Kulingana na hii stori nilichojifunza na ninachojifunza ni kuwa sometimes ni bora kupoteza kitu kwa kusema ukweli ambao utakutesa for somehow but utakuwa ushaondoa udhaifu ambao watu wengi watautumia katika kuku blackmail. Maisha halisi ni rahisi. Ukweli always ni mchungu lakini ndio dawa ya matatizo, hakunaga dawa tamu. Asante Lulu kwa stori nzuri na Quality series.
@mariethachitema3 ай бұрын
Kweli
@hawasaid71513 ай бұрын
Exactly 👏👏
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
I like the way wife treats Joseph massage ya kichwa, heri useme ukweli ni sauti ya naomi,steve pia aeza support ww,amuache naomi,nancy gal u r elegant cute original wth no make up ❤ MD Joan🇰🇪
@ZuleykhaIsmail-rc5ly3 ай бұрын
Naomi anamfanya Joseph aonekane maji kupwa maji kujaaaa 😂😂😂😂😂😂 napenta anavyopelekeshwa 😅😅😅
@jenipherangelo17403 ай бұрын
😂😂😂😂😂 bado hajasema
@HellenDeus3 ай бұрын
Elizabeth sio kujua tu barii umewezaa na unajua kutufurahishaa ❤❤❤❤❤
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Joseph nahisi hadi akilala anamuota Naomi 😂😂😂😂😂😂
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Good joseph,kana kabisa,acha huyo malaya naomi
@WitnessWitnessthomasАй бұрын
eeeeh we nae😂
@happysindani6708Ай бұрын
Daddy can you talk please NOP 😂😂😂
@khadijahhussan1823 ай бұрын
😂😂😂Mheshimiwa tuututuuutuutu kama zote😅😅😅
@Byeragordian35722 ай бұрын
Kumbe na majambazi wana mapenzi mazuri😅😅😅🎉🎉
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Mr Joseph si aache t kugombea uo uwenyekiti
@JulianaMwatelaАй бұрын
Na bado Mr Joseph mpka useme yani mpka useme upo😂😂😂😂
@kurthummapande3 ай бұрын
Lulu maua yakoo chukua ayooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@neemamkambwahamisi47183 ай бұрын
Jamani Elizabeth na maswaliyake😂😂
@VeronicaKimath3 ай бұрын
My favourite movie ❤
@jenipherangelo17403 ай бұрын
😂😂😂😂😂naomiiiii ni fire
@ireneevaristo55523 ай бұрын
Ila Naomi anawavuruga wababa watu wazima 😂😂😂😂😂😂
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
😂😂😂
@hutahuta11703 ай бұрын
Hongeleni sana
@dorcasmueni22902 ай бұрын
Naumi!! Unafanya joseph aanza kusweat!!
@danielaugustino7053 ай бұрын
Bado tuuu😂😂😂😂😂pooo
@dorcasmueni22902 ай бұрын
😂😂aki naumi!!
@EfremuMwasumbi3 ай бұрын
Joseph kosa ulilofanya nikutembea na Naomi hiyo dhambi itskutesa pole
@RayaSafari3 ай бұрын
Huyu naomi ni nani vile duu hadi kwa uandishi wa habari😂😂😂😂😂
@mathildemwangaza109Ай бұрын
Mr Joseph I like you
@MarkoMkiva2 ай бұрын
Hajawah
@michaelkisselar56913 ай бұрын
Ile Party ya Nick na Vivian ni bonge moja la scene.
