MJENGO wa Bei MBAYA,Usiotumia UMEME wa TANESCO hata UNIT 1

  Рет қаралды 32,964

Snashtz

Snashtz

Жыл бұрын

#snashtz #technology #mjengo #tanesco
MJENGO wa Bei MBAYA,Usiotumia UMEME wa TANESCO hata UNIT 1

Пікірлер: 136
@bagengift3488
@bagengift3488 Жыл бұрын
Sauti ya Fundi anafaa sana kua mwandishi wa habarii 😂😂😂
@gstone830
@gstone830 Жыл бұрын
Hiyo ni solar power buckup system sio hybrid system,ilo neno hybrid sio jina la inverter ni neno linatumika technically kumjulisha mtumiaji kwamba hiyo inverter inaweza kufunction kupitia sources mbeli mbali za power mfano solar panels,umeme wa grid generator n.k sasa wewe hapo hiyo system chanzo chake cha umeme ni solar panels tu hujaconnect na umeme wa grid ndiyo maana imeondoa hilo neno hybrid japo inverter inao huo uwezo🚶🏻
@shadracksenya4632
@shadracksenya4632 11 ай бұрын
Kwanza fahamu huyu anatoa tangazo tuu. Wafwate hao umeme_fundi_decor_design watakuelewesha kila kitu. Mimi wamenifungia hybrid, inaconnect solar, umeme na generator, inverter ipo connected na WIFI popote ulipo unaamua wewe tu
@EspiSimai
@EspiSimai Жыл бұрын
One day nitamiliki inshallah
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Жыл бұрын
Hii nzuri sana
@rasvegas8991
@rasvegas8991 Жыл бұрын
Beiiii nadhanii hpo ttzoo
@sijaolomi
@sijaolomi Жыл бұрын
Bro snash sola kali hi brid maisha yamekuwa raisi sana kama sisi hapa nyumbani tuna kisima cha maji kwa siku inatumia uniti 30 kwa ajili ya kunyeshea bustani garden bro hiyo tutaitafuta tutakuwa tunasevu 12000 kila siku itakuwa poa sana bro snash juzi ulnipa like kwenye marcedis benzi v 12 shukrani bro snash nakuomba hutufanyie revew ya smart toilet 2023 kwa luga azimu ya kiswahili big up snash
@sijaolomi
@sijaolomi Жыл бұрын
Bro snash tunasubiri revew ya smart toile kwa lugha azimu ya kiswahili big up bro
@MoMo-el4rs
@MoMo-el4rs 8 ай бұрын
Nimependa kazi zeni❤
@Frankmo350
@Frankmo350 9 ай бұрын
kaka nakufatiliaga sana uko vzr sana sema itatakiwa anza kufanya mazowez ka mwili kamekubali 😅 kaka ila uko pow sana na utafka mbali
@shariduidrisa1993
@shariduidrisa1993 Жыл бұрын
Big up sana bro👉
@sixmelody4349
@sixmelody4349 Жыл бұрын
NOMA SANA 🔥🔥
@prospersanga7942
@prospersanga7942 Жыл бұрын
Hatari sana
@shariduidrisa1993
@shariduidrisa1993 Жыл бұрын
Viewer no 1😊
@samigofute1130
@samigofute1130 10 ай бұрын
Ni technology nzuri sana ila wasogeze tuwetunatumia mpka jiko la umeme. Siku wakifikia hatua hyooo ntafunga kwangu
@SumaEddie
@SumaEddie Жыл бұрын
Eeenh bwana mapema sanaaa😅😅😅
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo Жыл бұрын
Unajua kaka
@kabinetmwashilindi7246
@kabinetmwashilindi7246 Жыл бұрын
I like it 🙌
@alexmaganga688
@alexmaganga688 Жыл бұрын
Mmmh hiyo sio hybrid system (kama tu solar ndio zinatumika kuzalisha umeme hapo). hybrid system inatumia mifumo mingi ya umeme mfano (umeme wa tanesco, upepo au generator) ambayo itaunganishwa pamoja na solar , hii kumaanisha kwamba mfumo wa solar ndio kipaumbele na mifumo ningine inakuja kujazilizia pale ambapo solar itakapo kuwa Inafanya kazi kwenye performance ndogo. Huo mfumo ni off grid stand alone solar system ( yaan mfumo wa solar usio tegemea umeme mwingine kama wa tanesco). Kuwepo kwa inverter hauufanyi huo mfumo kuwa hybrid. Kazi ya inverter ni kubadilisha umeme mnyoofu DC current kutoka kwenye solar na kuwa Alternative current AC ili uweze kutumika na vifaa vingine vinavyo tumia umeme kama wa tanesco.
@fml1804
@fml1804 Жыл бұрын
Mafund wengi mbwembwe hapo mchawi ni inverter tu zingine kelele
@aidancleophas957
@aidancleophas957 Жыл бұрын
Yani fundi bwana bwebwe nyingi lakini mchawi ni inverter to used to change DC current into Ac current 😂😂😂
@ericevon6399
@ericevon6399 Жыл бұрын
Ni kwelii solar ni solar tuu no matter ukubwaa wake. Yeye anaita hybrid ila ni solar fundi anatudanganya. Solar inapokuwa kubwaa haina haja ya kufunga vitu vya kutumia solar. Mchawi inverter hata kwenye solar ndogo vi inverter vipo. Ila fundi anatudanganyaa
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy Жыл бұрын
hakika huyu fundi anajarbu kucheza na akili zetu dadek zake sas kuna utofaut gan hpo jmn
@filbertakaro3739
@filbertakaro3739 Жыл бұрын
Amesema Umeme wa tanesco upo na ndio umeunganishwa na jiko la umeme kwa sababu linakula sana umeme. Kwa hiyo kama umeme wa tanesco pia upo basi inahaki ya kuitwa Hybrid system ikimaanisha vyanzo vya umeme ni viwili, umeme wa tanesco na umeme wa solar.
@alhaithamiy_
@alhaithamiy_ Жыл бұрын
Mwaka 2002 nikiwa Bording Wakati huo shule yetu ilikua inatumia umeme wa tanesco lkn pia ulikua unachumba maalumu cha mitambo ya umeme, ndani yake kulikua na inverter with battery na umeme ulikua ukitok kw tanesco inverter inacharge battery kisha umeme ukikatik inverter inatupa umeme direct kutok kw battery na tulikua tunatumia kila kitu those days hata smartphone hakuna ni mwendo wa Motorola tu na Siemens 😅😅😅
@mosesmpesa9
@mosesmpesa9 Жыл бұрын
True wasikifanye kitu special San wakat gharam zake hapo mlalahoi anatoa room tatu
@bmmaelectric
@bmmaelectric Жыл бұрын
Yeah hii kitu kama ulikua hujui tunaita back up source
@yohanahbyzehomba1352
@yohanahbyzehomba1352 Жыл бұрын
Balaa motorola
@Ben-ep6ud
@Ben-ep6ud 9 ай бұрын
Hakuna umeme mzur kam wa upepo iwe mvua iwe usiku ina install charg tatzo serikal yetu iliuficha waliona tanesco watakosa watumiaji ndo maana
@edlumala9428
@edlumala9428 Жыл бұрын
Hybrid inverter ni aina ya inverter ambayo unaweza kutumia source tofauti za umeme, mfano unaweza kutumia solar, national grid “tanesco” au generator! Inverter ikipata source ya umeme kutoka kwenye jua, yaani solar panels umeme unakuwa AC then inverter inaubadilisha na kuwa DC.
@frankrowland2884
@frankrowland2884 Жыл бұрын
Inverter inabadil bwana Dc kuwa Ac na ambayo inabadilisha Ac kwenda Dc ni rectifier embu rekebisha hapo
@tanzaniacarschannel6975
@tanzaniacarschannel6975 Жыл бұрын
Mkuu unaelewa ulichokiandika kweli? Dah
@frankrowland2884
@frankrowland2884 Жыл бұрын
Soma vzr maelezo yake
@astonchoggo2517
@astonchoggo2517 Жыл бұрын
Asnte kwa kutuerewa tatizo sio Kila mtu anaye juwa mifumo
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 4 ай бұрын
Hii system ndo ile ile tunayoijua, waseme ni solar tu, na kila mtu anatumia inverter, asikwepe neno solar coz bado inatumia mfumo wa jua
@neemamboya99
@neemamboya99 Жыл бұрын
Kikubwa bei zao ziwe affordable.
@nellywizz9631
@nellywizz9631 Жыл бұрын
Fund ata si wengne mafund umeleta mbwe mbwe ming ila hyo ipe majin kibao ila ni solla tu na uckatae kua ni solla. Ata mm nikiwa na sola ya wat 1000 na betr na inveta nawez washa vyumb vitatu kwa mfumo wa umeme kbsa bila usumbufu yan ac
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 10 ай бұрын
Nikajua jumba linatumia damu kumbe Sora🤣🤣
@moubrown65
@moubrown65 Жыл бұрын
gharama ndo kitu kikubwa naomba kijua.. kwamfano jumba kama ilo linakuhitaj kiasi gani cha pesa🙏
@evanceonesmo6480
@evanceonesmo6480 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Milioni 10+
@LonesurvivorM
@LonesurvivorM Жыл бұрын
Inakua angalau lkn kwasab nyumba kama hizo kwa mwezi umeme wa tanesco inaweza kufika hata laki 2
@OmarMohamed-mt4ug
@OmarMohamed-mt4ug Жыл бұрын
Ah bongo bwana watu huku wanafunga solar system mpaka kwenye viwanda watu washafika kwenye Mega Watts nyinyi munaeta mbwembwe za 5kW bongo shida kweli
@millermlowe8156
@millermlowe8156 11 ай бұрын
Ina maana katika vitu vya majumbani kinacho kula umeme zaidi ndio jiko au naomba kujua mfano Nika tumia jiko la umeme kwa dakika 45 nta tumia unit ngapi
@user-mw1ry6ld1b
@user-mw1ry6ld1b Жыл бұрын
Unagharimu bei gani
@estomihsawe2236
@estomihsawe2236 Жыл бұрын
HAPO NI HYBRID ELECTRIC SYSTEM KWA VILE KUNA MFUMO WA TANESCO NA MFUMO WA SOLAR, PIA VIWE VINAFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANA. MFUMO WA SOLAR WENYEWE UKIWA NA INVERTER AU HAUNA INVERTER HATUWEZI KUUITA HYBRID!! UNAITWA MFUMO WA SOLAR AU SOLAR PV SYSTEM VIKIJUMUISHA---SOLAR PANELS, WIRING REGULATOR, BATTERIES , INVERTER (kupata umeme wa AC), bila inverter kupata umeme wa DC.
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 Жыл бұрын
Gharama 🎉
@remybuyenzi1856
@remybuyenzi1856 Жыл бұрын
Nimeelimika kabisaaa
@nanaleetz
@nanaleetz Жыл бұрын
Mimi nimefikiria je msimu wa Mvua inakuwaje sintakuwa nalala Kiza mm jmn😂
@RasheedyKingsley
@RasheedyKingsley Жыл бұрын
Mbona hamzungumzii gharama za huo mfumo? Kuanzia kununua vifaa mpk gharama za installation yake? Halafu siyo hybrid kwakuwa unategemea chanzo kimoja cha umeme ambacho ni solar!
