MIRAJI AMTAJA KIGOGO YANGA ANAYEMDANGANYA KIBU DENNIS, SISI SIMBA HATUMTAKI KIBU ARUDISHE PESA ZETU

  Рет қаралды 42,584

SPOGA ONLINE

SPOGA ONLINE

Күн бұрын

KIMENUKA MIRAJI AMTAJA KIGOGO YANGA ANAYEMDANGANYA KIBU DENNIS, SISI SIMBA HATUMTAKI KIBU ARUDISHE PESA ZETU

Пікірлер: 116
@balekefasbalele8262
@balekefasbalele8262 2 ай бұрын
Hayo hayo mlifanyaga kwa Morison, tulieni dawa iwaingie ...
@selemanisabihi5994
@selemanisabihi5994 2 ай бұрын
Ataki mbona muna mlazimisha kama feii
@Kabeya410
@Kabeya410 2 ай бұрын
Pesa kisharudisha 😅kama FEI TU 😅UBAYA UBWELA NA UDUGU UMALA 😅
@RichardWambura-w9o
@RichardWambura-w9o 2 ай бұрын
Kipindi fei alikuwa akizingua yanga mbona mlikuwa mkishabikia
@AnthonyPetro-eb4yc
@AnthonyPetro-eb4yc 2 ай бұрын
Umeumia sana kaka, tuliza munkari
@kolosii4351
@kolosii4351 2 ай бұрын
Ubaya ubwela, mliowafanyia timu zingine leo yanawarudia.
@FabianiNguvumali
@FabianiNguvumali 2 ай бұрын
Kwen inauma
@AmurJecha
@AmurJecha 2 ай бұрын
WENDA WAZIMU KWELI NI WENDA WAZIMU NA MJINGA NI MJINGA TU..HAO WANAO SEMA NA SISI TUMEFANYIWA AKILI ZAO MBOVU HUYU NI MCHEZAJI WETU KAMA HAO MNAOSEMA TUKISEMA MCHEZAJI NI WETU NI WETU ..MBONA NZENGI HATUJASEMA NI MCHEZAJI WETU.❤❤
@jaylosalphonce9659
@jaylosalphonce9659 2 ай бұрын
Apo sijaelewa umeandika nn
@yusufumpako5364
@yusufumpako5364 2 ай бұрын
@@jaylosalphonce9659 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@tilaselias7213
@tilaselias7213 2 ай бұрын
Bado mtasema Mzee magoma si ni mgeni rasmi mmemwaga mboga tunaondoka na ugali
@josephgalandu128
@josephgalandu128 2 ай бұрын
Kibu mkandajiiiiiiii kawakanda Simba
@francofisinge137
@francofisinge137 2 ай бұрын
Sanda kaikimbia Kibu Hana ujinga wa kufama yu kijana kawakanda😂😂
@ommymsangi9182
@ommymsangi9182 2 ай бұрын
Mme muiba Lawi na Uweso mkacheka leo ya Kibu mnalialia.
@franciscojohn5751
@franciscojohn5751 2 ай бұрын
Ubaya ubwela ndio mvae Sanda kwel jamani watani mbona mnabuluzwa sana
@bestforever-q2w
@bestforever-q2w 2 ай бұрын
Mwizi kaibiwa😂😂😂ubaya ubwelaa
@josephgalandu128
@josephgalandu128 2 ай бұрын
Kibu yupo huku Dadona vijijini😂😂
@Williammatinde-o9w
@Williammatinde-o9w 2 ай бұрын
Na bado
@ahmedmsambara7415
@ahmedmsambara7415 2 ай бұрын
MLIKUA MNAMSHABIKIA FEY LEO MMESAHAU WASENGE NYIE
@selestinemnegelwa2572
@selestinemnegelwa2572 2 ай бұрын
Aibu sana.
@josephgalandu128
@josephgalandu128 2 ай бұрын
Ubaya.......😂😂😂😂Kibu kawafanyia ubwela
@barnabasmalima4823
@barnabasmalima4823 2 ай бұрын
miraji ukizeeka utakua mchawi kila leo mnalalamikia yanga kuweka mkono lakini ukimsikiliza wakala wake utagundua kua try again anajua na club inajua hiyo barua ni propaganda tu kibu anauzwa utakuja kusikia simba yafikia mahafikiano na timu kutoka sweden
@GodfreyJohn-zk8jr
@GodfreyJohn-zk8jr 2 ай бұрын
Mashabiki wa simba mambumbumbu, Wakala analalamika pesa yake hajalipwa. Harafu wanaisingizia yanga inahusikaje hapo.
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 2 ай бұрын
Mlipe wakala Wake fedhaaa
@yasinfinin1799
@yasinfinin1799 2 ай бұрын
Kwa mwali ukiliwa na kwa kungwi pia.. Lawi.. Aweso.. Na yule wa Geita.. Inauma eee 😂😂😂
@Asia-p5r
@Asia-p5r 2 ай бұрын
Achaneni naye kibu hana ubora wa kuwasumbua kihivyo msimu mzima goal moja.....anawasumbua hvy ....!
@HUSSENMAMBA
@HUSSENMAMBA 2 ай бұрын
Makolo utasema yote mtaishi na Mzee magoma😂😂😂
@geraldbagole4494
@geraldbagole4494 2 ай бұрын
Haina haja ya kumlaumu au adhabu kwa Kibu anatafuta maisha,cha msingi timu inayomtaka ilete offer kwa Simba kwa mchezaji ana mkataba.Simple😂😂😂
@AndrewShola-ts5lp
@AndrewShola-ts5lp 2 ай бұрын
Kibu ni msaliti Tena sana nimiongoni mwa wahujumu ndan ya Simba. katika goli zile tano za yanga juu ya Simba wasaliti walikuwa watano. Walikuwa chama, inonga, manulaa, baleke na kibu. Kibu Naye alitakiwa apewe thank u mapema Sanaa..
@AziCure
@AziCure 2 ай бұрын
Huw mnashangilia upumbavu sasa mnaona majibu,, kawakanda😂😂😂
@seifmayumba8779
@seifmayumba8779 2 ай бұрын
Kwenu hadhabu kali mlifulahia fesar aigomea yanga hakuna hadhabu hapo
@GodfreyJohn-zk8jr
@GodfreyJohn-zk8jr 2 ай бұрын
Endeleeeni kumshangilia magoma
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 2 ай бұрын
😂😂fala ww
@bakariomarimndeme6059
@bakariomarimndeme6059 2 ай бұрын
Ubaya ubwela 😂😂😂😂😂
@BensonDickson-xf1ge
@BensonDickson-xf1ge 2 ай бұрын
Mashabiki wa yanga kama k
@RamadhaniDaudi-p6i
@RamadhaniDaudi-p6i 2 ай бұрын
Ukiwa mwizi ukiibiwa unararamika sana sijiu kwanini kwaiyo kuweni wapole ataludi mfungaji wenu wagoli Moja kwamsimu
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 2 ай бұрын
Kuraramika ndio nini? Nenda shule!
@Adremanemachude
@Adremanemachude 2 ай бұрын
Miraji kaka usijimalize viongozi wetu wanafki awatuambii kweli, kibu ajamalizana na na simba.
@monicalucas3738
@monicalucas3738 2 ай бұрын
Ubwaya ubwela, mwizi akiibiwa makelele mengiiiii, kwa fei mlikuwa mstari wa mbele, yamegeuka mtalia sana ndo kaondoka hamna lenu😂😂😂
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 2 ай бұрын
Mbona Feisal mlisema aachwe akatafute furaha
@BensonDickson-xf1ge
@BensonDickson-xf1ge 2 ай бұрын
Aende yanga tuishushe daraja
@FabianiNguvumali
@FabianiNguvumali 2 ай бұрын
Fei Toto ilikuaje nanyie washamb mnalialia
@MentalHospital-t8q
@MentalHospital-t8q 2 ай бұрын
Tulieni hii ni kama fei tu alilipwa alichokitaka kisha kazingua mkafyagilia sasa acha yaendelee yanga walipotaka kutoa funzo mkaanza kuongea achasasa ubaya ubwela 😂😂😂😂😂
@Mobmob2013
@Mobmob2013 2 ай бұрын
Mmesahau mambo ya Morison na Manzoki 😂😂 Ubwela fc Namheshimu miraji anajua boli Ila anatumiga nguvu kubwa akipanic😅
@jacksonmwanisawa663
@jacksonmwanisawa663 2 ай бұрын
Mzimu wa fei utawatafna sana wasenge nyinyi
@polycarplazaro8482
@polycarplazaro8482 2 ай бұрын
HUYU MBWA AFUNGIWE KUCHEZA NA CLUB MPAKA TUTAKAPOAMUA VINGINEVYO....NA PESA ZA USSAJILI ARUDISHE.... APIGWE PINI MAISHA YAKE HAPO CLUBUNI
@GodfreyMwamaso
@GodfreyMwamaso 2 ай бұрын
Mpira wa bongo ni wa kiswahili daily maneno hayaishi Simba na yanga maneno mengi kuliko mpira
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
AMEWAFANYIA "UBAYA UBWELA"
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 2 ай бұрын
Tatizo lenu munaaminishwa sana et kibu kasaini wakat hakusain bado. Hadi mkataba wake ulipo isha. Akawa huru we Lia na viongoz wako elewa kibu si mtu wa hovyo anaelewa. Usimchafulie. Sifa zake bro waza kwanza naukielewa faida Niko pale 👉.......⚽
@RobatAllaya
@RobatAllaya 2 ай бұрын
Acha aende ulaya au yanga Simba Bado Iko imara sana kwani kibu nani mi naona mchezaji tu
@mafisadi
@mafisadi 2 ай бұрын
Mtamuona siku ya kilele Tarehe 04/08/2024
@ahmedmsambara7415
@ahmedmsambara7415 2 ай бұрын
KUMBUKENI MLIKUA MNAMSHABIKIA MASHOGA NYIE DOLE HILO MKU
@MartiniNguvumali
@MartiniNguvumali 2 ай бұрын
Kama vipi afungiwe kucheza mpila kabsa
@Mumewangu
@Mumewangu 2 ай бұрын
Kama kuna kiongozi yanga amemficha itakuwa mpumbavu manake amesainiwa kila Taratibu zimefanywa anamfichaje. Hajafichwa kibu bhana amejivuruga tu
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 2 ай бұрын
Nendeni. Zenu. Makolo. Mukifungwa. Letteni. Uwo. Usenge. Wenu mnowita. Ubaya. Ubaya. Naona. Utawarudia. Wenyewe. Na. Mtaoona. Wenyewe
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 2 ай бұрын
Yani kwa kifupi msemajinwa Simba wamemvua nguo kabisaa, kwa lasta kwa lasta amezalilishwa sana mwamed Ali, Yani huyu mzee ndio anaonekana muongoo kweli, duuu hii inatwa mkubwa kakaa uchi
@josephgalandu128
@josephgalandu128 2 ай бұрын
Sinba huwawanajitabiria mabaya wao..Unbya....😂😂😂😂😂
@jameskeya8697
@jameskeya8697 2 ай бұрын
Acha hizo Miraji leo wewe ni wa kusema Kibu abaniwe?? Acha akabadili upepo
@AlfredRutaguza
@AlfredRutaguza 2 ай бұрын
Mbwa nyinyi moo kawapumbaza Sana ,umetumwa kuja kutudanganya eti moo kamgaramia kibur wakati anawadai
@AAbubakariSharif
@AAbubakariSharif 2 ай бұрын
Mimi najitolea kumloga kibu Denis mpaka arudishe pesa ama asicheze uko Norway shenzi
@dreadlocksspecialist7195
@dreadlocksspecialist7195 2 ай бұрын
Kwani wachezaji wangapi wameonyesha utovu wa nidhamu na mkashangilia leo wachambuzi wanashida gani ilhal asilimia kubwa ya wachambuzi ni simba hakuna mtu anaweza mficha mchezaji mwenye goli moja msimu mzima ni kichaa tu anaweza amini hivi
@roggerasili3089
@roggerasili3089 2 ай бұрын
mlisema Fei achwe anatafuta maisha sasa na Kibu aachwe anatafuta maisha pia.
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 2 ай бұрын
Ubaya ubwela😂
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 2 ай бұрын
Miraj magoma😂😂😂😂
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 2 ай бұрын
Kib FUNGUA ndan
@maxminemazulaemmanuel916
@maxminemazulaemmanuel916 2 ай бұрын
Mwizi akiibiwa Huwa inamuuma sana SI mlitegemea TFF iwasaidie au hamkumbuki nyakati zenu za ujaja zimeisha dadeki
@RamiaMavengu
@RamiaMavengu 2 ай бұрын
Mh kama miraji anakula nae sasa hv
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 2 ай бұрын
Gali hamjampa na wala milioni mia tatu amjaingiza kwenye akauti yake ,mmeingiza milioni amsini aya bado Aishi manula badao anadai, Simba mnapigwa ela amnaa
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 2 ай бұрын
Huyo ni mkongo ameshapata maisha ulaya na mkewe yupo marekani harudi Tena huyo
@michaeljames403
@michaeljames403 2 ай бұрын
WAPI FEI MLA SUKARI
@josephgalandu128
@josephgalandu128 2 ай бұрын
Magoma kaingia na ubaya....😂😂😂😂😂
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 2 ай бұрын
Ama kurudisha pesa au hatocheza mpira kbs
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
KAENI NA MZEE MAGOMA AWALETEE KIBU DENIS
@MonicaMbossa
@MonicaMbossa 2 ай бұрын
Anamficha kivipi?kauli tata hizi,unamaanisha huyo kigogo kaolewa na kigogo wa yanga au kibi Kapa kigogo wa yanga, mpira ni mchezo wa wazi hata kama kafichwa kaolewa atajua mwenyewe
@GodfreyJohn-zk8jr
@GodfreyJohn-zk8jr 2 ай бұрын
Tarehe 8 Goli 8
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 ай бұрын
Ubaya ubwelaa
@alsonmwangwale7099
@alsonmwangwale7099 2 ай бұрын
Hapa tunataka iwe fundisho kwa wengine
@josephgalandu128
@josephgalandu128 2 ай бұрын
Tarehe 4 tunamtambulisha rasta wetu Ki d😂😂😂😂
@maxmia100
@maxmia100 2 ай бұрын
Milaji nae siku hizi anazingua anazungumzia kishaniki Sana haongei kimpira
@pambaboniface1199
@pambaboniface1199 2 ай бұрын
Ubwela FC😂😂
@AbassAbdalla-e7j
@AbassAbdalla-e7j 2 ай бұрын
Maramoja kushawishiwa ,acha kuongea pumba
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 2 ай бұрын
TULIWAAMBIA MIKATABA INATAKIWA IHESHIMIWE MKAKATAA MKASHABIKIA SAKATA LA FEISAL, UBAO UMEGEUKA MTULIE DAWA IWAINGIE, BADO KUNA WENGINE WATAONDOKA KIENYEJI, HAYA MLIYASHABIKIA KWA KUA ILIKUA NI YANGA LEO MNALIA, MTULIE.
@AbdulyAyoub-t5z
@AbdulyAyoub-t5z 2 ай бұрын
Huyo jibu alisain wap
@chikuluchidodokochiitingan340
@chikuluchidodokochiitingan340 2 ай бұрын
Ushasema ubaya ubwela unatombokatomboks tu😅
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 2 ай бұрын
huyo akae bench mda ote tuone anacho taka
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk 2 ай бұрын
Atarudisha tu labda kama hatumuoni kwenye lada za kwetu
@suleymanmwenda4311
@suleymanmwenda4311 2 ай бұрын
Mjomba umeshaludi kwenye grup la mikia usije ukaloa tena
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 2 ай бұрын
AZABU APEWE NANI WAKATI PESA KASHARUDISHA, NA HATAKI SI MUMUACHE AKACHEZE ANAKOTAKA.
@MichaelThomas-z4r
@MichaelThomas-z4r 2 ай бұрын
Kisu kimekata mfupa sio mlishabikia yafei sasa mwachen mtoto akatafutemaisha uumchezo autaki asila
@justinemathiasngwandu7715
@justinemathiasngwandu7715 2 ай бұрын
Achwni zenu, mwacheni kibu ale maisha, mlijisahau mkakalia ya Magoma sasa ubaya ubwelaaa😂😂😂😂
@AbassAbdalla-e7j
@AbassAbdalla-e7j 2 ай бұрын
Ubaya. Ubwelaaa
@JumaVumbi-l8p
@JumaVumbi-l8p 2 ай бұрын
Kibu ni Mcongo akifanikiwa atatafuta Hati kutoka FA ya Congo na atapiga chini uraia wa bandia,,wacongo ni wa2 wa Maslahi sn,,hii itaisha kashatapeli na kasepa
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 2 ай бұрын
Siyo rahisi kama unavyofikilia wewe
@sebastiankatalle2732
@sebastiankatalle2732 2 ай бұрын
Kweli ww bwege sna mkataba na uraia wapi na wapi
@charlesmwaipasi2884
@charlesmwaipasi2884 2 ай бұрын
Kubababaake kula chuma hicho
@RamiaMavengu
@RamiaMavengu 2 ай бұрын
Miraji hahahahaha 😂kawasahau viongozi wake reo analia na mwanaume mwenzie anaejipambania je # hivi huyu miraji na anavyoongea ebu vaa viatu vya kibu ndio wewe maisha yako mpira
@mafisadi
@mafisadi 2 ай бұрын
Ubaya Ubwela
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 2 ай бұрын
Kibu anatuuma maana ndo alikua mbadala wetu wa kubeba HIRINZI baada ya Boko kuzeeka. Hebu Kibu acha utoto njoo dogo tuyajenge hawa Yanga bila kuwaroga 5 zitazidi
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 2 ай бұрын
Kibu yupo Lipalwe huku mahuta
@mafisadi
@mafisadi 2 ай бұрын
Namuona hapa mkonjowano amepita na boda, nimemjua kwa Rasta zake
@suleymanmwenda4311
@suleymanmwenda4311 2 ай бұрын
Kamsainisha mkataba wa ujanjaujanja
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 2 ай бұрын
Kibu ajapewa achauwongo miraji nyinyi mmezowea kuongopewa na viongoziwenu mnamsikiliza Sana Ahamed ally Ahamed ally nimuongo Sana kusaini kasaini ela hajaingiziwa zote anangoja aingiziwe arudi achauowongo wewe mzee mwenda ndioanajuwa vizuri mliobaki mashabiki maandazi hamjuwi lolote nyuma ya panzia kibu anadai
@LuqmanIddi-cb8me
@LuqmanIddi-cb8me 2 ай бұрын
Mapovu yanakutoka kama ulikuepo wakati anasaini mbwa wewe..
@frankiemissingo1925
@frankiemissingo1925 2 ай бұрын
wewe wamnyoshe hoe certain u are kwamba they are perfect,?
@frankraphael7546
@frankraphael7546 2 ай бұрын
Kibu aendele kuvuta bangi atumtaki
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 2 ай бұрын
Mufanye. Nini. Msimu. Huu. Na. Mmetangaza. Vita. Eti. Ubaya. Ubaya. Nyie. Madunduka. Hamuwezi. Kuwa. Na. Nizamuc
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 2 ай бұрын
Kauzwa na wakubwa.shabiki mlie tu.
@suleymanmwenda4311
@suleymanmwenda4311 2 ай бұрын
Chagamba mo ni muongo usimfagilie ajamlipa
@samirsaidi8386
@samirsaidi8386 2 ай бұрын
Ronaldo hana tuzo nyingi tu mkuu hajachukuwa
@JumaJuma-g5e
@JumaJuma-g5e 2 ай бұрын
Miraji. Wacha. Ujinga. Hamunalilote. Mnapapatilia. Sanna. Wachezaji
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 57 МЛН
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 306 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 9 МЛН
HOUSE GIRL EP 31  | S3 | LOVE STORY 💞💕
22:38
BUSATI TV
Рет қаралды 42 М.
小天使和小丑太会演了!#小丑#天使#家庭#搞笑
00:25
家庭搞笑日记
Рет қаралды 57 МЛН