MJUE ADUI YAKO

  Рет қаралды 52,120

Apostle Mtalemwa Bushiri

Apostle Mtalemwa Bushiri

4 жыл бұрын

Пікірлер: 136
@evelynjohn2706
@evelynjohn2706 4 жыл бұрын
Hakika Tanzania is favored 👏🏽👏🏽👏🏽
@DannySJ
@DannySJ 4 жыл бұрын
Kwa Mahubiri haya jmn naomba niwe member hapo kanisani 💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Vailethndossy
@Vailethndossy 4 жыл бұрын
Nimechukua kitu hapo kitanisaidia sana barikiwa mtumishi
@marymbathamusyokimusyoki4082
@marymbathamusyokimusyoki4082 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana,hii injiri imenibariki sana ,sitakemea mtu tena mbali shetani aliye dani ya mtu,tanzania mumebarikiwa ,kumbe ndio maombi yangu inakawia kujipiwa,kwa kukemea mtu bandala ya pepo,mungu akuinue zaidi mchungaji
@pasteurmardocheemwale2023
@pasteurmardocheemwale2023 Жыл бұрын
Oh oh oh oh baba na kupenda Niko Congo RDC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@monicabh1668
@monicabh1668 3 жыл бұрын
Mimi lazima siku Moja nitafika ECG Darsalam nihudhurie ibada 🙏🙏 am soo blessed 🔥🔥
@asifiweabellumato4262
@asifiweabellumato4262 4 жыл бұрын
Mi huwa nakuelewagaa sanaa
@neemahamisi4302
@neemahamisi4302 4 жыл бұрын
Shalom chief apostle kwanza namshukuru Mungu kwa ajili yako somo la kwanza nilichojifunza ninapoona tofauti kati yangu na ndugu yangu sio yeye ni shetani anamtumia kufarakanisha kwa hiyo namuona shetani ndani yake kwa hiyo sitagombana na ndugu yangu tena! Somo la pili Mimi niliumwa dalili zote za corona ila ndani yangu nikakataa kwa jina la Yesu sasa hivi ni mzima kabisa pia nilitumia tangawizi na limao namshukuru Mungu corona imeisha Tanzania Jina la bwana lihimidiwe
@wanjiruwathuo3643
@wanjiruwathuo3643 3 жыл бұрын
Tanzania nawapenda Bure Ur greatly gifted na Manabii wa Mungu...Live Long Tanzania....Wakenya Twawaenzi.
@nshimirimajeanine9680
@nshimirimajeanine9680 3 жыл бұрын
Mahubili yako yananijenga kweli amen
@neymarmidu1935
@neymarmidu1935 3 жыл бұрын
Unanibariki sana nabii Mtalemwa
@yvonnemashuda3004
@yvonnemashuda3004 4 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu wa miungu ametenda..hakika vita vyetu si vya damu na nyama bali ni katika rohoo,there is power in targeting the right enemy..tunazidi kukomaa kiroho na kimwili..ECG ni FIREE
@selenachieng7798
@selenachieng7798 3 жыл бұрын
MUNGU.NAOMBA.UNITUMIE.KWA.NGUVU.ZAKO.ZOTE.HASA.KWA.ROHO.YANGU.NAOMBA.KUJUA.SIRI.YA.BINGUNI.NIWRZESHE.JEHOVA.NAOMBA.AMEN.
@pvkanyorota264
@pvkanyorota264 3 жыл бұрын
Umetisha mwanangu Mtalemwa salute Mungu anakutumia vilivyo tuko nyuma yako tunakuelewa sn mbona
@ruthkiptoo9886
@ruthkiptoo9886 2 жыл бұрын
Thanks pastor for a good work God bless you
@flavianamarcel3835
@flavianamarcel3835 Жыл бұрын
Shalom mtumishi Hakika umesema kweli! Kama hiyo science anacheza nayo sana! Shetani shindwa in the mighty name of Jesus 🙏
@dorismasakhwe688
@dorismasakhwe688 3 жыл бұрын
Thank you so much Apostle, may the Almighty continue to increase you 🙏
@jamesmangu337
@jamesmangu337 4 жыл бұрын
Uko vizuri nakutakia utumishi mwema na ulio tukuka Duniani na Mbinguni.
@gracekwila5674
@gracekwila5674 4 жыл бұрын
Ufunuo mkubwa sanaa MTUMISHI Asante sana mtumishi kwa ufunuo huu nimepata kitu kipya
@mercylineinjoke9682
@mercylineinjoke9682 3 жыл бұрын
Kwa hakaki watazania mmebarikiwa natafute bwana mtazania be blessed man of God
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 2 жыл бұрын
Mbona huwa tunasikia wakenya mwenye pesa ndio baba?halafu wan awake Wa Kenya mnajua kupigana sana
@maulidingalita7417
@maulidingalita7417 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema na anakusudi niyajue haya
@neemanziku5403
@neemanziku5403 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@happysiwakamil1970
@happysiwakamil1970 Жыл бұрын
LEO NIMEPATA UPONYAJI. AMEN PROPHET.
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 жыл бұрын
Apo kwa mbirizi kiboko ya magonjwa, yaani Mungu anatupenda. Wameishatengeneza wanasema madhara yatatokea Mwezi wa saba. Tuendelee na maombi na Kashwagara
@user-cz9vm8tq3m
@user-cz9vm8tq3m 6 ай бұрын
❤Namshukuru Bwana kunifunulia haya.Bwana Akusimamishe
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Жыл бұрын
😆😆😆,hii ilikuwa kiboko, asante Yesu 🙏. Sasa kuna Ebola wanaturusha roho,mimi siwaelewi eti tukae tayari, Mara kuna wahisiwa yaani hapa ni kuanzia rohoni kumbabadua kitaeleweka.
@anithajwilliam1064
@anithajwilliam1064 2 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
@suzanakamala3615
@suzanakamala3615 4 жыл бұрын
Mtumishi was Mungu aliyehai, UNANIBARIKI sanaaa, Mungu azidi kukutumia.
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 3 жыл бұрын
Mtumishi uje ufundishe somo la uvaaji naona wanadada wengi wemevaa suruali wamepaka brich wameshevu madenge wakemee
@clairemuchai623
@clairemuchai623 3 жыл бұрын
Moto xana
@anngeorge9581
@anngeorge9581 3 жыл бұрын
Thank you man of God,my faith is uplifted,God bless you.praying for more anointing.
@magievuriva4775
@magievuriva4775 3 жыл бұрын
Is only today niliweka status ya kumkomesha alietumiwa na shetani kuniumiza.......nimelia kuomba then i open my youtube nakusikia hili somo khaaa nmedelete na nampigia mazee siwezi korofishana na mtu kisa shetani😆😆 not menagain.
@munyanachanty9167
@munyanachanty9167 3 жыл бұрын
nimekukubali pasta. mimi nimuchristu arakini nimekutana namapasta wajaja sikukua nawakubali arakini nimekubali kweli unaneno ramungu ndio kitu napenda kusikiliza sana ubalikie namungu akujyaze nguvu
@renatusdeogratias5519
@renatusdeogratias5519 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi.
@yohanaasajene3520
@yohanaasajene3520 2 жыл бұрын
Unaeleweka sana mtumishi
@lovenessmushi9048
@lovenessmushi9048 4 жыл бұрын
Baba Mtalemwa nimekuelewa vyema.asante sana umegonga kichwa cha msumari👌
@alvinemajani6395
@alvinemajani6395 4 жыл бұрын
You make me happy apostle mtalemwa 🤣😂👃
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 3 жыл бұрын
Aliiiii aliiii Hakika kabisaaa
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 3 жыл бұрын
Vimini kwa kweli mafundisho ni mazur sana ila unaowafundisha wengi safar yao si salama
@elizabethmambai2072
@elizabethmambai2072 3 жыл бұрын
Ameen
@dorcasseruhere6875
@dorcasseruhere6875 3 жыл бұрын
Amen. Mungu akubariki kwa somozuri
@eunicefalex4403
@eunicefalex4403 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa tatizo tunaangamia kwa kukosa maarifa
@Neypaul01
@Neypaul01 3 жыл бұрын
Woow.....am so blessed nimefrahi sana na nimebarikiwa mno....be blessed man of God
@upendomsuya4754
@upendomsuya4754 4 жыл бұрын
Amina Chief Apostle powerful teachings. Ubarikiwe sana mtumishi, Mungu wa Major 1 akutunze na kukuongezea revelations.
@ezekielkabwika7944
@ezekielkabwika7944 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mcha Mungu amen Apostle Kabwika
@janiffermueni3213
@janiffermueni3213 3 жыл бұрын
Wooow what a powerful message 💃💃💃💃💃u really bless me
@dinajoseph9960
@dinajoseph9960 3 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili yako mtumishi hakika nimepona.
@margaretkahunguka8198
@margaretkahunguka8198 3 жыл бұрын
Powerful revelation,more grace man of God, I am blessed, from kenya
@kabelengegodfrey4009
@kabelengegodfrey4009 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa kaka mtumishi wa mungu injili sasa imekomaa zaidi Tupevitu vya mbinguni
@lyingamwazyunga7823
@lyingamwazyunga7823 4 жыл бұрын
Glory to God for bestowing his wisdom upon Chief Apostle. Best teachings and prophecy ever
@joshuasaid2180
@joshuasaid2180 3 жыл бұрын
Duh nimebarikiwa sana na hili somo jaman
@jamesdioniz3243
@jamesdioniz3243 4 жыл бұрын
Powerful teaching,am so blessed Chief Apostle
@adamngelangela2678
@adamngelangela2678 4 жыл бұрын
Neno lako ni njia kwangu,barikiwa sana mtumishi
@neyhmrs7704
@neyhmrs7704 2 жыл бұрын
AMEEN
@getrudekimaro
@getrudekimaro 4 жыл бұрын
Iyeee kashagwara😅😊Powerful teachings, chief wa watu🙏am so Blessed
@rimepeter789
@rimepeter789 3 жыл бұрын
AMEN, am so blessed, God bless you sir 🙏
@nuruduma4954
@nuruduma4954 4 жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa Sana! ubarikiwe Mtumishi wa Mungu!!
@lylianmguhi6132
@lylianmguhi6132 4 жыл бұрын
Thank you Chief.. Nimejifunza kitu kinacho nisaidia katika maisha yangu...God bless you Chief!!
@abednegochristopher4640
@abednegochristopher4640 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
MUNGU akupe Mia la mingi,
@hon.johnmukoya2033
@hon.johnmukoya2033 2 жыл бұрын
Great
@jacquelinenyange5549
@jacquelinenyange5549 4 жыл бұрын
Thank you Apostle Nimebarikiwa sana 🙏
@filothiasirizabongo5767
@filothiasirizabongo5767 4 жыл бұрын
Shetani shindwa kwa jina la yesu mwana wa mungu aliye hai
@LadyveenOfficial
@LadyveenOfficial 4 жыл бұрын
Be blessed mtumishi wa Mungu,
@rihannabellion5636
@rihannabellion5636 3 жыл бұрын
nimebarikiwa Ameeen
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 жыл бұрын
Amina mtumish
@esthermngodo7055
@esthermngodo7055 4 жыл бұрын
Powerful teachings!!
@johnnziu9362
@johnnziu9362 Жыл бұрын
Good service
@brightonsalvatory7941
@brightonsalvatory7941 4 жыл бұрын
Dah wewe baba ni hatar sana mungu akubariki sana nimepona
@pesevolution2973
@pesevolution2973 4 жыл бұрын
Nimebarikiwa mtumishi
@tumainangelimemigusahuoami5633
@tumainangelimemigusahuoami5633 4 жыл бұрын
Amina pastor hi imenigusa
@luckylukas8789
@luckylukas8789 4 жыл бұрын
Amen chief
@sallymaritim9595
@sallymaritim9595 3 жыл бұрын
Amen
@frereirie2282
@frereirie2282 3 жыл бұрын
Extrait de Kacou 141:Mungu anapenda China na Asia 49 Dunia ni paradiso ya wanadini na wanasiasa na ndani yake ni vita na magonjwa na magonjwa ya milipuko. Na munapofikia hatua ya silaha za nyuklia, Mungu anawatumia magonjwa ya nyuklia kama nilivyotabiri mnamo 2002. Hospitali zitafungwa na mashule na mafamilia na vijiji vitafutwa. Watu watakimbia watu kama mtu anavyokimbia wanyama wakali wa porini. Paradiso yangu haiwezi kuwa ulimwengu huu chafu, unaokaa juu ya mabomu, ulimwengu huu unaogonjwa ambao umejaa uhalifu. [Kc.3v25] 50 Mlinikataa lakini mutatoweka duniani pamoja na kumbukumbu yenu na siku moja, wajukuu wenu watashangaa kuona jinsi mulitenda. Katika miaka 100 au 200, kumbukumbu ya viongozi wenu wa kidini itafutwa kwa sababu kazi zao hazitokani na Mungu na nyote mtakwenda pamoja nao kuzimu ya milele ya Naraka. Munaonekana waaminifu na wakweli lakini nyinyi ni waongo kwa sababu ukweli unaotoka kwa Mungu ni hofu kwamba unaweza kuwa katika makosa. Wana wa Shetani hawaogopi lakini woga ya [kwenda] kuzimu hukaa ndani ya kila mwana wa Mungu. [Kc.130v21]
@banzamukalay5396
@banzamukalay5396 4 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu.
@nadiaserugo2595
@nadiaserugo2595 4 жыл бұрын
Kweli iyo asante mungu mukubwa
@oliviarevocatus9540
@oliviarevocatus9540 4 жыл бұрын
Powerful man of God
@verymangapi2754
@verymangapi2754 4 жыл бұрын
Nakuelewaga sana pastor
@damariskasiga8258
@damariskasiga8258 3 жыл бұрын
Am blessed 🙏🏾
@mariahgaudence543
@mariahgaudence543 4 жыл бұрын
What a wonderful revelations
@SupernaturalRevelations
@SupernaturalRevelations 4 жыл бұрын
Powerful truth papa
@servantjosiahtv3129
@servantjosiahtv3129 4 жыл бұрын
Oh yes..Chief apostle
@estherwambuies1782
@estherwambuies1782 4 жыл бұрын
Amen Amen
@veem3912
@veem3912 3 жыл бұрын
wow, just wow!
@jemimahjamilay.m6239
@jemimahjamilay.m6239 4 жыл бұрын
Nimekuelewa Chief Power
@philomenamushi3619
@philomenamushi3619 4 жыл бұрын
Asante sana Chief kwa kutufunilia hili,hakika nimepona
@esterntandu1999
@esterntandu1999 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana chief umenifundisha kitu
@marypaul1948
@marypaul1948 4 жыл бұрын
amen may that be real in the name of jesus
@nadiaserugo2595
@nadiaserugo2595 4 жыл бұрын
Amen ameen
@evaristmgimwa5770
@evaristmgimwa5770 4 жыл бұрын
Powerful
@godianmande4920
@godianmande4920 4 жыл бұрын
We thank God of Major1 for what he has done for Tz. Corona come not again!!
@topotachilemba9196
@topotachilemba9196 3 жыл бұрын
I LIKE THIS PROPHETY
@VICTOR-ul1lo
@VICTOR-ul1lo 4 жыл бұрын
💯💯💯
@farajahrogath2506
@farajahrogath2506 4 жыл бұрын
❤💖💖
@dr.dishon2960
@dr.dishon2960 4 жыл бұрын
Oooh yes!!
@gershonerasto7824
@gershonerasto7824 4 жыл бұрын
Amina baba
@millicentochieng8554
@millicentochieng8554 4 жыл бұрын
Amen.
