Nasser Abdallah Al Riyami amefanya utafiti na kuandika kwa kina juu ya matukio na watu muhimu walioisawiri tareikh ya Zanzibar baina ya mwaka 1828 na 1972. Ismail Jussa anatupitisha kwenye kurasa zake.
Пікірлер: 37
@suleimanalsubhi19242 жыл бұрын
Asante Sana Shaikh Jusa na Shaikh Ghasani kwa kutufudisha Historia ya Zanzibar mungu akupeni maisha mema
@ismailjussa76442 жыл бұрын
Shukran na wewe pia. Jazak Allah Khayr.
@azizamri15222 жыл бұрын
Excellent analysis Sk. Ismail. Inabidi nikirudie tena kitabu
@Neighborsjiran2 жыл бұрын
Shukran Mchambuzi Nimefurahi kuskia nchi yetu Somalia Wazungu washenzi
@msabahaali7582 жыл бұрын
Mashalla bwana Mohamed leo tumepata faida nyingi lakini pia usijibu ni mzuri sana Mashallahu
@farazdarmax81252 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته الشيخ محمد و الشيخ اسماعيل .كتاب يوثق التاريخ العرب العمانيين و السلاطين عمان و زنجبار. علما ان العمانيين وصلوا زنجبار قبل هذا التاريخ ب ميآت السنين و نشروا الإسلامية في شرق أفريقيا. و لا ننسى خبث الانجليز في زعزعة الحكم العربي العماني و الاسلام في أفريقيا. و اشكرك الكاتب الشيخ ناصر الريامي في جهوده في جمع المعلومات و توثيق الحقائق في هذا الكتاب....
@seymau59742 жыл бұрын
Shukran kwa kipindi kizuri kutufunza sera za mwambao wa Africa Mashariki .
Mimi kwa maoni yangu naomba kuuliza kwa wataalamu humu ndani,,kwa dhulma hizi za uengereza alizozipanga na kuzitekeleza kwa zanzibar na wazanzibar ,,je wazanzibar hawawezi kuishitaki serikali ya uengereza kwa dhulma hizi alizozifanya,,ambazo hadi leo zinatuathiri wazanzibar
@salimmasoud12532 жыл бұрын
wallahi roho inauma sana ama kweli Waingereza ni makhaini na dola ya zanzibar imeghusubiwa na wale wale walioighusubu palestine
@ShamsaHuriya20232 жыл бұрын
Thank you for the abstract
@jimmyjackson71092 жыл бұрын
Asante sana kwa uchambuzi wako . Tena ni "perfect reporting " hukutia maoni yako bali yaliomo ndani ya kitabu . Jakallahu khair .
@msabahaali7582 жыл бұрын
Usikivu ni mzuri sana Mashallahu
@ilyaaswambi16222 жыл бұрын
Ahsantum bin Ghassany na Jussa, Mola atubariki sote Inshaallaj
@nailamohd76932 жыл бұрын
Shukran sana kwa kipindi kizur chenye mafunzo ❤️👏👏
@sophiesadick55102 жыл бұрын
Histori yakuvutia sana na kuleta hamasa.
@kassimhaji11412 жыл бұрын
Asante Kwa uchambuzi wenu mzuri
@mwalimuali18502 жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi juu ya kuipata zanzibar yenye mamlaka kamili.
@sayidabdillah85052 жыл бұрын
Pole sana jameshed duh! Ukweli ulifedheheshwa sana na Zanzibar pia but nimejifunza vitu vingi Moja kuwa Zanzibar amri ilikuwa inatoka London uwengereza baada ya kupoteza sifa yake,na pia Sasa amri zinatoka Dodoma
@salyali78072 жыл бұрын
Inatia uchungu... Hasbiyallah waneemal wakeel
@khalmudodoma62712 жыл бұрын
Asant
@hamadalisuleiman46942 жыл бұрын
Safi sana
@solomonadams63372 жыл бұрын
Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu ¿huyu Ismail Jussa sio Zanzibarian Politician only bali huyu ni Headmaster wetu Wazanzibar sawa¿thanks
@khatibal-zinjibari69562 жыл бұрын
@Solomon Adams.NI SWAHIHI kwani Mheshimiwa Ismail Jussa baba yake alikuwa Maalim wa kwao Makunduchi. Mheshimiwa Ismail ni mwanafunzi wa Maalim Juma Duni na Maalim Juma Duni ni mwanafunzi wa Maalim Seif. Kitaaluma, Ismail Jussa ni Mwanasharia na anafuata nyayo za Mwanasharia Mkuu (CHIEF JUSTICE), Ali Haji Pandu wa Makunduchi.
@seymau59742 жыл бұрын
Kabla ya utawala wa Kiengereza watu wa walikuwa wakiandika kwa hati za Kiarabu.
@nassorali45642 жыл бұрын
Kiasi zanzibar is iendelee kwa zile zulma zilizofanywa awali na zinazoendelea kufanywaa inasikitisha sana sana ndo mana hadi Leo hakuna maendeleo dini kufa nk mtihani mkubwaa
@sharifaaljahdhamy76332 жыл бұрын
Kwanini tuki apply passport ya Oman tunakataliwa
@abbasssalim40022 жыл бұрын
Asalam alykum nitapataje icho kitabu??
@ismailjussa76442 жыл бұрын
Kwa Zanzibar kinapatikana Masomo Bookshop.
@sophiesadick55102 жыл бұрын
SILCILA 25 in nini?
@kassimhaji11412 жыл бұрын
Tunawaomba mumzungumzie alie kuwa waziri mkuu wa zanzibar mohd shamte historia ya maisha yake kwenye siasa mpaka alipo malizia
@ismailjussa76442 жыл бұрын
Ni wazo zuri lakini haitowezekana kupitia kipindi hichi cha TUFUNUWE KITABU kwa sababu hakuna kitabu kilichoandikwa kuhusu historia yake. Tunaweza kufanya kupitia vipindi vyengine vya Gumzo la Ghassani. Nitazungumza na Mohammed Khelef Ghassani ili tupange kipindi cha historia yake. Shukran sana.
@mangofish90792 жыл бұрын
Mtafuteni baraka shamte tu mutapata history ya mzee mohd shamte