MIRAJI| NABI AMEONYESHWA PANAPOVUJA| SIMBA NA MPANZU IMEISHA|CAMARA KUINGIA |KISA CHA KAMWE HIKI

  Рет қаралды 89,860

Finest Online

Finest Online

Күн бұрын

Пікірлер: 162
@JolotaErastoJuma
@JolotaErastoJuma Ай бұрын
Miraji na Mzee said nawakubali sana hawa watu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@FaustinaMkama
@FaustinaMkama Ай бұрын
Nampendaga. Miraji, bwanduke, ally kamwe, Mzee said
@SaadDimoso
@SaadDimoso Ай бұрын
KWELI bwana Mzize huwa hana sana utulivu kwenye kufunga: Yaani akiongeza utulivu kwenye kufunga atakuwa bonge moja la player
@Wami-Sababisho
@Wami-Sababisho Ай бұрын
Kuna Miraji halafu mzee Said 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-cy2cp8bx2z
@user-cy2cp8bx2z Ай бұрын
Mm nataman milaji awee mchambuz unajua sna shika maneno yng na uyafanyie Kaz mung yko na ww beg Kwa begaa
@jumamgeni6403
@jumamgeni6403 Ай бұрын
Bado auja sema miraji mpira mchezo wa wazi
@JeremiaKasambala
@JeremiaKasambala Ай бұрын
Namsubiri mzee said mana miraji tayari
@KapuruKhalfan
@KapuruKhalfan Ай бұрын
Nakufatilia sana kaka wewenamtoto wa mzee magoma a k a miraji namkubali sana
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 Ай бұрын
Wahi kwa mzee said atuvunje mbavu bwiiiiiiiiii mluzi
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 Ай бұрын
Chagamba nilikuwa nakusubiria sana kwa interview. Leo kamtafute MZEE SAID kuhusu matokeo ya jana kati ya Yanga na Kaizer Chief ya SA Plse
@lionsimbaa5961
@lionsimbaa5961 Ай бұрын
Nasiamama na wewe
@ismailmangare717
@ismailmangare717 Ай бұрын
Miraji nakukubali sana ila usizungumzie swala la Ali kwamwe ni mtego huo tudili na swala la Simba dey yetu tu mengine tuwaachie wenyewe.
@BigZhumbe
@BigZhumbe Ай бұрын
Wanamtega nani sasa 😂😂😂
@joshualukas2123
@joshualukas2123 Ай бұрын
Tunamtaka mzee said
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Ай бұрын
Chagamba tùnamuomba mzee wetu said
@MussaBundala-f5s
@MussaBundala-f5s Ай бұрын
Miraji nakukubali mnooo maana sanaa haitoshi🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@VeronicaNyondo
@VeronicaNyondo Ай бұрын
Mungu awakumbuke na awabariki mtokapo na muingiapo.... together we smile 😊
@godwinkubimba6575
@godwinkubimba6575 Ай бұрын
Miraji × 1
@user-ct3wy7el3e
@user-ct3wy7el3e Ай бұрын
Ayubu malika:miraji unajuwa kaka kuchambua awo wachambuzi wengine waige kutoka kwako waoongo sana awajuii
@Hawaa-vx1qc
@Hawaa-vx1qc Ай бұрын
Sema miraji BEGA utalivunja Mick ataishikaje chagambaaa😅😅
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Ай бұрын
Microphone
@user-ln9tk3qr2r
@user-ln9tk3qr2r Ай бұрын
Mo Oomoookmoo Mo Mno M@aginsagins-jf4vz
@JacksonMwihumbo
@JacksonMwihumbo Ай бұрын
Namkubali sana jamaa
@LucasJackson-mc7wv
@LucasJackson-mc7wv Ай бұрын
Chagamba mambo vp mm lucas nina fulahi sana ukiwa unamuoji mzee saidi natamani
@maliadii4829
@maliadii4829 Ай бұрын
THE TANK.THE DOCTOR. BULLDOSER acha miraji huyo hahitaji msaada
@mmewaswida
@mmewaswida Ай бұрын
Miraji sema kweli basi. Simba pesa bado ni shida. MO anasajili vijana wa pesa ndogo.
