MPIGIE DR.JJ.MWAKA SASA KUPITIA 0758 100 100 na 0785 100 100 UPATE MSAADA WA KITABIBU KWA GHARAMA NAFUU.
@ruqaiamohammed345Ай бұрын
Haki ya mtu haipotei bure bhana itazunguukaaa wee mwisho itarud kwa wenye haki binadamu tutambue dhulma c njema kuna kufa huko tuendako tutauliza na kuhukumiwa ALLAH atujalie tucwe na moyo / roho ya dhulma / tamaa / inshallah 🤲🤲
@FrancisShirima-d4qАй бұрын
Mirathi ni changamoto kubwa sana ktk Tanzania yetu WANAUME WENZANGU TUANDIKE WOSIA MAPEMA TUNGALI HAI ILI KUEPUSHA MATATIZO PINDI TUKIRUDI KWA MUNGU BABA, TULIOHAI TUJIFUNZE KWA WALIORANGULIA NA KUTOACHA WOSIO WOTEE🎉
@hisanmwakijungu10Ай бұрын
Nani alikwambia ukifa unarud kwa baba,,, ,,, we nawe uelewa mdogo ,,,,,,soma vizur vitabu ,,, ukifa unarud mavumbin sio kwa baba 😂
@ruqaiamohammed345Ай бұрын
😂😂😂@@hisanmwakijungu10
@lenniefei6710Ай бұрын
Kama ni wachaga hamna la kushangaza hapo....Mali kwao ndio ulimwengu !
@shabanimbega40Ай бұрын
Swali langu Kwa nini mlitoa hati ya umiliki kabla ya kujiridhisha Na maamuzi ya mahakama? Na benki Kwa nini haikujiridhisha kabla ya kutoa mkopo (official search) kuna kitu kinaendelea hapa
@anicetnhegetelaАй бұрын
Kwann mlitoa hati kabla ya kujiridhisha!!!
@LuluAquaiАй бұрын
Hapo sasa,yani kama kungekuwa na umakini tangu ardhi haya yote yasingetokea
@spreadlove5300Ай бұрын
Hapo ukute wanajifanya kuirudisha kwa marehem wakati bank walishauza hiyo sehem
@HonorataMafalaАй бұрын
Sasa huyo mrithi wa tatu kwenye mkopo yeye hakuwepo na sasa mmerudisha jina la marehemu. Ina maana huo mkopo utakuwa wa mafehemu au wale waliokopa washtakiwe.
@evamlay8997Ай бұрын
safi sana mahakama imetenda haki
@FatmaHamisi-b1hАй бұрын
Hatar Sana Mali za marehem za moto
@magejuliani5293Ай бұрын
Ha ha haaa huyu mama tapeli usikute alichangia kifo cha huyo baba
@dorahmushi-we6tsАй бұрын
Kweli wosia ni muhimu sana, ktk familia nyingi hizi mali zinaleta hata kuuana.
@arafaally2895Ай бұрын
Walikopa makusudi
@yukundapeter8200Ай бұрын
Pumxika kwa amani Mama Patrick na watoto wako wote.Ulitafuta ukaviacha.
@zenaismlingi6148Ай бұрын
Sorry,,,hivi ndio yule mke wake alipata ajali na watoto watatu wakapoteza maisha wote?
@evamlay8997Ай бұрын
ndio
@dorahmushi-we6tsАй бұрын
Huyu mama( mke wa kwanza) alikua mpole na mstaarabu sana😢 ni msiba uliogusa watu wengi sana Moshi na mikoa ya jirani! hivi ktk watoto wake,wapo waliosalia?
@leokamil6284Ай бұрын
@@evamlay8997😭😭
@ROZITHOMAS-y4qАй бұрын
Sasa wewe mama utakufa alafu utaacha watoto wametengana. Kwa hiyo wewe ulifata mali kwa huyo mzee na ulionyesha kuwapenda watoto mzee akiwa hai. Nakushauri mama uwaombe wanao msamaha na mali zote rejesha kwa wasimamizi wa mirathi. Kila mtoto apate haki yake na wewe mama upate haki yako. Na wafundishe wanao kwamba mali zinatafutwa na nyie mkasake mali zenu. Wafanye watoto wapendane
@eliambowe2576Ай бұрын
Kistarabu baba anaupiga mwingi anakiburi chauzima
@AnnaUrio-x1bАй бұрын
Huyu mama ni shida
@kennethbenjamin275Ай бұрын
Watu waroho...wa mali
@tumainimwaifunga3884Ай бұрын
Jeuri huyo mama
@jacklinelyimo7407Ай бұрын
Visenti Rimoy na sio Limoy
@yukundapeter8200Ай бұрын
Ni Rimoy na sio Limoy.Huyo mmama si alikuta mali?
@leokamil6284Ай бұрын
Hao wanaokuja baadae huwa waroho sana hutamani kuua hata Watoto aliowakuta
@neemayatosha1618Ай бұрын
Yaani na mara nyingi kinachowapeleka kwenye hizo ndoa ni mali,ndo maana wanakua so greedy@@leokamil6284
@fettiemaganza1484Ай бұрын
Utadhani wao hawatakufa milele
@SiahRimoyАй бұрын
Huyu mama amekua mwiba kwenye familia yetu.
@mercydirisha8903Ай бұрын
Maafisa ardhi wachukuliwe hatua kali nao wanajua dili na wachonganishi
@azizamvungi1871Ай бұрын
Watoto wangu pambaneni mtafutie pesa zenu.
@magejuliani5293Ай бұрын
Mama huyu ameharibu familia yake
@fettiemaganza1484Ай бұрын
Hawa wtt wa mama mkubwa wanaonekana wastarabu kweli