MADUDU YALIYOMNG'OA MAKONDA HAYA HAPA

  Рет қаралды 84,358

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 120
@shakaurembo477
@shakaurembo477 5 ай бұрын
Kwa ssaiv Tanzania akuna anae muweza makonda ata mama samia amuwez makonda anavaa viatu vya magufuli wanyonge tunamuamin🎉
@nelsonmgaya1490
@nelsonmgaya1490 5 ай бұрын
True!
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 5 ай бұрын
Wewe mnyonge
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 5 ай бұрын
Mnyonge umebaki ww
@merygodfrey3709
@merygodfrey3709 5 ай бұрын
Siku zote mti wenye matunda hupondwa mawe sana. Makonda Songa mbele Arusha tupo nyuma yako.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 5 ай бұрын
Hakuna ujinga wa kujidunisha na kujidhalilisha kama kujiita mnyonge. Mtu mwenye akili timamu utajiitaje mnyonge?
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 5 ай бұрын
Mama asante kwa ufafanuzi makonda chapa kazi unyooshe karatu yetu
@margaretlewis6801
@margaretlewis6801 5 ай бұрын
Makonda Kachape kazi.Mti Wenye matunda safi na matamu hauishi kupopolewa .Mungu akubariki Sana akuongezee maarifa na Hekima katika kazi zako.
@KundaelGeorge-tv8mz
@KundaelGeorge-tv8mz 5 ай бұрын
🎉makonda ni jembe la kazi, Mungu anataka amfikishe mbali, mvumilivu hula mbivu.
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 5 ай бұрын
Ushamba mwingi na wivu mwingi saanaaa.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 5 ай бұрын
Mama safi sana kwa kukata mzizi wa uzushi hongera sana kwa ufafanuzi kuhusu kazi nzuri aliyo fanya makonda
@user-by7ie6yy5n
@user-by7ie6yy5n 5 ай бұрын
Karibu uje kuchangamsha Arusha nakukubali sana
@songeza
@songeza 5 ай бұрын
Watasema sana ebu mwscheni mtoto wa mwenzenu dodo chini ya miba na kazi anaifanya endelea mwanangu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 ай бұрын
Kitenge unatumia nguvu nyingi sana ktk kutangaza na kusoma magazeti sijui sababu ni nini?!
@annkim2690
@annkim2690 3 ай бұрын
My friend kuzeeka nayo inakujaga na mambo mengi
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 ай бұрын
Tangazeni habari kwa nidhamu kesho mungu anaweza kujaalia mkawa viongozi kuweni makini nakutabirieni mnaweza kua wakuu wa wilaya kuweni makini
@user-od2mc4mj4e
@user-od2mc4mj4e 5 ай бұрын
Ndugu umesema jambo LA ukweli kabisa staha na weledi unatakiwa wao ni viongozi wa kesho
@hawaa341
@hawaa341 5 ай бұрын
Kitenge naona umefulai maana unasoma kwa nguvu susi tunamkubali makonda
@augustinecassian1242
@augustinecassian1242 5 ай бұрын
Utenguzi wa makonda Ni maumivu kwa wananchi,Makonda Ni mtu ambaye alikuwa kiunganishi cha wananchi na serikali, Tazama ktk ziara zake alivyokuwa anawasikiliza wananchi walioonewa na kunyanganywa haki zao, Tumuachie Mungu
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM 5 ай бұрын
Makonda anaandaliwa kugombea Ubunge. Then anateuliwa uwaziri hata uwaziri mkuu. Mama anakarata kali sana
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 5 ай бұрын
Makonda ni Mmoja tu hapa Tz na yupo kimkakati Kwa Mama pale Arusha hilo mfahamu
@JoshuaMusukwa-kq4ll
@JoshuaMusukwa-kq4ll 5 ай бұрын
Nikitabili sana Tiketi ya Makonda kuwa Mk wa Mkoa wa Arusha ni Tiketi ya kugombea Ubunge Arusha kwa sababu 1) Anakubalika 2) musemaji 3)nimwenye Siasa mwenye kuvumilia Hali zote kwa ufupi Yuko kama ungaa wa ngano
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 5 ай бұрын
Kitenge ni Rafiki wa Nape😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Usimuharibie Diamond ficha hisia zako
@halimamasai2234
@halimamasai2234 5 ай бұрын
Makondo ni kiboko ya wezi na wanafiki Makonda mungu akupe afya njema na maisha marefu inshaallah
@user-nd5uf6lw4g
@user-nd5uf6lw4g 5 ай бұрын
Kitenge kitenge ni mnafki sanaa yaaaan toka kitambo nakuonaga jiangalie ndugu
@samuelmdota8452
@samuelmdota8452 5 ай бұрын
Ni mnafiki sana huyu jamaa
@DavisEnglishTv
@DavisEnglishTv 5 ай бұрын
Kitenge anasoma kilichoandikwa magazetini sasa unafiki wake uko wapi
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 5 ай бұрын
​@@DavisEnglishTvme mwenyewe nawashangaa mtu anasoma gazet, mlitaka aweke maneno yake
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 5 ай бұрын
UNAFIKI GANI WACHENI WIVU NYIE YEYE YUKO KAZINI ANASOMA MAGAZETI HALAFU UNAKUTA MGALA ANABWEKA NA NJAA NA HUSDA
@rehemaabdalah1863
@rehemaabdalah1863 4 ай бұрын
Tena ni mnafiki sana
@safihunasingo5413
@safihunasingo5413 5 ай бұрын
Yeees timu kunyamatika ipo vizuri
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 5 ай бұрын
Nyie Ni Watu Makin Sana Napenda Sana Jinsi Mnavyofanya Kazi Kama Vile Mpo Kijiwen Tu
@thetas08
@thetas08 5 ай бұрын
Makelele mengi sana kipindi
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 5 ай бұрын
Umemuandama makonda kenge
@jacksonjunior-mt7mc
@jacksonjunior-mt7mc 5 ай бұрын
makonda maneno mengi sanaaaaa kha
@MubinaRoshan
@MubinaRoshan 5 ай бұрын
Mbona mnampiga vita sana makonda amewakosea nini
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 5 ай бұрын
Makonda ni MAKONDA tuu
@SaidiAyubu-of8zt
@SaidiAyubu-of8zt 5 ай бұрын
Mambo ya ajabu kweli aisee daaah😂😂😂😂
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 ай бұрын
Waandishi kuwani na nidhamu waandishi samani yenu kubwa mimi kusema kweli njinsi ya umavotoa habari sio vizuri angalieni wenzenu kina umulhery kina zayana sefu kina zuhura yunusi tunakuombeni msifanye mzaha jamii inakuangalieni
@user-kp5hx2kz1b
@user-kp5hx2kz1b 5 ай бұрын
Msilolijua litawasumbua.
@simongwandu7392
@simongwandu7392 5 ай бұрын
Wasafi acheni fitina
@CholoMwamba
@CholoMwamba 5 ай бұрын
Hawa wanasoma magazeti awaleti fitina acha kuichafuwa wasafi ki bibi ww
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 5 ай бұрын
Watu wazima mnatangaza habari kinafiki nafiki,utazani watoto wakike,,ifike muda muone aibu sasa,mmeacha familia zinawatazama majumbani
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 ай бұрын
Makonda hodari tatizo lake hana mshaury wakati akifanya kazi zake angekua na mshaury anglifika mbali sana ukikosa mshaury sawa na msikiti ulokosa imamu au kanisa lilokosa padry makonda ntafute niwe mshaury wako
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 5 ай бұрын
Ndege alonunua magufuli n 8 hizi n samia mpaka na ya mzigo,kwahiyo kila ndege n magufuli,acheni hasadi,sasa n SAMIA ,bado katiba,tu ndoo,tutawaelewesha,, wa Tanganyika Tatizo shule,hii kukaririshwa kaa mtoto,wa nesury litakomeshwa,na KATIBA,
@bukurugibson-zi5br
@bukurugibson-zi5br 5 ай бұрын
soma magazeti bro wenzio wansoma hela
@robertzamani5612
@robertzamani5612 5 ай бұрын
Kesho maulidi kitenge utasoma nn Makonda kasifiwa huko na mama
@festokemibala5832
@festokemibala5832 5 ай бұрын
Hivi Kitenge huwa ni commedy, anao watoto wanaomfuatilia wakati anapokuwa studio?
@ramsohk
@ramsohk 5 ай бұрын
Bora Ally happy angekua mwenezi
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 5 ай бұрын
Ila Wewe Kitenge, mbona nahisi kama unacheza na hii tasnia ya uandishi wa habari🤔🤔🤔
@user-pp5mx1nx7n
@user-pp5mx1nx7n 5 ай бұрын
Woote amjuwiii makonda amerudisho sistim ya serekari sio kafukuzwa 😂😢😮😅😊😅😮😢😂😢😮😅😊😮😢🎉🎉😮😮😅
@user-qk9iz5lt8q
@user-qk9iz5lt8q 5 ай бұрын
Utangazaji WA Hawa JAMAA ni wambea ni kituo Cha wanafiki MWENYEKITI wake mauridi WA kitenge
@yahyasaloummvyongo3536
@yahyasaloummvyongo3536 5 ай бұрын
Ommonii pallangwiii sheiiillaaa WAANDISHII😂😂😂😂
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 4 ай бұрын
Wambeya nyinyi😂😂😂😂
@MussaGagaTz
@MussaGagaTz 5 ай бұрын
naomba mbwenbwe kwa ccm wanalitaka ndilo wanalifanya kwa sababu wameshika kwenye mpini mpinzan hata akisema NI bure kazi kwao ccm
@joojombi2341
@joojombi2341 5 ай бұрын
Waongo wakubwa mafatani wakubwa hao waloandika gazeti hilo waongo wakubwa mafatani wakubwa not true. Asinge msifie cku alipomwapisha. Gazeti mchwara hayo. Mafatani wakubwa tu
@stephenwainage2523
@stephenwainage2523 5 ай бұрын
Kitenge hana nyota ana umri mkubwa lkn haujawahi kupata uteuzi wowote dah kama halijielewi vile😢
@gwakisaphilipo2445
@gwakisaphilipo2445 5 ай бұрын
Hana elimu kitenge
@user-ky6hh2te7u
@user-ky6hh2te7u 5 ай бұрын
Makonda nikipenzi chawatanzania ongea mtakavyo lkn mnapoteza mdawenu bure
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 5 ай бұрын
Matusi sio mila zetu ukiona huwezi kuchangia mada bora kaa kimnya matusi yanini sisi tunawakanya watu wasifanye ushamba katika kazi wewe unatukana sasa achana na mtusi sio destury zetu
@gabjoni4306
@gabjoni4306 5 ай бұрын
Jamaa huyu kitenwe Makuzi sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Hiyo biashara ya habari Ally Hapi ndiyo alifaa awe Mwenezi kama Makonda kapelekwa Arusha kwa Makala hamna kitu hapo Wazee wapumzike tu hiki kipindi cha vijana
@user-ih9xy5vd5d
@user-ih9xy5vd5d 5 ай бұрын
Hili jamaa mbona kama pumbavu, halijui hata kutangaza, linapiga kelele, sasa ndo utangazaji gani?
@Renatus-ls1ny
@Renatus-ls1ny 5 ай бұрын
Hi
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 ай бұрын
🤣😂 wazee wa kuongeza chumvi 🤣😂
@richkaja3317
@richkaja3317 5 ай бұрын
Makonda chawa piga kazi
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 5 ай бұрын
Yani vyombo vya habali wanatembea na upepo
@OmbeniShoo-kg8dr
@OmbeniShoo-kg8dr 5 ай бұрын
Achukue fomu Uchaguzi ujao ametembea waliomfuata ni ushindi tosha
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 5 ай бұрын
MATIBABU YA KINYWA NA MENO KWA MTOTO kzbin.info/www/bejne/i4PTnZKvi7qZfq8si=KWqXSI3pO6Wa-UV0
@nghomanohosea9251
@nghomanohosea9251 5 ай бұрын
Wewe mpumbavu acha ujinga kuwa Sana na heshima kwa makonda
@AbuJunaidi
@AbuJunaidi 5 ай бұрын
Wanaongea kmawalevi
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 ай бұрын
Hawa watangazaji kazi yao kupiga kelele tuu
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 5 ай бұрын
Kkkkkkkk kitenge waonee huruma wanawake acha kuwachuna jamani harafu k nayo unakopa machangu ndoa tatizo nini kaka?
@user-ni9zc3gx5t
@user-ni9zc3gx5t 5 ай бұрын
Acha unafiki makonda jembe ndio maana mhshimiwa rais kamtuma akafanye kazi Arusha awanyooshee ,waandishi mbwembwe nyingi upuuzi,tyu,tunaomba mheshimiwa rais atuwekee mifereji daraja la mwinyi mburahati magomeni
@mushtaqakram9843
@mushtaqakram9843 5 ай бұрын
Kwa uyo hawezi kusoma bila kupiga makelele
@nelsonmgaya1490
@nelsonmgaya1490 5 ай бұрын
Acheni kumchafua Makonda!!!
@hanifamziray277
@hanifamziray277 5 ай бұрын
Bwana harusi mpya 😅
@noelpetro2089
@noelpetro2089 5 ай бұрын
ndo tatizo letu wa tanzanian hatupend kuambiwa ukweli
@yohanaibrahim4128
@yohanaibrahim4128 5 ай бұрын
Utangazaji wa vyeti vya certificate huuuu haaaaaaaaaa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Kwani hapo kakosea nini jamani
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 5 ай бұрын
Hivi Makonda Kang'olewa au kabadilishwa ? Kweli mnamchukia Makonda, Allah *ATAMLINDA*
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 5 ай бұрын
Nani kama Makonda ndani ya Chama na Serikali
@ProsistaTarimo
@ProsistaTarimo 2 ай бұрын
Huo ni wivu nyie kina kitenge mnakosa cha kufanya mnapiga umbea mtandaoni kama wehu tu. Wewe umeshafanya madudu mangapi. Kwa hiyo mtakaje sasa.. amenisaidia nimepata haki yangu ya nyumba iliyochukuliwa miaka20 nimeipata. Acheni umbea kama machangud
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 5 ай бұрын
Makonda anaenda kuwafunga Midomo kina Lema AR huko
@godwinkasaizi882
@godwinkasaizi882 5 ай бұрын
😂😂😂😂 eti kama popcorn hahah
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 ай бұрын
Makonda atbakia kua Almas hata atiwe tope vp
@user-bs2nr7gz5p
@user-bs2nr7gz5p 5 ай бұрын
Huyu kitenge ni mnafiki wala hafai na chuki na makonda aliyeko juu yupo juu tu hata ufanye nini huwezi kumshusha
@user-vs5ow5jt1w
@user-vs5ow5jt1w 5 ай бұрын
Acheni ushabiki
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 5 ай бұрын
Tabia ya kujifanya mnawakilisha watanzania kuuzwa kwa bandari kwa waarabu acheni tulikwazika sana na hilo.Au wenzetu hamuoni uwekezaji uliotupa hasara ambao umeigarimu nchi yetu?
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y 5 ай бұрын
Kitenge nani asiye mjua kwa unafiki ndiye alie tumwa kuwatangaza vibaya wamasai wa Ngorongoro na wakahamishwa, Ndiye alienda kwa Warabu Wa Dp word, Akawa msemaji wa Kampuni hiyo, Huyo ni mleta masumbufu, umasikini na majonzi kwa Watanzania Masikini na Wazalendo wa Nchi hii.
@Hanel_csn
@Hanel_csn 5 ай бұрын
Makonda uchaguz mkuu chukua form
@user-tm3jl4yx9f
@user-tm3jl4yx9f 5 ай бұрын
Achen mambo ya ajabu makonda n mtoto wa magu
@molenicharles9107
@molenicharles9107 5 ай бұрын
Mbwa huyu mkuda kinoma...hajaenda kuwazomea masandawana.
@user-bp2cc9eo6g
@user-bp2cc9eo6g 5 ай бұрын
Wivu tu😂😂
@maryammindu
@maryammindu 5 ай бұрын
Kitenge mnafki
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 5 ай бұрын
Toeni comments bila kupakana matope
@ClementVenance
@ClementVenance 5 ай бұрын
Makonda jeshi
@zachariahariohay359
@zachariahariohay359 5 ай бұрын
Huyu mzee kitenge anamawenge mengi
@user-vb7ko8kc6z
@user-vb7ko8kc6z 5 ай бұрын
Makonda jembe hakuna wa kufananishwa nae
@user-zx3kv9hb7p
@user-zx3kv9hb7p 5 ай бұрын
Hakuna kitu rais kaongea uzuri
@gwakisaphilipo2445
@gwakisaphilipo2445 5 ай бұрын
Uongo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 5 ай бұрын
Hakuna kama makonda
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 5 ай бұрын
Usimuharibie meneja wako wapo watu Tele watangazaji watarithi kiti chako... Makonda ni Makonda tuuu
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 5 ай бұрын
CCM wazee wanaogopa wimbi la vijana vuluga vuluga wasijielewe mabadiriko lazima Africa
@Official83640
@Official83640 5 ай бұрын
Kitenge na ww tunasoma habari yako Mange App km ww unavyosoma za wenzio kwenye gazeti😂😂
@florencemeza6540
@florencemeza6540 5 ай бұрын
Hebu iweke maana kazidisha domooo
@ujenezasandrine6854
@ujenezasandrine6854 5 ай бұрын
Tuambiy3 basi kafanya nini
@florencemeza6540
@florencemeza6540 5 ай бұрын
Maulid kitenge shenzi zako umetumwa na hao kumusema makonda hao rafiki zako walivyonunua jumba umefunga domo pumbaaavu
@zablonnyanda6095
@zablonnyanda6095 5 ай бұрын
Hii mwanahalisi ameandika kiuhasama,msiandike vitu ambavyo hamna uhakika,mnacgonganisha watu bwana
@georgemallya4311
@georgemallya4311 5 ай бұрын
Achana na makonda takaka wewe.hakuhusu makonda ni makonda humfikii hata robo kaa kimya huko.mropokaji mkubwa.wananchi tunampenda.habari zako wapeleke huko wasafi.
@NesphorycharlesMalando-dq2qc
@NesphorycharlesMalando-dq2qc 5 ай бұрын
Makonda so leval yenu kenge nyie!!
@shakaurembo477
@shakaurembo477 5 ай бұрын
Alafu wewe kitenge nuksi sana
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 5 ай бұрын
Acheni unafiki na magazeti yenu .makonda yupo sahihi .Tatizo wajinga ndiyo wanaona hayupo sahihi.🎉
@KundaelGeorge-tv8mz
@KundaelGeorge-tv8mz 5 ай бұрын
Atakuja kuwa kiongozi mkubwa sana
@johwilly8723
@johwilly8723 5 ай бұрын
Upumbavu mtupu, mnatangaza kishenzshenz tu, makelele tu kama majinga,
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 5 ай бұрын
Washamba wa Video nyie achaneni na Makonda chuki zenu dhidi yake msitushirikishe
@molenicharles9107
@molenicharles9107 5 ай бұрын
Kitenge utaja tiwa 🖕🖕la mkundu ww na kilopolopo chako
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 5 ай бұрын
Ndege alonunua magufuli n 8 hizi n samia mpaka na ya mzigo,kwahiyo kila ndege n magufuli,acheni hasadi,sasa n SAMIA ,bado katiba,tu ndoo,tutawaelewesha,, wa Tanganyika Tatizo shule,hii kukaririshwa kaa mtoto,wa nesury litakomeshwa,na KATIBA,
USO KWA USO DIAMOND PLATINUMZ  NA STEVE KAMCHANA ANGELA
16:26
Steve Mweusi
Рет қаралды 1,7 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 21 МЛН
NAKUPENDA MWALIMU NIKUVALISHE PETE  STEVE MWEUSI
14:04
Mweusi Family
Рет қаралды 6 МЛН
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,8 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full Episode /35/ #love
33:24
BabaJoan
Рет қаралды 41 М.
Inasikitisha: MBOWE amefika Hospital kuangalia mwili wa MZEE kibao
1:42