MZEE MASATU:AGEUKA MBOGO KWA CHAMA | NIULIZE KUHUSU JOSHUA MUTALE | TUNASHUSHA VYUMA HATARI SIMBA SC

  Рет қаралды 26,852

wispoti tv

wispoti tv

5 күн бұрын

JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

Пікірлер: 62
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 8 сағат бұрын
Mzee safi sana ira nashanga sana taifa letu linawatu wa ajabu na ndio taifa ra kwanza kuwa na watu mtindo huu wanafanya kazi ya kununua bando kwa aajiri ya kutukuna watu kwenye mitandao hongera sana mzee masatu
@SulemaniNassor
@SulemaniNassor 2 күн бұрын
Mze masatu upo juu sana good
@abelimaganga417
@abelimaganga417 2 күн бұрын
Huyu mzee atunzwe ana kitu kikubwa Sana nimekukubali mzeee Wang
@japhetmwangwa2145
@japhetmwangwa2145 Күн бұрын
Mzee masatu namkubl Sana mzee wangu ❣️🇹🇿
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 2 күн бұрын
Safffi mzee masatu chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉
@MuhamedKhamis-ip6tm
@MuhamedKhamis-ip6tm 13 сағат бұрын
Ahsant mzee wetu
@samsonpaul-uz6nq
@samsonpaul-uz6nq Күн бұрын
Unajuwa sana Mzee wangu
@kasolesambula1678
@kasolesambula1678 2 күн бұрын
Manshaallah mzee 🎉🎉🎉🎉🎉
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 күн бұрын
Mashabiki wa mpira Bongo,sometimes mnakuzaga mambo bila uhalisia --- Class ya Mutale ni ya dataja la kati --- tungekuwa na maskaut proper,wachezaji class ya Mutale,hapa hapa Bongo unaweza kuwapata hata 200.
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 Күн бұрын
Ili uwe na ukumbuko,nitakuja kukuulizi hili ulililisema
@AthumaniMsuya
@AthumaniMsuya 2 күн бұрын
Baba waambie hao wachambuzi wasikuchoze na maswala ya chama hao hao ndio wali kuawa wakisema chama kazeeka Leo Yuko yannga wanaona kazaliwa upya!
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 2 күн бұрын
Naam kuipenda simba ni neema wamemchukua chama kwa mbwembwe kama okra, msimu mmoja tu okra tupa kule na chama msimu mmoja tunae tupa kule mtayaona tu haya
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Күн бұрын
UPO SAHIHI SANA MZEE WAPO WACHEZAJI BORA WAMEHAMA NA KWENDA MECHI KUBWA HATUSHITUKU KABISA
@AbushirVicent
@AbushirVicent 2 күн бұрын
Mzee masatu ongera
@ibadimohamedi9756
@ibadimohamedi9756 2 күн бұрын
Mzee anajua mpira
@japhetievaliste5887
@japhetievaliste5887 15 сағат бұрын
San
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 2 күн бұрын
Waaaambieeeeemzeeeee
@bonshag1
@bonshag1 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mzee masatu umeua kabisa
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 Күн бұрын
Mzee masatu chukua maua Yako umejibu kisomi
@JuhudiChunga-br5gh
@JuhudiChunga-br5gh 2 күн бұрын
Mm namtaka Mzee said
@SaidOmary-nh5kr
@SaidOmary-nh5kr 2 күн бұрын
saivi watu Wana taka Vijana ndoo ukweli wanaumia wasio Juan mpila
@danielchamoto9376
@danielchamoto9376 2 күн бұрын
Masatu kwenye ubora wake😂😂
@BeniYaredy
@BeniYaredy Күн бұрын
Huna akili masatu
@user-cp2fr6ct5g
@user-cp2fr6ct5g Күн бұрын
Nakubar msinbaz
@richardmaimu9596
@richardmaimu9596 Күн бұрын
Kitaalamu inaitwa "SIZITAKI MBIVU HIZI"
@SarahAthumani-yr3fm
@SarahAthumani-yr3fm Күн бұрын
Ukovizur baba
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 Күн бұрын
unateumia na chama wew ni bwege kweli
@othmanhamad7887
@othmanhamad7887 Күн бұрын
Huyu muuza kahawa wa kwny hicho kijiwe anauza sana kahawa mana kijiwe hakikauki watu na ofa za kununulia watu kahawa yote ndo kibao,usihame ichi kijiwe ndg yng😂
@user-gj6mo9me8j
@user-gj6mo9me8j 21 сағат бұрын
Ira nikweri maana chama umuri umendaa
@BarakaJiroli
@BarakaJiroli 19 сағат бұрын
Ww ndo auna akili masatu a naongea ukweli
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 9 сағат бұрын
Katika timu zilizoomba hapo mutachagua mbovu kuliko zote
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Күн бұрын
SIMBA KALA NYAMA MAFISI YANAFURAHIA MIFUPA 😂😂😂😂😂 SIMBA OYEEEEEE ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Lusindehalima-si3ej
@Lusindehalima-si3ej Күн бұрын
Tumekula nyama tumetupa mfupa mmeukimbilia, haya kuleni makombo sisi haooooo
@MotibaMashana-hv3tf
@MotibaMashana-hv3tf Күн бұрын
mzee masatu ww rudi makojo ukale furu umbea wachie watu wa mwambao
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 Күн бұрын
MZEE WANGU SISI WOTE NI WANA SIMBA ILA KWA CHAMA WEKA AKIBA YA MANENO... LIGI HAIJAANZA BADO TUSIJE TUKAMTAFUTA MCHAWI!!
@abdallahchande1467
@abdallahchande1467 Күн бұрын
We ndio huna akil akiachwa wapo Zaid ya Cham wewe nyie si wababa makapi mbon okra mmemuacha tena
@Aloycepastory
@Aloycepastory 2 күн бұрын
😂😂😂
@Hasnspop
@Hasnspop 19 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@OmariBwagizo
@OmariBwagizo Күн бұрын
Wachezaji hawana timu wao wanatizama pessa tu kwahiyo mchezaj anahak ya kwenda kokote
@maxmia100
@maxmia100 2 күн бұрын
Hawa wazee kama huyu mzee masatu hana akili ya mpira na huyu ndo wale mizee Haina akili chama bado mtu sisi tunaumia waandishi msiwe mnahoji mizee mjinga hapa mzee saidi ndo anajua mpira
@andekisyenasibu312
@andekisyenasibu312 2 күн бұрын
Wew ndo hauna akili, kwan Chama atacheza milele? Zwazwa wew kama mumeo mfate aliko
@mussakinkon5252
@mussakinkon5252 2 күн бұрын
Kwani Chama mulianza kumtaka leo ndoto zenu sisi kama tungemuhitaji angebaki mbona kipind yuko dogo mbona mlishindwa kumchukua ...ACHENI KUOKOTAOKOTA
@AbdulshakurAthuman
@AbdulshakurAthuman 2 күн бұрын
Chama sio Simba
@michaeltilusasila2992
@michaeltilusasila2992 2 күн бұрын
Hana akiri baba akhooo ila mzee masatu ana akiri
@issakikwazi-jm5rq
@issakikwazi-jm5rq 2 күн бұрын
kua na adabu kijana hayo ni maoni yake toa nawewe maoni yako usitukane mjomba chama siyo mwanachama wa simba bali chama ni mchezaji anaweza kucheza timu yoyote duniani kumbuka tumekosa ubingwa mara tatu mfululizo na chama akiwemo hiyo ndo football
@MapangaMapanga
@MapangaMapanga 2 күн бұрын
Lll
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 2 күн бұрын
Wewe masato akiri ndogo sana jieshim ww ndio mama unaliwa weee
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx 2 күн бұрын
Waligombania na simba
@januarysungura8119
@januarysungura8119 2 күн бұрын
Huyu alikuwa mchezaji wa simba kwaiyo alihitajika na nani na nani nje ya simba ?
@albertvalentino130
@albertvalentino130 2 күн бұрын
CPA = CHAMA -- PACOME --- PRINCE -- AZIZ --- Huo moto mtakimbiana " Kariakoo Derby, itakuwa nafuu sana kwenu madunduka,kama hamtapeleka timu Lupaso "
@DanielChaula
@DanielChaula 2 күн бұрын
Mbona mbogo
Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI
22:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 13 М.
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 29 МЛН
🌊Насколько Глубокий Океан ? #shorts
00:42
UCHAMBUZI SAKATA LA FEISAL SALUM, JE, ANAKWENDA SIMBA AU HAENDI?
14:01
ACB LAPEZA KUTI BOMA LA MCP MWACHULUKA KATANGALE 🙌🙌🙌
26:42
TUDO SUMIU, MENOS O GOLEIRO GIGANTE!
0:16
É o Vini
Рет қаралды 2,7 МЛН
When Family Watches Your Game 😍
0:18
Fearron
Рет қаралды 4,2 МЛН
Kids of Players Wonderful Moments ❤️
0:20
Air Football
Рет қаралды 57 МЛН
PRO FOOTBALLER HEIGHT KICK CHALLENGE 😱
0:14
Joris
Рет қаралды 10 МЛН