MJANE ASHINDWA KUCHUKUA MALI ZAKE za BILIONI 4 ya MIRATHI ya MUMEWE JAPO KASHINDA KESI MAHAKAMA KUU

  Рет қаралды 7,524

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 129
@superhemed7590
@superhemed7590 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde dada hasije kukuzuru tu uyo shetan wa dhulma
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Ай бұрын
Tetea haki ya wanawo dada uyo anakutishia maisha Mungu aanzane nayeye nakingine asijisahaulishi sote tutakufa hakuna atabaki kuwa zam kwahiyi dunia sasa we baba towa mali zawatoto yatima kabla Mungu ajakuchukuwa nakwenda ku azibiwa na Mungu.
@evachuwa3809
@evachuwa3809 Ай бұрын
Uwe makini sana mama utauliwa maana hii ni vita kali sana
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Ай бұрын
Wallah uyo baba nimwizi kweli yani ata kuongeya kwake kunazihirisha kwamba nimwizi towa mali zawatu Benjamin wizi huwezi kukufikisha popote.
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Wadhulumaji wengi hukazania Mahakamani ili iwe inachelewa kutimizwa haki.Naomba Serekali iweke mipaka ya hizi kesi ili haki ipatikane haraka.
@PendoPeter-rr4jk
@PendoPeter-rr4jk Ай бұрын
Wanaume kabla hamjafariki watengenezeeni wake zenu mazingira mazuri
@AnaraelMpungu
@AnaraelMpungu Ай бұрын
Mumlinde.huyu.mama.huyu.baba katilil.nimwizi kabisa serenading mlindeni huyo mama
@danielmwanguku2898
@danielmwanguku2898 Ай бұрын
TIGHTING QUESTIONS AISEE KORUMBA HABARI ZAKO N FIREE THAT'S Y NAWAPENDA GLOBAL UR THE BEST
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Ай бұрын
Polesana dada Mungu azidi kukufungulia milango ya riziki uyo baba nitapeli kweli yani mtu unazulumu mchana kweupe watu inabidi tujifunze kitu kupitia huyu dadayetu.
@EmiliaYona-g9e
@EmiliaYona-g9e Ай бұрын
mzee anajeuri sana eti hajaridhika kwenye mali isiyo kuhusu
@JanuarydaqaroBenedict-vz5hm
@JanuarydaqaroBenedict-vz5hm Ай бұрын
Tutamchangia wakili namba zake azitoe inauma sana
@faudhiakihangu
@faudhiakihangu Ай бұрын
Mungu ni mwema ...pole sana dada mungu akupiganie
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Ай бұрын
UMEMBANA KWELIKWELI MDHULUMAJI ASANTE SANA MWAANDISHI
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Mimi kwa ushauri wangu bora kuuza kisha ukanunue sehemu nyingi ili uepukane na huxo shemej yako
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
kwel kabisa watamuuwa jamani serikali Iko wapi imsaidie huyu mama? mashemeg mnadhida gani ? na kwanini yeye awe msimamizi wa mirathi angali Mke yupo?
@HonorataMafala
@HonorataMafala Ай бұрын
Hii ndio shida ya kutokumthamini mwanamke. Huyo mama angepaswa kusimamia yeye na watoto wake.
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Nayo hii ni Sheria gani eti msimamizi wa mirathi wanini sasa.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 Ай бұрын
Huyu baba anatengeneza bomb la familia! Kama alivyodhulumu naye au kizazi chake watadhulumiwa tena kwa kumwaga damu! Hizo ni Mali za laana! Mungu aingilie kati jamani!😢😢😢
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Ай бұрын
Unavoshinda mama,ni Mungu anakucmamia,hilo Benjamini litakuwa lilimuuwa mumeo ili lirithi.Yaani hilo mbwa likashuhudie mipaka yake ikifa.
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Limwanaume lijinga sana liachie Mali za mjane.
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Giving hawawatu wanatakaje jamani, familia😌😌
@JoyceAnthony-f9s
@JoyceAnthony-f9s Ай бұрын
Mungu yupo wa kukutetea.sawa ila nimuombe mh.Adolfu mkenda uanga lie majasusi kama haya yanayoonea wajane.
@mariasafari1004
@mariasafari1004 Ай бұрын
Mpuuzi sana huyu baba na sasa Mungu halali lazima atapata haki yake huyo mama
@HildaMangire
@HildaMangire Ай бұрын
Nl mwizi huyo
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 Ай бұрын
Na nyinyi mnaomshauli aziache Mali zake,ww ungeweza?.labda asaidie hapate haki yake, mnaleta roho mbaya hivi watz mbona mnaroho za wanyama,kila MTU atakufa hata ww unaesema hache Mali na ww siku yako ikifika utakufa bila hata MTU kukuhua,hacheni roho za kisenge
@OstakiaCornely
@OstakiaCornely Ай бұрын
Huyu baba alaaniwe mungu mlinde mama mjane
@vincej9275
@vincej9275 Ай бұрын
Shida za nchi zetu hizi za Africa hakuna haki. Mama akipigania haki zake na watoto wake, mashemeji anaendelea kufaidika na mali hizi. Watoto na mama yao hawapati chochote. Wana endelea kuishi kwa umasikini. It's very unfair for someone fighting for wealth he doesn't deserve.
@ireneshao7950
@ireneshao7950 Ай бұрын
Kolumba your the best
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Hangai acha kudhulumu Mali za mdogo wako, mdhulumaji mkubwa wewe Mungu atakuona
@GisellaLukas
@GisellaLukas Ай бұрын
Huwenda ata alimuuwa ili achukue izo mali
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
Hahaaaas@Gissellaaa
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
😅
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
Swali: hivi huyo BENHA ANA WATOTOOOO????
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 Ай бұрын
Yani hadi nimeliaa mungu akutete
@WemaChimimanda-jt8rf
@WemaChimimanda-jt8rf Ай бұрын
Hii nguruwe ndio ya kutekwa Kasia ya MTU kabla haja muua mjane
@ShamimuKanju
@ShamimuKanju Ай бұрын
Pole dada ila kesi miaka 17 hasta hao Wana ndugu wa mime simameni na huyu mama wtt wanatedeka
@demicratia4071
@demicratia4071 Ай бұрын
Wanawake WAKIFIWA NA MUME WANATESEKA SAAAANA JEE HUYO.MUMEWE ANGEKUA HAI HUYO BENJA ANGEDHUBUTU KUMRUSHA
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Ай бұрын
Pole sana 😢😢Mungu azidi kumtetea uyu mama🙏🙏kuna mijitu mingine sijui ipoje kama raisi si utafute mali zake mtu mzima ovyo ilo lishemeji😏😏
@magrethyoseph3034
@magrethyoseph3034 Ай бұрын
Kwa nini Polisi wasimusaidie? Mbona kama hakuna haki nini mana ya utawara kama nihivi!
@rogersorina7224
@rogersorina7224 Ай бұрын
Huyu mtu hataua huyu mama
@GisellaLukas
@GisellaLukas Ай бұрын
Duuh Mungu akusaidie maana unavita atakuja kukuuwa
@beltinastockburger5934
@beltinastockburger5934 Ай бұрын
Hasara utakaopata wewe baba ni kubwa sanaaaa!!
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 Ай бұрын
Uyu anatakiwa awekwe ndani mwezi mzima akitoka naisi izi tamaa alizo nazo zitamuisha.
@arafaally2895
@arafaally2895 Ай бұрын
Benjamini ni mwizi ,akamatwe afungwe ,tusikubari unyama huu
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Huwezi kuwa na shida, siunakula kwa mgongo wa marehemu, unatamani hata kumuuwa mototo wa marehemu
@JacquelineMacha-y3n
@JacquelineMacha-y3n Ай бұрын
Woooo mama recho
@annajoseph9955
@annajoseph9955 Ай бұрын
Na majibu yake ya kishenzi
@patrinraura1397
@patrinraura1397 Ай бұрын
Huu ni unyang'anyi Haki za huyo mjane zirejeshwe Maana anaonyesha hayuko tayari kuheshimu Mahakama Mateso,mahangaiko ya muda mrefu pamoja na watoto atafidiwa mbali na kurejeshewa haki zake Tunaiomba Serikali iingilie kati huyo Mjane anateseka
@eliambowe2576
@eliambowe2576 Ай бұрын
Eti mulize mama yao daaa 😢
@ibrahimdaudi5823
@ibrahimdaudi5823 Ай бұрын
tamaa ya mali kwa jamii ya kimaasai ni tatizo
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 Ай бұрын
Kama yupo mke wa marehemu kwanini ndugu wa marehemu kuwekwa kama wasimamizi wa mirathi? Huyu mke kwani hafai kusimamia watoto wake? Jamani huu ni uhuni wa hizi sheria za hovyo kabisa
@kennedyjohn8900
@kennedyjohn8900 Ай бұрын
Ili ajue kuwa ameshinda aende kukazia hiyo hukumu naakimaliza aende kwamkuu wawilaya kwaajili yautekelezaji
@edgenparis4260
@edgenparis4260 Ай бұрын
Soma kutoka 22/22.ole ole
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 Ай бұрын
Hapa wale watu wasiojulikana ndio wangetakiwa kufanya Kazi kwa wazulumati kama huyo
@arafaally2895
@arafaally2895 Ай бұрын
Wamlipe haraka mali zake
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Ай бұрын
Watoto si wameshakua?
@marthaswai1185
@marthaswai1185 Ай бұрын
Huyu Benjamin ni jambazi la karne
@JudicaShoo-x9n
@JudicaShoo-x9n Ай бұрын
Jaman Duniani yesu Rudi mbona Mali za huyo mama nihaki yake
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Ай бұрын
Na hao wanaotoaga hukumu kwa nini huwa hawasimamii ili kupata haki
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Swali Zuri zuri sana na inauma hasa
@husnaabdullah3009
@husnaabdullah3009 Ай бұрын
Kwanini mahakama isiweke mwisho wa rufa nimara flan pia siku ya hukumu inatakiwa aje na hati zote za Mali zilizopo
@arafaally2895
@arafaally2895 Ай бұрын
Usiseme mali za marehemu mume wangu.sema mali zenu wewe na mumeo
@JudicaShoo-x9n
@JudicaShoo-x9n Ай бұрын
Kiukweli huyo Benjamin anatakiwa arudishe Mali za huyo mjane ,na ashitakiwe kwa kesi ya uzulumaji
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Ай бұрын
Lenyewe limenenepa kunganganiq vitu marehemu. Rais wetu msaidie huyu mama
@GisellaLukas
@GisellaLukas Ай бұрын
Ingekuwa magu ange msaidia siyo uyu mama
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Huyu Benjamin hangai ni mbaya sana
@fideavenceslaus
@fideavenceslaus Ай бұрын
subiri wapate haki uone atakufa na kihoro uyu baba
@isamony58
@isamony58 Ай бұрын
Uyu shemeji mjinga sana atafute vyake boya uyooo
@judithonyango1449
@judithonyango1449 Ай бұрын
Harudishe mali za wenyewe atafute mali zake kwa jasho lake aacha dhuluma
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Miaka yote Hiyo anajichumia tuuh, jamani, ndugu wa mume
@AnaraelMpungu
@AnaraelMpungu Ай бұрын
Acha.wizi.ww.mpe.mama.haki.yake.watoto.wamarehem..Acha.dhuluma.sio.malizi.zako
@AnaraelMpungu
@AnaraelMpungu Ай бұрын
Serikali.mumlende.mjane.tunateswa
@nashnene6326
@nashnene6326 Ай бұрын
Hawa Masai na wachaga ikihusu mali wanatoana roho, refer bilionea msuya na dada yake
@RamlatyMkwata
@RamlatyMkwata Ай бұрын
Mmh baba angu tafta chako kwajasho lako mwenyew, umeshashindwa kesi na bado yuwang'ang'ana et hujarizika hujaridhika na nini?? Kumbuka kuna leo na kesho,utanga'ng'na nazo nawe utaziacha hapa dunian, jasho la mtu haliliwi bure, leo hii watoto wanateseka wewe umekunja 4 kwa ajili ya mali ya mdogo wako, tafta yako ilokuwa ya kihalali ,kupambana aaaaaaaaaah kuombea watu wafe ili mlisi mali wakwanza😏🤗
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Hakuna.mwana sheria wala yeye ana honga huyo guruwe. Tunaiyomba muheshimiwa mama samia aingilie kati swala hili. Makonda baba uko wapi kazi hiyooo.
@NuruNyanja-kz1qr
@NuruNyanja-kz1qr Ай бұрын
Yani mtu anatafutia familia yake alafu mtu unagomea mali za mtu watoto wanateseka si utafute vya kwako
@zainab8251
@zainab8251 Ай бұрын
Ukifa ukaacha mali mtihani wallah jamani kitu kama cio chako kwa nini ukinganganie inaonekana kama yenye kamutowa marehemu ili apate uridhi
@JacquelineMacha-y3n
@JacquelineMacha-y3n Ай бұрын
Ila baba renaa kasubiri mamaake afe azulumu mali za wenzake
@ElizabethMakwaia
@ElizabethMakwaia Ай бұрын
Lakini mbona hapa kuna kitu hakija kaa sawa? Ina maana hao mashemeji na mawifi wako wapi? Au wote lao moja?
@lucianakweyunga8187
@lucianakweyunga8187 Ай бұрын
huyu jamaa kazi take mdogo, ngoja tutampa huyo mama akili ya kisheria na kijamii
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 Ай бұрын
Ilo libaba liizi kabisaa
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Anangangania Mali ni zake
@PendoMatemba
@PendoMatemba Ай бұрын
Familia pia itakiwa inajuta kumfanya msimamizi
@MwanahawaSaid-z9e
@MwanahawaSaid-z9e Ай бұрын
Uyo shetani siomtu nzuri
@banajuliana758
@banajuliana758 Ай бұрын
Bora uzima dada! Tulia usije kuliwa bure ukaacha mwanao bila mama
@mussaelias3535
@mussaelias3535 Ай бұрын
Huyu jamaa mpuuzi sana anatesa watoto wa marehemu na mke serikali iingilie Kati huyu jamaa anaroho mbaya hata majibu yake niya kifedhuri sana
@happymrema7487
@happymrema7487 Ай бұрын
Yan huyu baba ni tapel kabisa
@AnaraelMpungu
@AnaraelMpungu Ай бұрын
Mheshimiwa.makonda.baba.wawanyknge.msaidie.huyo.mjane.jmn.mmasai.jeuri.mno
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Ай бұрын
Dah hayo maeneo yenye magorofa walahi watamuua huyo mama
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Tunaomba mumlinde huyu dada Jamaa atamuuwaa.
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Huyo ni mwizii anatakiwa afungwe haraka sana.akanyie debe mpumbavu. Mijitu mengine haina akili hajui hata kula na shemegi yake ana mdhulumu
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Ай бұрын
Huyu jamaa Ni jeuri Sana
@maswamills3161
@maswamills3161 Ай бұрын
Mali zinaua jamani , MUNGU tu aingilie kati.
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Ай бұрын
Na unakata rufaa kwenye mali ya watu. Watoto wa ndugu yako wanazurura. Jamani mtengeni huyu mtu mkimuona arusha
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Ай бұрын
Watoto baba yao kaacha mali, jamani wanaishi maisha magumu
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 Ай бұрын
Huyo jamaa hatafute Mali zake mbwaa huyoo.anatamaa hatapakuliwa paka huyo.angekuwa dar angeshatekwa paka huyo.tafuta Mali zako
@fatumamolel7486
@fatumamolel7486 Ай бұрын
MUNGU akushindiee
@lindasamwel4610
@lindasamwel4610 Ай бұрын
Huyu mzee ni mwuaji
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
SHIDA YA SISI WAAFRICA HATUPENDI KUTUNZA MALI ZA MAREHEMU, SASA UNAUZAJE VIWANJA AMBAVYO SI VYAKO? HAO WALIONUNUA NA KUJENGA MAGHOROFA MKAE NAO MWELEWANE ILA SIYO KUVUNJA BORA WAKUPE HISA AMA WAKUONGEZE PESA.
@marymanoni5536
@marymanoni5536 Ай бұрын
Achana na mali za malehemu
@denisnjaila2182
@denisnjaila2182 Ай бұрын
Huyo shemeji akamatwe mshenzi
@celinamosha9420
@celinamosha9420 Ай бұрын
Utasikia kesho kafa serikali hii
@happymrema7487
@happymrema7487 Ай бұрын
Wewe dada tafuta pesa mrafute mojaa yan ilo.gorofa linashushwa chap
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Apokonywe kinguvu .hii sheria gani sasa ataka rufaa hadi lini .huyo mzee akamatwe na afunguliwe mashtaka.mali yandugu sio ya kwako pindi marehem amapokua na watoto.huu sasa niunyangamyi miaka 17,serikali nayo haisimami haki kisawa sawa miaka 17 nimingi sana.
@HidayaIbrahim-b4h
@HidayaIbrahim-b4h Ай бұрын
Yaani huyo inatakiwa achukuliwe hatuwa kutaka Mali za watu atafute zake
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Huyu jamaa ni mtu mbaya sanaa. Anadhulumu huyu shemegi yake
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Ай бұрын
ona dada Hana hela kote mungu kamsaidia kashida jamani serikali imsaidie jamani akusanye Mali zake zote na ikiwezekana auze zote na ahame kabisa mkoa
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 Ай бұрын
Kwanini? Umekata rufaa na wakati ni Mali ya mume wake , duuu baba unaroho mbaya wewe. Unadhulumu haki ya watoto wa ndugu Yako . Duuuu na wewe watoto wako watadhulumiwa hivyo hivyo.
@juliethmaleko3584
@juliethmaleko3584 Ай бұрын
Yan huyo baba anatk amilik yy hizo mali bc km mjane angekuw ajazaa afadhali lkn mtu ana watoto ni aibuu
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq Ай бұрын
Huyu jamaa jeuri sana anajiona yeye.mafia
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Ай бұрын
Huyo shemeji mshenzi
Trick-or-Treating in a Rush. Part 2
00:37
Daniel LaBelle
Рет қаралды 44 МЛН
DANGEROUS SUPPLEMENTS.. BEWARE OF SOCIAL MEDIA ADVICES!!!
16:44
Cancer Healer Dr Jojo V Joseph
Рет қаралды 397 М.