@latifarashidi3094
@latifarashidi3094 4 жыл бұрын
Nimetakasika
@cammyokinda1735
@cammyokinda1735 3 жыл бұрын
Amen🙏🙏🙏
@florencengbebou2647
@florencengbebou2647 3 жыл бұрын
5 Japo Mungu anapo kuwa kazini, kila tukio lashiriki pamoja. Kwa nini mgogoro huu nchini Ivory-Coast? Kwa nini harakati hii kuelekea Abidjan? Mvutio huu ni wa nini? Angalia Luka 2: 1-7, Kaisari Augusta alitoa amri ili iandikwe orodha ya majina kila mtu katika mji wake. Sababu gani? Yeye mwenyewe hakujua, lakini ilikuwa hivyo ili Bwana Yesu Kristo apate kuzaliwa Bethlehemu na unabii na zisichanganyike. Tulisikia, tulikuja kutazama na tumeona kupitia Maandiko ya kwamba mhubiri huyu ndiye aliyeahidiwa katika Matayo 25: 6 ni yeye tunapaswa kufuata. [Ndr: Kusanyiko linasema: « Amina! »]. 4 Japo kulingana na Matayo 25: 6, usiku wa manane kutasikika Kelele, mahubiri fupi ambayo yatachochea na kuamsha mabikira wa makesha saba. Na uamsho huu utampeleka Bibi Arusi hadi kunyakuliwa. Yesu Kristo atatembelea Afrika. Baada ya jua na umeme wa Matayo 24:27, mwezi na nyota zita ngaa. Isaya 30 itatimia. Na manabii wengi wanakubaliana ya kwamba uamsho fulani utatokea Ivory-Coast. Japo kwa wanyenyekevu wa moyo na roho, kwa wale wanao tarajia kunyakuliwa ya watakatifu, hii sio tena unabii bali jambo halisi. [Kc.133v13] #Nabiikacouphilippe
@anwarihamza4981
@anwarihamza4981 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa Mtu wa Mungu
@noelyaokoffi7869
@noelyaokoffi7869 3 жыл бұрын
11 Mkatoliki anaweza kuchukua Meza takatifu ya Bwana katika Kanisa lolote la Katoliki duniani. Mubatisti anaweza kuchukua meza takatifu ya bwana katika Kanisa lolote la waBaptisti hapa duniani. Methodisti anaweza kuchukua Meza takatifu ya Bwana katika kanisa lolote la Methodisti hapa duniani. Lakini Mkatoliki haiwezi kuchukua Meza takatifu ya Bwana kuwabaptisti. Mubatisti hawezi kuchukua Meza takatifu ya Bwana kuwa Methodisti, kwenye kusanyiko la miungu... Na Bibilia inasema kwamba machafuko haya yote yanatoka kuzimu na yaenda kwenyi Hadezi. Ni nini? Ukristo ni ufalme wa Shetani. Na kila Jumapili, Shetani anaabudiwa katika makanisa yote ya ulimwengu kwa jina la Yesu. [ Ndr: Kusanyiko linasema, "Amina! "]. Www. Philippekacou. Org
@marympemba8843
@marympemba8843 4 жыл бұрын
Amina 🙏🙏
@augustinetarimo6081
@augustinetarimo6081 3 жыл бұрын
OOh Yess!
@mariabenedict328
@mariabenedict328 3 жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@thielyve
@thielyve Жыл бұрын
😀😀😀😀😀
HII NI SEHEMU HATARI PITA USIKAE
28:58
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 23 М.
DAWA YA ADUI YAKO HII HAPA
23:32
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 162 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 9 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 20 МЛН
SOKO LA KATESH LIANZE KAZI MARA MOJA - RC SENDIGA
2:50
Manyara RS TV
Рет қаралды 4,7 М.
MJUE ADUI YAKO KWA AJILI YA USALAMA WA FAMILIA YAKO"PASTOR MGOGO
1:05:02
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 88 М.
7 Fatiha 7 Ayetel Kürsi 7 İhlas 7 Felak 7 Nas Kur'an-ı Kerim Rukye
24:23
fussilet Kuran Merkezi
Рет қаралды 77 МЛН
MAJARIBU NA MITIHANI KATIKA MAISHA
1:26:20
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 35 М.
LAZIMA KIPIMO CHA IMANI YAKO KIONEKANE - PASTOR DANIEL MGOGO.
8:28
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 20 М.
MAFUNDISHO -- JINSI YA KUTAWALA FEDHA NA MALI.
51:00
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 51 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 9 МЛН