MITIMINGI # 436 PALIPO NA CHANGAMOTO NDIPO PENYE MAFANIKIO

  Рет қаралды 38,325

MITIMINGI ONLINE TV

MITIMINGI ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@prosper491
@prosper491 6 жыл бұрын
Mimi naitwa Prosper A. Maanda, naishi hapa Cleveland, Ohio, USA. Mara zote ninapojifunza au kufanya assignments zangu za chuo almost kila siku, lazima niweke mahubiri yako halafu rafiki zangu huniulizia hivi unafanyeje kusoma na huku unasikiliza mahubiri, mimi husema hapo ndipo naelewa zaidi. It may look funny but it's true pastor, God bless you abundantly! In fact, Katika masomo yote niliojifunza kutoka kwako kubwa zaidi yalionivutia zaidi ni yale yanayofundisha aina za aiba za wanadamu (temperaments). Mchungaji ubarikiwe saaaana, mimi ni mmoja wa watu ambao hufuatilia sana mahubiri yako online, mambo yote ambayo wewe huubiri ni exactly true and correct. I really learn a lot from you, keep it up!
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Unapiga kozi Gan huko
@hamidakassim4
@hamidakassim4 4 жыл бұрын
💯💯💯👏ushanena mtumishi😷😷acha Mungu akuhifadhi mahala pako
@aishahaisha4941
@aishahaisha4941 5 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe (amen)kupitia mafundisho yako kwa kweli nimepata hatua ila Niko na changamoto kwenye ndoa yangu utanisaidiaje?Mm mkaaji Kenya.
@ntobolomasanja9564
@ntobolomasanja9564 Жыл бұрын
Mch upumzike kwa Aman in paradise
@salehejongo2799
@salehejongo2799 3 жыл бұрын
Safiii xn Dr.
@isayayohana6165
@isayayohana6165 6 жыл бұрын
amen barikiwa sana mtumishi
@adelawayesu2740
@adelawayesu2740 6 жыл бұрын
Pole Baba wanajua unapendwa sannaaa na watanzania wote wanajua waumini watajaa kwako coz Mungu ameweka vitu vingi ndani yako ni lazma upendwe na watu wote hadi waumini wao siku hizi tunaitaji watu wenye maarifa kama wew ili tukue kiroho na kimwili ata mim ningekua naishi Dar ningekuja kuabudu kanisani kwako na nilivosikia unafungua kanisa nikajua tu lazma watu waje wafurike kwako ata kama iweje Wewe ni Mtumishi uliebarikiwa sana Pia nakutabilia watu wataendeleaa kuja kwako hadi utashangaa kama umejenga kanisa dogo anza plani ya kutanua kanisa liwe kama godauni kubwa sana Mungu azidi kukuinua sanaaa wewe ni mnyenyekevu sana na huna makuu baba wa watu Uzidi kubarikiwa
@jacklineomae7832
@jacklineomae7832 6 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana pastor.
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen🇰🇪
@calistermgendwa9821
@calistermgendwa9821 6 жыл бұрын
Barikiwa sana na mafundisho yako mazuri
@mosesdaniel600
@mosesdaniel600 6 жыл бұрын
kweli kabisa bless u
@samveya9456
@samveya9456 6 жыл бұрын
Mungu akubariki
@azzeaazza6331
@azzeaazza6331 6 жыл бұрын
Baba asante sana
@yvetteschmidt9594
@yvetteschmidt9594 6 жыл бұрын
Tuna chukuru sana mchungaji
@ebbykerubo95
@ebbykerubo95 4 жыл бұрын
Amen
@p.kwaris6227
@p.kwaris6227 4 жыл бұрын
Kweli utakumbukwa milele,kumbukumbu uliiweka.RIP.
@janeelisha4460
@janeelisha4460 9 ай бұрын
Maneno yako tutayaishi
@fadhilisanga911
@fadhilisanga911 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungajiiiii
@leticiakibona7055
@leticiakibona7055 6 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda mtumishi
MITIMINGI # 669 MAFANIKIO YA MTU YANAHITAJI NIDHAMU KATIKA FEDHA NA UCHUMI
27:46
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 15 МЛН
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 32 МЛН
KUNA WATU WAMEKAA KANISANI WAKO KAMA KIPANDE CHA SABUNI"MCH MGOGO
30:08
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 52 М.
FANYA HIVI TATIZO LAKO LINAPOJIRUDIA
44:54
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 80 М.
TOFAUTI YA WATU WENYE MIPANGO NA WATU WASIO NA MIPANGO
1:22:53
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 45 М.
Kwanini unashambuliwa sana?
1:05:56
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 108 М.
HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA  MATATU HAYA.... SEH YA TATU
38:55
MITIMINGI # 562 ILI KUFIKIA MALENGO YAKO EPUKA KUJIHURUMIA
29:27
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 19 М.
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
MITIMINGI # 623 AINA 3 ZA UCHOYO
30:06
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 25 М.