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf Ай бұрын
Aaaaaa MILAJI WW🎉🎉🎉🎉🎉
@Abdully_10
@Abdully_10 Ай бұрын
Miraj jamaa anajua sana mira
@nicholousulimwengu6587
@nicholousulimwengu6587 Ай бұрын
Miraji upo vizuri my brother
@rashidkhamisjuma3714
@rashidkhamisjuma3714 Ай бұрын
miraji unajua sanaa
@mmewaswida
@mmewaswida Ай бұрын
Miraji Miraji weeee usimtishe Manara. Utakimbia Lupaso wewe. Yanga ni ya moto.
@AbdulMokhan
@AbdulMokhan Ай бұрын
Miraji nakukubal sana kaka
@aeshiissa2803
@aeshiissa2803 Ай бұрын
Nampongeza sana miraji.
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign Ай бұрын
Mmesahau kuongelea physical battle ya wachezaji wa yanga. One on one wako vizuri sana
@vicesam
@vicesam Ай бұрын
Mirajii utamvunja chagambaa begaaa
@Faizabubakar-lj3gb
@Faizabubakar-lj3gb Ай бұрын
😂😂😂😅
@Shadia544
@Shadia544 Ай бұрын
Chagamba mrete mzee saidi jamaniii 😂😂Miraji na chagamba jamaniii 😂😂😂😂Mzee saidi jamaniii 😂😂😂
@ernestphanuel6360
@ernestphanuel6360 Ай бұрын
Nipo songwe nakuelewa sana miraji
@mohamedibrahim7536
@mohamedibrahim7536 Ай бұрын
Ninawafatilia sana kutoka till Brook
@deonidassebastian3467
@deonidassebastian3467 Ай бұрын
MZEE SAID anaitajika kwenye steji
@EmmanuelPita-z3v
@EmmanuelPita-z3v Ай бұрын
Chagamba uku vizur tuletee mzee said
@user-qw2ti8mo1b
@user-qw2ti8mo1b Ай бұрын
Miraji uko vizuri sana wewe hakika ni mtu wa mpira.
@Jose-dy2sb
@Jose-dy2sb Ай бұрын
Chagamba siku moja bega lako litadondoka😂😂
@YahyaUssi
@YahyaUssi Ай бұрын
Kwann katika uchambuzi wenu msiwekee vile viklp mnavyo vichambua nahisi ingali ongeza mvuto zaidii chagamba
@FiripoMalando
@FiripoMalando Ай бұрын
Nakubali chagamba na miraji maramoja
@MjakaAkida-fd5ck
@MjakaAkida-fd5ck Ай бұрын
Kweli tunampenda mzee saidi
@user-gb2pl3ln9m
@user-gb2pl3ln9m Ай бұрын
Tena akijaribu kumgusa Ahmed
@mutsinzigarvey8850
@mutsinzigarvey8850 Ай бұрын
Mbona miraji akiwa finest anakua vizuri akini akiwa azam tv kwa dody anakua kama kisugu 😢😢 kutoka bujumbura maoni yangu
@fatmaally7252
@fatmaally7252 Ай бұрын
Nj kweli
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini Ай бұрын
Anaenda na upepo hataki kujiona yupotofauti na wenzake 🎉🎉🎉🎉
@JosephineItambu
@JosephineItambu Ай бұрын
Sasa pale si mpata mpatae watani wanatunishiana misuli😂💔
@mutsinzigarvey8850
@mutsinzigarvey8850 Ай бұрын
Kweli kbs
@JuhudiJotham
@JuhudiJotham Ай бұрын
Hujakosea huyu bwana some time anapoteza step,na kumfuata kisugu,kisugu ni sauti ya jazba hajui mpira ,miraji simamia mpira Acha mihemko
@godwinkubimba6575
@godwinkubimba6575 Ай бұрын
Chagamba wadau tunakuelewa sana
@RahimMaduka-xg1gk
@RahimMaduka-xg1gk Ай бұрын
Appreciate san mara 1 family 🙌
@stanleychonya8199
@stanleychonya8199 Ай бұрын
Safi miraji nakubali
@dnewztz
@dnewztz Ай бұрын
Nimekuwa wa Kwanza Ku Like Na Ku comment😂😂😂
@binzuakisenge8056
@binzuakisenge8056 Ай бұрын
Tunashuru kwa uwakilishi wenu Allah awalipe In Shaa Allah
@JumaNassor-cj3zy
@JumaNassor-cj3zy Ай бұрын
Kabla jioni😊
@ShabanChacha
@ShabanChacha Ай бұрын
Miraj unasemaj ukwel kaka
@user-xj7dy6oh6t
@user-xj7dy6oh6t Ай бұрын
Sawa miraji ila tukumbuke tarehe nane mwezi nane elfu mbili na ishirini na nne
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 Ай бұрын
Ukifanya 4 x 2 = (.) watajaza wastani hiyo tarehe ikifika😅
@jutascosmasjutas
@jutascosmasjutas Ай бұрын
OYA MABEGA HAYOOOO
@georgettesaidi6809
@georgettesaidi6809 Ай бұрын
Tunamsubiri mzee saidi nae
@abdallayunnus3475
@abdallayunnus3475 Ай бұрын
Big up miraji na chagamba
@user-cv4yi5hz9b
@user-cv4yi5hz9b Ай бұрын
Akae na mike zake alafu aone😢😢😢hapo nimekuelewa kaka maramoja 💯💥💥🐐
@RamadhaniRichardson
@RamadhaniRichardson Ай бұрын
Miraji Asalam aleykum sheikh wangu napenda sana unavyochambua soka naomba namba yako ya cm
@azizimhina6705
@azizimhina6705 Ай бұрын
miezi kadhaa nyuma miraj ulikua unaongea facts za mpira ila sasa hv na ww umeingia kwny mfumo.. cjui ni kwnn ila wte ambao mashabiki wenu ambao ni ndugu zetu simba wanawafuatilia mnawapotosha.. sisi yanga wkt ule rais wetu anaingia alisema tunaijenga yanga lkn ninyi mmebomoa timu yote hlf miraji na wenzako kina 64 mnawaambia watu mna timu mnataka watu waje kulia wakikutana na waliojenga timu tyr.. hata km ninyi mnakula lkn mjitahid kuwapnguzia watu presha. usajili ni pata potea,kuna adaptation period kw wachezaj lkn pia kocha na mifumo yke hv kwl mpira wa sasa hv uko hvyo!? hlf kila kitu kila mtego mnaowekewa mnaingia wala hamshughuliki kufnya tafiti,usifnye hvyo miraj sisi tulikua tunakuamn sna lkn unakua km wale wacha🐐 wengine bhana.. sasa hv mpira ni pesa na namba zitaongea,azam sio mbovu lkn kaangalie maboresho yke,yanga kadhalika sasa ninyi dah! huu msimu mgumu miraji na kw mara ya kwnza unaenda kutengeneza uadui na wana simba wenzio kwkua umewageuka yan sio mara1 yule..
@lionsimbaa5961
@lionsimbaa5961 Ай бұрын
Kwaiyo kwasababu ya MGen insurance ndo miraji awe anakupiga ivyo tunamuitaji mzee saidi please chagamba
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j Ай бұрын
Tokitoka hapo,KAMWAMBIE MZEE SAID AZIZI K KAFUNGA TENA.
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Ай бұрын
Ila hayo mabega Sasa ukitoka hapo ukameze panado😂😂😂
@salumuomari
@salumuomari Ай бұрын
Mtafute mzee said chagamba
@JamilaMbwana-o3i
@JamilaMbwana-o3i Ай бұрын
Nawakubali sna
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Ай бұрын
Pa1 na uwezo wake miraji ktk kuchambua mpira ila anachonikera ni kuongea na kupenda kumpiga mwenzie mabega au kumshika
@user-kz7nx8xe4e
@user-kz7nx8xe4e Ай бұрын
Mtafute mzee said Aziz ki kafunga mbili
@Tembayasini
@Tembayasini Ай бұрын
Chagamba tuletee mzee sidee
@saidially5892
@saidially5892 Ай бұрын
Tuletee mzee saidi ila Mbadilishie sehemu ya kumuhoji😂😂😂😂😂
@IbuniKilapaya
@IbuniKilapaya Ай бұрын
Respect sana🎉🎉🎉🎉
@ShabanChacha
@ShabanChacha Ай бұрын
Chagamba twenzetu Kwa mzee said
@JumaNassor-cj3zy
@JumaNassor-cj3zy Ай бұрын
Ali kamwe hajajizulu mkataba umeisha
@jumahabibu5772
@jumahabibu5772 Ай бұрын
Chagamba ukimalizana na miraj mtafute mzee saidi
@amanilupembe9788
@amanilupembe9788 Ай бұрын
Tunaomba chagamba mzee saidi
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 Ай бұрын
Yani mpanzu Kwa Simba viongozi wetu mnazinguwa , kwanza tulianza na adibayo, manzoki na sasa mpanzu hiongozi wanazinguwa sana
@rebekaadorphine8296
@rebekaadorphine8296 Ай бұрын
Tutafutie mzee saidi
@Tembayasini
@Tembayasini Ай бұрын
Miraji msema kweri
@teketekekinunda1174
@teketekekinunda1174 Ай бұрын
Kwani nyie hamuogopi? Yanga bingwa💛💚
@drizzymontego3822
@drizzymontego3822 Ай бұрын
Miraji mpe maua yake Yao, jana kapiga xana kaz
@EliasCharlesMbavumbili
@EliasCharlesMbavumbili Ай бұрын
Tunamtaka mzee said chagamba
@mutsinzigarvey8850
@mutsinzigarvey8850 Ай бұрын
Familiy wa 1 leo😂😂😂😂
@AbdulMokhan
@AbdulMokhan Ай бұрын
Saf
@EmanuelJohn-f6i
@EmanuelJohn-f6i Ай бұрын
muko vzur
@Mumlion2624
@Mumlion2624 Ай бұрын
Kweli kbc manara angemuacha kamwe afanye yy afanye inshu nyingine
@yssaid4193
@yssaid4193 Ай бұрын
Miraji nahitaj jez ya yanga nipo Canada nakupataje
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Ай бұрын
Twamtaka mzee said
@lusekelo97
@lusekelo97 Ай бұрын
Miraji mabegaaaaaaaaa 😂😂😂😂😂
@JumaNassor-cj3zy
@JumaNassor-cj3zy Ай бұрын
Bdo mzee said Sasa naenda changamba
@salmoncelestine6840
@salmoncelestine6840 Ай бұрын
Mm Yanga ila Ahmed Ally mtu sana.Alikuja Bukoba tulipiga naye sana picha
@giftkalenge418
@giftkalenge418 Ай бұрын
wachezaji yanga msikilize Santa Miraji mtapata faida ya kujirekebisha na kuendeleza viwango vyenu
@MabulaBunzaly
@MabulaBunzaly Ай бұрын
Chagamba tnamtka mzee wetu Deborah
@ramadhankimaro-dc5it
@ramadhankimaro-dc5it Ай бұрын
Miraji unatuchambuliaje mpila unasema tim zote zilikuwa zinazuia huwo ni mpila wawapi tim moja ikizuia nyingine lazima icheze
@salumrashid6804
@salumrashid6804 Ай бұрын
Miraji japo mnyama ila amenyoka nyekundu nyekundu na nyeupe nyeupe
@perepetuajohn
@perepetuajohn Ай бұрын
Kweli Miraji tusubili tamko la uongozi
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
ZILE ZA ALLY KAMWE NIKIKI TU
@jeanclaudesakala761
@jeanclaudesakala761 Ай бұрын
Good
@MishekiLukali
@MishekiLukali Ай бұрын
Wanao mpenda Mzee saidi wapi
@jumahabibu5772
@jumahabibu5772 Ай бұрын
Miro baki humohumo na chagamba . Chagamba atapooza kaka shikilia hapohapo
@gy17779
@gy17779 Ай бұрын
Miraji kasomee ukocha unaweza kuusoma mchezo
@Hope-ok9dy
@Hope-ok9dy Ай бұрын
Moto gani bwana
@JafarMaulid-h5v
@JafarMaulid-h5v Ай бұрын
Chagamba nakukubali na finest yako😂😂😂😂
@dicksonbenard1741
@dicksonbenard1741 Ай бұрын
Akae na maic zake halaf mwambie haji manara arudishe kadi ya Simba anakadi yetu huyo au ndio tumtambue kama bado nimwanachama wa Simba? Chagamba muulize manara kad yetu
@user-ct3wy7el3e
@user-ct3wy7el3e Ай бұрын
Miraji tunakukubali kaka usiende kusomea ukocha mwangu unakujua Hadi tandahimba mtwara
@msongeomary6195
@msongeomary6195 Ай бұрын
Chagamba and Miraji watu wangu wa nguvu ebu usininyime mzee wangu said
@SelemaniMadirisha
@SelemaniMadirisha Ай бұрын
Awe makini chagamba sio kwa mikofi hiyo
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 838 М.
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 4,7 М.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 838 М.