Katika kuadhimisha miaka 80 ya kuzaliwa kwa Maalim Seif, Wakfu wake umeandaa mjadala juu ya Siasa na Uongozi kwa kuzingatia maisha yake.
Пікірлер: 8
@salyali78078 ай бұрын
Mh Othman is an asset in zanzibar... very powerful speech..
@hassanomar71958 ай бұрын
Huu UCHAWA ndio mimi unanishangaza yaani hata hawa watangazaji wadogo wa hizi TBC na ZBC nao ina maana wanatafuta u kubwa? Maana nchi hii yanayofanyika yote ni mazuri hakuna baya hata moja la kukosolewa?
@hasaabdi71998 ай бұрын
jenerali ameongea vizuri sana kulezeza maana ya uongozi
@Masjidfirdous-onlinetv8 ай бұрын
Umefanya vizuri Mohammed kuweka hap huu mjadala maana kwangu club house yangu nakubali tena
@Masjidfirdous-onlinetv8 ай бұрын
Haikubali
@fakikhatib38788 ай бұрын
Safi sana
@buchbeats53378 ай бұрын
Maalim Seif ndio alotufunua macho kama Zanzibar nchi OUR HERO ALL THE TIME