Kikosi ni nyota inayong'ara angani kama Jenerali Waitara kutoka Dar es Salaam mpaka Karbala Tupo kila Mahala. 😁😁😁naikubali sana hii verse
@yaedlifemedia32035 жыл бұрын
Inaliza hii nyimbo tumeumis huu wakat nalik mistal inaish
@shabanially34605 жыл бұрын
nakumbuka Ding akikukuta unasikiliza nyimbo kama hiz anajua tu wewe ni muhuni
@mtukwaomedia4 жыл бұрын
Alie shoot hii ngoma na ku edit namuheshimu sana kwa miaka ile
@nicholaskobelo Жыл бұрын
Sana kaka....hhahaa respect kwake
@emmanuelbrassy40002 жыл бұрын
Hili goma dume babakeeeee nzuriiii!
@stevenfumbi95665 жыл бұрын
Bonge la ngoma kaka mkubwa
@ishinasitanzania5 жыл бұрын
who else here in this 2018
@barakalema72745 жыл бұрын
#real hip-hop# ever done in Tz
@davisalphonce7001 Жыл бұрын
Naona umati unaandamana field force wanawatawanya, hivi nimepata mwanya popote najichanganya....bonge la verse🙌🙌
@chiefgimbo47936 жыл бұрын
huyu ndo alikua pina aiseee
@ahmedmwenye95644 жыл бұрын
old days old times...good music 2020.
@williamjoseph33807 жыл бұрын
Nakuelewa sana brother
@nicholaskobelo Жыл бұрын
Hiii beat P funk alikuwa anamzuka sana bonge ya beat....me namuitaga P mwenye magic hands.
@jumaalhadi42746 ай бұрын
MZiki wa kiume sio poa pina hii sio bongo flavor wala sio commercial
@shabanikombo63515 жыл бұрын
ngoma aichuji
@officialmatambi55506 жыл бұрын
hii ni ngum nyeusi
@hajisaidy3081 Жыл бұрын
Pina alichora sana hii nyimbo
@emmanuelkessy3049 Жыл бұрын
2023 bado ngoma.kali kwangu
@godwinemanuel45467 ай бұрын
2023 Rep..Bado mstari wa mbele...
@nelsonjoseph308 Жыл бұрын
Game inachezewa sana,Ladha halisi na maudhui ya Hip Hop yamepotoshwa sana
@mukakathejoker65046 ай бұрын
Mapambano mstari wa mbele 😊
@jnote9283 Жыл бұрын
Hili bonge la beat mnyamwezi makuzi no bob!
@solomonkimbi6033 Жыл бұрын
Daah kalapina nimekukubali sana
@gadyjohn38152 жыл бұрын
Aisee so consciousness, kipind hicho hata tulikuwa hatuelewi tunajua wahuni tu, kumbe huu wimbo ni full madini
@gadyjohn38152 жыл бұрын
Baada ya zima mziki hapo jamaa katembea saana
@a.amsuya51 Жыл бұрын
Ebwana noma ! 2023
@sdeshnjwetr6707 Жыл бұрын
UYU MTU ALIKUWA NA UWEZO MKUBWA KWENYE HIP HOP YA BONGO HATA NNJE YA BONGO. TATIZO SOJUI NINI WATU KAMA HAWA AWAJULIKANI KIMATAIFA.. HAZINA TOSHA UYU MTU💪🇹🇿💪
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Media za kibongo za kishoga sana, wasanii wengi wazuri wanabaniwa sana Tanzania
@EmmanuelZenda-ji5gc7 ай бұрын
Oyaa nabii koko✊
@LuqmanKawela-tv1hb7 ай бұрын
Usipime
@douglasndeki83465 жыл бұрын
2019
@ulimbombonaulindi50882 жыл бұрын
2022. Locked
@salma_6j9752 жыл бұрын
Naangalia ngoma baada ya interview ya efm
@yestebare14385 жыл бұрын
mitamboni mdachi P-Funk Majani
@amriseleman93952 ай бұрын
Ngumu nyeusi Hip hop
@digonzakeimbe84352 жыл бұрын
Du!!diwani..😁😁
@mosesmwangoka83264 жыл бұрын
✊🏿✊🏿
@sultansaidi4053 жыл бұрын
2021!!!
@ibraimoissiaca60582 жыл бұрын
Mstari wa mbele
@dr.richardnickanory11129 ай бұрын
Nabii koko
@Limbakale2604 жыл бұрын
2020
@SampleKiller992 жыл бұрын
The real Kalapina.
@amosgona5250 Жыл бұрын
Nice 👍
@fdqmwanzamwanza29526 жыл бұрын
ulifos kupita kwenye mlango mdogo
@felicianmapunda48445 жыл бұрын
nagn
@karloladislaus452 жыл бұрын
Where are thses dudes?... Real hip hop
@jnote9283 Жыл бұрын
Halfani Majani Wazaramo wameshapanda kichwani
@husseinjarufu50473 жыл бұрын
2021 still🔥
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Feginyundo👊
@shufaaabdallah-vb4dn10 ай бұрын
Pina lud hp ho imezamawaliokuwepo wMeizamisha hp hp ukilud we italud