Рет қаралды 5,576
MITAMBO MIPYA ya AJABU BANDARI ya DAR ES SALAAM - MKURUGENZI AFUNGUKA...
Mitambo mipya ya kupakua makasha (kontena) ndani ya Bandari ya Dar es salaam inatarajiwa kuanza kufanya kazi mwishoni mwa mwezi Januari, 2023.
Akizungumza na waandishi wa habari waliofanya ziara bandarini hapo, Mkurugenzi wa Bandari, Mrisho Mrisho amesema kuwa mitambo hiyo ipo mawili na ipo katika hatua za mwisho za ufungwaji.
Mitambo hiyo ambayo ina uwezo zaidi ya mitambo ya awali itaongeza ufanisi katika ufanyaji kazi ndani Bandari ya Dar es salaam, jambo ambalo litaongeza mapato zaidi...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...