MJADALA WA MUANDAMO WA MWEZI || MJADALA ULIFANYIKA ZANZIBAR

  Рет қаралды 6,151

RIYADHA MOSQUE & ISLAMIC CENTER

RIYADHA MOSQUE & ISLAMIC CENTER

Күн бұрын

MJADALA WA MUANDAMO WA MWEZI || ULIOFANYIKA ZANZIBAR
Sikiliza Mwisho ufaidike na Al-Allamah Sheikh Bahasan alikua ana nyaka 26.
Muhadhara wenyewe ulikua ni katika miyaka ya 1980 kuenrea mbee, baáda ya mzee wake Sayyid Muhammad Bahasan kufariki.

Пікірлер: 29
@somosomo4860
@somosomo4860 7 ай бұрын
Mzee mwalimu wa moyo Mashaa Allah.
@abdulhakimali4448
@abdulhakimali4448 Жыл бұрын
Ma Sha Allah.... Mkusanyiko wa mjadala huu ni hazina katika kufahamu tofauti zilozoko baina ya waisilamu wa Afrika Mashariki kwa ndia iliyo mzuri Natamani kuwa tungepata kanda zote za mjadala huu ulofanyika Zanzibar Shukran RIYADHA MOSQUE & ISLAMIC CENTRE kwa kutupa nafasi ya kuuona mjdala huu JAZAKALLAH KHEYR
@muftishaban.a.musamombasak6577
@muftishaban.a.musamombasak6577 Жыл бұрын
Mashallaah
@bindaudamee-ei7cy
@bindaudamee-ei7cy Жыл бұрын
Iyo ndio kazi ya MASJID SUNNAH ISLAMIC ZANZIBAR mashallah masjid SUNNAH tv
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh, habaaib na saadaat zetu twaomba in shaa ALLAH kama zipo kaseti nyengine za mjadala huu basi twaomba ziwekwe in shaa ALLAH na jaza yenu iko kwa ALLAH
@abuaishamuhaiswa9102
@abuaishamuhaiswa9102 Жыл бұрын
Msikizeni al marhum sheikh al alamah mohammad sharif famau kweli tumeondokewa na mti
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Sheikh famau hakuzungumza lolote la masna
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 Жыл бұрын
SHEKH bahsan amemaliza
@muslihallyiddi
@muslihallyiddi Жыл бұрын
NAAM
@muhammadmochenje1409
@muhammadmochenje1409 Жыл бұрын
Mawahabi siku zote ni midude ya kupenda mizozo wanajidai ni wana sunnah na hamna lolote haya mas'ala yamethubutu kutoka khaswa kwa maswahaba na ikategemezwa kwa Mtume صلى الله عليه وآله وسلم lakini wanalolidai hamna ushahidi wowote kutoka maswahaba kutegemzwa kwa Mtume صلى الله عليه وآله وسلم zaidi ya wao kuzifasiri hadithi hizo kwa rai
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
nyie watu wa bidaa mna tabu sana !!sasa kama unadai hata kwa maswahaba ikhtilafu ilitokea sasa mawabi wametokea wapi hapo WACHA BIDAA UTAPATA FAHAMU !"
@sheikhyusufomar
@sheikhyusufomar Жыл бұрын
جزيتم خيرا ومع ذلك نريد مجادلة مسجد السكنية ممباسا
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Kwenye 19 something
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 Жыл бұрын
Hawa sasa ndo walisoma. Na wakawa na elimu. Kwanza husikii matusi maneno ya dharau wala kejeli. Aisee basi tena
@w4058
@w4058 Жыл бұрын
Mitambo inatukusesha raha
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Жыл бұрын
Hapo bado wataalam kama sheikh msabah marhum yussuf hamza wa kengeja shk nasor bachu na wengineo hapo ukiwekwa huo mhadhara wote hao jamaa wa matlai wanatia mpira kwapani
