MJUE MTOTO wa Bilionea LAIZER ALIYEKUWEPO CHINI MGODINI na KUYABEBA MADINI hadi kwa BABA YAKE

  Рет қаралды 94,945

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@eliapendamollel4456
@eliapendamollel4456 4 жыл бұрын
Hongera familia ya Laizer Mungu awazidishie
@megoj5179
@megoj5179 4 жыл бұрын
Kijana mnyenyekevu , msomi asiyejisikia kweli anajielewa. Mungu awabariki zaidi na kuwatunza familia yote
@samsonmkumbo9992
@samsonmkumbo9992 4 жыл бұрын
Sawa Ila nawapongeza kwa kumshirikisha mungu kwa kila jambo
@rozy_mnk7550
@rozy_mnk7550 4 жыл бұрын
He is down to earth
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
Huyu mzee anaonekana amewalea watoto wake vzur sana.wana heshima wana busara wanajielewa wana hofu ya Mungu
@esterelias8189
@esterelias8189 4 жыл бұрын
Natamani ningeolewa kwenye hiyo familia ina upendo............?
@magretpeter9924
@magretpeter9924 4 жыл бұрын
Hahahaaa Ester umenichekesha Ila uko sawa hawana makuu Wana nithamu sana na wameenda shule tungekuwa kina cc huku weeee mtaan wangetukoma
@esterelias8189
@esterelias8189 4 жыл бұрын
@@magretpeter9924 hao wamezaliwa na mali sio kitu kigeni kwao..alafu hawana majivuno...nimempenda baba mkwe wangu mtarajiwa ni msitarabu sana.
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
@@esterelias8189 😅😅
@newmuscat1698
@newmuscat1698 4 жыл бұрын
@@esterelias8189 hahaha hatar sanaa
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Hongereni.
@alshabje7185
@alshabje7185 3 жыл бұрын
Mungu awajalie 🤲🙏
@mohamedrashid6010
@mohamedrashid6010 4 жыл бұрын
Mungu mbele kwanza
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 жыл бұрын
Big up kijana wa Laizer
@mimiapa8436
@mimiapa8436 4 жыл бұрын
Hakika ameleleka kijana kwenye nidham na maadili Mungu awasimamie
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 4 жыл бұрын
Love tu ♥️♥️
@chibbamaroo6812
@chibbamaroo6812 4 жыл бұрын
Dogo anaongea vizuri na kiumakini..
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
kijana handsome atar, itabid nimuombe anifundshe tuition jion akishatoka kazn.
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 4 жыл бұрын
😂😂 Jioni hana nafasi akufundishe usiku wa manane
@dorislema1814
@dorislema1814 4 жыл бұрын
@@mariumpeter6147 apo poa
@norbertkauzeni1324
@norbertkauzeni1324 4 жыл бұрын
Mmmhhh
@selemankiwande8162
@selemankiwande8162 4 жыл бұрын
Hayo ni malez bora huyu jamaa na baba yake wana point hawakurupuk wanajiamin sana
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 4 жыл бұрын
Kuna chakujifunza katika ukoo huu.
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 жыл бұрын
Ameoa huyo kaka jamani mzuri alafu anajitambua sana
@thomassiruri6256
@thomassiruri6256 4 жыл бұрын
Umeishamtamani tayari? Duuh!! Yaani watoto wa kike bhana!!!!!!
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
@@thomassiruri6256 watoto wa kike wengi wanapend vya bure na wangeon hiyo taabu wanayopar wasingelilia kirahis hivyo jmn wanaume tuwaheshim wanapata taab kutafuta pesa vby mno yaan kam sie tukiw wajawazito unajikongoja na mimba hujui umebeba mtu au jiwe mpk uzae ni hatu kubwa mno yaan kila wanadam kaumbiw yake taabu
@aderickvictor7571
@aderickvictor7571 4 жыл бұрын
Huyu mmasai kwel Kasoma maana anaongea point
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 жыл бұрын
Hawa yaelekea ni wacha Mungu sana.
@juliethgervas3194
@juliethgervas3194 4 жыл бұрын
Ameoa huyo...hataki mchaga🙄
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 жыл бұрын
Hahahahahahahahaaa
@sylviaqatarqatar8361
@sylviaqatarqatar8361 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 4 жыл бұрын
Ha ha haaaa
@faridaessa7844
@faridaessa7844 4 жыл бұрын
Hahahahah
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 4 жыл бұрын
Umetisha
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Hadi raha.
@kastokyando5347
@kastokyando5347 4 жыл бұрын
kijana ana hekima kama baba
@fugameza6011
@fugameza6011 4 жыл бұрын
Mhm
@emmanuelimollel2042
@emmanuelimollel2042 4 жыл бұрын
Misl ya kimasai
@joycemwankusye7108
@joycemwankusye7108 4 жыл бұрын
Msomi huyuu
@bakariathumani6139
@bakariathumani6139 4 жыл бұрын
Apo kira kitakacho ongeleka kwa watu wafamilia hiyo kitakua sawa
@munirafatma6090
@munirafatma6090 4 жыл бұрын
Jamani kaka unamke
@jacklinemwanga1691
@jacklinemwanga1691 4 жыл бұрын
Hana yupo kwenye process za kutafuta je upo tayar?? Km upo tayar nimwambie nipo nae hapa
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 жыл бұрын
@@jacklinemwanga1691 fursa 🤣🤣
@jacklinemwanga1691
@jacklinemwanga1691 4 жыл бұрын
@@tausingomeni2568 changamkia tenda mwanamke
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️
@shabbymakapane1910
@shabbymakapane1910 4 жыл бұрын
Hahahahahahahahahaa
@khadijaomar2723
@khadijaomar2723 4 жыл бұрын
Kafanana na babake hadi mwanya
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
Khadija wajina wng mwanya bhna hatreee mm ninao nimerithi kwa ummy jmn nikitabasm tu shida halafu si mkubw si mdogo yaan copyright na ummy watu wakinion hawauliz zaid wanasem tu mhhh huyu Sharif mwenyew masha Allah mungu akupe pepo njema mama yang kipenz yaan nafanana na ummy vby mno lkn sana san mwanya huu hater vimacho kucheka yaan acha tu
@mungunimwemakilawakatijeho460
@mungunimwemakilawakatijeho460 4 жыл бұрын
afu sasa huyu ndo kafanana na babaye chata za watu hazipotei sio kama yule kijana alieibuka tu na machozi ju eti mama ake kamwambia baba ako ni laiyza bilionea wakati hata hafananii duh hi familia mungu awatangulie wanabusara sana na mungu mbele
@asiajuma8330
@asiajuma8330 4 жыл бұрын
Duuh hii habari bado tu
@barakapallanjo319
@barakapallanjo319 4 жыл бұрын
Sidai naleng
@mwanamvuahalisi492
@mwanamvuahalisi492 4 жыл бұрын
Webaba mjoo unioe mke5
@rehemachindamba7901
@rehemachindamba7901 4 жыл бұрын
Mungu nimwema sikuzote
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Msomi aswaah
@unambwenaiman5355
@unambwenaiman5355 4 жыл бұрын
Hellow
@marylenmlay483
@marylenmlay483 4 жыл бұрын
Jb
@janethludomya2233
@janethludomya2233 4 жыл бұрын
Y
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Mawe ya mabilions zaid ya (20) mnampa 8,5 bilions kama sio wizi na unyonywaji ni kitu gani,nchi ya wanyongeni tuchimbe kaburi tuwazike jembe na nyundo🤣🤣🤣
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
Hujitambui ww na kwa liroho lako hilo utateseka sana 😏😏🤣🤣🤣 mtt wakike unakuwa muongeaji hivo haswa kwavitu ambavyo hujaviona kwamacho🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mathiascharles5769
@mathiascharles5769 4 жыл бұрын
Upumbavu unakusumbua.unajuwaje kama ni billion 20?
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 4 жыл бұрын
@@mathiascharles5769 Umeonaee kihere here tu na kiroho chake kibaya wachimbie wazazi wake hilo kaburi mwenda wazim huyu kama kaishiwa yakuongea niheli akae kimya tu
@mathiascharles5769
@mathiascharles5769 4 жыл бұрын
@@rahmaoman5122 kabisa
@faustinemavere1450
@faustinemavere1450 4 жыл бұрын
Sasha hata hayo mawe huyajui uliwahi fika lini mererani dhamani ya jiwe unaijulia wapi acha ujinga wivu wewe ungekuwa ndo umepata hiyo hela ungerudia kichaa leo ungepelekwa mirembe hujui hata dhamani ya jiwe unalopoka tu mweee
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /50/ #love
23:19
BabaJoan
Рет қаралды 180 М.
EXCLUSIVE: NYUMBA 4 BILIONEA LAIZER ALIZOWAJENGEA WAKE ZAKE
2:19
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.