Dah, yani mizengwe inaonyesha hali halisi ya ukweli, wakichanganya na comedy kutuburudisha. ila stori kama hizo zimejaa mitaani. I really enjoyed hiki kipindi.
@lusese13 жыл бұрын
asante kwan kutuunga mkono
@ericksafari4010 Жыл бұрын
Mko vizuri sana hongreni
@oswaldmwita15203 жыл бұрын
Mizengwe mnatisha kweli mnajua kukonga nyoyo zetu
@mwaserarashid54512 жыл бұрын
Mke wake ana simu ya torch ivyo ndivyo amesema amaema ama masikio yangu
@defraideetv3 жыл бұрын
Nice
@IluMshana-ni8xf Жыл бұрын
Apia😂
@christinaagostino42573 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁nawapenda Sana mizengwe mupo vinzuri Sana
@deusdeditswebe89303 жыл бұрын
Mtimbila ........
@veronysiwale7832 Жыл бұрын
Mkwere bwana milioni 3 nakupa na kiwanja sichukui haaaaaa
@aminaomary55673 жыл бұрын
Lingo mbona unakonda sana yanakusibu yepi?
@lexor80953 жыл бұрын
Nakwe ukiachwa hakuna wakukutaka kwahio sura yako
@dodimohammad3 жыл бұрын
Hii ni sura yake au anataka kulia...?
@caslidajosephat89123 жыл бұрын
Ila mkongo umekonda halafu unajichubua tatizo.
@zukheirabdalla70513 жыл бұрын
Safina nipe namba yako nikupe zawadi
@lusese13 жыл бұрын
mfuate fb Safina Mizengwe, hapa kutoa namba ngumu, otherwise asante kwa kutuunga mkono.
@rithakuyala99513 жыл бұрын
😂😂😂😂🔥
@clevalupakisyo74603 жыл бұрын
Sumaku😹😹
@wangonamuhange82183 жыл бұрын
Malingo umekonda hadi unaogopa kamela
@marthamshana69423 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fataomedia70503 жыл бұрын
😂😂😂😂
@rabanikisusi3863 жыл бұрын
Jitahidini Kutengeze clip fupi
@semsisamwel88133 жыл бұрын
Hizi ni kwa ajili ya Igizo la Tv...huwezi weka ya dk 2! Na zina matangazo kabisa ya kulipia kwenye Tv