MJOMBA WA MTOTO ANAYEDAIWA KUUAWA NA WASIOJULIKANA DODOMA AFUNGUKA 'SISI KAMA NDUGU'...

  Рет қаралды 14,270

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 18 күн бұрын
Poleni sana familia. Mungu upo tunakuomba rehema zako baba tuna maumivu makali sana kwa Taifa linapitia mambo magumu vifo vya kutisha uwiiii
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 18 күн бұрын
Pole Sana mdogo wangu ila Wanawake tujifunze kitu , Usikubali kumwachia mtu mtoto wako hata kama wamfaham kiundani binadam Sasa ni wabaya Sana . Imeniuma mno mtoto mzur jmn dooh😭😭😭
@kudrathmohammed
@kudrathmohammed 18 күн бұрын
Kwa kweli sasa hivi akuna urafiki wala undugu kila mtu achunge mzigo wake 😭😭
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 16 күн бұрын
@@kudrathmohammed Ni kweli ndugu ila mi sielew tu why amwache mtoto na boda boda angeenda naye ti jmn oooh
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 18 күн бұрын
Tz mnaongoza kwa ukatili kwasababu mnapenda sn kuachana acha watt ovyo ovyo na kutuma tuma watt hata usiku mtu mzima yupo hapo kaegesha tako anamtuma mtt, mnapenda kuamini sn watu yani sijui muambiweje muelewe waziri gwajima kaongeaaaa weeee lkn wapi na matkio mnayaona lkn unakuta mtu anarudia yaleyale
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 18 күн бұрын
Very true
@SophiaAlifa
@SophiaAlifa 17 күн бұрын
Inalillhahi wainnalillhahi lajihuna nisiku zimeisha kwake nikumuombea tu kwamuumba ili ailazee roho yamarem 😢😢😢😢
@jacklinezombo5806
@jacklinezombo5806 18 күн бұрын
waandishi wa habari mjifunze kuandika vizuri ati mjomba wa mtoto anae daiwa kuuwawa hani sio kweli kauwaa nikama kasingiziwa kuuwawa
@annathomas-wy8yt
@annathomas-wy8yt 18 күн бұрын
Pole sana familia,ila kuna jambo kubwa nyuma ya hili,huyu malaika amekosa nini jamani.
@Rehema-h6t
@Rehema-h6t 18 күн бұрын
Poleni sana jaman 😢
@AminaHamis-u4b
@AminaHamis-u4b 18 күн бұрын
Tunawaponza waoto kwanini mnazaaa kama mnataka starehe kupata nini ??? Sikukuu nzuri kula na familia yako umetulia nyumbani angalia familia inaumaaa sana.
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 18 күн бұрын
Its too sad. Poleni sana. Tuliachie jeshi letu la Polisi lifanye kazi yake. Muuwaji awajibishwe kikamilifu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 күн бұрын
Ila huyu mwanamke,mama wa mtt hana akili Unamuachahe mtt jmn
@SaumuSaidi-z2v
@SaumuSaidi-z2v 18 күн бұрын
Huyo mapenzi yuko hapo?au
@MagrethKalenge
@MagrethKalenge 18 күн бұрын
Polen sana jaman
@FloraIkwabe-qy3yb
@FloraIkwabe-qy3yb 17 күн бұрын
Wanawake sio watu,unendekeza stalehe kuliko watoto
@AminaTanzania
@AminaTanzania 18 күн бұрын
Jamani kweri mtoto kakosea nini daa
@sarahezekiel5170
@sarahezekiel5170 18 күн бұрын
Matembezi saa 1 asbhi? Mngemwacha kwa jirani.
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 18 күн бұрын
Polen wafiwa 😭😭😭😭😭😭😭
@crepinakatundu-h4c
@crepinakatundu-h4c 18 күн бұрын
R.I.P.Malaika wa Mungu.
@christophermsekena616
@christophermsekena616 18 күн бұрын
Wamama wa siku hizi. Unawezaje kulala mbali na mwanao
@HidayaMzima-n8w
@HidayaMzima-n8w 18 күн бұрын
Wazazi wengi sasaivi ni vijana hatukatai Huwa tunawaacha watoto ndan tunatoka japo masaa 2 kama co mbali, sasa huyu ni to much
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc 18 күн бұрын
jamani mtoto mdogo hivyo hana kosa gani yani kuna baadhi ya binadamu ni zaidi ya wanyama
@simonzabron5487
@simonzabron5487 18 күн бұрын
Uchunguzi umekamilika?
@BensonTemu-h6h
@BensonTemu-h6h 18 күн бұрын
Mama yaje anatakiwa afungwe hawezi kumuacha mtoto na boda boda ili akazini na hawara. Ni aibu kwa jamii nzima
@nasrachaya
@nasrachaya 18 күн бұрын
Yule n Baba mtoto😢
@Shuu.A
@Shuu.A 18 күн бұрын
Baba mtt kwani slikuwepo au wakutiwa ndani mama bodabd na huyo mwanamme alotoka nae kutembea​@@nasrachaya
@bestforever-q2w
@bestforever-q2w 18 күн бұрын
​@@nasrachayauna uhakika au ww ndye wif yake
WATOTO WANNE WA FAMILIA MOJA WALA KITU KINACHODHANIWA SUMU MMOJA AFARIKI
6:19
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
JANGA LA MOTO  LOS ANGELES NGOMA BADO MBICHI, VIFO VYAFIKIA 24
7:15
Mwananchi Digital
Рет қаралды 9 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Homeless Man Became A Model / Given A Rich Life
22:38
Invisible lives
Рет қаралды 2 МЛН
MAISHA DUNI FAMILIA YA PACHA WALIOTENGANISHWA, BABA AJITOKEZA
21:02
Mwananchi Digital
Рет қаралды 11 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН