MIZENGO PINDA: Tusijihangaishe vichwa, ana miaka mitano, ana miaka mingine mitano!

  Рет қаралды 8,159

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amesema suala la Rais John Magufuli kutawala kwa mihula miwili halina mjadala na kutaka watu wasiumizane vichwa katika hilo…”Tusijihangaishe vichwa, ana miaka mitano, na ana miaka mingine mitano.
#AzamTVUpdates #AzamNews #UTV

Пікірлер: 19
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Ana miaka 5 na ana miaka mingine 5,,,,,, mh! Una ahadi na Mungu?
@onesmoemmanuel3997
@onesmoemmanuel3997 5 жыл бұрын
Ni miaka 10 jamani mbona mwakodoa macho magufuli juu
@lordsmenas3267
@lordsmenas3267 5 жыл бұрын
Niukweli PINDA, Tuzidi kumuombea Rais wetu.
@samsonmwijage1602
@samsonmwijage1602 5 жыл бұрын
Ushahidi uko ndani ya Jamie. JPM anakubalika sana bola ubishi. Hugo Membe anajisumbua tu!!!!
@abdulmalickupete9015
@abdulmalickupete9015 5 жыл бұрын
CCM Chama cha mabaliko toka uchafu hadi usafi Wa kudumu Wa kulilea taifa kifikira
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 5 жыл бұрын
We support our president
@johnpesambili4806
@johnpesambili4806 5 жыл бұрын
Umenena vyema mzee Pinda .
@johnkatindasa1750
@johnkatindasa1750 5 жыл бұрын
Tumekuelewa Mkuu. Hatuna shaka na hao wanaotapatapa na rushwa.
@ramadhanikayoza3592
@ramadhanikayoza3592 5 жыл бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@abduazizi4536
@abduazizi4536 5 жыл бұрын
Kwa ubora upi wakati wakulima wa korosho wanalia na malipo yao waliaminishwa kwamba watalipwa pesa haraka kama wameweza kununua ndege watashindwaje kununua korosho ndilo tatizo la kutoweka akiba ya maneno leo ameshindwa kuwalipa fedha zao sasa kumuongezea miaka mingine ya nini hii michache kawavuruga wakulima
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 5 жыл бұрын
Hauko Tanzania west yamkini. Hujitambui, unatambua moja la kusikia tu.
@abduazizi4536
@abduazizi4536 5 жыл бұрын
@@margarethsolomon9823 yaani wewe unafikiri nalizua mimi au nenda mikoa inayolima korosho ukaone vilio juu ya magu
@abduazizi4536
@abduazizi4536 5 жыл бұрын
@@margarethsolomon9823 ukiwa boya kila kitu unakipongeza hauchuji ya kuambiwa tuliambiwa awamu ya tatu serikali ya ukweli na uwazi hukuna cha uwazi wakanunua ndege na rada feki mkaipongeza awamu ya nne serikali ya kutoa maisha bora kwa kila mtanzania maisha yakawa magumu awamu ya tano serikali ya viwanda hatuvioni viwanda ni usanii tu wakulima wa pamba korosho kahawa nk vilio lakini mnaipongeza hapo najuwa watanzania wengi hawajitambui na hawana kumbukumbu na kauli za serikali zao
@afropatriot7769
@afropatriot7769 5 жыл бұрын
@@abduazizi4536 umekalilishwa mavi kichwani umekuja nayo kama yalivyo safisha kichwa chako kisha njoo tena kwa taarifa ya wote tulikua against ccm na serikali kwa ujumla na unayoclaim tuliyapinga kwa kila namna tatizo wenzio tulitumia akili zetu na sio influence ya wanasiasa wachache we umeganda pale pale swala la korosho hata hulijui vizuri wakulima wenye mashamba na umiliki halali wote wamelipwa wale mamidiator au watu wakati ambao wanamiliki mashamba hewa lakini korosho nyingi ndio tunalialia acha kutoa ushuzi wako wewe hujui chochote zaidi ya ujinga wa kukariri tunaenda mbele we umeganda kifikra hata kupima kwa akili yako huwezi alafu unashambulia watu njoo na hoja moja kwa nyingine ujibiwe lakini ni ushamba na ugando wa fikra kupima maendeleo na utendaji wa Magufuli eti kwa ubovu wa rada alionunua Mkapa alafu wazee wastafu wakisemwa mnakuja tena kulalama hapahapa boya mwenyewe kwa akili zako
@afropatriot7769
@afropatriot7769 5 жыл бұрын
Wewe ndie ulikua rais wa Awamu ya nne yule mkwere alikua anakimbila nje kila matatizo yakiibuka,alikua dhaifu hawezi kuchukua hatua kila likiibuka jambo anakimbilia nje unapambana nalo wewe we nae ni chuma kama Chuma Magufuli
@abduazizi4536
@abduazizi4536 5 жыл бұрын
Kweli aibu watanzania maboya wanelea elea serikali imeshindwa kuwalipa wakulima wa korosho unapongeza duh
@afropatriot7769
@afropatriot7769 5 жыл бұрын
@@abduazizi4536kwa umri wangu nmefanikiwa kuziona serikali zote nne kasoro ya Mwinnyi,kwa elimu yangu na uzoefu ninajua namna ya kupima maendeleo na ukuaji wa uchumi kwa vigezo vya kitaalamu vinavyo kubalika na kupimika,kwa ujuzi na utaalamu naelewa nini maana ya uchumi wa kati wa viwanda na kujua viwanda vinahitaji nini na nini ni wajibu wa serikali katika hilo,kwa uelewa wangu najua nini maana ya kujenga na kutetea wakulima kwanza kisera,na kimkakati,ninajua watu wengi waliolima na ambao wanalima korosho kuliko ulivokaririshwa, Tunasifu kwa kupima kwa vigezo vya kitaalamu sio kwa kelele za kina zito na kina lisu Na wewe ukikua na kukomaa kiakilo na kujitegemea kimawazo utaelewa Mimi ni mtoto wa mkulima wa pamba,nina ndugu wanaolima kahawa bukoba,nimefanya kazi tanga kwa ukaribu na watu waliopo kwenye mkonge na wote tunajua kuwa ni mwakajuzi ndio kila mtu alikua anakimbilia koroshk kununua shamba la korosho ili apate pesa akiuza ni katika utawala huu ndio korosho imekua dili na hujui ni namna gani Dogo kama vile sukari ilivoleta kasheshe pale mkuu alipofanya ''protectionisim'' hatakorosho watu wanataka leta kanjanja hizi kelele zisikudanganye fanya tafiti zako jifunze kusoma na kufanya tafiti zako kisha jadili kwa kujenga hoja sio kuja na kasababu uchwara ka kishamba ambako hata hakana maana kwa leo naishia hapo
@burudanitv874
@burudanitv874 5 жыл бұрын
mzee wa mtapigw tu
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 жыл бұрын
Ana miaka 5 na ana miaka mingine 5,,,,,, mh! Una ahadi na Mungu?
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 27 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 83 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
Aziz Ki amfanyia surprise Rais wa Yanga, Hersi Said
2:25
Azam TV
Рет қаралды 1,4 М.
TUKO NYUMA YA GACHAGUA, APEWE HESHIMA YAKE - KARUNGO
6:30
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 1 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН