MTOTO wa Bilionea LAIZER Afunguka Mjengo na Utajiri wa Baba Yake ''Baba ni Zaidi ya DIAMONDI''

  Рет қаралды 525,825

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MTOTO wa Bilionea LAIZER Afunguka Mjengo na Utajiri wa Baba Yake ''Baba ni Zaidi ya DIAMONDI''
Global Tv imfanikiwa kufanya mahojiano na mtoto wa nne wa bilionea Laizer ambaye anafahamika kama Emmanuel Laizer, ambaye ameelezea namna ambavyo wamefanikiwa kuishi kwa amani na upendo ndani ya nyumba hiyo wakiwa na mama wanne na watoto 30....
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 429
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Asante kijana kwa kusema mtatafuta za kwenu uko smart sana unaakili sana Mungu akutangulie🙏
@reeky7452
@reeky7452 4 жыл бұрын
Kweli as Watoto tusije kutegemea Mali za wazazi wetu Bali kutegeme a kuwezeshwa na jamii
@emanuelmayegga1095
@emanuelmayegga1095 4 жыл бұрын
God be with u always
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 4 жыл бұрын
Huyu mtoto is very bright ana upeo wa juu sana salute to him, billion hazimhusu kwa sasa amenena point sana
@florakimath7144
@florakimath7144 4 жыл бұрын
Huyu laizer Mungu anambariki kwasababu anatimiza wajibu km baba wa familia yaan had rahaa na Mungu azidi kumpa uelewa aweze kutumia pesa zake vzr🤗🤗🤗
@kiariedavid8370
@kiariedavid8370 4 жыл бұрын
kumcha Mungu muhimu sana
@fatmasule1175
@fatmasule1175 4 жыл бұрын
Mungu kambariki Mali watoto na wake amjalie amjalie Iman na kufanya ibada kumkumbuka mungu wake
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 4 жыл бұрын
Lakini huyo jamaa Laizer yupo vizuri toka mwanzo.
@kelvinmchau8815
@kelvinmchau8815 4 жыл бұрын
YEAH my sister jamaa HELA ANAYO SO HIZI BILLIONS hazita mchanganya sana
@menalikechildren8836
@menalikechildren8836 4 жыл бұрын
Apewaye ndo aengezwaye
@eddimalon6051
@eddimalon6051 4 жыл бұрын
@@menalikechildren8836 Hivo ndivo ilivo, penye fungu ndio huongezwa. kama hakuna fungu huwezi kuongeza.
@charlesmmasi4338
@charlesmmasi4338 4 жыл бұрын
Farris Ikrimah lollllopppppl
@alicekunamila8827
@alicekunamila8827 4 жыл бұрын
Yhasinta Kalenyula
@HamiduChamboko
@HamiduChamboko 4 жыл бұрын
Nimependa sana tamaduni ya kimasai hata wapate mpunga .utamuduni hawautupi.ndio maana wanabarikiwa
@juliusmwambulukutu301
@juliusmwambulukutu301 4 жыл бұрын
Hata mzee mwenyewe ni mpole hana makeke anajieleza kwa upole, amemlandisha mtoto wake, mungu awalinde kwani kupata kwao ni kupata kwetu watanzania.
@georgebushmissg2830
@georgebushmissg2830 4 жыл бұрын
We kijana nimekupenda ila kwa jinsi ulivyo na hekima
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 4 жыл бұрын
Duuu kumbe huyu baba ni tajiri tokea mwanzo kwa hiyo utajiri umeongezeka zaidi Mungu azidi kumlinda baba huyu dhidi ya watu wabaya.
@hassanramadhan8978
@hassanramadhan8978 4 жыл бұрын
Aamiin
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 4 жыл бұрын
Ndo maana hana mchecheto na bilioni hizo. Darasa la saba lkn natumai atafanya makubwa zaidi
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 жыл бұрын
huyu baba biashara ya nadini yamemtajirisha mno
@charlesrongo3615
@charlesrongo3615 4 жыл бұрын
mwenye nacho uongezewa
@dottnatt7110
@dottnatt7110 4 жыл бұрын
Amiin
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Mzee laizer hongera sana, mungu anazidi kuku ongezea kwani unaangalia FAMILIA yako vizuri sana, kuna watu WENGINE hawajui hata watoto wao wana kaa, kula vaa , elimu wapi, na wanazaa kila MAHALI
@bimsinani5944
@bimsinani5944 4 жыл бұрын
Maashallah apewae ndio aongezwaye allah ibarik
@hofmanmnyangali7014
@hofmanmnyangali7014 4 жыл бұрын
1
@hofmanmnyangali7014
@hofmanmnyangali7014 4 жыл бұрын
Aaaa
@hofmanmnyangali7014
@hofmanmnyangali7014 4 жыл бұрын
A
@petersonshaezra1135
@petersonshaezra1135 4 жыл бұрын
Pesa imeenda kwa mwenye pesa bn hii imeenda kwake, jamaa yuko vizur tangu mwanzo kumbe, malezi ya watot pia ya kipekee sana fact
@angelinamkingi8164
@angelinamkingi8164 4 жыл бұрын
Hela imeenda kwa mwenyewe hela.
@OmanOman-hr6cb
@OmanOman-hr6cb 4 жыл бұрын
Kwakweli
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 4 жыл бұрын
Ndo maana huyu baba yuko kawaifa na hana wasiwasi, alisha izoea pesa siku nyingi. Hatahizo anaziona poa tu.
@halimamusa2797
@halimamusa2797 4 жыл бұрын
🤣🤣
@angelinamkingi8164
@angelinamkingi8164 4 жыл бұрын
Ndiyo maana hata maandiko yamesema aliye nacho ataongezewa kwakweli.Duuu!
@bukurur.jeandedieu6688
@bukurur.jeandedieu6688 4 жыл бұрын
His son will be a billionaire 2 in another way. I can hear him in this interview, he is intelligent and very simple son.
@amo9579
@amo9579 4 жыл бұрын
He is very calm and relaxed like the money does not excite him
@bukurur.jeandedieu6688
@bukurur.jeandedieu6688 4 жыл бұрын
@@amo9579 You got it 2. He is very calm and more relaxed
@petal8776
@petal8776 4 жыл бұрын
I agree with you
@amo9579
@amo9579 4 жыл бұрын
A very articulate bright and focused young gentleman
@kelvinmchau8815
@kelvinmchau8815 4 жыл бұрын
HUYU mtoto HEKIMA IPO nahic MZEE ANAJUA SANA KULEA
@SunsetHunter4526
@SunsetHunter4526 4 жыл бұрын
Dogo anajuaa hata kujieleza na nmependa zaidi anakwambia hiyo hela niya Baba na mipango yake anaweza nipa au asinipe natakiwa kutafuta yangu
@safarimallya4536
@safarimallya4536 4 жыл бұрын
Nimemwelewa sana
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 жыл бұрын
@@SunsetHunter4526 sana mzee mwana nimemuelewa sana
@aminaally242
@aminaally242 4 жыл бұрын
Pesa bwana yani huyo dogo kaingia kwenye gari kaliwasha kisha kaondoka
@ropedwai5118
@ropedwai5118 4 жыл бұрын
Kaenda kufungua get I😁😁😁
@patrickmadiwa3845
@patrickmadiwa3845 4 жыл бұрын
Umekuumaee!!!!! Poleeeeee!!!
@chambuvichambuvi4318
@chambuvichambuvi4318 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nurudovino288
@nurudovino288 4 жыл бұрын
😂😂😂😂🤣🤣💃
@bushstriker1161
@bushstriker1161 4 жыл бұрын
Kawaida gari ikikaa muda mrefu japo masaa 12 na hasa ikiwa sehemu za baridi inatakiwa uiwashe na uipe muda kidogo kabla ya kuondoka. Tatizo wengi wetu tunatumia vitu ndivyo sivyo hivuo kuharibika inakuwa mara kwa mara
@syekiwaryoba2514
@syekiwaryoba2514 4 жыл бұрын
Kama kuna mtu kaona dogo anawasha ndinga tia like
@josephlutatina9416
@josephlutatina9416 4 жыл бұрын
Dogo katuoshea
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 4 жыл бұрын
kaliwasha mwanangu dah
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 4 жыл бұрын
Kwa mijengo hiyo MZEE alikuwa na mavumba long time
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 жыл бұрын
Mwenye nacho Mungu humuongezea jaman msikatae
@beatricemshiu2816
@beatricemshiu2816 4 жыл бұрын
Duuh Mzee anamiliki kijiji😊
@teychriss3248
@teychriss3248 4 жыл бұрын
Wabongo walikuwa hawa juu maisha yako toka mwanza! Yaani kila mtu akawa anaongea lake! Anyway mtoto kichwani zimo! Elimu imesimama kifupi unajielewa! Big up!
@lydiamuli3328
@lydiamuli3328 4 жыл бұрын
Dah! Kijana huyu ana hekima.kweli.yani anajibu.vizuri Hizo nyumba bila shaka uyu nitajiri tangu zamani
@aishaabdi5637
@aishaabdi5637 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah.... Umeongea vizuri sana mungu akuongoz kila hatua
@rajabusuleman5111
@rajabusuleman5111 4 жыл бұрын
Hongera kwa family ya bwana layzer Mwez mung awalinde nakuwatangulia Amen
@patricknamangoa3478
@patricknamangoa3478 4 жыл бұрын
May God keep blessing your family.Amen.
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 4 жыл бұрын
Mm nimependa ilivyotekenywaa apoo pemben Mkonge nakuitikiaa,,,👊,,,kiufupii wandugu mwenye nacho siku zote uongewaa 🙏
@SefrozaMafuru
@SefrozaMafuru 4 жыл бұрын
Hmmh ndo maana hakushoboka aiseee🙌🙌
@nasranassor6796
@nasranassor6796 4 жыл бұрын
Masha,allah
@doramkolo1745
@doramkolo1745 4 жыл бұрын
Dogo nimependa....yani hapo kwenye tutatafuta vya kwetu...hivyo vya familia safi sanaaaaaa
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 4 жыл бұрын
Hongera sana kijana unaonyesha umelelewa vizuri
@BrittonaturalistvlogsUSA2024
@BrittonaturalistvlogsUSA2024 4 жыл бұрын
When God blesses you no one can stop it . God blessed them 🙏 . One day you and me will be blessed by God so let us wait for that blessing. Let us not be discouraged.
@fridamapundasafi1862
@fridamapundasafi1862 4 жыл бұрын
Wamasai wasomi
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 4 жыл бұрын
Thank u Columba for the best Tanzanian billionaire's family representative landscape. 👍👍👍👍
@sharifaabdullah6825
@sharifaabdullah6825 4 жыл бұрын
Hela inaenda kwenye hela daaa
@magiehermess9949
@magiehermess9949 4 жыл бұрын
Kabisaa uko na point
@hermanntahilaja8929
@hermanntahilaja8929 4 жыл бұрын
@@magiehermess9949 ,w
@leokamil6284
@leokamil6284 4 жыл бұрын
Ndio maanake
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Imani potovu sema Mwz Mungu kampa omba na wewe utapewa
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 4 жыл бұрын
Biblie inasema mwenye nacho ataongezewa na asie nacho hata kile kidogo alichonacho atapokonywa. Lakini mimi nakataa kwa Jina la Yesu Kristo haitotokea kwenye familia yangu natengua tutaongezewa tu nasimama na Imani hiyo na Baba yetu aliyembinguni amesikia na atatenda sio kwangu tu kwa kila mmoja atakaesoma
@nasranassor6796
@nasranassor6796 4 жыл бұрын
Allah barik
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Mashallah, mtoto yuko vizuri kujibu.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 4 жыл бұрын
Kijana ana hekima...hela ni ya baba na mama zetu..baba atulea ktk malezi mazuri na anatusisitiza kumcha Mungu...
