын
@@jennytugara9470 kindly replay the video clip to comprehend what the dude went through before the intervention of the late Dr Magufuli, Tanzania President
@jennytugara94703 жыл бұрын
@@makakawillys4133 got it thanks
@makakawillys41333 жыл бұрын
@@jennytugara9470 You welcome dear
@PRINCELUCKY_EastAfrica3 жыл бұрын
Daaaaah kweli Jeshi alishayapitia. Simba kweli Roho yake mawe🥺🥺🥺🥺 Jeshi KONDE GANG FOR EVERYBODY
@levimasinde53363 жыл бұрын
Never give up,,am a Kenyan and tunakupenda na tunapenda nyimbo zake bro keep up God never disappoints
@innocentwilliam16693 жыл бұрын
Yaani uwezi amini nimewaweka wa Zambia shule kuwatafisiriya anachosema homanaiz mpaka wamechoma nguwo ya Diamondi big up hamonaiz
@alphonceatanas78633 жыл бұрын
Safi sana kaz mzuri
@lylyanefletcher69583 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣am dying
@innocentwilliam16693 жыл бұрын
@@lylyanefletcher6958 good
@lizlee96903 жыл бұрын
🤣🤣
@agneskighenda37953 жыл бұрын
Wow, story imeninyima raha siku nzima! I am officially your forever fan!
@jackokal80143 жыл бұрын
Heshima kwako Jeshi. Wimbo wako wa 'wapo' ni fundisho tosha. Akasema professor J kuwa dunia jalala ,litazame kwa jicho la tatu. Much love from Homa Bay county, KENYA.
@graceelkana92463 жыл бұрын
He has gone through alot!! It's good he is speaking up hope he gets through this and continues with his music...Never Give up!!
@Kingtiger983 жыл бұрын
Hu. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@rindanolenjeka71703 жыл бұрын
Vp
@husseinmohamed17773 жыл бұрын
Jeshi hagive up. Called himself Soldier for a reason
@Blue-vk5ce3 жыл бұрын
Yes amepitia mengi mno it's good he let all out, God bless him
@Kingtiger983 жыл бұрын
2. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@geraldoluoch94793 жыл бұрын
This man is strong nakubali uitwe jeshi...God is the only being that can bless you sio binadamu🇰🇪🇰🇪 tunakusupport 🙏🙏
@sammusic39423 жыл бұрын
Fact
@hamiduchipalu59453 жыл бұрын
Harmonize ni bora umetua mzigo ambao umekaa nao muda mrefu sana
@neemamalecela15633 жыл бұрын
Dah! umepitia mengi broo, that real your the Jeshi. keep going broo Never give up since day one nakuelewa nakukubali.
@aoifekatunge303 жыл бұрын
Sijawahi kuona ubaya wa Harmonize na hajawahi kumuongelelea vibaya Diamond ila WCB kila siku wanamuattack..freedom is here with us team konde gang..much love from Kenya
@nakimteti72493 жыл бұрын
hajawahi !!!! nyimbo kibao sna dis... amedis adi kuhusu mondi kumpotezea baba ake wa kambo.
@febamohammed29893 жыл бұрын
@@nakimteti7249 alianza domo kumdiss na kusema "amezidi ubonge ila kwa mziki bado sana"
@chausikuzahoro34833 жыл бұрын
@@nakimteti7249 kweli nafkinafki Sana hili jamaa 😂😂😂anapenda kujitilisha huruma nawatu wameingia kingi, hanaga shukran huyu 😂😂😂
@juliusemonyi28483 жыл бұрын
@@nakimteti7249 umetumwa na Diamond wewe
@joladhiraven3 жыл бұрын
Now we know why Harmonize was soo much affected and cried out loud when President John passed away we might have judged him in a bad way As show off BT until today, he was soo close to him and he remembers how he helped him,Sky is just the lower limit Jeshi keep ya head up!
@Kingtiger983 жыл бұрын
B. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@samiaselemani50943 жыл бұрын
Kabisa
@gaudenciamallya9779 Жыл бұрын
Sichokaji kusikiliza hii interview ya Harmonize. Mungu aendelee kukusimamia Jeshi. Kujiamini kuzurii!
@bahatynangy13813 жыл бұрын
Nimejua ukweli Mdogo wangu! Pambana Allah yupo pamoja nawe😘
@jonylaxar75283 жыл бұрын
I fell you for real...Only family you can relay on not even relatives .... Big up KONDEBOY... FOREVER IN YOUR PATH....AND SOMEDAY WE WILL MEET
@emanuelnasola1893 жыл бұрын
Ngtk
@Kingtiger983 жыл бұрын
Jhg. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@cnyuamfalme71073 жыл бұрын
80% of Kenyans are Harmonize fans. Konde boy to the world.