@muslihallyiddi
@muslihallyiddi Жыл бұрын
HADITHI YA KURAYB IMESWIHI AU HAIJASWIHI? KAMA IMESWIHI BASI KUTOFAUTIANA MIEZI NI JAMBO HALIKWEPEKI KAMA HAIJASWIHI TUPE DALILI
@muhammadmochenje1409
@muhammadmochenje1409 Жыл бұрын
Ajabu mawahabi wakuambiya usiwafwate Maimamu lakini hapo hapo utawasikia shk ibn Baaz shk bin uthaimin shk Fawzani na wengineo wamesema kadhaa wamefutu kadhaa hawa hawa wao ndio kusema
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
WEWE NI MUONGO TENA MRONGO MKUBWA NA SIYO MUADILIFU HIYO NI KWA SABABU WEYE NI JITU LA BIDAA HIVYO UOGOPI KUZUSHA CHOCHOTE !!KWANI HAKUNA ALOSEMA USIFUATE MAIMAMU KADDHAABUN KADHAAB !! HAO HAO MAIMAMU WAMESEMA IKISIHI HADITHI BASI HAYO NDIO MADHEHEBU YANGU !! SASA WEYE WALETA CHUKI ZA KIKHURAFI MBELE YA SUNNA ZA MTUME SWALLA LLAAHU ALAYHI WASALLAMAH..
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 Жыл бұрын
Kweli ndugu yaani ni majabu kweli
@muslihallyiddi
@muslihallyiddi Жыл бұрын
@@ahmedissa7882 KAMA HAO MAIMAMU MANENO YAO YAMEKWENDA SAW NA MANENO YA MTUME KWA NINI TUSIYAFATE?
@idrisalimapema2539
@idrisalimapema2539 Жыл бұрын
Niambieni ni nani aliyevaa koti la green na kilemba
@RIYADHAMOSQUEISLAMICCENTER
@RIYADHAMOSQUEISLAMICCENTER Жыл бұрын
Sheikh Nurdin bin Hussein Shadhuly
@aliy3303
@aliy3303 Жыл бұрын
Mwaka gn hii
@RIYADHAMOSQUEISLAMICCENTER
@RIYADHAMOSQUEISLAMICCENTER Жыл бұрын
Muhadhara wenyewe ulikua ni katika miyaka ya 1980 kuendea mbee
@sheikhibrahimabdullahikeny1509
@sheikhibrahimabdullahikeny1509 Жыл бұрын
​@@RIYADHAMOSQUEISLAMICCENTERassalam aleykum hii video nilikuwa nime Tafuta kwa mda mrefu Ukipata Kanda ya pili hadi nne tuweke
@RIYADHAMOSQUEISLAMICCENTER
@RIYADHAMOSQUEISLAMICCENTER Жыл бұрын
@@sheikhibrahimabdullahikeny1509 InshaAllah tunazitafuta
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 Жыл бұрын
1992
HUU SASA NDIO MJADALA WA MAULIDI ORIGINAL
1:28:12
QANAATU SUNNAH TV
Рет қаралды 23 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 11 МЛН
Disrespect or Respect 💔❤️
00:27
Thiago Productions
Рет қаралды 43 МЛН
ТЫ В ДЕТСТВЕ КОГДА ВЫПАЛ ЗУБ😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 4,5 МЛН
UST. MOHD SHARIF FAMAU KIZINGITINI LAMU KISA CHA WATU WA SABA'A
56:53
ALI BAHERO...MWANDAMO WA MWEZI
1:14:13
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 6 М.
MWEZI MWANDAMO NA WAJIBUW  NAWA WAJIBU WA KUFUNGWA KWA WAISLAMU
41:25
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 1,3 М.
ANGALIA Muhammad Bachu AKIJIBU MASWALI KITAALAMU||HUWEZI KUAMINI.
41:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 68 М.
SHEKH. YAHYA KHAMIS.. 3/FITNA ZA MASIHI DAJJAL..
28:30
IBN OUF & ARUSHA Daa'wa Centre
Рет қаралды 3,7 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 11 МЛН