@ismailmsuya5129
@ismailmsuya5129 4 жыл бұрын
Diamond anahusikaje hapo sasa,professional ya uandishi wenu ovyo kabisa
@ALOYCE007
@ALOYCE007 4 жыл бұрын
Sindio nashan'gaaa
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 4 жыл бұрын
Hapo ndo unaweza kujua jinsi majitu ya media yanavyomchukia diamond kwa sabab ya mafanikio yake! Anyway, platinum lazima aelee kwenye mabichwa yao hata kama hawataki
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@nasraponera3981
@nasraponera3981 4 жыл бұрын
Jomba kumbe umeona hiyo
@hassaninkoja284
@hassaninkoja284 4 жыл бұрын
Kwani wewe unaumia Diamond ni babaako
@johnpapaking1497
@johnpapaking1497 4 жыл бұрын
Hongera mtangazaji uko vizuri
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
Unaakili Sana
@amanichanga3448
@amanichanga3448 4 жыл бұрын
Mashaallah
@fallymetoo191
@fallymetoo191 4 жыл бұрын
Kwa kweli ni majaaliwa ya M.mungu. M.mungu awabariki sana 🙏🏻
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 4 жыл бұрын
Mung katuambia kuhusu ridhiki yeye ndiye mtoajii na tusi haribu vizazi vyetu kwa kuwa tupa watoto wetu au kutoa mimba hap ndio maandiko yana timia mzee ana watoto 30 na wote wanna ishi vizuri na mpunga unaongezeka..
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Kabisa Dada Riski minal Allah
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Riziki √, Ridhiki X,riski X
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 4 жыл бұрын
Hawa wanawake,walikuwa wanazaa kwa kushindana.😂😂😂😂
@preciousnadia8525
@preciousnadia8525 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
😄😄😄😄
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 4 жыл бұрын
Yan mambo ya balance equation 😂 😂 😂
@jackiekisusi3172
@jackiekisusi3172 4 жыл бұрын
Ila kumbuka mzee alikua kila goli linafanya kazi, hatoi bure
@emmyy5886
@emmyy5886 4 жыл бұрын
😆😅
@olepusindawamiagie1092
@olepusindawamiagie1092 4 жыл бұрын
Umetisha coromba the babas wa global tv
@chrissackland5369
@chrissackland5369 4 жыл бұрын
Ninachowapenda Mnajitahidi Sana Kutuhabarisha Asante sana Mko Juu
@vanessajames1567
@vanessajames1567 4 жыл бұрын
Sasa Diamond amehusikaje hapo hata hivyo jamaa noma watoto 30 🙌🙌
@annamushi4587
@annamushi4587 4 жыл бұрын
😮
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Pesa ni kama maji,yanafuata mkondo Hayapandagi mlima Ha ha haaaaaa
@mgenisalim6947
@mgenisalim6947 4 жыл бұрын
😂😂😂kwa kwl
@sultanm9166
@sultanm9166 4 жыл бұрын
Hugo mzee ana mungu azindi Hat a kumuongezea amesema families yake poa sana na ndio Hat a mungu amemjalia kupata hizo pesa.hongela mzee Hat a ingekua wa huko kwenyu ningetamani unioe pia angalao nikue kwa hio familia nimeipenda tu sana
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 4 жыл бұрын
Huyo hakua maskini hata kabla ya hizo B kwa mijengo hio nisawa na diamond kuongeza mtoto
@boylondontztz920
@boylondontztz920 4 жыл бұрын
Kabisa aisee yaan hapo tajir kaongezewa pesa aisee huon madogo wenyewe wanatembelea cruiser kama ya serikal wanashida gan sasa
@dalancydevin4302
@dalancydevin4302 4 жыл бұрын
@@boylondontztz920 😁😁
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 4 жыл бұрын
Kumcha Mungu ni chanzo cha marifa. Like father like son. Hawana wasiwasi wala mashaka.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Safi
@hassansaid9925
@hassansaid9925 4 жыл бұрын
Kumbe huyu jamaa alikuwa na vihele hela tangu kabla,, hongera zake bhana
@mwenjewambugu7319
@mwenjewambugu7319 4 жыл бұрын
Hongera!!!!!!!
@yehosakitelanya4855
@yehosakitelanya4855 4 жыл бұрын
Jamani
@dianaamon9844
@dianaamon9844 4 жыл бұрын
Mmh kumbe ana hela kitambo tu.. Ndio maana wanasemaga wenye nacho huongezewa..😊
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 жыл бұрын
Your smart😚
@hassanbinally7127
@hassanbinally7127 4 жыл бұрын
Hutu mzee anahela toka mwanzo hizi zimekuja tu kumpa umaarufu
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 4 жыл бұрын
We unafikiri utapata pesa ukiwa huna pesa?
@zennakailo8106
@zennakailo8106 4 жыл бұрын
Yaaaaani huyu kak jamani nakupenda unaakili😃😃🏃‍♀️
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 4 жыл бұрын
Nimimi hapa pia mimi nakupenda
@hassansaid9925
@hassansaid9925 4 жыл бұрын
Nimekosea katika kusema comment yangu si alikuwa na viela bali pesa nyingi na alishakuwa tajiri kabisa kaongezewa tu,,,
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Mzee analea wtt wake kwa maadali Mazur sana alafu mzee yupo vizur yani anafanana na watot wake u smart
@inathimid9979
@inathimid9979 4 жыл бұрын
Hongereni sana
@maryammct3967
@maryammct3967 4 жыл бұрын
Mashallah aallah mzudishiye barka
@jamesmtete2927
@jamesmtete2927 4 жыл бұрын
duuh mkachimbe na nyinyi
@ashleymussa2027
@ashleymussa2027 4 жыл бұрын
Umetisha bba
@naimaseleman6868
@naimaseleman6868 4 жыл бұрын
Mashaallah ana mtoto
@rosechuwa8419
@rosechuwa8419 4 жыл бұрын
Jamaa ana jua kuuliza
@drysonmoses7179
@drysonmoses7179 4 жыл бұрын
Hongeraa zaoo
@fabianmzazi3165
@fabianmzazi3165 4 жыл бұрын
Hongela
@yusuphmkapa5302
@yusuphmkapa5302 4 жыл бұрын
Watoto wawili wanakutoa jasho je 30 VIP hongera Sana we nijembe sana nimwanaume washoka
@indiatredings7005
@indiatredings7005 4 жыл бұрын
Wow even before he was not poor having such a mansion
@sultanm9166
@sultanm9166 4 жыл бұрын
He deserve the money .he is a good husband and a good father.wish he can marry me and build me a beautiful house like those he has built for those wife's.hongela baba
@magiehermess9949
@magiehermess9949 4 жыл бұрын
Pesa inaenda kwenye pesa,ukishapewa hakuna wa kuzuia
@ramaabuu7625
@ramaabuu7625 4 жыл бұрын
Safi sana
@sadikimwalongo7871
@sadikimwalongo7871 4 жыл бұрын
Du mzee amewalea watoto vizuri sana
@cipyen
@cipyen 4 жыл бұрын
MAONI YANGU: Kijana ana hekma, hongera Laizer.