@iddysalim63313 ай бұрын
Number oneeeeeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hureeeeeeeeerre 😂😂😂😂😂😂
@RehemaYakuti3 ай бұрын
Uyo naomi katupeleka kwenye jua kali mpka tumechoka saiv tena anatupeleka kwenye mimi mpka basi
@agnessbahamu39313 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@tricialmercy31283 ай бұрын
its nickky for me😂😂😂😂😂
@meloaunt25933 ай бұрын
Jaman Nicky anamjari mama kija mpka rahaa
@DeliphinaCosmas3 ай бұрын
Jmn mtu akiwa na udhaifu wako ni hatar na ni Bola ukasema ukweli kabla ya kuumbuka lkn najiuliza Naomi mbona anajiamini Sana hiv
@dinatito-e1y3 ай бұрын
Hapa tuuutututtuu...😂
@RoselyneKhavere3 ай бұрын
Naomi wamtfuta Joseph maneno hdi jasho limetoka😂😂😂jamani....ni kma Kuna Siri imejficha mahali 🤭🤭
@NajmaNgoni3 ай бұрын
Joseph alimbaka Naomi ndio maana ya hayo yote
@Misanyahidaya2 ай бұрын
🔥🔥🔥
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ila Naomi 😂
@Daniella2493 ай бұрын
Kwani naomi anafanya kazi gani jamani 😂🙌 mpaka amefika kwenye kikao kama hiki
@CharifaRachidi3 ай бұрын
Amekuja kama mwandishi wa habar
@Salama123-iw7hj3 ай бұрын
Naomi maua mama ❤❤❤🎉🎉🎉
@AshanaomyMwakimwagile2 ай бұрын
Story ni nzuri.. waigizaji ni wazuri lakini Imekosa uhalisia.. too much acting.. inabidi tukiangalia Movie tuhisi kama ni kweli
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
Vivian unakula vibaya v greedily
@BimkubwaMohamed3 ай бұрын
Kumbe Naomi ni mpelelezi
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
Yaah👍
@shakilasharifa93 ай бұрын
Naomi kivurunge 😅😅😅
@danielaugustino7053 ай бұрын
Yannnn bdooo tuoooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂poo
@FurahaKulapha3 ай бұрын
Mpka mueshimiw katoka jasho na maswal😆
@mamat18483 ай бұрын
Naomi Naomi 😂😂😂
@BabuuMarealle3 ай бұрын
Naomi anaingia kama Nan ndani ya kikao cha waandishi wa habar ingawa yeye si mwandishi 'mmmh😮 apa si sawa'
@nancyg86643 ай бұрын
ata wewe ukishika maiki kibongobongo utamuhoji mtu yoyote tu
@Nimebarikiwa3 ай бұрын
Nimeshangaa pia
@AshanaomyMwakimwagile2 ай бұрын
yaaan hii series kuna na vitu vingi vimekosewa!! sanaaaa! Naomi amepewa nguvu sanaa ambapo kiuhalisia si kweli
@jkizondoswahilibites4342 ай бұрын
@@AshanaomyMwakimwagilenimekubaliana na wewe hata awe director she over does things
@aliyasaid213 ай бұрын
Sema kime umana😅😅
@VeronicaRugoyi2 ай бұрын
Kimeumana😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Maria-l4h3q2 ай бұрын
Kumechemka yaani kimeumana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AkimanaDomie3 ай бұрын
❤😊
@meckraudndelwa-jv8co3 ай бұрын
Joseph kaanza nae kutumia brn
@julianamaganga48033 ай бұрын
Kwani Naomi anajivunia kitu gani?na mpaka Sasa mboni wanamchelewesha
@nancyg86643 ай бұрын
muv aijaisha utaelewa tu
@jkizondoswahilibites4342 ай бұрын
Why is naomi all over the movie? Mbona awe yeye ndio anae control kila kitu? That’s too much of a character in a movie
@NaftalLameck-z4d3 ай бұрын
kwann mnarushaga kila baada ya siku7 jaman
@Daniella2493 ай бұрын
Yani mr Joseph utapelekwa na naomi mpaka ukome leo muoe naomi kesho tena simtaki naomi 😂😂😂😂
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
@@cristaezekiel1036😂😂😂
@allybin083 ай бұрын
❤❤❤
@cristaezekiel10363 ай бұрын
😂😂😂😂Ila joseph et na ww skuhz unafatilia udaku 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
😂😂😂😂
@JescaMbua3 ай бұрын
Naomi is (MIMI)
@EmmettOnike3 ай бұрын
Hii tamthilia nzur lakin kuna vitu haina uhalisia kabisaaa
@MaryTesha-le2ql3 ай бұрын
🤔🤔 vi nn tena jmn mbn wamejitahidi
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
@@MaryTesha-le2qlkhaa ila watu atoe yake bas😂😂
@ZahratAhmad-o1v3 ай бұрын
Uhalisia upi?unataka watu wakioga wawe uchi live au wakinyanduana
@agnessbahamu39313 ай бұрын
@ZahratAhmad-o1v 😂😂😂😂😂
@VeronicaRugoyi2 ай бұрын
@@ZahratAhmad-o1v😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AngelineSidi3 ай бұрын
Kwani Joseph ulifanya nni jamani mbna inaniuma
@Nimebarikiwa3 ай бұрын
Alimtombaga naomi zamani
@pur-ple-girll-3043 ай бұрын
Naomi huu a yuuu bai ze wei😅😅😅 unani komfuzi😅😅😅
@UpendoAyubu-b5r3 ай бұрын
Mpelelezi aka afisa usalama
@pur-ple-girll-3043 ай бұрын
@@UpendoAyubu-b5r bado sielew kwann anavurug mambo ana chafua hali ya hew 😅😅😅
@AishaRashid-z8k3 ай бұрын
@@pur-ple-girll-304😂😂
@AshanaomyMwakimwagile2 ай бұрын
ila Naomi anaamkaje usingizini na Lipshine.. too much!
@MamaMueleza3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
@Salama123-iw7hj3 ай бұрын
😂😂😂😂
@ChristineKesi-k9r2 ай бұрын
How does naomi com in as a journalist,not clear - fake
@hanaanaljabry2 ай бұрын
Kumbuka kwamba rafiki wa naomi ni secretary wa joseph. Anaweza akawa amempitisha tu