No video

HII SASA NDIO HISTORIA YA BILIONEA LAIZER, MSOTO MIAKA 10, WAKE WANNE, WATOTO 30, NYUMBA 4

  Рет қаралды 304,773

Millard Ayo

Millard Ayo

4 жыл бұрын

#millardayoUPDATES#BilioneaLaizer

Пікірлер: 366
@eliasmakala9181
@eliasmakala9181 4 жыл бұрын
Money makes money..ni hivo tuu masai hakuwa na njaa hela since way back..kama unakubali gonga like twende sawaa
@itsvipi
@itsvipi 4 жыл бұрын
In English we say, Money begets Money. Meaning, the more money you make, the easier it becomes to make still more. You're right though, it means the same thing. Congratulations to the old man.
@newmuscat1698
@newmuscat1698 4 жыл бұрын
Pont bro
@kidotanne429
@kidotanne429 4 жыл бұрын
Namkubali Millard Ayo jamani😍twende pamoja taarifa zake ziko straight from bottom of my heart I like this guy please like for Millard Ayo 👍🤝🙏
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 жыл бұрын
Kweli
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 4 жыл бұрын
Me hunizidi
@hopesheby7344
@hopesheby7344 3 жыл бұрын
Yaani me nikiona habari yoyote iliniwe na hakika Kama ni kweli naithibitisha kwa millad ikiwepo najua ni kweli kabisa Sina mashaka na Millad kajipanga kweli na atafika mbali sana inshallah
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 4 жыл бұрын
Mara nyingi wanaofanikiwa sana ktk maisha wana elimu kidogo tu.Ila wanaongozwa na nidhamu, kumcha Mungu na busara kubwa.Vijana wengi hasa wasomi mkipata tu elimu kidogo,mnadharau hadi ndugu na wazazi wenu, yes na no kibao mnakua mnaona dunia yote hakuna aliesoma.Muoneni milionea, very humble.Hana mambo mengi.Kavaa shuka lake ni simple tu.
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 жыл бұрын
Hahahaaaa wakati wao wanajidai na vijisuti vyao
@kissarungereuwalemuuya1715
@kissarungereuwalemuuya1715 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa nimeamini Maneno yako ndugu yangu mchangiaji asante sana kwa mchango wako mzuri sana na Maneno uyasemayo ni sahihi kabisa
@naimanurdin8984
@naimanurdin8984 4 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana Tedy Ila Kwa Sasa laizar Sio Milionea Ni bilionea Ujuee hakika Waja tuzid kuwa Ni Wenye khofu Ya Mungu Yote Inawezekana
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
True
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 4 жыл бұрын
Upo sahihii kabisa ndugu yanguuu
@nafisaabdalla2599
@nafisaabdalla2599 4 жыл бұрын
wangapi wanawakubali hawa watu wawili ayo+lizer ayolizer gonga like zako apa.
@tonkud2111
@tonkud2111 4 жыл бұрын
😁😁😁
@mistere6601
@mistere6601 4 жыл бұрын
Ayolizer😁😁
@lazaromaria5334
@lazaromaria5334 4 жыл бұрын
we jamaa umetisha
@ananiamkasu8847
@ananiamkasu8847 4 жыл бұрын
Kumbe maombi yanachelewa ila majibu yake yana kishindo!! Amenipa moyo na hamu ya kumcha Mungu!
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 4 жыл бұрын
Kabisa Mungu akikubariki watu wataacha midomo wazi
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 4 жыл бұрын
Kweli
@sumaiyamahamoud2488
@sumaiyamahamoud2488 4 жыл бұрын
Inatakiwa imani dhabiti
@josephmulle7708
@josephmulle7708 4 жыл бұрын
Fagan
@fettymussa5932
@fettymussa5932 4 жыл бұрын
Kwel kabsa!!mungu hamtupi mja waje naamin na me siku moja🙏🙏
@ttuhgtygyyygg237
@ttuhgtygyyygg237 4 жыл бұрын
Nimeamini mungu yupo watu wa maombi gonga tukisema hallelujah
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 2 жыл бұрын
Wake wa nne fikiria hilo kwanza kuna hekma hapo
@khalfanikimanta6663
@khalfanikimanta6663 2 жыл бұрын
Watoto 30 pia kuna hekma hapo fikiria
@upendomndeme9478
@upendomndeme9478 4 жыл бұрын
Leizer anajibu kisomi na kwa utulivu kama msomi mwenye phd. Millard pia hongera sana kwa maswali mazuri, nakumbuka pia yule billionea wa Shinyanga aliyeuza madini ulimfata kumuhoji. Upo makini na vizuri Millard
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Hakika
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 4 жыл бұрын
hahahaha ukiwa na hela bhn
@sidratybinkhamis2837
@sidratybinkhamis2837 4 жыл бұрын
Jida
@noahakyoo4595
@noahakyoo4595 4 жыл бұрын
Millard Ayo napenda sana kazi yako na nakuombea Mungu akuinue zaidi
@noahakyoo4595
@noahakyoo4595 4 жыл бұрын
Millard Ayo napenda sana kazi yako na nakuombea Mungu akuinue zaidi
@naftalikisaka4380
@naftalikisaka4380 4 жыл бұрын
Good interview hongera sana mmasai mwenye hofu ya mungu
@imaculatadominic7005
@imaculatadominic7005 4 жыл бұрын
ana hekima , mtii ,mvumilivu , anamcha Mungu , si mkatji tamaa , wakati wakuinuliwa ulishatimia
@sylivesterandrewsylvester9120
@sylivesterandrewsylvester9120 4 жыл бұрын
Ishi utu Kaza buti, Mutangulize Yehova Mungu mbele.
@evarnyoni6535
@evarnyoni6535 4 жыл бұрын
Millard ayo mpole san mkalim mnoo kaka angu nakupnda buree maswali yko ata mtot anayaelewa😙😙😙
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Huyu mzee mstarabu sana, MUNGU AKUZIDISHIE
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 жыл бұрын
amini
@iviejustified8109
@iviejustified8109 4 жыл бұрын
Kabisa hata hana makuuu
@berthasanga8076
@berthasanga8076 4 жыл бұрын
Hakika,amen
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 4 жыл бұрын
Huyu ana hofu ya Mungu Acha Mungu amlipe ujira wake hongera sanà
@felistasiwale7582
@felistasiwale7582 4 жыл бұрын
Nkweli aisee, ana busara sana na hekima
@ginavlodrick4424
@ginavlodrick4424 4 жыл бұрын
Hakunaaa Cha kukata tamaa nikufanya kazi na kumuomba mungu Ayeeeee piga kelele ake
@kissarungereuwalemuuya1715
@kissarungereuwalemuuya1715 4 жыл бұрын
Tumuamini mwenyezi Mungu kwa kila jambo kwani hakuna lisilo na wakati wake mtafutaji hupaswi kukata tamaa kwani Mungu yupo.na mbarikiwe wale wote mtakao muamini Mungu. Like kama unaamini Mungu anaweza
@petrozacharia1047
@petrozacharia1047 4 жыл бұрын
Interview nzuri sana muulizaji mzuri anayejibu yupo makini,
@carptentv6848
@carptentv6848 4 жыл бұрын
Hongera Mdogo Wangu milady nmeona ile Habari ya watu waivyojazana Kwa biionea aliyoifanya Kijana wako wa Arusha godii nakuona kama Bilionea ajaye
@khadijajuma3887
@khadijajuma3887 4 жыл бұрын
Bilionea kaishia darasa la Saba tu hakika mungu humpa amtakae bila ya hesabu tusikate Tamara hongera bilionea laizer
@mariaamosy2701
@mariaamosy2701 4 жыл бұрын
Kaka Millard mwenyez mungu aendelee kukupigania ktk kazi yako hakika ww nimtangazaji no1 nakupenda sn na napenda sn kufatilia channel yako God bless u my brother ❤❤❤❤
@friminamkenda7405
@friminamkenda7405 4 жыл бұрын
The man is gentle na mnyenyekevu hongera
@mwimamagasta2299
@mwimamagasta2299 4 жыл бұрын
Fģ9ifo
@salimusaid7309
@salimusaid7309 4 жыл бұрын
Hili ni darasa Kwangu wacha niendelee kupambana ubilionea nitaukuta mbele inshaallah🙏
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 4 жыл бұрын
Salimu Saidi umenichekesha sana wallah basi inshallah
@sonianzotunga8575
@sonianzotunga8575 4 жыл бұрын
InshaAllah Mungu wetu yupo
@salmaismail2363
@salmaismail2363 4 жыл бұрын
Kikubwa kutokata tamaa na Kumtegemea Mungu Inshaallah Allah ataleta kheri
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
MZEE HANA BODY GUARD HATA MMOJA, WASANII WETU WAJIFUNZE.
@allymatilda7519
@allymatilda7519 4 жыл бұрын
THE KING OF INTERVIEW MILLARD AYOO 🙏🖤
@ummuadam2423
@ummuadam2423 4 жыл бұрын
Kma umeona mzee Hanaga haraka ya kujibu mpka umuulize gonga like
@mimiapa8436
@mimiapa8436 4 жыл бұрын
Kwa kweli mtulivu sana pia kapata mtu mzuri wa kumuhoji
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Hana hamaki ya kujibu hakurupuki kujibu.
@bjzee1981
@bjzee1981 4 жыл бұрын
Wa Masai hawanaga mbwembwe. Angekua mzaramo hapo, au mdigo. Mamaaaaa
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Mstaarabu sana
@lifepathtve2033
@lifepathtve2033 4 жыл бұрын
👍👍👍maombi ni silaha
@mackmillan2803
@mackmillan2803 4 жыл бұрын
Nimefrah Sana kusikia unampenda mungu,,,Mungu Amekushangaz hakika,,,Na hatakwacha we Endelea tu kumwamini...Amen
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Mashallah, Interview ya kizazi sana, Baba *SANINIU* uko vizur sana 😘🙏
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 4 жыл бұрын
Nimetafuta coment ako nmeiona upooo jmn? Huwa napenda coment zako
@thadeimsoma7295
@thadeimsoma7295 4 жыл бұрын
hongera sana mzee laizer,ila mimi ushauri wangu kwako,najua serekali imeshachukua kodi yake, ila umkumbuke mungu fungu la kumi tena umtolee jinsi ilivyo ili ubarikiwe zaidi ktk maisha yako, Mungu akubariki sana,
@fridaykwama7715
@fridaykwama7715 4 жыл бұрын
Mzee kumbuka kutoa fungu la kumi na hakikisha unatoa mahali panapohubiriwa Injili ya kweli ili Mungu aendelee kuwekeza kwako mzee.
@beatricekingsley5062
@beatricekingsley5062 4 жыл бұрын
Anajenga kanisa ilo nifungu lakumi toshaa
@africavibe8467
@africavibe8467 4 жыл бұрын
Hahahahha ww wa fungu la kumi utabak ivo ivo mungu akuna mahal anaimiza ilo
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
@@beatricekingsley5062 Hahaha aisee
@johanajoseph878
@johanajoseph878 4 жыл бұрын
Kweli kabisa ila Mungu wa kweli haandikwi hivyo mungu❌ Mungu ✅
@saidthomas8072
@saidthomas8072 4 жыл бұрын
Huyu mzee nimejifunza kitu kikubwa sana toka kwake hana papara na hizo pesa ila yuko na mipango mingi na pesa hawezi ipoteza kirahisi mana haendeshwi na hiyo pesa ila yeye ndo anaiendesha hapo ndo mana ya mtu makini kama lina phd kumbe ni darasa la saba ongera sana
@stellajapheti3262
@stellajapheti3262 4 жыл бұрын
Kumtegemea mungu Kuna faida
@josephmasarie1204
@josephmasarie1204 4 жыл бұрын
asante mwenyezi mungu kwa hii jambo umeifanyia brother na tz mungu akubariki kwa uaminifu juu mara wa kwanza mliamini ya kwamba akuna ugonjwa ya corona kwa jina la yesu Kristo juu makazi yenu inaendelea vzuri
@locallinks8156
@locallinks8156 4 жыл бұрын
Thumbs up for Tanzanian govt officials. Ingekua hapa kwetu, maafisa waserikali hao ndo wangekutoa uhai. Pongezi wa Tanzania.
@shalomkind4575
@shalomkind4575 3 жыл бұрын
Nakwambia ingekua kenya!maafisa ndio wangemuua kiunyama sana .
@tomaaslkinyaaasitajwekwnin348
@tomaaslkinyaaasitajwekwnin348 4 жыл бұрын
Uyu baba ni tajiri tangu kitambo
@quadir08
@quadir08 4 жыл бұрын
Kuomba Mungu ni Kitu Kubwa Sana🙏
@kastokyando5347
@kastokyando5347 4 жыл бұрын
yupo vizuri sana kuweka ibada every day
@comfycare1214
@comfycare1214 4 жыл бұрын
Such a humble man. Eeh kweli Mungu alisema ujishushe then yeye ndyo atakukweza.
@elisantenjau4352
@elisantenjau4352 4 жыл бұрын
Hongera sana mzee kwa kutambua uwepo wa mungu na ukweli unaonekana una hofu ya mungu,,barikiwa sana
@kiariedavid8370
@kiariedavid8370 4 жыл бұрын
ushirikina wake nikumuomba Mungu nduuu neema hiyo
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 4 жыл бұрын
Sasa bwana Millard unge upload mapema nisingemaliza mb zangu kule kwenye tv mbao,asante.
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 4 жыл бұрын
Hongera sana mmasai unaongea vzr
@janethcharles7432
@janethcharles7432 4 жыл бұрын
Mashalah,hongera cn mzee kwa kumcha mung,,na kutokata tamaa,,umenifundish kitu xn,,umeishia la saba lkn km una hpd,,,,,,duh,ama kweli mung mwema na hhamtupi mja wake,,hongera xn millad ayo kwa maswali mazur,,na mzee kajibu kwa ufaxaha na unyenyekevu mzr,,,glory to god any time,,🙏🏼🙏🏼👏🏻
@chekaextra5807
@chekaextra5807 4 жыл бұрын
Wanawakubali Laizer wAGonga Like 🔥🔥 👇🔥 Subscribe Hapa Twende Sawa Wadau 🔥👇 kzbin.info/door/aS8hsEQnwQSMEQCT_GJIVQ 🔥🔥🔥 Nouuma na Nusu 🔥🔥🔥
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 4 жыл бұрын
Nice Unafanyaje kuweka link ya KZbin channel kama ulivyo weka
@loningologelieki1306
@loningologelieki1306 4 жыл бұрын
Pamoj sana Millard upon vzr
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 4 жыл бұрын
Kaka milad Uko Vizury sana nakupenda sana Sana💕💞💕💕❤❤❤❤❤
@mathewkissima717
@mathewkissima717 4 жыл бұрын
Ushirikina wangu ni kumuba sana mungu nimekulewa mzeeee 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@rubenisaitoti3612
@rubenisaitoti3612 4 жыл бұрын
Miladi nakukubalisan kwan wewe ni wewe nimt2 wapekee mungu akulindee
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 жыл бұрын
anampinzani
@mdeeboy846
@mdeeboy846 4 жыл бұрын
Karibu sana ndugu yangu😀😀, Millard laisaaa😀😀😂😂 Shikamoo pesa
@vailetaron5717
@vailetaron5717 4 жыл бұрын
Big up bro utangazaji wako Safi
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
Huyu mtu ni mnyenyekevu sana! Hongera Laizer!
@kulthumtwalipo2952
@kulthumtwalipo2952 4 жыл бұрын
Usikivu wa hekima. Na kumtanguliza Mungu. Ni mafanikio
@lilianernest4284
@lilianernest4284 4 жыл бұрын
Nimependa hajaacha asil ake ingekua wengne apo keshabadilisha muonekano wonderful enough he is educated masai without going to school
@lukasanga685
@lukasanga685 4 жыл бұрын
Hongera sana @millardayo kwa habar za nguvu daima
@judithchinga7349
@judithchinga7349 4 жыл бұрын
mtu wa Mungu, Mungu aendelee kukubariki sana mzee laizer
@filomenamashina5935
@filomenamashina5935 4 жыл бұрын
Mungu NI Mungu tuu hajawahii kumwacha anayemwamini. Kakujibu Laizer
@aisha-ro5fr
@aisha-ro5fr 4 жыл бұрын
@Millad ana sauti nzuri pia ana maswali ya hekima sanaa hongera bro we love youu kwa kazi yako ktk jmii
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 4 жыл бұрын
😅😅 millard bwana anauliza mpaka raha
@douglaskomba2304
@douglaskomba2304 4 жыл бұрын
Kabisa
@laylertalpha8226
@laylertalpha8226 4 жыл бұрын
Kabsaaaaa nampenda buree
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Hadi raha
@neemambega4752
@neemambega4752 4 жыл бұрын
Mungu huwashusha wenye kiburi bali huwapa wanyenyekevu wa moyo neema, hakika Mungu ameuona unyenyekevu wa huyu baba.Hata anavyoongea unajua tu hapa kuna hekima na busara.hongera sana baba Laizer.Tunacho cha kujifunza kutoka kwako baba hatakama sio ktk mafanikia makubwa kama hayo basi hata kwahaya madogo tuliyonayo.
@siriyangu4724
@siriyangu4724 4 жыл бұрын
Mungu ndio funguo ya misha
@mwagotimwanamvua5883
@mwagotimwanamvua5883 4 жыл бұрын
Millard Ayo wee ni handsome 💋💋💋😍😍alafu ur voice nayo, it's amazing 💝
@nurulaizer3687
@nurulaizer3687 4 жыл бұрын
Wisdom is everything!God bless you more!
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Mzee Laizzer nakupenda kwa jinsi unavyojibu kisomi zaidi na huna pupa hongera na pongezi kwako.
@jenifajafari7670
@jenifajafari7670 4 жыл бұрын
Nimejifunza usikate tamaa kamwe💕blessed you
@shaabansoma7661
@shaabansoma7661 4 жыл бұрын
You have got money, Allah bless you and your family a new billioner of masai people.
@mathematicsforlife783
@mathematicsforlife783 4 жыл бұрын
Hongera bro Millard kazi nzur
@ebinssports5377
@ebinssports5377 4 жыл бұрын
jamaa kaishia lasaba unaweza ukadhani ana phd.... anaufaham mkubwa mno.
@ramsikhamis7083
@ramsikhamis7083 4 жыл бұрын
Yaaan kabisaa nduguu anajibu kisomi nani mnyenyekevuu saanaa
@dreamonlinetv1493
@dreamonlinetv1493 4 жыл бұрын
watu wenye pesa huwa hawaongei sana 😂😂😂😂😂😂
@niaanthony9588
@niaanthony9588 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Wangekuwa kina gigy money tungekoma
@bahatynyamboz9321
@bahatynyamboz9321 4 жыл бұрын
Diamond
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Sanaaa wanaongea kwa point
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 жыл бұрын
😀😂😀😂
@suleimanali5270
@suleimanali5270 4 жыл бұрын
Roho ya huyo mzee ni njema sana
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 4 жыл бұрын
hongera sana millard unafanya kazi nzur sana sana
@firibertmuya7012
@firibertmuya7012 4 жыл бұрын
Maisha ni mzunguko Kuna kupta na kukosa hivoo hongera yake Masai lizer kwa kupta ubilionea huo tz apa💪💪
@moussashamba719
@moussashamba719 4 жыл бұрын
UZURI WA MAHUJIANO,,NI MASWALI..NAKUBALI SANA BRO BINGWA WA KUHOJI..IT'S EXCLUSIVE INTERVIEW
@idayagifty4651
@idayagifty4651 4 жыл бұрын
Kumbe Millard ayo in mzuri hivi
@peaduuundugukwashidamarsha9385
@peaduuundugukwashidamarsha9385 4 жыл бұрын
Idaya mwambie akuoe
@mercyshilako9102
@mercyshilako9102 4 жыл бұрын
Pia mm nammezea mate Sana ,😂😂😂😂😂😂,namwitaji siku moja atutembelee huku kenya
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 4 жыл бұрын
Nimejifunza sana kwako na nitafuata nyayo mzee . Mungu ni mkuu sana. Huyu baba ni mnyenyekevu na ana hekima zoote.
@naimanurdin8984
@naimanurdin8984 4 жыл бұрын
Walah Millard Una Sauti Nzuri jamani MashaAllah
@tumeerewamiki7490
@tumeerewamiki7490 4 жыл бұрын
Inavutia wallah
@mgenisalim6947
@mgenisalim6947 4 жыл бұрын
Sana Wallah
@naimanurdin8984
@naimanurdin8984 4 жыл бұрын
Kumbe tupo wengi Tunaovutiwa na Sauti Ya Ayo😁😁Mi Mara Nyingi hata sisikizi mahojiano nasikiza Sauti tu Ya Ayo Inavutia Sana😂😂
@dickmalove5544
@dickmalove5544 4 жыл бұрын
Mkampe sasa
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 4 жыл бұрын
Hongera sana mtangazaji na bilionea TZ
@geofreybarama4000
@geofreybarama4000 4 жыл бұрын
Hongera Sana millad kwa interview nzuri upo update sana
@johnshilunga6784
@johnshilunga6784 4 жыл бұрын
Darasa la saba like hapa tujuane
@vincentkiprotich7959
@vincentkiprotich7959 4 жыл бұрын
Millard ayo anabobea kwa mahojiano.
@ashambarouk879
@ashambarouk879 4 жыл бұрын
Dah mzee laizer wwe ni mfano mzur kwa jamii ya watanzania hongera bilionea
@sylivesterandrewsylvester9120
@sylivesterandrewsylvester9120 4 жыл бұрын
Nice interview Serikali imupatie ulinzi wataalamu na fursa awekeze
@dismasmtui729
@dismasmtui729 4 жыл бұрын
Ila mzee ana busara sana.Napenda jinsi anavyojieleza na ni mtu mwenye hekima na busara kubwa.Angekuwa mtu mwingine kichwa kingepata moto sana.
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 4 жыл бұрын
Angepata msanii fulani hapo tungekoma
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 4 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 hahahaha kwaa kweli yaniii
@rachelelias1923
@rachelelias1923 4 жыл бұрын
Laizer katulia sana.. maana alishazoa kushika hela.. Hata familia aliyona kubwa na anaijali vzr.. na kuisomesha.. lazima mungu angempa rizik asingemuacha.. mungu alishauona Mayo wake.. pia ni mpambanaj.. amenitia moyo sana....
@nickmwambene8800
@nickmwambene8800 4 жыл бұрын
Good interview
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 4 жыл бұрын
Mmasai mwenye busara Sana much lov
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 4 жыл бұрын
Millard naona hili umeenda kuhoji mwenywe hujataka mchezo kbsaa maana umepeleka vjana bt mzee umemuhoji mwenywe
@philemonmollel2692
@philemonmollel2692 4 жыл бұрын
Hongera Millard na kijana wako Gody na team yenu mmefanya makubwa sana,unawapa nafasi namkubali sana huyo dogo
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 жыл бұрын
Darasa la Saba oyeeee
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 жыл бұрын
Watu wengi wavumilivu wa maisha ni walioishia darasa la 7
@lilianwilfred3271
@lilianwilfred3271 4 жыл бұрын
Hela zina mpangilio ...😂😂
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Mungu akusimamie baba hapa angekua mswahili yaan sahv angekua dubai huyu mzee amehastle miak 20 tuseme maan ameanza kupat manufaa 2015
@benjaminkisemei7863
@benjaminkisemei7863 4 жыл бұрын
Hongera sana mzee laiza uko mpole na kuonekana mtilivu sana ijapo ww billionaire
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 4 жыл бұрын
Nakupenda sana bilion aidhak
@esterester5612
@esterester5612 4 жыл бұрын
Saut ya Millard jaman tamu kuskiliza😊
@DavidMMKing
@DavidMMKing 4 жыл бұрын
Alifanya vizuri kutoenda shule maana shule zenyewe ni kama kupoteza muda tu. Hukute angekuwa mwalimu au daktari sasa 🤔 Mambo yenyewe yanayofundishwa shule yameshapitwa na wakati. Kinachotakiwa ni maarifa tu sio hizi shule za kutafuta cheti na sifa na kuongea Kiingereza cha ujanjajanja. Mungu habariki jitihada zake. Maarifa tu ndio muhimu na mtu unaweza kuwa na maarifa bila kupoteza muda ati kwenda shule
@alshabje7185
@alshabje7185 3 жыл бұрын
Hongera Sana baba kweli maneno yako
@muddymkamba352
@muddymkamba352 4 жыл бұрын
Mungu ndiyo chanzo cha utajiri mzuri,utajiri bila Mungu ni mateso..
@suleimanomar6467
@suleimanomar6467 4 жыл бұрын
Tumtegemee mungu tufanye kazi kwa bidii bila kukata tamaa na kuamini elimu ndo mkombozi👏🏿
@issaomary4612
@issaomary4612 4 жыл бұрын
Kusoma sana haikufanyi ufanikiwe. Maisha hayana short cut aisee.. Wengi wenye mafanikio elim zao ni kidogo.👏👏 laizer
@mirhatiealamin8255
@mirhatiealamin8255 4 жыл бұрын
Good interview..laizer anajibu maswal vizur sana
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 4 жыл бұрын
Nilikumis sana Millard mpaka nilikuwa nahisi unyonge Ahsante sana kwakuonekana tena
@elizabethejohn8127
@elizabethejohn8127 4 жыл бұрын
Hongera sana masai
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mzee unahekma kubwa sana
@amosmahona433
@amosmahona433 4 жыл бұрын
Milard nilikuwa najua sauti YAKO Ni mitambo kumbe Ni yako
@sadadololi4545
@sadadololi4545 4 жыл бұрын
Mashaallah hongera sana 🙏🙏🙏
@leonsakia6127
@leonsakia6127 4 жыл бұрын
Humility is everything.
@barakmazigo8945
@barakmazigo8945 4 жыл бұрын
Hongera cn mzee masai
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 жыл бұрын
Hongera sanaa kwa uvumilivu👏👏👏
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
OKSII
Рет қаралды 4,5 МЛН
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 30 МЛН
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
Tamanai Papa  By Mary Paulo Lemburis SKIZA CODE 9048356
5:30
Mary Paulo Lemburis
Рет қаралды 941 М.
BILIONEA LAIZER Azindua 'WIMBO' Wake, Awapa ZAWADI Wachimbaji WAKE....
9:04
EXCLUSIVE: NYUMBA 4 BILIONEA LAIZER ALIZOWAJENGEA WAKE ZAKE
2:19
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
OKSII
Рет қаралды 4,5 МЛН