@zephermwango22583 жыл бұрын
80% wagani wewe??😂😂,hebu jisemee.Harmonize does not support Kenyan music hata!!!, Heri Alikiba Na Rayvanny
@itgamingke3 жыл бұрын
@@zephermwango2258 it's true he's not lying
@zephermwango22583 жыл бұрын
@@itgamingke harmo does not even care about Kenyan fans,same with Diamond,hawana haja na kufanya collabo huku,
@4dakulture6513 жыл бұрын
Harmo anakuja Kenya December-atafanya shows na kutoa EP na wasanii wa Kenya,itaitwa GENGE-FLAVOUR
@allankimbi63273 жыл бұрын
Kumbe diamond anaroho mbaya hivyo pambana kk
@Agnes-qq4np3 жыл бұрын
Pole sana harmonize anae kuelewa haraka ni mavoko ambae aliyapitia sisi wengine tutajuwa unadanganya
@bolingomwana59633 жыл бұрын
Hapo hakuna cha kudanganya its means alivumilia vya kutosha now imebidi juu nkama walikua wanamforce
@bolingomwana59633 жыл бұрын
Hapo hakuna cha kudanganya its means alivumilia vya kutosha now imebidi juu nkama walikua wanamforce
@rajabunjadika4553 жыл бұрын
Huyu snichi wa mavoko
@nyamohangagisire91653 жыл бұрын
nina asilimia nyingi kweli karibia 100 hajadanganya mpk ametaja viongozi wakubwa wa nchi humo ujue rais, waziri huwezi danganya kwa kiasi hicho
@rozbelmwashia6233 жыл бұрын
He is not lying hakuna uongo hapa mtu hawezi sema uongo na hii expression yote the guy is telling the truth
@purposeinsuranceagency66953 жыл бұрын
I never imagined diamond can do this. Pole harmonize may God bless you
@meddeck3 жыл бұрын
Really? That's right up his alley! He's evil to the core!
@Kingtiger983 жыл бұрын
Qa. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@Kasweetie_2543 жыл бұрын
Just like his mom
@meddeck3 жыл бұрын
@@Kasweetie_254 apple-tree
@doreennasike62983 жыл бұрын
May almighty God continue protecting you against all odds 🙏🙏🙏Kondegang....I love your honest and wisdom (mungu akatete nao wanao teta nawe,akapigane na wanao pigana nawe🙏🙏🙌)
@ibrahimmkala43363 жыл бұрын
Wewe ni JESHI......got my respect 🤝..umeyatoa yote ya moyoni daaah tz tuache uteam na hii ni mbaya.....dai will never recover from this....pambana konde boy...DONT GIVE UP💪💪
@Winnie____3 жыл бұрын
After watching this.... Let's all go and stream the new album let's support him I swear 🙂 if you want it like it
@rozbelmwashia6233 жыл бұрын
Let's go go go
@rizikislife98753 жыл бұрын
I'm there already 🤪
@crystopanda62873 жыл бұрын
I will forever support Harmonize and Konde Gang. Much love from Juba south Sudan 🇸🇸🇸🇸🇸🇸
@ywconline28173 жыл бұрын
Kama umelisikia lengo la Harmonize like chapuuuuu mwaisa
@evelynejuvenary26313 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe ndugu yangu... Kwenye maisha mengi tunapitia kabisaaa... Kikubwa ni kutokukata tamaa kabisa.... Mwenyezi Mungu anakupa mtihani ambao unaweza kuubeba na ndo maana umeweza kusimama Tena. Binafsi nakupenda Sana Harmonize na naikubali Sana kazi yako. Keep it up 😘🙏
@anicyaedward56053 жыл бұрын
One million ❤️❤️❤️Harmonize is genius hutaki basi
@dianaketegwe81473 жыл бұрын
Konde gang for everybody Team Konde for life I’ve always loved and appreciated this man. You inspire me a lot. Thanks brother
@samiraahmed89663 жыл бұрын
Leo unaweza lala kwa amani kabisa maana umeutua mzigo kifuani ogopa sana mtu aliyekaa kimya siku akiamua kuharisha utajua hujui
@babaluxe86263 жыл бұрын
Kweli kabisa
@lindambilinyi62533 жыл бұрын
Kabisaaa
@maryjkiosa33803 жыл бұрын
Kweli kabisa namuonea Hadi Imani ..Ila mungu yupo na niwetu zote 🙌
@sammusic39423 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
@Wennsleymusic3 жыл бұрын
𝑑𝑖𝑎𝑚𝑜𝑛𝑑 𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑎𝑛𝑎𝑠𝑎𝑓𝑖𝑟𝑖𝑎 𝑛𝑦𝑜𝑡𝑎 𝑦𝑎 ℎ𝑎𝑟𝑚𝑜𝑛𝑖𝑧𝑒
@andrewyona25523 жыл бұрын
A guy is very humble, jamaa ni mvumilivu sana, and this is a true definition of JESHI .. binafsi interview imenitoa chozi kumbe jamaa amepitia fitna nyingi daah , don't give up man unanyota Kali sana !, God will be on ur side everyday 😥
@doricejoel61853 жыл бұрын
Endelea kumtegemea Mungu utafanikiwa,,siku zote mti wenye matunda upigwa mawe
@leahkabati60263 жыл бұрын
Aiseeee nimeumia sana kaka
@ramadhanipadon35773 жыл бұрын
😭😭😭😭😭It is so sad kiukwer, mwenyez Mungu akuongoze katika mapambano yako,penye nia pana njia, kikubwa dua.
