Makonda afunguka kulia Kanisani "Mimi ningekuwa nimekufa | Hakuna Urais pale"

  Рет қаралды 91,748

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 489
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 жыл бұрын
mkuu mimi sio mkristo lakini nimekuelewa pili jambo unalo pigania nikubwa sana pili unavita kubwa lazima umlilie mungu wala usijali wanavyo kudisi
@pretinesspastory9782
@pretinesspastory9782 5 жыл бұрын
Zumbe Shauri kanywe kret ya soda umalize yote bill itumwe kwangu!! watu kama nyie nawapenda sana!! Mungu akutunze mwaya ningeongea mengi juu yako ila nakuombea Allah akutunze!!
@mirajikinuke6636
@mirajikinuke6636 5 жыл бұрын
Makonda pambana mpaka mwisho wako...Maana hii ni safari ndefu sana tena mapambano makubwa sana .....M/mungu akulinde na akusimamie katika jambo hili la kuzuia Ushoga
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 5 жыл бұрын
Umeonae mkuu yuko sahihi kabisa
@stevenboy1239
@stevenboy1239 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana ningekua karibu nawe ningekuunga bando la mwezi
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 5 жыл бұрын
Umeongea ukweli mno na kulia ni ishara ya kujishusha saana mbele za Mungu.
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 5 жыл бұрын
Kweli kabisa
@andrewkayanda9887
@andrewkayanda9887 5 жыл бұрын
Nimekuelewa sana Mkuu wa mkoa. Mungu akubariki sana ktk malengo yako
@Superman--un9xz
@Superman--un9xz 5 жыл бұрын
kweli kabisa kaka mungu hakulinde
@sylvanussebastian6209
@sylvanussebastian6209 5 жыл бұрын
Si kutegemea kama ungekuwa na uchaji wa Mungu kiasi hicho,kumbe umdhania siye Mungu akubariki sana
@Digitalhhhhhgfgg
@Digitalhhhhhgfgg 5 жыл бұрын
Ll
@sylvanussebastian6209
@sylvanussebastian6209 5 жыл бұрын
@@Digitalhhhhhgfgg Ameeen
@gloriaanaclet6860
@gloriaanaclet6860 5 жыл бұрын
kwa walio wa rohoni watakuelewa vizuri Mheshimiwa.....mbele ya Mumgu aliye amiri jeshi mkuu hakuna kujikaza kiume.... na kama ulivyosema baada ya ibada huwezi elezea kilitokea nini
@yohanamnyeti7222
@yohanamnyeti7222 5 жыл бұрын
Hassan!! Pole sana nilifikiri unaweza kuwa mtu. Mwenye busaraha na hekima katika hili, yaani unaanza kuleta na maeno ya dini ya kweli au unataka nikukumbushe kuwa we we ndio umepotea? Hebu soma vizuri quarn yako mtume wako Mohammed anaulizwa juu ya hatima yake na wafuasi wake anasema yeye hajui mwisho wake ni nini na Hata wamafuata hajui anakowapeleka na akatoa ushauri kuwa juu ya hilo waulizeni wenye vitabu yaani( Wakristo). Pili Allah unayemuita mungu wako kwenye huyo quaran anasema "naapa kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi" kumaanisha kuwa yeye si mungu muumbaji, jitambue uache kukashfu imani za wenzako tunaijua zaidi imani uliyo nayo. Mungu tunaye muabudu wakristo yeyw mwenyewe anasema " naapa kwa nafsi yangu" ikijitambulisha kuwa yeye ndie. Juu ya utume wa Mohammad na Yesu Kristo, Yesu Kristo alitumwa na Mungu toka mbinguni na kisha baada ya huduma yake ya miaka 3 na nusu akafa akazikwa na siku ya tatu akafufuka na akapaa mbinguni alikotokea mpaka yu hai . Mohammad wako wewe alizaliwa akajiita mtume akaoa na akawakiri kutokujua mwisho wenu akafa na akazikwa hadi leo yumo.kaburi. Nikushauri tu Mr. Hassani ulitakaiwa utoe maoni yako tu pasipo kujihesabia haki kwenye imani yako ambayo inakuambia pepo yenu mtakuta kila mmoja ameandaliwa wanawake wa kutosha, hiyo pepo yenu ni ya uzinzi kwa hiyo Hata sasa mnafanya maandalizi juu ya kuingia kwenye hiyo pepo. Wakristo Yesu alituweka wazi kanisa akasema mbinguni hakuma kula, kuoa, wala kuolewa maana wote tutabadilishwa na kuvaa mwili wa utukufu. Jitahidi sana Mr. Hassani kuwa mtaraabu juu ya imani za watu wengine. Na Mungu akusaidie
@agnesjames8995
@agnesjames8995 5 жыл бұрын
