Point nzuri sana.. Kila mtoto ana talanta yake; academics, michezo,, miziki nk Asante kwa uelewa wako. Thanks lots kuelewesha watu🙏🏽
@angelinedanstan64423 жыл бұрын
Hongera sana.... mwanangu Mungu amsaidie nae atambe km hv siku moja hii ni nzr sana
@daudmwaipasi56723 жыл бұрын
Lecturer wetu huyo madam Beatrice hongera kwa kutuletea huyu TZ one
@jennytugara94703 жыл бұрын
Ni kweli Kabisa Mama asante kwa busara zako kuwa wa kwanza darasani sio kuwa wa kwanza kimaisha. Mungu amuangazia nyota yake ktk maisha.
@salustiashayo34863 жыл бұрын
Hee wewe na hiyo kauli yako unamaanisha nini mbona kama inakawivu ndani yake
@worldtv90493 жыл бұрын
Big up kwa wanaosoma kayumba na kupata one hadi four,shule ngum sana hizo😀😀
@tulisamwel413 жыл бұрын
Hongera sana binti. Hongera mama. Like mother, like daughter.Mungu azidi kukupandisha viwango vya juu zaidi
@jamilakelota65883 жыл бұрын
Mama amejaaliwa busara amemlisisha adi mtoto wake hongera sana Conso hongera mama ubarikiwe sana
@joeljohn63513 жыл бұрын
Huyu mama ajengewe sanamu maana hata alipoulizwa kuhusu kuwaambia wazaz wengne hajatamba wala nn kawaambia awashike mkono watoto wao either kwenye mziki au hata vitu vingne maana watoto wanatofautiana
@kabuladeogratis65533 жыл бұрын
Hongera mama un a busara Sana
@justinyohana50743 жыл бұрын
sanam la uyu mama naomba mlijenge hapa nyumbani kwangu kkoo
@omarypetro24193 жыл бұрын
Hongera sana mwanafunzi, hongereni wazazi - mola awabariki sana.
@pendokissatu9373 жыл бұрын
Wise words mama Thank you❤️
@josephyohana16243 жыл бұрын
Mungu amefanya kazi yake
@faudhiatmasoud40253 жыл бұрын
Mwenyez Mungu abariki matumbo yetu..Aaaamin!
@Kidotii3 жыл бұрын
Mama is wise kila mtoto anaweza ku excel kwenye eneo lake!
@mrsdeborahurio3 жыл бұрын
MADAM BEATRICE, UMENIFUNDISHA JUCO HONGERA SANA!
@michaelmpondamichael85933 жыл бұрын
Hongera sana mama kwakuza chuma madam
@issaomari52972 жыл бұрын
Nyumban kuna library kwann asiwe TO wakat wengne kuna magimbi tu kwnye mabeseni hahaahaaa ila bint yuko very serious sana
@agnessanga29403 жыл бұрын
She is so humble Hana Hata Matambo mama wa Watu
@stuartkudeba3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKubloeZrZWKsNk
@kabuladeogratis65533 жыл бұрын
Hongera sana kwa familia
@shamsamohamed63983 жыл бұрын
Wanaosemaga watoto wakike hawatakiwikusomeshwa sjuiwakowap dadeki Allah awazidishie kilalakher maanabado unasafarindef kielim mungu akutangulie
@boniphaciogoliama87833 жыл бұрын
Saizi wapo kuzimu dadek walininyanyasa sana kipind nasoma
@matatomlik18463 жыл бұрын
Maashallah
@summersunny10583 жыл бұрын
Ndo maana wanasema mtoto anarithi akili kutoka kwa upande wa mama
@jeremiahkilato2953 жыл бұрын
Nawapa siri, I.Q ya mtoto hurithiwa toka kwa mama na sio baba. Mama akiwa smart mtoto atakuwa smart. Mama akiwa kilaza mtoto atakuwa kilaza
@christinagideon9613 жыл бұрын
Hakuna kitu Kama ichoo mm mke Wang kichwani hakuna kitu kbs Ila mwanangu kichwaaa acha kufata biology za wazungu