@msouthlizombe8375
@msouthlizombe8375 Жыл бұрын
Jamaa ame jikanyaga kwani jiko lisiusike kwenye mfumo wao wa umeme alafi ita pampu ya maji navitu vingine viusike kuchensha maji inausika 😂😂😂 jibu shelia zetu zaulipaji Kodi zinatubana nilazima utumie umeme wa tanesco natamani nieleza kwaulefu ila ngoja mwanashelia wangu apone.
@amiromar7532
@amiromar7532 Жыл бұрын
Hivi iyo chaji inakaa muda Gani Hadi kuisha ktk betri
@gstone830
@gstone830 Жыл бұрын
Inategemeana na matumizi ya mteja izo battery jumla ni 800Ah ambayo inazalisha 9.6Kwh hapo kwa matumizi ya kawaida inakaa mda mrefu sana bila kuzima
@lawrencemgembe6322
@lawrencemgembe6322 Жыл бұрын
Bado haya sema vizuri kuhusu hybrid.kitu gani ni hybrid. Kwa sababu Mimi nikiwa na solar panel inverter na battery nina uwezo wa ku convert umeme. Sasa tofauti hakusema vizuri
@fml1804
@fml1804 Жыл бұрын
Kweli kabsaa wanaleta mbwembe hapo mchongo ni inveter tu
@astonchoggo2517
@astonchoggo2517 Жыл бұрын
Unaitaji fundi
@nasrikileo7291
@nasrikileo7291 Жыл бұрын
Ila hapo metupiga hiyo ni SOLAR System yenye invertor ya hadi 5kw, solar nyingi zinaishia 1kw. Hiyo sio HYBRID system.. Solar panels ina chaji betri ambapo ni DC then betri zinakua converted to Ac power
@WilbardMakoi
@WilbardMakoi Жыл бұрын
Akiliii kubwaa sanaaa
@nasrikileo7291
@nasrikileo7291 Жыл бұрын
@@WilbardMakoi normal kaka, ila kwa sisi mafundi tunategemea platform kubwa kama hiyo , itafute watu ambao kidogo wanaeza weka siasa kimtindo hata watudanganye
@ChoroTesla
@ChoroTesla 9 ай бұрын
tatizo shule afu mambo ya kudanganya yashapitwa na wakati
@mchinatz9335
@mchinatz9335 Жыл бұрын
Hiyo ni solar system
@rodrickibrahim
@rodrickibrahim Жыл бұрын
Nyumba ya kigogo mmoja apa mjini
@kiariedavid8370
@kiariedavid8370 Жыл бұрын
Bro fundi! uku maenginia wa solar wamo ebu toa maelezo kitalaam
@gstone830
@gstone830 Жыл бұрын
😂😂 jamaa kaz anayo
@user-fh7te7fn7n
@user-fh7te7fn7n Жыл бұрын
M nimefikilia iv mfano mvua ikinyesh wik moja je izo battery zinaweza ku2nza chaj wik moj
@briankimiti5579
@briankimiti5579 Жыл бұрын
Wakati wa season ya mvua inakuaje
@passengerhyera426
@passengerhyera426 Жыл бұрын
kv 5 inatumia betri ngap za N 200
@kato_tz
@kato_tz Жыл бұрын
Tatizo mpak sasa hivi bado hakuna kampuni ambayo imejizatiti kwenye biashara hii ya sollar, Project nyingi za sollar zinafanyika lakini baada ya muda unakuta hazitumiki, maintainance yake inakuwa shida sana, mimi ni shahidi # 01. Utakuta mtu anatumia sollar lakini baada ya muda unakuta amerudi kwenye umeme. Kama kuna watu mnafanya biashara ya sollar weka hapa mawasiliano yako then nitakutafuta kukupatia changamoto ambazo wateja wanakutana/tunakutana nazo
@mujibushamba4383
@mujibushamba4383 Жыл бұрын
Bei gani
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 Жыл бұрын
Je waweza install on small petrol station je how much it will cost
@emmanuelleonando361
@emmanuelleonando361 Жыл бұрын
Bongo kama ulaya
@renaldbusanya361
@renaldbusanya361 Жыл бұрын
Hii nimeipata iko poa sana
@FredyVincent951753852456
@FredyVincent951753852456 Жыл бұрын
Bei yake?
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 Жыл бұрын
Fundi unabadirisha majinantu kuonekana tofauti,lkn mifumo ya Solar hapo ni basic tu. Hiyo hybrid just multiple control tu kuweza kufanya switching kwa source zaidi ya moja ama mbili.
@fredducaunt
@fredducaunt Жыл бұрын
Huu mfumo wake ni solar iliyochangamka Upo hapo Sio kutaka sifa bila kufanya kitu cha maana. Eti hybrid system oo nn nn..... Hii ni solar tu bob
@MrSamg90
@MrSamg90 Жыл бұрын
Kipindi kizuri ila muuliza maswali unauliza maswali ya kitoto sana hukujipanga umeharibu utamu wa interview, next time uwe wajua unachouliza au kaa na utakae mhoji ili mjue mtaulizana nn
@mathHUB_HAM
@mathHUB_HAM Жыл бұрын
Fundi napata shida kidogo , maelezo yako nafikiri hayajatosheleza (1) Solar panel zinachaji bettri kwa sababu umeme wa betri ni DC , kupitia kwenye chaji controler (2) invetor inabadilisha umeme wa bettry ulio katika mfumo wa DC (Direct current) kuwa AC (alternating current). ili uweze kutumika kwenye vifaa vya nyumbani kama vile ulivyo umeme wa TANASECO..unapoongelea Hybrid una maana kwamba mteja wako anaweza kutumia mifumo yote miwili kwa wakati (YAANI SOLAR uliobadilishwa kuwa AC) na umeme wa Tanesco,kulingana na matumizi yake
@juliuspatrice9951
@juliuspatrice9951 Жыл бұрын
Kipind wanasoma wenzako wew unakuna pumbu af unakuja kusumbua watu huku.
@mathHUB_HAM
@mathHUB_HAM Жыл бұрын
@@juliuspatrice9951 Hujui unachokisema wewe endelea ku type hapa kwenye key board
@sadikabdul5922
@sadikabdul5922 Жыл бұрын
Bei gani amefungiwa uyo jama
@shabaningabwe5354
@shabaningabwe5354 Жыл бұрын
Garama ni shi ngapi?
@innocentmahenge9785
@innocentmahenge9785 Жыл бұрын
1) Ningependa kujua sababu ya kuwekwa kwa panel nyingi zaidi ni Nini kwa kitaalam. 2) Kwa Nini uwo mfumo wao hauna power bank japo kuwa Kuna batteries? ( Apa nazungumzia kwa nyakati za mvua ambapo jua ni la shida Sana?
@jamesngindo4583
@jamesngindo4583 Жыл бұрын
hizo battery ndo power bank yenyewe, zikishajiwa ndo zinatumika hata kama jua hamna
@astonchoggo2517
@astonchoggo2517 Жыл бұрын
Akunashida
@eddyclassic707
@eddyclassic707 Жыл бұрын
Kwakipindi chamvua jua huwa linapotea ata week je hizo betri zinauwezo wakuoparet kilakitu week nzima au zaidi?
@user-so1hb5zt1s
@user-so1hb5zt1s Жыл бұрын
Bei hajaulizia, please uwe unaulizia na bei
@angowijesse
@angowijesse Жыл бұрын
kaka, huo umeme wa sh 10,000 inakuwaje, wakati ukifunga umefunga? au ni umeme wa tanesco wa kutumia jiko la umeme?