Ni kweli amkimbiliaye na kumtumainia mungu hata aibika mngu atakupiginia ktk kazi yako
@selemanimwendilemo9335
@selemanimwendilemo9335 5 жыл бұрын
Mimi nahisi watu wanakuonea gere,suala la kulia kanisani halina ukuu wowote Mungu akusimamie kwenye kazi zako kama ni mapungufu wanadamu wote tunayo lkn kwa hili lakwako basi watafute lingine
@gloryassey3962
@gloryassey3962 5 жыл бұрын
May Holly Spirit keep guiding u Sir
@tereseamasawe8111
@tereseamasawe8111 5 жыл бұрын
MKUU MUNGU HATOKUACHA NA MUNGU NDO KILA KITU KWAKO
@nathanmateow9455
@nathanmateow9455 5 жыл бұрын
Kwa jinsi jambo la mashoga lilivyokubwa na baya mi nilitegemea alie Hata saa Moja, nyie kalia kidogo tu mnashangaa, mi namlaumu alilia kidogo
@jasminmussa2857
@jasminmussa2857 5 жыл бұрын
We msenge
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 5 жыл бұрын
Wallai binadam wanatabu sana kulia ni kitu muhimu sana
@dawillygene
@dawillygene 5 жыл бұрын
Kila siku nami nalia kwa ajili ya mambo ya ajabu yanayoendela, anachokifanya ana thawabu kubwa maana ubinadamu sasa hivi umepungua watu wamebaki kama wanyama. ni nani mwenye ujasiri wa kukemea hayo???/ kila mtu ana sehemu anaudhaifu wake.
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 5 жыл бұрын
Kusema kweli, zamani nlikuwa simkubali kabisa huyu mtu.ila nimemfuatilia sana nilichogundua ni kwamba huyu kaka amekulia kwenye mazingira ya maumivu ktk maisha yake.ni kama mtu ambae alinyanyasika sana.kwa hiyo amepata nafasi kubwa serikalini anatamani kuwasaidia wale wote ambao anahisi kwa sasa na wao wanapitia maisha ya kuumia kama aliyopitia yeye.anajisikia uchungu.lakini mijitu haimuelewi.
@consolatamaarufu58
@consolatamaarufu58 5 жыл бұрын
saitoti saitoti sana
@ubuyutv2577
@ubuyutv2577 5 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana mkuu wa mkoa
@sylvestercharles3585
@sylvestercharles3585 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana...... Kikubwa Mungu akupiganie brother. Sisi tulio wa Rohoni tunakuelewa.
@jonasmwita1837
@jonasmwita1837 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mh mkuu wa Mkoa na Hongera kwa kutambua kwamba sehem pekee ya suruhisho na matatizo yako ni Mungu. Hata Musa aliomba toba kwa niaba ya wana Israel na Mungu akawasamehe. Kutoka 14:1_
@allyjuma6136
@allyjuma6136 5 жыл бұрын
inaonekana ameona mashoga walivyo wengi dar. Yeye kama binaadam na mzazi pia anaumia sana
@noahmadal753
@noahmadal753 5 жыл бұрын
Kaka Paul nimekuelewa umevunja gospel ya maana sn lazima majibu mazuri yaonekane
@manganamanganamanganamanga7313
@manganamanganamanganamanga7313 5 жыл бұрын
ww mtangazaji hauna vya kuuliza,muache mkuu apige kazi kulia kanisani ni njema
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 жыл бұрын
Safi sana makonda Julia kanisani kipindi cha maombi una uwenzo Wa kuzama sana ndani ya maombi jinsi roho mtakatifu anavyokutumia endelea na maombi makonda mwangalie mungu usimwangalie binadamu hawajui walinenalo
@samwelimwashiuya7894
@samwelimwashiuya7894 7 күн бұрын
Ubarikiwe Sana kiongozi wangu ukiwa katika roho mtakatifu hata ukiwa Rais mpaka chini utagalagala
@benadictoalloys7752
@benadictoalloys7752 5 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujaze nguvu zaidi mkuu uendelee kupambana na hao wakupingao
@ministermwakafwila5108
@ministermwakafwila5108 5 жыл бұрын
Mungu azidi simama na wewe Mkuu wa Mkoa
@kenya-yj3eq
@kenya-yj3eq 5 жыл бұрын
Amen
@IreneMwambula
@IreneMwambula 14 күн бұрын
Mungu akulinde makonda wetu hao wanao kutafuta wakuangamize wataangamia wao tunakupenda sana kiongozi wetu
@namisgiggah1571
@namisgiggah1571 5 жыл бұрын
Mimi sio mkristu ila makonda nimemuelewa
@kingelieshabani7235
@kingelieshabani7235 25 күн бұрын
Asante sanaaa mweshimiwa PAUL MAKONDA Mungu azidi kuku bariki naku kutia nguvu naku kulinda zidi yama adui zako.