@rayanaabdallah473
@rayanaabdallah473 4 жыл бұрын
Jamaaa maisha mazuri toka zamani
@jifunzekusamehe4527
@jifunzekusamehe4527 4 жыл бұрын
Good
@ngalamasilongoi5834
@ngalamasilongoi5834 2 жыл бұрын
hongeren baba laisa na family's yako
@kumulwa
@kumulwa 4 жыл бұрын
Huyu mtangazaji kauliza suali lakipumbavu Sana eti Dimond na huyu mzee wa kimasai Nani handsome
@nurumanyota416
@nurumanyota416 4 жыл бұрын
Ni handsome mzee laizer
@virginiamutisya6216
@virginiamutisya6216 4 жыл бұрын
This man is rich the house waaa
@enriquechatilah8246
@enriquechatilah8246 4 жыл бұрын
Duh mzee yuko vizuri toka mda kumbe ndomana alikuwa ana ata presha
@sauwahambaraka8480
@sauwahambaraka8480 4 жыл бұрын
Kjana yupo vzr sana kwenye kujibu maswal
@suzanamlelwa6352
@suzanamlelwa6352 4 жыл бұрын
Smart guy hana mambo.mengi
@twahaasedi5645
@twahaasedi5645 4 жыл бұрын
Simba na mbwa site
@mybabyarchive2104
@mybabyarchive2104 4 жыл бұрын
Tusio na hela Huku Sinza ndo tunajifanyaga tunafanya fujo mitaani na vigari vya mkopo
@chiefboaz7438
@chiefboaz7438 4 жыл бұрын
Tangiapo alkuw na hela, harafu wanasem et mchimbaji mdogo😳😳😳😳
@dalancydevin4302
@dalancydevin4302 4 жыл бұрын
😂😂
@bshemweta3944
@bshemweta3944 4 жыл бұрын
Kula lomoni gonga like mazee
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
Wamasai wazuri Sana hawajui kuringa,.ingekuwa mwingine mmmmm suti za ulaya zingekuwa hazitoshi.safi sannnnaaaaa..
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Kijana ameongea ukweli na pia anajiamini na pia ni kijana hand some kama baba yake.pongezi kwa baba kutengeneza familia bora na pia kuwapa elimu watoto wake.
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 4 жыл бұрын
Mwenyenacho huongezewa
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Ameobgezewa kwa sababu ametii amri ya Mungu "Enendeni mkaujaze ulimwengu" Kama una mke 1 watoto 2,basi utaoewa kiasi chako Ha ha ha haaaaaaa
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 4 жыл бұрын
Huyu baba tangu🙏mwanzo tajili
@sss3s867
@sss3s867 4 жыл бұрын
Je mnajuwa Siri ya MTU akiwa na uwezo kwanini mpaka unaona anaendelea kupata Neena kubwa kubwa.
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 жыл бұрын
Huyu diamond mnakuwaga mnamfananisha na mamilionea hivi kweli diamond WA kufafananishwa na mamilionea Ana pesa gani ya kufafananishwa Hana chochote zaidi ya madeni tu.
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Leo wamemfananisha sura Je ! No handsome kuliko Mzee Laizer ??.?.?
@alexgaudencesokko4256
@alexgaudencesokko4256 4 жыл бұрын
Chuki binafsi
@michaelsukwa4371
@michaelsukwa4371 4 жыл бұрын
Kijana kaongea vizuri sana
@adelinaadoloph5311
@adelinaadoloph5311 4 жыл бұрын
Big up mtangazaji
@mabujuma1215
@mabujuma1215 3 жыл бұрын
nakukubali
@rachelielias2996
@rachelielias2996 4 жыл бұрын
Mzee yuko vzr sana
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Duh aisee hongereni na maisha matam
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 4 жыл бұрын
da yuko vizur
@josephsighis8185
@josephsighis8185 4 жыл бұрын
Kijana ana hekima San na mzee pia ameshafanya mambo makubwa tangu awali mungu humpa mwenye nayo kabla
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 379 М.
MKE WANGU AUGUSTINO LAIZER AFANYA JAMBO LA PEKEE LAUNCHING 3
8:38
Mtazame Kristo Tv
Рет қаралды 13 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 28 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,4 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН