Nakupenda sana ositadhi othumani maalim alllah akuzidishie kila lenye kheri na wew
@anisanassoro5246Ай бұрын
Mashalah
@jumahory8592 ай бұрын
sh othman allah amuhifadh anakipaj chapekee😊
@AzizaIssa-o9oАй бұрын
Mashaa Allah shekhe othuman❤
@MijichoAminaАй бұрын
Subhana Almaliku Aquduss
@abasimwinyibovu30902 ай бұрын
Allahumma swalliy wasallim alayh ❤❤❤❤
@Noorein-ws8wk2 ай бұрын
Alayhi afdhal salaatu wa salaam ❤
@fadhilinanjira710813 күн бұрын
Namukuona kwa umbali sheikh Izudin❤
@MariamAlly-d9p8 сағат бұрын
Allah akbar mungu akujaliye hekima na upole ulio nao anijaliye na mm nakupenda
@QadraGureАй бұрын
Mashaallah mabruuk sheikh uthman
@abdulnuzmi2 ай бұрын
Na kupenda sana ussman maalim karibu mozambiki ❤
@Muhindojamaldin-r1r2 ай бұрын
❤❤ Nas tunakuitaj Uganda ya sheikh hongera sana Allah aqbar shukran kwa kazi
@fatmakilalah9751Ай бұрын
Manshallah Allah akupe kheir nyingi nakupenda sna sheikh wangu❤
@SAtt-lz1wlАй бұрын
Mashaallah jirani mwema ❤
@ebrahimuhasani89352 ай бұрын
Ashahad Allah I'llah illah wa Ashi had Allah Muhammad rasulullah Yaah Allah nijaalie mwisho mwema mjawako Allahuma Amiin😢
@Noorein-ws8wk2 ай бұрын
Amiin Yaa Rabb Al a'alamiin
@abdulgabriel652520 күн бұрын
Mungu akupe umri mlefu,
@TwalibmohamadMangupili2 ай бұрын
Wallah yupo hapo mshezi shalifu feki mimi nampenda mtume Muhammad sw lakini nimeshukia kuwepo kwa shalifu feki. Allah akupe umri mrefu sheikh othuman akupe afya njema mmeharibu kumleta shalifu feki
@husseinhassain81882 ай бұрын
Me namchukia huyu sharif feki
@nyatya199Ай бұрын
Kanajipendekeza kwa watu wakubwa ili kuwaaminisha watu kuwa kanakubalika kumbe ni tapeli mkubwa
@SwafiyaQullateinАй бұрын
Yupi huyo?
@FawzaRobertАй бұрын
Taqubrii Taqubrii 🎉
@BakariOmari-tr8cyАй бұрын
HAo ndoo wezake
@TheSwaib2 ай бұрын
Allah atujaliye tunawo kuwa touched kwa sira za Mtume tuguswe zaidi nawale ambawo nyoyo zawo hazi guswi kwa maneno mazuri kama haya, Allah asiwachukuwe ila wameonja huyu utamu wakuguswa na maisha na sifa za Mtume Mouhamad kheri na salam ziwe juu yake
@AlhajiSwahibuАй бұрын
Maashaallah shekh Othman Maalim Allah amhifadhi
@HusnaSalum-p1q2 ай бұрын
Mashaallah namshukuru Allah kunipa upendo wa kumpenda mtume Mohamad (sw)raha sana ukiwa na mapenzi na mtume
@HashimSalim-qj7zn2 ай бұрын
Kumpenda Mtume ni kumfuata na sio kumfanyia Usanii
@HusnaSalum-p1q2 ай бұрын
@HashimSalim-qj7zn hatari
@generalchannelgapuli70552 ай бұрын
Kumpenda rasul nikufuata sunna zake sio kumukhirafu
@victorterry227Ай бұрын
Swalla Lllaahu 'walyhi wasallam
@AthumaniAliBushuti2 ай бұрын
اللهم صل و سلم على سيدنا محمد صلى الله عليه و سلم
@YahyaMakameАй бұрын
Siku nyengine andika صلي
@cleartzboyАй бұрын
Nampenda shekh Othman Kwa dhat kabisa na mungu ampe umri mrefu na wenye hekma
@mwanarusichambo67602 ай бұрын
Allahumma swali wasalim alaa nabiyyinaa muhammad.
@Adimuone10 күн бұрын
Maasha Allah
@tuafaliАй бұрын
Yaaan mashallah shekh othamn anajua mpaka anakera mashallah
@HamisaYusuph15 күн бұрын
WALA HAJIKWEZI HUYU SHEIKH JAMANI, ALLAH ATUHIFADHIE HUYU SHEIKH.
@DazuuDazuuАй бұрын
Allah akuhifadh namabaya sheikh wangu kipenz
@KarmuRama28 күн бұрын
Sheikh othman sheikh Hamza mansory Allah awazidishie kheer nyingi sana make nimejifunza mengi kutoka kwenu
@saidrakwe87272 ай бұрын
Shegh Othman Maalim ni talent sana tofaut na bachu na mafuta
@YahayaIdarusi-tf8dy2 ай бұрын
Sana shekh
@khamissaid184322 күн бұрын
Usifananishe tuwi na maziwa
@saeedmassoud2562 ай бұрын
Allahumma swali wasalim alaihii ❤❤❤
@abdallahsaid81572 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah!!!
@Mbaraka-r2r21 күн бұрын
Mashallah ❤
@asiamwingiАй бұрын
Ulega kila maulid yupo allah amlipe
@Abdulshabani-nl8xkАй бұрын
Asalam a shekhe nakupenda ongea yako ni ya hekima sana na unyenyekevu
@MandeçosalimoaliSalimoaliАй бұрын
Mashaallah Sheik
@MauFundi-s9q2 ай бұрын
Huyu jamaa mtu sana Wallahi mola ampe umri
@Azza-o8c2 ай бұрын
Kumbe na wewe unasikia mawaidha
@MauFundi-s9q2 ай бұрын
@@Azza-o8c 😅kwani mimi sio muislam
@abdulahimwasaria70572 ай бұрын
Aamiin
@raheemchamakh2962Ай бұрын
Sheikh nakubali sana
@abasimwinyibovu30902 ай бұрын
Allahumma taQabbal duaa yaa rabbal alamiyn
@SalehUssi-j2tАй бұрын
Mungu ampe umri mrefu azidi kutupa mawaiza
@MussaRasul2 ай бұрын
Masha Allah
@Tolman51892 ай бұрын
Salalahu aleyhi wasalam
@HadijaOman2 ай бұрын
Mashaallah shekhe wangu
@ramadhanhassan52852 ай бұрын
Uhibbu swalihiin walastu minhu ya Rabby jaalni minaswalihini ya Rabby
@ummusalim19912 ай бұрын
اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم ❤😊
@YahyaMakameАй бұрын
صليna sio صلي
@YahyaMakameАй бұрын
Sio صل
@kyejodonadi34672 ай бұрын
Shekher maaalim mtu wa mungu
@graduationtv307228 күн бұрын
Maalimu othuman nakukubaliga sana una hekima haina mfano lakin njoo kwa yesu wew nikiboko hakika tanzania nzima hakuna Mwislamu anae kuweza labda mayunga
@abasimwinyibovu30902 ай бұрын
Allahumma swalliy wasallim alayh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂
@YunusFeisal2 ай бұрын
Mashallah
@yusufntamila5412 ай бұрын
Mashaallah
@generalchannelgapuli70552 ай бұрын
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم ،من كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده في النار
@rayaabdallah18692 ай бұрын
شو اللي سامع لحتى تقول ها الحديث؟؟ انت تفهم اللغة السواحيلي؟
@GhaniaRashid-p4n2 ай бұрын
Alhamdulillah
@ZainabAbdullah-bc6pu2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu shekh Othman maalim❤
@OmaryAlly-ku5le2 ай бұрын
Asalam alayk nakupend Kwa ajili ya allah
@NassoroLichenjele2 ай бұрын
MASHALLAH
@abumaryam6909Ай бұрын
Mtume Muhammad (s.a.w) aliwakuta answar wakishereheka na sherehe za kijahilia akawaambia Allah (s.w) amekubadilishieni hizi sherehe zenu na Eidul al adha na Eidul al fitr Swali Mnampenda mtume Muhammad (s.a.w) kuliko Abubakar (r.a) au Umar (r.a) au Ally (r.a) au Othman (r.a) au tabee au tabee tabeen? Jibu kama ni hapana kitu gani kitakukanaisheni ktk yale mambo waliyowakinaisha wao! Allahu mustaan!! Allah (s.w) akuongozeni ktk huu uislamu.. Allahumma aamin
@HamisaShedafaАй бұрын
Mshallha
@Nufaila442Ай бұрын
Uma wote huu umemkubali mshenzi Sharifu feki bila kumsema na kumligania
@daslamonline4665Ай бұрын
Hadhara nzito hiii alhamdulilah
@fistonnibigira1672 ай бұрын
❤❤❤❤
@Mamiisalehe2 ай бұрын
Nakupenda sheikh othman maalim ❤
@MohwaaMohwaa-x4n2 ай бұрын
Umeliza maalim ALLAH AKUHIFADHI
@MbaarakUweso2 ай бұрын
صلوا على النبي
@rahmaqasim5143Ай бұрын
Yani nikimuona Sheikh Athumani na nikisikiliza mawaidha yake nafsi yangu hutulia kabisa yani hupata utulivu wa moyo wangu
NAWE Ukisoma UTAJUA ,SAIV HUJASOMA UNAPELEKESHWA TU NA USHABIKI WA KIMADHEHEBU
@DaudFataki2 ай бұрын
Kuhudhulia mawaidha wapi emm isimamien dini kwavitendo sio kupakana mafuta vp ingesimama hukum llhaah mgehukumu kweli kwamapenzi yakusifiana mwenyeiz mungu kawajaalia kusikilizwa je mnawafimishia au tabasam tu
@madrassatulihyaa-ilislaami29112 ай бұрын
Wacha chuki wew, kwani akisema kuhudhuria n mawaidha, c n kweli...Akili yako ndogo ndio maana unakuwa na ugumu wakutafakari
@TwalibmohamadMangupili2 ай бұрын
Huyo shalifu feki kaja kuuza maji au mafuta maana huyo mwanga tu
@Daudimakaza-s1v2 ай бұрын
Hpo ukikemea kw jna la yesu wte mijin inalipk
@SalumObed2 ай бұрын
Kemea tuone
@ruqaiamohammed3452 ай бұрын
Yesu kwetu ni nabii kama kwenu ni mungu ki mpango wenu
@Daudimakaza-s1v2 ай бұрын
@ruqaiamohammed345 okoka utaelew tok kwny din ya majin njoo kwny uzima muhamadi hn mbingu
@ruqaiamohammed3452 ай бұрын
@@Daudimakaza-s1v kweli kafir ni kafir tu na kwa kher 👋 👋
@Noorein-ws8wk2 ай бұрын
Kaka Daudimakaza wewe inaonesha husomi biblia kwasababu Yesu anasema kwenye bible kua siku ya mwisho watamjia watu watamwambia bwana sisi tumetoa Pepo kwa jina lako na Yesu atawajibu nendeni nyinyi waovu mliotoa pepo kwa jina langu so atawafukuza,. Yesu pia kasema wananiamini kwa midomo lkn hawanifuati kwa vitendo. Sasa kaka kasome bible yote upate kusilimu kwani vitendo vya Yesu hivyo hamvifuati ni kuweka uso chini ukamuabudu Mmungu km wanavyofanya waislam.Nakuomba kaka fanya research zako soma bible yote kwa nia ya kutaka kujua na kujifunza bila chuki ili usione haki.
@BakariOmari-tr8cyАй бұрын
Makhuraf wamekutana apo
@KaankarazАй бұрын
watu wa bidaa
@keazi963818 күн бұрын
MAWAHABI 😂
@momadesuales2 ай бұрын
Masha Allah
@BigboyBigboy-oy3lj2 ай бұрын
Mashallah
@HamisMberwa-d3f2 ай бұрын
Mashaallah
@FreePalestine4rever2 ай бұрын
Mashallah
@neemaahmada26192 ай бұрын
MASHA ALLAH MASHA ALLAH MASHA ALLAH
@neemaahmada26192 ай бұрын
Allah atuhifadhi ss na vizazi vyetu Kwa mbawa za REHMA zake na atujaalie mwisho mwema