@alpiusmwageni4753 жыл бұрын
Pole hamo kwa uliyopitia Mungu anakufanya uwe tembo ki mziki na simna atakuwa panya . Nilikuwa sijui hongera kwa kuweka ukweli nao ukweli utakuweka huru. Songa mbele hamonizer.
@moisenyamugabo42873 жыл бұрын
Félicitations bro ,Mungu aku shindiye bro ,kuna fasi uli imbaka matatizi yata kwisha lini, matatizo kila siku Maman.we pambana na Mungu aku saidiye, tuko nyuma yako .we love you .from DRC 🇨🇩🇨🇩
@douglaswafula96653 жыл бұрын
Harmonize you're my best artist forever I'm happy for you being open
@Xixoz3 жыл бұрын
Harmonize is great in Kenya more than the whole WCB 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vitisha89863 жыл бұрын
Speak for yourself and your family....In Kenya King Kiba is bigger than all tanzanians
@keritalk3 жыл бұрын
@@vitisha8986 Faith said more than the whole WCB not the whole Tanzanian artistes.
@chrismutinda4883 жыл бұрын
@@vitisha8986 Reread the statement
@babybaby-nw1xk Жыл бұрын
Hey at first nilikuona mbaya but after kusikiza hii story imefanya nikupende zaidi much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@emmanuellusambya78893 жыл бұрын
Much ❤️ from Kinshasa DRC 🇨🇩🇨🇩 to this dud#Harmo#. Trop fièr de toi, car c'est très profond, ce que tu viens de nous relater. Sois fort bro✊.
@derrick7were3 жыл бұрын
Harmonize speaks to many souls, Souls that go through similar or more complex conditions away from music. God does not give your blessing to anyone. May somebody be inspired today to walk away from toxic people. Be it family, your boss or client.
@Kingtiger983 жыл бұрын
Op. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@nyamusimel41762 жыл бұрын
Amen, truly said 🙏🏾
@254shorttrendystories43 жыл бұрын
I used to judge kondeboy now I understand….as the saying goes never judge a book by it’s cover ….now we know who the devil 👿 is.May God continue opening your path and protect you now that you’ve given us all the issues u faced.
@gmaqs3 жыл бұрын
Until the day the lion would learn to write its story, the hunter will always be glorified. Salute to Konde Boy.
@emmanuelyambo41433 жыл бұрын
Exactly!!!
@munyakatali75143 жыл бұрын
Umenikumbusha chinua chebe
@Vigilante_112C3 жыл бұрын
Kweli kupata nguvu za kunyamaza na mambo haya yote,Harmonize wewe uko na baraka kupindukia!!🇰🇪💯💯💯💯💯
@alexaiddan9793 жыл бұрын
Uyoo shoga tuh
@angelohakizimana4723 жыл бұрын
Kabisa jams ana moyo we cuma
@emmyminah12613 жыл бұрын
Sahih kabs mm na wew atuwezi😀
@VictoryCreatives3 жыл бұрын
You are the only Artist from east Africa who has reposted my dance challenge on TikTok ❤️❤️🚀🚀love you konde🇰🇪
@latishiernjeri3543 жыл бұрын
Sawa basi😂😂
@VictoryCreatives3 жыл бұрын
@@latishiernjeri354 umenifuata mpaka uku😂😂🔥🔥
@thimotheenduwimana41253 жыл бұрын
U deserve to be supported and think no one has your heart , what a humble man are u??? Proud of you
@Kingtiger983 жыл бұрын
Op. kzbin.info/www/bejne/gmGrhp-snJVkjqM
@lemooliltiraso92783 жыл бұрын
Proud of you harmonize, watching from Kenya,zGod bless you Ed ur journey,,keep it up bro
@Blue-vk5ce3 жыл бұрын
Very humble person
@halimasalum97013 жыл бұрын
V
@htx18733 жыл бұрын
They did him so wrong , wenye akili kama mimi tunajua ukweli, you are doing great harmo, I trust you way way more that the whole entire wasafi, Mimi siwapendi wale ni wanafki fm
@issamsunye37993 жыл бұрын
WCB washamba sana story yako inasikitisha sana mie kuanzia leo sitaki kuwasikia ata nyimbo zao nyau hao.
@raymond_anthony953 жыл бұрын
😁😁😁😁
@Manu-rl1pd3 жыл бұрын
This guy was ready to clear the air kabisaaa. Hakuna musician who can do an interview just from a long flight. Big up bro.
@reginakiponya64013 жыл бұрын
Kaza mwendo hamo mwenyezi mungu yuko pamoja nawe
@farida45953 жыл бұрын
Ila harmonz kavumlia SANA mwachen tu ateme nyongo 😭
@calebeslusheh94093 жыл бұрын
This is what great personalities go through...for greatness
@holyjoemusiq38053 жыл бұрын
It's your time Jeshiii! You are the number one huku Kenya asikwambie mtu, you are a fighter....stay strong n do your thing bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