Maa Shaa Allah..Mwenyezi Mungu akueke pema peponi sheikh Omar Bashir.
@imamuhamisi4421 Жыл бұрын
Uyu shekh amekufa mwaka gan
@zainabrashid3853 жыл бұрын
Allah akulipe kheri ktk maisha ya akhera she Omar bashir amiina
@fadhilikawambwa51593 жыл бұрын
ALLAH AKBAR.mwenyezi mungu akupe nuru ndani ya kaburi lako.umeupagania sana uislam.nakumbuka sana mauaji ya mwembechai.magomeni ilijaa moshi wa mabomu ya machozi.
@athumanally3411 Жыл бұрын
Mama Shaka allha
@athumanally3411 Жыл бұрын
Allah akulipe shekhe Wetu mana Hakuna dini mpaka kumkufuru twaghuti
@amirmape6474 Жыл бұрын
Allah amrehemu shekhe wetu mzee wetu Umar Bashir
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Huyu alikua ni shekhe kweli kweli..Omar Bashir
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Mashaallah hawa ndo Masheikh tunaowataka, wanasema haki kwaajili ya kuitafuta Pepo.
@jumalesso3 жыл бұрын
Allah amrehemu Sheikh Omar Bashir
@mudrikmohamed67183 жыл бұрын
Allahu Akbar Omar Bashir Allah akulipe Jannatu Firdaus
@jumaarashidi62652 жыл бұрын
Allah amjalie fildaus ya ju kabs
@hilalikaumo34702 жыл бұрын
Allah amsamehe madhambi yake shekh Omar bashir
@halididaudi722811 ай бұрын
Hana baya huyu shekhe
@azadida8013 жыл бұрын
Allah amsamehe, amhurumie na ampe makazi firdausi sheikh Umar Bashir. Amiin
@fatmakhatib85203 жыл бұрын
Allah Karim akurehemu MashaAllah kweli kabisa
@allyhamad98773 жыл бұрын
Dah!Kumbe tuko mbali sana na uislamu wetu waislamu wa kipindi hiki....Asante sana maalim wetu kwa kutuzinduwa Allah akulipe kheri
@mursalmrisho15383 жыл бұрын
Allah akujaalie pepo ya firdaus Sheikh wetu
@binbaya9233 жыл бұрын
Allah amrehemu sheikh wetu
@heyumi23403 жыл бұрын
Allah akurehem shekhe wetu
@hassanballack6763 жыл бұрын
Sheikh Omar Bashir alikuwa katika haq Masheikh wa Tanzania wengi ni vibaraka wa makafiri usalama wa taifa
@jamalkishangu2 жыл бұрын
Huu ni msiba wa Dunia nzima.
@makenakendi2823 жыл бұрын
ALLAH akueke pema
@ikujoitambu27123 жыл бұрын
Shekhe Allah amrehemu
@abdulissa41123 жыл бұрын
Mashaallah Allah Akurehem
@dullahkuchi8736 Жыл бұрын
Wallah uislamu ni msimamo Allah akurehemu Alhabib sheikh Omar bashir
@zittokabwe96763 жыл бұрын
mwezimungu akulehemu shekhe omar
@sudaissoud36703 жыл бұрын
Wengekuwepo shekhe nadhani Afande alimtukana Mungu usingekubali ila leo anatetewa na mashekhe ubwabwa
@apexmombasa68093 ай бұрын
Ma sha Allah
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Allah atakulinda kwa nehema.
@roddybob68713 жыл бұрын
Allah amlipe pepo inshaalah....alikuwa imamu msikiti wa mwembe chai pindi walipo uliwa waislamu msikitini.....
@imamuhamisi4421 Жыл бұрын
Kumbe asante sana nilkua najiuliz uyu shekh mbon ni yupo fasaha sana kumbe aisee nashkur sana.
@imamuhamisi4421 Жыл бұрын
Nayeye aliuliwa au
@mrafm72853 жыл бұрын
Salaam tutafutie nyingi za marhum Omar bashir
@mussamabawa29736 ай бұрын
Allah akupe pepo ya firdaus
@jafarkipengele64922 жыл бұрын
😂 innalilah wainna ilayh rajiuun. Hayupo ila ametachia tabasam
@makenakendi2823 жыл бұрын
Mashaallah
@mangeraalbert79823 жыл бұрын
Wallahi tujinusulu, ni kubaya qiyama
@dullaapolo7769 Жыл бұрын
Inallillahi wainailahi rajun
@sadathboutique62535 ай бұрын
Shekhe alikuwa na msimamo imara
@YahayaKanali-go7cd Жыл бұрын
Maneno Yako yatadumu milele
@alhaddajmohammed47683 жыл бұрын
Makafiri wanashikilia dola kwa kila hali ili kuwapotosha watu na kuupiga vita Uislamu ! Lakini tukumbuke siku ya hukmu ya Allah ipo (Kiama kipo) na dalili za Kisma nyingi zimesha dhihiri. Hakuna kiumbe kitakachoishi milele, tusihadaike na vyeo, fedha, mali na umaarufu. Dunia ni mapito na starehe za muda.
@rehemamohamed87053 жыл бұрын
Naam hakika Allah atujaslie mwisho mwema Wamepotea masheikh wote wenye msimamo kama huyu
@jengajuma88253 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulaze mahala pema shekh omar Bashir amin 🙏