Great series, coz ni story ambayo haiko direct yani inabidi utulize kichwa ili ujue mbele kitatokea nini. Hongera sana Elizabeth Michael(Lulu) I'm you're big fan.
@LucieGolden3 ай бұрын
Ni kwel sio kama zaman mtu unaangalia kitu unajua mwisho itakuaje
@AshaJuma-dz6hq3 ай бұрын
Hakika
@neykidoti1023 ай бұрын
Mmh mbna kama sielewi wamemuua Brayan mtoto wa boss aaalah 😅😅 , mama Naomi kimemlamba Leo atalala nje 😂😂😂, MIMI on 🔥🔥
@NIELIDAUSWAHILI2 ай бұрын
My God!!🔥🔥you can never tell what is coming next! great series❤
@donathageorge65513 ай бұрын
The best swahili series mimi mpk nfatilia
@ChristineKesi-k9r3 ай бұрын
Thiso nice movie,its high tech..movies ,congs,nani aua brian au Naomi ....l love ths scene,great❤ nko kenya
@ChristineKesi-k9r3 ай бұрын
Kweli kabisa,Liz,bahati mbaya sikweli ILA mtu karuhusu mwenyewe kutokea, hususan kwa mahusiano,kiukweli lv learn fluent Swahili by watchng ths movie,l like it👋👋,nko kenya
@EfremuMwasumbi3 ай бұрын
Mama Naomi muogope mungu wako haupo sahihi kwa ulichokifanya
@olicej78373 ай бұрын
At na mimi nimeona mbona kavuruga 😂😂😂😂
@BerthaModest3 ай бұрын
Sanaaa💔
@mwanaidikingazi42223 ай бұрын
Mama Naomi mbona leo amatuchanganyia Mambo
@priscakimburi-sl9ml3 ай бұрын
Eeee bwanaee hata kama ni ww ungevumili na mwanaume ana gubu kama nin na hata viombo hawez sunzaa😂😂😂😂😂😂😂 ama unafkria ni viombo kwa sinck😅
@DianaRichard-bu9tz3 ай бұрын
Mama naomi amekosea sana hio ni dharau kubwa sana ko mumeo angekuwa mzima ungefanya hivyo nawachukia wanawake wa design hii
@HellenDeus3 ай бұрын
Naom ananifurahish sanaaaa anajiamin had rahaaa❤❤
@olicej78373 ай бұрын
Ata na mimi nataka niwe najiamini ivo ivo 😂😂😂😂
@Daniella2493 ай бұрын
Mama Naomi unampngo gani na baba Naomi lakini wewe 😢😢 dah nimelia sana jamani
@saidmohd29312 ай бұрын
Niliwah kusema hii ndio series tamu kama nyumba ndogo😅😅 hii ndio best series 2024/2025
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Mama Naomi umekosea sanaa
@tumainiedgar083 ай бұрын
Me mwenyewe nimemshangaa
@lyrics_forum3 ай бұрын
Hii Movie naiona mbali sana hapa youtube wiki zijazo. Mtaniambia
@alineolivia23923 ай бұрын
True!
@SuzanMoshi-m1s3 ай бұрын
Kwa kweli mama naomi kakosea sana jaman
@maseleenaesleen81493 ай бұрын
Kabisa utaleta vipi x wako nyumbani kwako😅😅😅
@stanleysongo68953 ай бұрын
Kazi nzuri lulu
@mathildemwangaza1092 ай бұрын
Steve hajui hiyo
@iamanoutstanding_creation3 ай бұрын
Naanza kuhisi hata Glory ni friend wa Naomi😂😂😂
@EfremuMwasumbi3 ай бұрын
Mtambalike sijawahi kosa move unazocheza upo levo zingine angalia hata kimataifa uko vizur
@RachelGerald-b5u2 ай бұрын
Naomi anapenda familia yake had raha shida ni moja
@jacklinegasper-vi2bw3 ай бұрын
Ila baba naomi😂😂😂😂 nimecheka leo
@VeronicaRugoyi3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@neemamkambwahamisi47183 ай бұрын
Nice❤❤
@FaithJovin3 ай бұрын
Good job kipenz mrs majizo
@hutahuta11703 ай бұрын
Daa muvi kali
@neemamkambwahamisi47183 ай бұрын
Mama Naomi Ex wako apo ulikosea 😂
@FarhatKhamis-h6p3 ай бұрын
Antak kumuuwa mzee
@nawesulle35662 ай бұрын
😂😂😂mama naomi n vp
@khadijahhussan1823 ай бұрын
😂😂😂Duuh ila baba Naomi Sasa amfate Tena itakuwaje sindo watayajenga vzur
@sophiaazizingaiwa38573 ай бұрын
Naomi una catch my feeling 😂😂😂😂
@KingNamber3 ай бұрын
Jamanii raha juyaraha
@RithaMahatane3 ай бұрын
Baba Naomi jmn 😂😂😂
@ChangaJisava3 ай бұрын
😂😂😂nikisimama hapa Melissa tutaongea mengine
@Salama123-iw7hj3 ай бұрын
Baba naumi 😂😂😂😂
@VestarProjest3 ай бұрын
Duuuh kwahy baba kaua mwanae
@zawadiphilemon24503 ай бұрын
et nikisimama hapa daah😂😂😂😂
@olicej78373 ай бұрын
😂😂😂😂😂mdomo unamsaidia 😅😅
@zawadiphilemon24503 ай бұрын
@@olicej7837 😂😂😂
@AnithaNahimana3 ай бұрын
Tuko pamoja tuna wapenda sana kabisa
@naomikisaba57853 ай бұрын
Mwenye magazeti sasa😂😂😂😂
@ChristineKesi-k9r3 ай бұрын
Yap,kuna uwezekano pia baba brian kahusika,ili asimsema kwa mamake,au pia nicky kahusikaa,eeeh twende nalo...
@doriceedward18933 ай бұрын
Endelea na hii bhana mambo ya nin sijui achana nazo
@aishawhite11073 ай бұрын
Mtoto wa boss 😅😅😅
@KituRu3 ай бұрын
Baba Naomi ni mwanaume
@esterkimalio88463 ай бұрын
Wewe mama naomi bhana,,,unaona ni rahisi kumleta ex wako kwa mume wako eti?
@ChangaJisava3 ай бұрын
Tena x anamsifia mke wa mtu
@esterkimalio88463 ай бұрын
@@ChangaJisava yaani hatari sana,,,
@Aminaiddy-i2t3 ай бұрын
Half MTU mwenyewe kawamlemavu
@AlmasiShabani3 ай бұрын
Kazingua mshenzi kumbe ndomana Naomi nae Malaya
@amdee993 ай бұрын
Mama Naomi mguu wake ni paja langu😭😂😂
@JamalKivambe3 ай бұрын
Sliza sijawai hangalia siliz ya kitanzani ila Kwa hii ni atar
@fatmasalim88693 ай бұрын
Mackin brown wamemteka namuonea uruma yule nick nimuuwaji
@allybin083 ай бұрын
❤❤❤
@Misanyahidaya3 ай бұрын
🔥🔥
@SerafinaMkumbwa-j1m3 ай бұрын
Nicky amka jamn😢
@AmeirhajjRamadhan-e1h3 ай бұрын
Kwaiy mama naomi bado ni mchumba ako😏😏😏😏Ety nilimleta mchumba angu wa zamanj
@RozeteBasinde3 ай бұрын
Kwani hii Series ndo imeanza au niya kitambo ndo inarudiliwa kupostiwa kwasababu kamera yao aina light poa