@maujanjatzonline4724
@maujanjatzonline4724 Жыл бұрын
apo ujamuuliza kitu muhimu je kipindi cha mvua inakuaje sasa juwa sipo waka zaid ya siku 3
@jumaabas6837
@jumaabas6837 Жыл бұрын
Solar sio mpaka jua mwanga tuuu
@tarickmpemba6007
@tarickmpemba6007 Жыл бұрын
kuna gari aina ya honda embu tujuze bhana tuifahamu zaidi
@tops-brand
@tops-brand Жыл бұрын
Tatzo la uyu jamaa ajib txt na aulizi maswal ya maan kalipwa kama tangaz unashndwa kugusia mvua kabx na kingine izo panel za jua znaozesha bat zkikaa muda mlef ayo ndio maswal ya kuulza sio input/ output sjakuelew bdo
@duvaboy
@duvaboy Жыл бұрын
viwanda vingi ulaya vinatumia mfumo huo
@prospersanga7942
@prospersanga7942 Жыл бұрын
Kimbembe ni kwnye jua lisipopatikana Kwa muda wa siku kadhaa
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 Жыл бұрын
Lazima utakosa umeme ila Hata lisipotoka naona huu mfumo ni nzuri kwa sababu kwa kwetu Tanzania tuna vipindi virefu vya jua kuliko mvua ivyo utainjoy sana kuiko maumivu
@jayharryson4913
@jayharryson4913 Жыл бұрын
ndo andaa ya Tanesco au Generator kama Emergency hamna sector haina changamoto hata hao Tanesco mvua zikipungua tu unaanza mgao
@mahmoudmbarouk2517
@mahmoudmbarouk2517 Жыл бұрын
snash muulize kipindi cha mvua hazizingui ??
@nzurisanatv2285
@nzurisanatv2285 Жыл бұрын
Mwanzo ulisema kua hi nyumba, doesn't use any Tanesco power 100% , lakini hapa wanatumia ume wa Tanesco kwa jimo? In that case it's not 100%
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Kiswa English 😎
@wilsonmagambo4549
@wilsonmagambo4549 Жыл бұрын
Gharama zake ?
@millermlowe8156
@millermlowe8156 11 ай бұрын
Ina tegemeana na ukubwa wanyumba
@ericktamba1163
@ericktamba1163 Жыл бұрын
Brother mbona hujamuuliza vipi siku jua lisipotoka kwa muda wa siku tatu.
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
kivipi??
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 Жыл бұрын
Ahahaha uliisha wahi kuona siku inapita bila ☀️ yaan giza tupu
@ericktamba1163
@ericktamba1163 Жыл бұрын
Naongelea maeneo ya kaskazin huku siku inaweza pita bila kuona jua ni possible yaan.
@innocentmahenge9785
@innocentmahenge9785 Жыл бұрын
3) Je, huo mfumo wao unaweza kuzalisha umeme kwa nishati ya mwezi?( Kwa upande wa usiku)
@abdulazizymhando5745
@abdulazizymhando5745 Жыл бұрын
Mwezi hautoi nishati
@jamesngindo4583
@jamesngindo4583 Жыл бұрын
mwezi hapana ni mionzi ya jua tu
@edgernungu852
@edgernungu852 Жыл бұрын
Gharama ndo mchongo apo ...at least mngezunguzia gharama zilizotumika kwenye kuweka uo mfumo kwenye nyumba iyo
@evanceonesmo6480
@evanceonesmo6480 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Milioni 10+
@asadiamri5310
@asadiamri5310 Жыл бұрын
Smash vipi kuhusiana na mvua hasa kipindi cha masika hizo betri zitafanyaje kazi nadhani haukumuuliza hilo swali? Nimemsikua akisema betri zitafanya kazi kwa masaa 24 bila kuchajiwa sasa itakuaje kipindi cha masika maana mvua hunyesha hata siku 3 mfurulizo pasipo jua kutoka Kuna uwezekano wa breti kuwa na chaji na ikiwa ni za saa 24 kama alivyosema?
@astonchoggo2517
@astonchoggo2517 Жыл бұрын
Hizi battery zetu Zina kahana na chaji ya kutosha pia mfumo ni smart kipindi battery zikenda 40%itamfamisha mwenye nyumba
@jacobshao1260
@jacobshao1260 10 ай бұрын
Jibu halijitoshelezi,, mpeelim vizuri,,,,solar system bila jua inacharge ilimrad kuwe na mwanga tu hata Kama jua alieaki,,na maanisha kwanzia saa 12asbh mpaka saa12 jion 😊😊😊😊😊
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 Жыл бұрын
gharama ya mtambo kama huo ni ipi??
@evanceonesmo6480
@evanceonesmo6480 Жыл бұрын
Milion 10+
@clementmnyogi
@clementmnyogi Жыл бұрын
Sasa snshi utunzaji wa moto mfano jualixipo waka ckumbili inakuaj
@albertkatuga2434
@albertkatuga2434 Жыл бұрын
Mimi nahisi ukaa siku moja kama utatumia vitu vyote kwa pamoja kwaiyo ukipunguza vitu kama feni na frij ukawasha taa na kuchaji sim tu na kutizama video inaweza fika diku3,
@shabanimatua4971
@shabanimatua4971 Жыл бұрын
C umeona kuna betri hzo? Ongezea betri ani kma power bank!!
@umojamedia4167
@umojamedia4167 Жыл бұрын
Jua kutokuwaka haimaanishi solar haifanyikaz Solar bado itafyonza nishat joto japo kwakiasi tofauti na jua likiwepo
@EmilyoMwanuke-lq3ct
@EmilyoMwanuke-lq3ct Жыл бұрын
Je mvua ikinyesha siku kadhaa mfukulizo
@charlesmtaita9664
@charlesmtaita9664 Жыл бұрын
Hizo pannel zinapata umeme kupitia mionzi ya jua, hata mvua ikinyesha bado jua lipo mawingu hayazuii mionzi ya jua
@Hassan-ig8od
@Hassan-ig8od Жыл бұрын
Kwanza fahamu kua hyo inventor ina inputs ya Dc na Ac (sola na umeme) Kwenye inventory kuna option ya AC input jamaa lazima waweke umeme wa tanesco kwaajili ya kuchaj battery (kama backup sola ikizingua)
@bossjooh6020
@bossjooh6020 Жыл бұрын
@@Hassan-ig8od Nan kaa kwambia bettr zinachajiwa na umeme
@bossjooh6020
@bossjooh6020 Жыл бұрын
@@Hassan-ig8od Panel ndo inachaj bettr
@Hassan-ig8od
@Hassan-ig8od Жыл бұрын
Rudia kusoma kwanza
@bmmaelectric
@bmmaelectric Жыл бұрын
System hii ni nzuri sana but uzuri huu inabid mteja awe na pesa zake nyingi ndio ataenjoy kwa mlala hoi ni changamoto sana. Mm ni fundi nina experience na wateja wa kitanzania ndipo pale wanaishia kufunga sola tu badala ya hi brid system
@OmarMohamed-mt4ug
@OmarMohamed-mt4ug Жыл бұрын
Ah bongo bwana watu huku wanafunga solar system mpaka kwenye viwanda watu washafika kwenye Mega Watts nyinyi munaleta mbwembwe za 5kW bongo shida kweli
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 53 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
FUNGASHA NA MRUK | @BarnabaClassicMusic
1:52
mr Uk Electronics
Рет қаралды 4,5 М.
Lalela 3000 Watt Hybrid Inverter
7:34
BuildersSA
Рет қаралды 27 М.
Legendary SAMARKAND breads. 15 000 loaves a day. How to make bread
14:57
Station Tour : Station Mpya ya TRC Dar kama Airport ndogo
10:50
Kumanda İle Bilgisayarı Yönetmek #shorts
0:29
Osman Kabadayı
Рет қаралды 1,9 МЛН
BEKMOBILDA Tecno Camon 30 smartfoni🔥🤩 #bekmobil
1:01
Bekmobil shorts
Рет қаралды 2,3 МЛН
iPhone socket cleaning #Fixit
0:30
Tamar DB (mt)
Рет қаралды 16 МЛН