Wallah ndugu zetu wamegubikwa na giza kibaya sana inafaa kuwahurumia kwa kiwango kikubwa sana. Ukijikuta wew ni muislam mshukuru sana Allah maana wengine hawaja bahatika kuwa katika salama hii
@lailahumaid20113 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka rahman Allah nakukubali sana shekhe kwa elmu yako Alhamdulillah kuwa muislam
@J4UPro3 жыл бұрын
Safi sana shekh Mazinge
@amurisabiti70373 жыл бұрын
Man'shallah sheihk wetu maisha marefu kwako
@haydarhamad65323 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri sana Sheikh wangu,Wallahi nakupenda kwa ajili ya Allah!😂
@munyarubugaismailally1113 жыл бұрын
May Allah gives you good end ya Ustadh
@fatumjumaa55633 жыл бұрын
Sheikh mungu akupe umri uzidi kutufahamisha
@ilovejesus6663 жыл бұрын
Nakupenda UISLAMU ❤️❤️❤️
@husseinibrahim54383 жыл бұрын
MA SHA ALLAH
@pekeetv3 жыл бұрын
Aslam alayku SHEK MAZIGE nakuelewa vizur sana
@issmuking39873 жыл бұрын
mm yaaan sheikh mazinge nakufatilia sanaaa yaaani kila nikifungua youtube hua naaangalia video zako nikiwa sizioni mpya naangalia za kale
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d5K6Y42dmLuliKM Ukitaka ☝️ kufanikiwa katika dunia
@jei_Ibrahim3 жыл бұрын
Al habib nakutega tare 5 in shaa Allah nikuone ukifanya vitu vyakoo hapo kwa maswali tu walai hawajibu 😂😂 watapata tabu sanaaaa
@Nolithajack123 жыл бұрын
Nyinyi niwatukupfu?
@munyarubugaismailally1113 жыл бұрын
Alie tukuka ni Allah peke yake (mungu)
@makutanochristoph28203 жыл бұрын
tatzo Moja wap ktk biblia inasema Yesu alikuwa muislam, hata koroan wap inasema mimi Yesu ni muislam
@meekman6543 жыл бұрын
Tumia Akili Ndugu yangu
@meekman6543 жыл бұрын
Ikiwa wanafunzi wa Yesu ni Waislamu je yeye Mwalimu atakuwa nani?. 1) Myahudi? 2) Mkristo? 3) Muislamu?.
@jei_Ibrahim3 жыл бұрын
Katika bibilia wapi yesu ana sema mm yesu ni mungu niabudini mm toa hio ni ritadi?
@makutanochristoph28203 жыл бұрын
@@meekman654 wewe ndo hutumii akili kwakua imeandikwa, mtu asimuinukie mwingine kwa kosa lolote isipokuwa kwa mashahidi wawili au watu. nipe andiko kutoka kwa kwa biblia kwamba Yesu alikua muislam.
@makutanochristoph28203 жыл бұрын
@@meekman654 tumia akili ndugu yangu,uisilim ni dini aliyokujanayo muhammad katika quruan yeye ndiye anajipigia debe na dini yake. kwani yeye ni mjinga aseme hii ni kwa hila yangu mwenyewe. jaribu kufikiria kama uislam dini ya Mwenyez MUNGU kwanini isitambuliwe na biblia na hali ya kuwa biblia imekuwako kabla ya quruan, maana biblia imebeba vitabu vingi vya manabii isijue quruan na uislam tumia akili yako kwa makini, na muhammad si nabii hata chembe ukitaka kuamini kwanini hadithi za matendo yake waislam hamtaki kuzitumia.