@kingsmusicrecords4870
@kingsmusicrecords4870 5 жыл бұрын
Lava nimepita 👏
@lydiamuta4514
@lydiamuta4514 5 жыл бұрын
Songa mbele tunakuombea ushindi lazima in Jesus name
@godfreyndahaze1768
@godfreyndahaze1768 5 жыл бұрын
🤓🤓
@josejacob2875
@josejacob2875 5 жыл бұрын
Wanakuonea wivu wengi wameshindwa ila wewe nisawa na Daudi MUNGU akubariki kaka
@janengowi3011
@janengowi3011 5 жыл бұрын
Usifikiri alikua anajililia tu ingia kanisani ndio utajua
@consolatamaarufu58
@consolatamaarufu58 5 жыл бұрын
jose jacob kabisa
@mbubafuraha7059
@mbubafuraha7059 5 жыл бұрын
Mm nimekuelewa xanaa mkuu umeongea point kubwa xanaa kwa wale wakristo wamekuelewa unachokisema wale wasio kuelewa watakuelewa to one wakimkibizi Yesu maisha yao
@EliwadaKikoti
@EliwadaKikoti 29 күн бұрын
Nimemuelewa baba angu
@rwemamutemi334
@rwemamutemi334 5 жыл бұрын
Ukiona mtu anatetea USHOGA, USAGAJI fahamu ni shoga au msagaji, au anadhaminiwa na mashoga! USHOGA na USAGAJI ni CHUKIZO KWA MUNGU na Unajisi kwa eneo au Nchi YENYEWE! Warumi 1:18-32 Mwanzo 19 Wana washetani hufurahia uovu unapoenea,na mtu anapoinuliwa kupinga uovu huo,mara nyingi huchekwa,hudhiahakiwa... ILA mwisho asipokata tamaa,hushinda na kushangilia! GIZA haliwezi kushinda Nuru. Yohana 1:2-5. Kila mwenye akili nzuri na timamu atapinga USHOGA, USAGAJI,uwaji,utekaji,......!
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Mm we bb nakupenda sana zaid ya sana hakuna kitu kizur bila kupitia majalibu .kumbuka hata ayubu alijalibiwa .lakin hakukata tamaa. . ili ufike unapo taka lazima upitie misuko suko
@jonasmwita1837
@jonasmwita1837 5 жыл бұрын
jackrin aman kweli kabisa Dada Jack
@jonasmwita1837
@jonasmwita1837 5 жыл бұрын
jackrin aman kweli kabisa Dada Jack
@shukurumwangosi1537
@shukurumwangosi1537 5 жыл бұрын
Upo sahihi sana mkuu
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 5 жыл бұрын
Uko sahihi mkuu, mbele za Mungu hakuna kuleta uheshimiwa, nikunyenyekea na kujikabidhi kwake akuhudumie, Ukuu wa mkoa pembeni kwanza linapokuja suala la Ibada. SAFII
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 5 жыл бұрын
Mungu akusaidie Makonda. Hakuna kosa kulia kanisani.
