MKALI WENU ALIA Baada ya KUPEWA GARI (BMW) na NABII MKUU GEORDAVIE, AONGEA HAYA!

  Рет қаралды 74,859

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 158
@mutheuforex2514
@mutheuforex2514 2 жыл бұрын
Nabii Mkuu Dr GEORDAVIE Ni Wakitofauti sana.. Kenya Tunaomba afike Tanzania Mlipata kweli Baba Mungu Akulinde Maisha maisha marefu
@realscholarships-bolde.2344
@realscholarships-bolde.2344 2 жыл бұрын
Mungu wetu tusaidie, tupate maarifa tunapokuwa miyoyo yetu inatawaliwa na mali... Yohn 10:10 Nakumbusha watu kusoma bibilia na mioyo yetu tumkabidhi Mungu kwasababu chemichemi za baraka zipo hapo, na tutaijua kweli na kweli itatuweka huru na Mali zitatufuata zenyewe na kututumikia sisi wenyewe siyo zenyewe zitutawale. God bless everyone in Jesus Christ's name.
@mapachawayesu
@mapachawayesu 2 жыл бұрын
Mungu Akubariki Saana Nabii Mkuu Najua kuna wengine chochote utakachofanya wataponda tu Lakin wewe ndo unakijua unachokifanya Na baadh ya watu tunajua thamani ya unachokifanya Kiufupi Yesu hahubiliwi kwa maneno tu pia vitendo , na sikuzote ukibarikiwa kuwa na vingi basi wainue na wengine kuna watu wanaponda tu Anachokifanya Nabii Mkuu huku kuna watu wengi wanawajua wanateseka na wanao uwezo wa kuwasaidia ila wamewaacha tu ila akipatikana anayewashika mkono watu hao hao tena wanaanza kuponda badala wajifunze na wao kuwasaidia watu, Mungu Aendelee kukubariki zaidi Nabii na Uendelee kuwasaidia wengi naamini kwa hilo Tu Mungu Hawezi kukuacha Maana kusaidia watu ni mpaka uwe na Roho wa Mungu siku zote iko hivo
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Mchongo tu huo
@samwelmollel602
@samwelmollel602 2 жыл бұрын
Amina baba umetubariki sana
@mwinjiristiandrewlukowa8028
@mwinjiristiandrewlukowa8028 2 жыл бұрын
YESU Analudi kwa jina jipya MUNGU wa umoja
@AntonyKiponda
@AntonyKiponda Ай бұрын
Hakika wee ninabii wabwana nakupenda sana baba we we ni nuruu
@loulumony8519
@loulumony8519 2 жыл бұрын
Watanzania nawapendag San munapendanag San munakua naupendo muchungaji Mungu akubariki😘🇧🇮🇧🇮🇧🇮👌
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 2 жыл бұрын
🙄🙄🙄
@bakarimakomola
@bakarimakomola 2 жыл бұрын
Mkaliwenu, ni mtu mwenye Nyota tu.... 😂😂😂 Lakini pesa achana nazo aiseee
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 жыл бұрын
Aya mungu tuweke tuone mengi zaidi mzidi kushangilia na sadaka mtoe kwa wingi wenzenu wapate mandinga😆😆😆😆
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 жыл бұрын
Bora ya wewe ndugu ....nadhani ungepewa wewe ungekataa
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 2 жыл бұрын
Upande wapili hakuna vitu kama hv kunamajungu fitna majini na chuki
@highthemetv7857
@highthemetv7857 2 жыл бұрын
@@wangonamuhange8218 uchawi kwa wingi
@alimanana7564
@alimanana7564 2 жыл бұрын
@@wangonamuhange8218 kwenu nyinyi hamna majungu mashetani si ivo kwaiyo pasteur anavio kuwa anawaombea anakuwa anatowa nini acha ujinga mbele ya kuongea fikiria kwanza
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
Ungemjua uyo mzee Don kitambo,ni wivu tu huo 😀
@TonnytonyTv
@TonnytonyTv 2 жыл бұрын
Nimempenda sana huyu mchungaji,
@salimkingu2108
@salimkingu2108 2 жыл бұрын
Sio mchungaji huyo ni nabii
@calvinjackson
@calvinjackson 2 жыл бұрын
Mkali wenu kwani anasaligi🤣🤣
@johnmbise8996
@johnmbise8996 2 жыл бұрын
Kwan yy hamjui Mungu
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 жыл бұрын
@@johnmbise8996 Si ameoa kiislam huyu au ile ndoa ya kikristo?
@calvinjackson
@calvinjackson 2 жыл бұрын
@@johnmbise8996 cool it down bro anamjua👍🏽
@crystalrhymesofficial3379
@crystalrhymesofficial3379 2 жыл бұрын
Mungu pekee kw watumish wa mungu anatosha sas bodyguard zote hz wanin...
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 2 жыл бұрын
unacheza na bmw nini..lol..Jamaa kanyanyua mikono juu kwa bidii huyo..na sasa ataanza kwenda kanisani🤣🤣🤣🤣
@elizabethkassoga493
@elizabethkassoga493 2 жыл бұрын
Wooooow
@abdallaabdulkadir9203
@abdallaabdulkadir9203 2 жыл бұрын
Sio Nabi ni shetwani
@allythabiti8150
@allythabiti8150 2 жыл бұрын
Unaweza kuwa na akili lakin akil ikawa haina ufahamu, ndyomana sisi huwa tunamuomba Mwenyezi Mungu aturuzuku akili yenye ufahamu. Kazi ipo
@ip_header
@ip_header 2 жыл бұрын
Watu wanatoa Sadaka wengine masikini wa kupindukia, lkn anapewa msanii, kimsingi ilibidi waangaliwe hao wakaribu zaidi ya wasanii, lkn kwasababu za biashara inabidi msanii apewe promo kubwa. Anyway that is Africa
@stellah3844
@stellah3844 2 жыл бұрын
Hapo ukute kuna waumini wengi tu wanasali miaka na miaka na wanamaisha magumu balaa🤔 ,,,,,,,,,Hongera Mkali umeupiga mwingi sana
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 2 жыл бұрын
Hi ni sehemu ya interterment ya church kumbuka na ogopa iman unayo ona kwa macho...
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 2 жыл бұрын
Ss hao waumini si ndio washavutwa hapo anatakiwa wambali
@restypeter1141
@restypeter1141 2 жыл бұрын
Thubutu njoo utuonee tulivyo Nona kwa baraka
@blackothman7332
@blackothman7332 2 жыл бұрын
Saivi magari wanapewa wanawake sio wanaume ten😃😃 mpaka mwishoni 2030 tutabaki wachache sana
@zakariajoseph5351
@zakariajoseph5351 2 жыл бұрын
Hatari usanii huu mpaka kwa nabii ili kutaka kupewa kitu 🤣🤣🤣dunia imeisha
@lamerckmsuya5513
@lamerckmsuya5513 2 жыл бұрын
Iyo pesa iliyonunua gari, ni sadaka ya waumini. Sasa apo ni sawa? Ni bora ungeanzisha mikopo kw kanisa wanufaike wote. Mungu wa milele akusaidie
@KibwanaShomali-yi6gq
@KibwanaShomali-yi6gq Жыл бұрын
Fika kanisani ujionee
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Amekita Magot kwa binadam mwenzake 😅😅
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 2 жыл бұрын
UMASKINI m'baya sana sasa huyu msanii mzima unampigia magoti mwanaume mwenzako kwa gari yenye thamani ya $3000 hadi $5000 🤣🤣🤣
@athumaniferooz7790
@athumaniferooz7790 2 жыл бұрын
Acha makasiriko
@talentedboys-tv1507
@talentedboys-tv1507 2 жыл бұрын
We fara unayo ipi
@manjaruu1575
@manjaruu1575 2 жыл бұрын
Asa mkaliwenu ni msaniii?
@shaqdizo7678
@shaqdizo7678 2 жыл бұрын
@@manjaruu1575 sheikh
@bosskimaro
@bosskimaro 2 жыл бұрын
Mkali wenuuuuuu, hapo Mafuta tyuu broooo
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 жыл бұрын
Mchongo unapangwa mapema tu we hd waandishi mmeitwa msituvuruge na tozo hizi
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 жыл бұрын
Haya bhna, twendeni iv iv
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Nipe na mimi ata milion 5 bas
@alexndunguru2402
@alexndunguru2402 2 жыл бұрын
Maigizo hadi nyumba ya ibada
@salimbilali5174
@salimbilali5174 2 жыл бұрын
Muislamu mzima unaend kujipendekeza uko bro unawaste time
@gabrieldavid3689
@gabrieldavid3689 2 жыл бұрын
Niko studio namimi muda huu jumapili ijayo mtaniona🤣🤣🤣
@furahannko10
@furahannko10 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@msalikemedia
@msalikemedia 2 жыл бұрын
😃😃😃😃
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆aya hongereni nyote 😣💔
@peragiaisdol3804
@peragiaisdol3804 2 жыл бұрын
Mungu nifundishe kunyamaza iidunia inamambo mno
@ahmedyhassan4059
@ahmedyhassan4059 2 жыл бұрын
Mimi Nasemaje uyu mzee Allah amtunze...anae toa mungu umpa....
@wangonamuhange8218
@wangonamuhange8218 2 жыл бұрын
Yani wewe unaimani ya mungu sio dini mungu akubariki
@salimkingu2108
@salimkingu2108 2 жыл бұрын
Yaani katika watu wote walio comment happa wewe ndo umeongea kitu Cha maana karibu Arusha nduga yangu huyu n nabiii hachagui dini
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 2 жыл бұрын
@@wangonamuhange8218 kabisa Yan
@ibrahimmchucha3034
@ibrahimmchucha3034 2 жыл бұрын
Ila nyie njaa mbaya sana mmmh hatar tutashuhudia mengi mwaka huu,😂😂
@mapachawayesu
@mapachawayesu 2 жыл бұрын
Hicho ndo kinamfanya Diamond awe tofauti na wasanii wote wa Tanzania kuwasaidia watu so ukiwa na uwezo wa kuwasaidia watu wasaidie na usisubirie shukrani zao wewe songa mbele
@MtuSafi
@MtuSafi 2 жыл бұрын
diamond ni mfanyabiashara..
@mapachawayesu
@mapachawayesu 2 жыл бұрын
@@MtuSafi uko sahihi lakin vitu vyake vyote anavyovifanya vinafanikiwa kwa sababu ana juhudi na ni Anasaidia watu wengi leo hii kuna familia nyingi tu zinafurahia maisha kwa sababu ya Diamond ila watu wengine wamekalia kusema tu oooh ni Freemason wakatai wanaona mtu halali usingizi 🤣😄 Binadamu bwanaaa😄😄😄
@salimronaldo1388
@salimronaldo1388 2 жыл бұрын
Kwa ivyo ilisajiliwa kabla kwa jina la nani please?? Ama ni mimi ndo sielewi???,?
@hamadishaibu8490
@hamadishaibu8490 2 жыл бұрын
Na mimi jamani nataka ndinga
@Peterchila-un2lx
@Peterchila-un2lx Жыл бұрын
Njaaaa zitatuuwa
@johnsonvisual
@johnsonvisual 2 жыл бұрын
Mbna class D na sio E Upya wake ni upi🙄
@joycemollel7698
@joycemollel7698 2 жыл бұрын
Duuuh kweli
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 2 жыл бұрын
Dini zingine za kifala kwl, yani sadaka zenu watu wanannuliwa magari alafu nyny mnashangiria eti wakati nyny watoaji sadaka hamna hata baiskeli😂
@mema31
@mema31 2 жыл бұрын
Kua makini na maneno yako kifala kilamtu na Iman yake usijione yako iko sahii
@chalessabaya2938
@chalessabaya2938 2 жыл бұрын
Sasa uliitwa ulete hyo sadaka si ungemrushia mungu kule juu kama utaki iliwe na mwanadamu
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 2 жыл бұрын
😅😹😹😂😂
@mimikimanga3126
@mimikimanga3126 2 жыл бұрын
Am Christian dini yetu sio ya kifala ila tu ni kwamba watu wanaangamia Kwa kukosa maarifa hata biblia inasema hivyo ila usiseme dini ni ya kifala sababu hata huko miskitini kwenu kuna mambo machafu mengi tu na ya hovyo yanaendelea ila wakristo wamewaacha na imani zenu
@ramadhanmtoo245
@ramadhanmtoo245 2 жыл бұрын
Kajamaa kajanja sana
@neemaedward4567
@neemaedward4567 2 жыл бұрын
Isije ikawa ndo mwanzo au mwisho Wa kukuona hapa duniani.🏃🏃😇
@MswYhy
@MswYhy 2 жыл бұрын
Naamini kunamkona wa shetani kati ya nabii na mkaliwenu mkaliwenu kaingizwa
@amryomar3946
@amryomar3946 2 жыл бұрын
Nimeamini Tanzania ni inchi yenye kutekeleza ujinga hiyo kanisa iko na masikini wangapi huyo mchungaji pesa za sadaka anaenda kununulia mtu gari mwenye tayari maisha yake yako vizuri kuna mtu amekuja kwa hilo kanisa na hajuwi akitoka hapo yuwaenda kula nini f..........k that pasta
@gh7naa
@gh7naa 2 жыл бұрын
Mkiambiwa hapo hamna sehem ya kuabudu ni party tu watu wako free na miwigi ka ma zimwi duh na baunsa wa nn b
@gh7naa
@gh7naa 2 жыл бұрын
Tarabu kuoeana vijbe kupeana
@castrokassoga7271
@castrokassoga7271 2 жыл бұрын
Sasa hao wanashangilia nini wakati ni sadaka zao zinaliwa na wao hawana kitu
@denisikinunda4759
@denisikinunda4759 2 жыл бұрын
Pana Siri zito Sana hapo
@allyfatma7359
@allyfatma7359 2 жыл бұрын
Kama kweli.maana sielewi.🤣🤣🤣
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 2 жыл бұрын
Wengi wetu hawaelewi haya mambo aisee hapo nyuma ya pazia kuna siri nzito na yakutisha niwachache sana tunaoelewa hivi vitu
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 2 жыл бұрын
Emmanuel nakuelewa sana. Wengi wamefungwa macho
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 жыл бұрын
Watu wanachezea za uso km mandonga hapo 😂😂
@robinhomesuza8906
@robinhomesuza8906 2 жыл бұрын
Mmmmmm
@Cristiano_ronaldo171
@Cristiano_ronaldo171 2 жыл бұрын
Mkaliwenu mwislamu wewe VP tena unampokea yesu
@gh7naa
@gh7naa 2 жыл бұрын
Kumsngizia yesu kila jambo yesu akija hapo atawashangaa na dini ya ajabu minywele nguo fupi mikelele music mabaunsa
@salminazizi8039
@salminazizi8039 2 жыл бұрын
mission plan ni usaniii t umetumkaaa #mchungaji anaishi kwa sadka hn kiburi ch kump mtu gri ww
@thomasluhumbika9606
@thomasluhumbika9606 2 жыл бұрын
Tunaangamia kwa kukosa maarifa
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 2 жыл бұрын
Thom wewe huangamii Wana angamia hao waaabudumali
@ommysompa7166
@ommysompa7166 2 жыл бұрын
Pambana mkali wetu
@mema31
@mema31 2 жыл бұрын
Hata hapa namwona kama anachekesha
@daproomdangu5953
@daproomdangu5953 2 жыл бұрын
mbon mwenzake na mkali wenu han furaha😂😂
@vdhhhgduue3577
@vdhhhgduue3577 2 жыл бұрын
Sasa mkari wenu kilichobaki kuokoka tu haya usije sahau dini yko ya kiisalam,
@mwanamwantumazizi1869
@mwanamwantumazizi1869 2 жыл бұрын
Inamaana mkaliwenu kabadili dini au kulikoni?
@mornasaidtindwa3622
@mornasaidtindwa3622 2 жыл бұрын
Sasa kanisani na walizi jmn
@restypeter1141
@restypeter1141 2 жыл бұрын
Hicho ndo ulichokiona mbona km umepanic 🤣🤣🤣🤣
@R10_Rajab
@R10_Rajab 2 жыл бұрын
Makafiri Ndivyo wanavyowateka waislamu kwa Aina hiyo, tamaa ndio inayoponza hahaha tuwe makini wazee
@amossmabangotz2032
@amossmabangotz2032 2 жыл бұрын
Huyu mchungaji atakuwa anawafira sana hao jamaaa why anagawa kwa wanaume tu 😂😂😂
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@paulebby1877
@paulebby1877 2 жыл бұрын
Bongo sihami
@peragiaisdol3804
@peragiaisdol3804 2 жыл бұрын
Kwaiyo nabii mkuu ukimuimbia tu unapewa ndinga
@malikzafarani172
@malikzafarani172 2 жыл бұрын
Mtoto wa kislam unafanya nn kanisani
@officialmimi269
@officialmimi269 2 жыл бұрын
@Eliashibu Ndabalinze 😂😂😂😂 ameen
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 жыл бұрын
Kaenda kuchukua gari
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 2 жыл бұрын
Huyu mchungaji anafundishaga watu kutoa ushuhuda wa uongo
@hydo8027
@hydo8027 2 жыл бұрын
Huu mwaka haushi nitatafuta sehemu nilete uchawa namimi🙁🙁😞
@masoudabdoul8447
@masoudabdoul8447 2 жыл бұрын
Kondoo wanashangilia😂😂😂
@habibajafari7148
@habibajafari7148 2 жыл бұрын
Hapo kondoo hawana ata nauli
@ankoodeeog8511
@ankoodeeog8511 2 жыл бұрын
Nahuyo mwenzake mpeni pikipiki basi
@messengersofgodchoir9435
@messengersofgodchoir9435 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 we Mungu nakuona 🌚😂😂
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@joycemollel7698
@joycemollel7698 2 жыл бұрын
Bahati ya mtu
@ayushjhay4361
@ayushjhay4361 2 жыл бұрын
Kheri mm mtu anipe nyumba nitaishi nayo na wanangu watarithi lakini gari? kila wakati mafuta
@MtuSafi
@MtuSafi 2 жыл бұрын
kwahyo ukipewa unatupa?
@restypeter1141
@restypeter1141 2 жыл бұрын
Ana atakupa kwa wivu huo
@restypeter1141
@restypeter1141 2 жыл бұрын
Ana atakupa kwa wivu huo
@atamotivetv8104
@atamotivetv8104 2 жыл бұрын
Mkali wenu si muislam ?
@chuchudodo8315
@chuchudodo8315 2 жыл бұрын
Hakikisha una subscribe
@Hawa-ed2hg
@Hawa-ed2hg 2 жыл бұрын
Asipo angaria atabadirisha dini
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 2 жыл бұрын
Si kashakuambia yupo tyr
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 2 жыл бұрын
Kwan mkali dini gan mana sielewi
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 2 жыл бұрын
Before alikuwa mkristo lakini baadae akaslim now ni Muslim
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 2 жыл бұрын
@@hassanihussein4479 Atuna Waislam Wa iv Uyoo ni Bdo Ni Mkiristo
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 ☑️
@monstermonster3649
@monstermonster3649 2 жыл бұрын
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 🤣🤣🤣🤣🤣
@saidyahya6392
@saidyahya6392 2 жыл бұрын
mmhhh dini zimekua perfume sku iz
@jastinimushi5992
@jastinimushi5992 2 жыл бұрын
Kwan anatoa wap pesa huyu mtumishi wa kuchukulia watu mandinga
@hancybeny
@hancybeny 2 жыл бұрын
Sadaka za waumini izo tena hapo sadaka zake ni VIP siku za mwisho iz
@jastinimushi5992
@jastinimushi5992 2 жыл бұрын
@@hancybeny aliyetoa hana gari wala nyumba ila anaongezewa mwenye nacho yani mchungaji anachukua uaminifu kwa kuwajali wasanii hehehhe
@roman2270
@roman2270 2 жыл бұрын
Bodyguard wengii
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 2 жыл бұрын
Michezo😂
@waheedhamad4558
@waheedhamad4558 2 жыл бұрын
Jamani huyu c miraji tena mtto wa kiislamu huku kafikaje?
@leticiacosmas7626
@leticiacosmas7626 2 жыл бұрын
Wajinga ndio waliwao
@gwijitv
@gwijitv 2 жыл бұрын
Si tunasemaga Mungu mmoja, Au Mungu wa Waislamu na Wa Wakristo ni tofauti?
@waheedhamad4558
@waheedhamad4558 2 жыл бұрын
@@gwijitv ww umeshawahi kuingia msikitini na kuswali?
@aishaabdi2059
@aishaabdi2059 2 жыл бұрын
Watu ubadilishwa dini namambo km haya
@mwlpierre
@mwlpierre 2 жыл бұрын
Mbona hata upande wa pili ni hivohivo tajiri wakiarabu wanafanya yayo hayo
@homesaickofficial7407
@homesaickofficial7407 2 жыл бұрын
Sasa bodyguard wa nini kanisani jamani
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 2 жыл бұрын
Kwenye msururu wa Mende na inzi wapo
@aishaabdi2059
@aishaabdi2059 2 жыл бұрын
Ataokoka sasahivi huyu
@unjuinkuganda1991
@unjuinkuganda1991 2 жыл бұрын
KIPIMO CHA UJINGANA LAANA NI WAFUASI WA HUYO MZEE
@witnessjohn2600
@witnessjohn2600 2 жыл бұрын
Huyu mchungaj anatoaga magari tu
@alexndunguru2402
@alexndunguru2402 2 жыл бұрын
hivi hao waumini ni akili zao kweli au wamerogwa jamani
@KibwanaShomali-yi6gq
@KibwanaShomali-yi6gq Жыл бұрын
Kaka hujawahi Sali Hilo kanisa niulize mm hao wote hapo wanamafakio na hawakuwa nakitu Geordavie anamafundisho mazuri yablia ukiyafuata unatoka kimaisha
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 2 жыл бұрын
Mnataka kumvuta dini yenu
@munirashughuli618
@munirashughuli618 2 жыл бұрын
Astaghafirullah eti Nabii mwakufuru nyie
@hassansadiq6319
@hassansadiq6319 2 жыл бұрын
Anayeamini usanii huu atakua na matatizo ya afya ya akili.
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
I'VE MADE A CUTE FLYING LOLLIPOP FOR MY KID #SHORTS
0:48
A Plus School
Рет қаралды 20 МЛН