@maloomaalmnsj51113 жыл бұрын
@@christinagideon961 mkeo zero😂😂🤣😂
@hellendaniel38093 жыл бұрын
Kabisa IQ ya mtoto 75% anarithi kwa mama
@hellendaniel38093 жыл бұрын
@@christinagideon961 nikweli hadanganyi. Fuatilia hili jambo
@youngbilioners46313 жыл бұрын
Sikweli Mimi nikilaza darasani mtaani Africa nimevuluga kibiashala lakini watoto wangu ni ma ginios
@mrgamers10463 жыл бұрын
Mashaallah
@hanafhamad28013 жыл бұрын
kuna wale wanao tokea maisha duni hawajui kesho kama watakula kama walicho kipata leo bc pia munge enda kuwapa moyo kwa7b wapo ambao wana division one lkn hakuna anae onesha support kwao
@isacknyaga1043 жыл бұрын
Umenena vyema kuna watu masikini Wana one maisha duni mm hyo hta simwonei wivu ila nyie watangazaji muwe mnaenda na vijijini
@lameckn98523 жыл бұрын
Mungu ibariki Tz
@chiefchacha29923 жыл бұрын
Before alikuwa muhadhiri St. John's
@shabanikamsawa1813 жыл бұрын
Shule zetu za kayumba VP mtuache2 na kayumba zetu kila cku nyie2 wa shule za mamilion hizo nafasi ni za kwenu tu maana wengi tuna angamia kwa sababu ya kipato
@judithsalvatory28923 жыл бұрын
Hongera sana
@beatricekamenge70003 жыл бұрын
Hongera Sana mwanangu jamani
@salimulaya41133 жыл бұрын
Wabongo shikamooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Lake_zone3 жыл бұрын
Ila maissha yanauchaguz sana daaaah yaani wanasoma shule kali na home wanamaktaba kubwa tu hivi
@hagarbills40233 жыл бұрын
Mungu amsimamie mtt
@sophiachacha59853 жыл бұрын
Hongera sanaaa..
@suzypaul45593 жыл бұрын
Mungu akuongoze zaidi.
@stuartkudeba3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKubloeZrZWKsNk
@edwardloya30563 жыл бұрын
Iv Tz one kuanzia 2010 saiz wanafanya kaz gan , au ndo wanaotakiwa kujiajir
@mhandogodfrey82343 жыл бұрын
Hongera mwalimu kwa malezi bora, nakukumbuka Jordan University Morogoro
@beatricekamenge70003 жыл бұрын
Wanabei gani Ada yako hiyo shule mpendwa
@mrsdeborahurio3 жыл бұрын
Kweli kabisa ametufundisha!
@ikrissaidrissa86133 жыл бұрын
Mungu tu!
@jescamassawe25193 жыл бұрын
Kutokuwa na mambo mengi ayeeeee students i think u gut her
@emmanuelmakaya76043 жыл бұрын
Hicho kitabu si cha Advanced physics lakini...
@njilempemba76003 жыл бұрын
Hongera sana mwanike.
@nurumanyota4163 жыл бұрын
Point sana mama
@Traveller17053 жыл бұрын
UYU MAMDOGO ITABIDI TUFANYE MIPANGO ASEE TUPATE TANZANIA ONE WETU.
@samoredelavida37823 жыл бұрын
Mama mdogo jezi tu ndo umefeli
@stn48733 жыл бұрын
Kwahyo Mama mdogo umeamua ushabikie Arsenal kweli?
@princess.s.r74463 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣namchola2
@alexjackson66083 жыл бұрын
Hakikaaaa...
@yuzzohcrayze3 жыл бұрын
Anasoma Mpaka anaboa
@stuartkudeba3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKubloeZrZWKsNk
@yuzzohcrayze3 жыл бұрын
🙆♂️🙆♂️🙆♂️
@hanafhamad28013 жыл бұрын
congrats
@nazalenolupola19323 жыл бұрын
Kila mtu anatalanta yake mtu km anaweza mpira mshikie huko