@gracevalentine4234
@gracevalentine4234 5 жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni aendelee kukutia nguvu mkuu wetu wa Mkoa ili kusudi la Mungu aliloweka ndani yako juu ya huu mkoa wa Dar es salaam likatimie, Amina
@salumwiliam6327
@salumwiliam6327 5 жыл бұрын
Grace Valentine mh. Makonda na imani icpokuwa na matendo imekufa mungu aendelee kukuongoza amina
@gracevalentine4234
@gracevalentine4234 5 жыл бұрын
Amen
@ajarathyussuph7468
@ajarathyussuph7468 5 жыл бұрын
Ameen. Nakukubali sana mheshimiwa na Mungu azidi kukulinda na mkono wake husikupungukie na Mungu akupe hitaji la moyo wako. Wasio na maono hawaoni nini unafanya ila Mungu amekuchagua kukomboa mataifa ya vizazi vilivyopo na vijavyo , sitaacha kukuombea kwa Mungu azidi kukutia nguvu maana Daudi vita si yetu bali vita ni ya Mungu mwenyewe na wasikuone hivyo vita unavyopigana navyo wakadhani upo peke yako, mi naona husiwajibu bali wambie neno moja tu kuwa,SI WEWE UNAYEISHI BALI ALIYEKO NDANI YAKO YESU KRISTU WA NAZARETH ALIYE HAI. Barikiwa sana Mh! Paul Makonda, majeshi ya Mungu yaliyokuzunguka Makonda ni mengi mno kuliko haya ya dunia , wasamehe hawajui walitendalo hata Bwana wetu Yesu alihukumiwa kifo katikati ya watuhumiwa na hali yakuwa yeye nakuwa na hatia itakuwa wewe? Achana nao yupo Mungu anaepigana na adui zako wala husiwajibu Mungu atawajibu kwa wakati wake wewe ni mti wenye matunda lazima uzoee mawe. Ubarikiwe sana mpaka shetani ashangae na majeshi yake.
@jacksonmichael799
@jacksonmichael799 24 күн бұрын
Very spiritual speech👏👏👏
@Bahatwabula
@Bahatwabula 23 күн бұрын
Kumcha mungu nichanzo Cha maarifa barikiwa sana kaka ,mungu akuinue Kwa viwango vyajuu sana,mutangulize mungu Kwa Kila jambo🙏🙏
@eddybayzor4106
@eddybayzor4106 5 жыл бұрын
Piga kazi muheshimiwa tuko pamoja
@samwelimwashambwa8725
@samwelimwashambwa8725 5 жыл бұрын
kwa hapo nmekuelewa mkuu
@Slovianaletusmkini
@Slovianaletusmkini 26 күн бұрын
Hakikha, mungu ni WATHAMANI sana kwakho hivyo kama amekutoa kwenye changamoto uliyonayo Amini pia atakufikisha salama popote pale upatarajiapo
@gloryassey3962
@gloryassey3962 5 жыл бұрын
Kulia inaonesha how strong a guy is..bravo RC
@SalmaJuma-gm9zl
@SalmaJuma-gm9zl 27 күн бұрын
Amen wew ni mtumishi wa mungu mungu akulinde na kile mabya amaby madui wanakitafut yeye akufuche ubavun mwKe
@gracevalentine4234
@gracevalentine4234 5 жыл бұрын
Vita cyo vyetu bali ni vya Mungu so endelea kumsihi Mungu nae atakushindia Mkuu, kwani hakuna jambo lolote linaloshindikana kwa Mungu
@demicratia4071
@demicratia4071 5 жыл бұрын
Well said Makonda you Trusted in God and in God we Trust and in God you will be Blessed umejielewesha vizuri mnoo yaani Spritually you are With JESUS keepitupBOSS And I am praying for you as well
@oswardjaphal-cd6np
@oswardjaphal-cd6np 4 ай бұрын
Watu Wa imbaji wanjili kwanini. Musitumie maneno hayo yabusala. Kutengeneza nyimbo nzuli. Amejieleza vizuli sana nikweli we we unaloho wamungu. Tanzania itapona kwa ajiliyako. Amen from Burundi. Tuna kupenda Sana
@aishamohammed6991
@aishamohammed6991 5 жыл бұрын
Mkuu achana na blaa blaa za watz.... Endelea tu kumuomba mungu... Km ulivosema kwa mungu hakuna ukuu wa mkoa wala rais. Nasi wa kwanza ww kulia ktk kuomba dua au kitu chochote kwa m. Mungu hata masheikh wasomapo Quran hulia Mbele ya kadamnasi....na huwa hawaangalii nani ananitizama au nani atasema nn juu ya hiki kilio changu....so piga maombi km kawa na m. Mungu atayapokea ishallah! Kiukweli watanzania sijui tukoje kwani kulia ni jambo la ajabu jmn au kwakua kalifanya mwenye jina.... Aaaaah jmn tuache ushamba au sijui ndo tuije ujinga!
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 5 жыл бұрын
Aisha Mohammed naomba uangalie kasida yangu kzbin.info/www/bejne/jHbFlq2dp7Otftk
@pretinesspastory9782
@pretinesspastory9782 5 жыл бұрын
Aisha Mohammed ubarikiwe sana unaona mbali my dear!! wanadamu hatukosagi jambo ila kwa wachache wanaoelewa uzito Wa machozi ktk ibada hawawezi kujiuliza kwa nn alishindwa kujizuia!! Allah akuweke miaka mingi umeubariki moyo wangu
@hanuniselemani2274
@hanuniselemani2274 5 жыл бұрын
Aisha upo vizuri Sana, u muelewa sana
@hanuniselemani2274
@hanuniselemani2274 5 жыл бұрын
Wanaokukejeli hata maana ya maombi hawaijui wapo wapo tu,ndio maana wanakushangaa ukilia kanisani
@bestcodetz5726
@bestcodetz5726 5 жыл бұрын
AIMEN
@songeza
@songeza 25 күн бұрын
Asante kwa kuwaelezea haki iliyo ndani yako zidi kum
@lifestylechannel1322
@lifestylechannel1322 5 жыл бұрын
Umeongea piont leo
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 5 жыл бұрын
Hapo ni kweli kabisa. Mkuu upo sahihi.
@mgoledaudi7598
@mgoledaudi7598 5 жыл бұрын
Ulishukiwa na Roho Mtakatifu, kwa macho ya nyama wanaona kama unalia, kwa macho ya rohoni ulikuwa umezama kwenye maombi mazito, ubarikiwe sana
@happinessmtitu4485
@happinessmtitu4485 5 жыл бұрын
Mungu aendelee kkusaidia kutambua kuwa pasipo yeye hakuna linalowezekana. (Yohana 15:5 )
@geraldnashokigwa517
@geraldnashokigwa517 5 жыл бұрын
Stay blessed RC-MAKONDA, you are humble Man..!! Press on..!! Bible says : " My people perish because of lack of God's knowledge-Watu wangu wanaangamia kwa kukosa Maarifa" . Amina..!!
@bestcodetz5726
@bestcodetz5726 5 жыл бұрын
WOOOOOW!!! MAKONDA KWANZA HONGERA SANA MKUU WA MKOA WA DA ES SALAAM.. NIMEPENDA JINSI ULIVO TUELEWESHA WATANZANIA.. KWAKWELI KILA UNALO FANYA MUNGU AKULINDE .. U DO THE GREATEST JOBS AMBAZO BILA MUNGU PUMZI YAKO INGEKUWA HADITHI, KWANI SHETANIN ANAKUWINDA KILA IITWAPO LEO.. MUNGU MMBARIKI MAKONDA, MUNGU IBARIKI TANZANIA
@lupalilamligo9939
@lupalilamligo9939 5 жыл бұрын
Mku wew ni mtu wa muimu sana broooo saluti piga kaz mungu akulind kwa kila jmbo broooo
@AmonSchizya-e9n
@AmonSchizya-e9n 25 күн бұрын
Mungu akutunze zaidi na zaidi mtumishi.
@ggjghh6245
@ggjghh6245 5 жыл бұрын
Sasa chaajabu kitu gani ?mbona hata masheh wana somaga Qraan mpaka analia sasa yy kulia mnaona hajabu?
@simonkuhenga1757
@simonkuhenga1757 5 жыл бұрын
Nice talk..very deep mh Paul
@elliudmichael5487
@elliudmichael5487 5 жыл бұрын
Makonda hakika mungu atakufanya kuwa mkombozi wa nchi yetu, kiongozi kuiombea nchi yake hakika mungu anaikomboa Tanzania
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Amina kweli kabisa
@mivunjoc.miyego1427
@mivunjoc.miyego1427 5 жыл бұрын
Excellent Mr RC. Hilo jibu ndilo linalofaa sana kupita majibu yote ambayo hao walitegemea. Nimefurahi sana mkuu. Mungu akubariki sana.
@user-bi4lm4wz3z
@user-bi4lm4wz3z Ай бұрын
Mungu akubariki mno kwa moyo uo wa unyenyekevu kwa Mungu
@jacobmakono389
@jacobmakono389 5 жыл бұрын
I never knew you're such a great Pastor!
@maryangela107
@maryangela107 5 жыл бұрын
mtumishi anaumia sana moyoni kutokana naanayo yaona
@MonicaSilasi-p3k
@MonicaSilasi-p3k 29 күн бұрын
Makonda ww ni raisi wetu mtarajiwa MUNGU akufunike amen
@aggreyandrew546
@aggreyandrew546 5 жыл бұрын
Kwani kulia ajabu? Nyie vipi mh makonda achana nao kwani umelia bara barani? Umelia mbele za mungu tena kwenye nyumba ya ibada! Sasa tatizo nini?
@mhavilesukari2708
@mhavilesukari2708 5 жыл бұрын
mungu amsimamie huyu brthr
@demicratia4071
@demicratia4071 5 жыл бұрын
kumwelewa mtu sio mpaka awe dini fulani yeyote yule aweza kumwelewa bila tabaka lolote ...stay blessed
@FloraSlivester
@FloraSlivester 26 күн бұрын
Yaaa Mungu akubariki ni kweli ilo ni bubujiko la ndani
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 жыл бұрын
Amen baba, aisee umesema kweli baba
@NehemiaKahabaye
@NehemiaKahabaye 23 күн бұрын
Hubiri tosha kabisa, Mungu akubariki.
@Slovianaletusmkini
@Slovianaletusmkini 26 күн бұрын
Usimwache mungu kamwe/% don't worry out you besearch every time, god bless you,;
@annaitolya7712
@annaitolya7712 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa utumishi kwa wasio elewa hawataelewa maana ya kulia
@siaammo1104
@siaammo1104 5 жыл бұрын
Hongera sana mkuu.nimekuelewa Mungu wa mbiguni aendelee kukulinda na ushiishie hapo endelea kuliombea Taifa zima la Tanzania . wewe ni kiongozi naamini ukimlilia Mungu katika roho na kweli tutafanikiwa.
@AmonSchizya-e9n
@AmonSchizya-e9n 25 күн бұрын
Ni kweli kabisa roho mtakatifu ndiye anayetuongoza zaidi katika maombi
@evea-mo2rh
@evea-mo2rh 25 күн бұрын
safi kaka ukimuonea haya mungu mbere za watu naye atakuonea haya mbere za baba yake nimekusoma sana wengine wanaweza wasierewe lakini warohoni wanaerewa sana
@MichaelSwai-k6v
@MichaelSwai-k6v 28 күн бұрын
Yani uyu mkuu wa mkoa Yani anapiga kazi kote kote rohoni yupo vizuri mwilini yupo duu Yani mkoa mpaka uyooke mungu amlinde hii nimashine ya kazi
@HatibuSozi
@HatibuSozi 24 күн бұрын
Muongo ww mungu gan anae ruhusu uvamie mediaza watu
@josejacob2875
@josejacob2875 5 жыл бұрын
MUNGU akubariki makonda nakupenda sana my brother
@catherinechristopher1672
@catherinechristopher1672 5 жыл бұрын
Nimekupenda mtangazaji umesomea haswaaa huna uoga maswali yako kuntu
@lightm2225
@lightm2225 5 жыл бұрын
Kumcha Mungu nichazochamarifa barikiwa. Songambele. Mtangulize Mungu wako bila Mungu minute🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@renathahagai1251
@renathahagai1251 4 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@melkizedeckkimaro2094
@melkizedeckkimaro2094 5 жыл бұрын
Kweli kaka
@benardgervas8840
@benardgervas8840 5 жыл бұрын
Somo la roho mtakatifu hilo mkuu kukuelewa ishu sana.
@jaqclinprince52
@jaqclinprince52 5 жыл бұрын
mungu akubariki mkuu makonda
@JuliusLoishiye
@JuliusLoishiye 27 күн бұрын
Mungu akupe kushinda
@MwanaishaDaffi
@MwanaishaDaffi 16 күн бұрын
Pole sana mheshimiwa mungu yupo na ww
@NuruNyanginywa
@NuruNyanginywa 25 күн бұрын
Jamani msimshangae makonda hata Mimi ndivyo nguvu ya Mungu ikishuka utalia na hata kugalagala jisogeze Kwa Mungu ukutane nae ili akuguse utaona
@juventusdaudi2088
@juventusdaudi2088 5 жыл бұрын
Ubalikiwe sana kaka yangu.
@jumahamisi2318
@jumahamisi2318 5 жыл бұрын
Mh. KWA HII SPEECH YA LEO NIMEKUAMINIA 100%, ofcoz hilo jambo hata ukilivutia hisia lazma ulie hata km hujawaona, INAUMA ACHENI USHABIKI WA KINAFK WABONGO
@mamaawenalukas7894
@mamaawenalukas7894 5 жыл бұрын
Mungu akusimamie katika hili.
@RomanMaging-h8z
@RomanMaging-h8z 29 күн бұрын
Makond onyise lindaga nhg'ana mungu akukugunanha guge batanzania dugukulumba
@ayangaotacho2057
@ayangaotacho2057 5 жыл бұрын
Pole Sana mkuu wa mkoa uko sai Sana unapotafakari kwa undani unalia bila kujua uko sai kabisa ,ni kweli wewe bila Mungu usingekwepo omba Mungu Lia Sana mbele za Mungu kwa Mungu hakuna Cha kiongozi wewe Lia kwa Mungu yupo na wewe
@ezekielijanuari7207
@ezekielijanuari7207 5 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutia nguvu mheshiwa
@TheSalma1999
@TheSalma1999 5 жыл бұрын
Unalilia taifa lako kweli baba roho mtakatifu amina mimi nakuelewa roho mtakatifu
@zainabubalama4622
@zainabubalama4622 4 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana Mh Paul Makonda. Mungu akupe nguvu zaidi inshaallah 🙏🙏🙏🙏
@mercedesphiri1609
@mercedesphiri1609 5 жыл бұрын
Hongera stay strong.
@JemaMbwilo
@JemaMbwilo 27 күн бұрын
Mungu anajivunia wewe hakika Mungu awe pamoja nawe ❤ 8:12
@magrethtimothkibaya7753
@magrethtimothkibaya7753 5 жыл бұрын
upon sahihi nimekuelewa mungu akutie nguvu
@JulianaMejooli
@JulianaMejooli 26 күн бұрын
Jamani daah Mungu akulinde tunakupenda Makonda,hatuamini umerudi, imekuwa suprise,hutakufa Bali utaishi
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 5 жыл бұрын
Well said comrade! Asante sana.
@emmanuelgabagendi3169
@emmanuelgabagendi3169 5 жыл бұрын
Mungu akulinde
@mohamedkassimu8789
@mohamedkassimu8789 5 жыл бұрын
Waache tu wanaoongea we chapa kazi TU! Kama umependezwa hebu like Basi!
@esternaftari9032
@esternaftari9032 25 күн бұрын
Uko sawa kabisa mtumishi
@nice5671
@nice5671 5 жыл бұрын
ameni
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 25 күн бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA HUYO MTANGAZAJI HAELEWI MSAMEHE BURE SIKU MOJA MPELEKE KANISANI KANISA LENYE UWEPO WA MUNGU
@mariamkalinga2628
@mariamkalinga2628 5 жыл бұрын
mtangaz una akil au acha izo bwana hy kidume yupo ma mungu eee mungu pigana naaadui wanaompiga kiumbe wako mak Fanya kazi aisee
@jebrasmrema8568
@jebrasmrema8568 5 жыл бұрын
God bless
@wakulambakitune6721
@wakulambakitune6721 5 жыл бұрын
Piga kazi baba kulia nimoja ya kuwalilia waliompigia l lazima uwalilie mungu hapendi uchafu kulia mbele za mungu Ni ishara ya kuomba msada hakusadie kuwakombowa binadamu walopotea
@AmosMathayo-sq2el
@AmosMathayo-sq2el Ай бұрын
Naam Naam 💪 hakika utukufu kwa Mungu pekee
@lucasmbuba3149
@lucasmbuba3149 5 жыл бұрын
Asante mkuuuuuu tunakuombea
MADUDU YALIYOMNG'OA MAKONDA HAYA HAPA
8:27
Wasafi Media
Рет қаралды 84 М.
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 19 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 91 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 23 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
🔴LIVE: RC MAKONDA AMEJITOKEZA LEO BAADA YA SIKU 33
51:28
MwanaHALISI TV
Рет қаралды 59 М.
MAHALA ALIPO MAKONDA, SIRI NZITO
2:59
Wasafi Media
Рет қаралды 86 М.
FULL VIDEO: RC Makonda alivyoendesha baiskeli kwenye ziara
1:14
Millard Ayo
Рет қаралды 18 М.
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 19 МЛН