#WASANII

  Рет қаралды 91,304

GeorDavie TV

GeorDavie TV

Күн бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
TUFUATILIE
▶︎ Facebook: / geordavietv
▶︎ Instagram: / geordavietv
▶︎@GeorDavie Maarifa
#dude #Hamorapa #mkaliwenuoriginal

Пікірлер: 357
@norbeekentertaiment
@norbeekentertaiment Жыл бұрын
Kuna haja kubwa sana kwa wanadamu kusoma, kuelewa na kutafakari maneno ya Mungu. Kila kinachoendelea katika dunia hii ni ishara ambazo zilishaoneshwa katika maandiko matakatifu
@joshuarafael9462
@joshuarafael9462 Жыл бұрын
Mathayo 24:22 Na kama siku hizo zisingalifupizwa asingeokoka mtu yeyote lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo
@pastorteddywaziri5754
@pastorteddywaziri5754 Жыл бұрын
Hapa linatimia andiko la isaya linalosema"Siku hiyo wanawake Saba watamnyang'ania Mwanaume mmoja na kusema tutakula chakula chetu sisi wenyewe na tutajivalisha wenyewe tunachotaka tuitwe TU Kwa jina lako.Pia itakuwa siku ya mwisho nyumba ya Mungu Itainuliwa juu ya mlima na watu wataiendea makundi makundi.watu wameshajua chanzo Cha baraka ni kupitia Kwa nabii ndio maana wako hapa🙏🙏🙏
@yusuphwilliam5343
@yusuphwilliam5343 Жыл бұрын
Kweli kbc
@beatricekabamba6011
@beatricekabamba6011 Жыл бұрын
Watu wanakosa maarifa ya Neno la Mungu kweli, ufalme wa Mungu hautatekwa nawenye pesa, Bali unatekwa nawenye nguvu na hofu ya Mungu
@benbaraka527
@benbaraka527 Жыл бұрын
@@beatricekabamba6011 nguvu unayoisemea ni ipi
@mydearyasini7005
@mydearyasini7005 Жыл бұрын
Watu hawana shida na mungu wanashida na hela
@aginiweyessayakyando9855
@aginiweyessayakyando9855 Жыл бұрын
Wewe umeelewa
@ayoubbenson6455
@ayoubbenson6455 Жыл бұрын
Hapo ndipo watu wapo tayari kutumbukia shimoni kikubwa fedha
@naalyhussen3253
@naalyhussen3253 Жыл бұрын
San
@halimaTotii2218
@halimaTotii2218 Жыл бұрын
Hapo umesema ukweli kakangu maana pastor wa ukweli huubiria watu wa mrudie mungu. Hakuna msanii yyte anaemuimbia mungu tunaemtumikia ambaye ni yesu. Wamepigwa mchanga wa macho hawajielewi
@pendobaharia7227
@pendobaharia7227 Жыл бұрын
Haw wasanii washaona hapo ndo pakupatia hela
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 Жыл бұрын
Kwa ujingaaa huu bora nife maskin, Ila mungu ni mungu Tuuuu
@hanifa9153
@hanifa9153 Жыл бұрын
Ya Allah wasamehe waja wako ya Allah kweli binaadam tufikia kuabudu binaadam mwenzetu🙌 subhannallah mwenyez mungu ndo mtoaji wa riziki tutafte 2 za halali jaman manake dunian tunapita😭😭
@eliyakeithy
@eliyakeithy Жыл бұрын
Iwe jee jameni enyi wa danzania
@bongiwebantwini6373
@bongiwebantwini6373 Жыл бұрын
Njaa itatuingiza Motoni,Allah Atunusuru!!
@adammgana7811
@adammgana7811 Жыл бұрын
Wallahh njaa itatuingiza motoni
@rubenibernald6138
@rubenibernald6138 Жыл бұрын
Kweli ......hatarii mpaka pimbii
@fidonifidel
@fidonifidel Жыл бұрын
Njaa njaaaaa.....njaaa
@maulidimassanga4183
@maulidimassanga4183 Жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema kwakweli wwe meya una wa dharirisha sana wazazi wako
@petrosteven242
@petrosteven242 Жыл бұрын
hHAHAHAH
@novatusyohana9349
@novatusyohana9349 Жыл бұрын
Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa Mungu awa hurumie
@anastaziaemily4708
@anastaziaemily4708 Жыл бұрын
Serious, hakuna Mungu wa kweli apo.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Yes tunaenda motoni hivihivi twajiona kisa pesa
@japhetntabala6964
@japhetntabala6964 Жыл бұрын
Kweli watu wa Mungu na munaendelea kufuatana na mtu kama huu kweli ni siku za mwisho watu wamefungwa macho wamekuwa kama vipofu hawajuwi waendako, tuwe makini watu wa Mungu
@mbisetv8349
@mbisetv8349 Жыл бұрын
Kivp
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Kisa pesa tunaenda jehanamu na dhambi zetu MAANA makanisani yamejaa maigizo so KUONYANA dhambi
@ujumbekwawaulimwengu
@ujumbekwawaulimwengu Жыл бұрын
Je mnajuaje kama sio mtu wa mungu,mungu ndie anajua ninyi hamjui kwahio acheni kusema maneno maneno kwani shetani ndie ananguvu peke yake,hata na mungu ananguvu zaidi na anaweza kuwapa watu nguvu wakafanya miujiza mingi , na usihukumu usije ukahukumiwa mungu ndie wa kuhukumu siyo wanadamu kama hayuko nabi wa kweli mungu ndie anajua wewe hujui kwahio ni bola ujinyamanzie usije ukamusemea vibaya bure kwahiyo tujifunze kunyamanza,kwasababu kusema mengi sio kuyamariza.
@edinamkubwa2629
@edinamkubwa2629 Жыл бұрын
Aiseeeee kazi sanaaa dunia imefikia pabaya sanaa neema ya MUNGU atufunike sanaaa......
@arleneilunga9202
@arleneilunga9202 Жыл бұрын
Heeh mungu wa mbinguni ao uko likizo baba, watu wako wana poteya duniani, wameanza kwaabudu vinadamu wenziyo😭😭
@santosclassic9935
@santosclassic9935 Жыл бұрын
😭😭😭
@cafejohn3582
@cafejohn3582 Жыл бұрын
Yaaani nyiyi wote ni machajwa wote wachumiya tumbo eti mnasema kumbe mumekwenda kula siyo kwenye mahubiri mwenyezi mungu tupe mwisho mwema eti munasema munampenda baba munapenda pesa zake tu
@georgeotieno3614
@georgeotieno3614 Жыл бұрын
Mungu naomba anika manabi wa ungo katika jina la yesu tuwajue kwa mine minendo yao
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Yesu sio yesu, mpendwa Amen
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Жыл бұрын
Ilikuwajua wakweli na wauongo soma bitabu vya M/Mungu utajua tu
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Жыл бұрын
Umasikini mbaya sana!! Nyeusi unaweza sema nyeupe!!!
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 Жыл бұрын
Mmmh Nyakati za mwsho Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaa😭🥲
@issansengiyumva5888
@issansengiyumva5888 Жыл бұрын
Ni shida kweli
@dismassuperboy9077
@dismassuperboy9077 Жыл бұрын
Nabii mkuuu anaroho ya ubinadamu anaroho ya utoaji Sana kwawatu wachini mpaka walio zalauriwa wanaheshimika mungu akulinde akutunze amen
@allabout1783
@allabout1783 11 ай бұрын
Sasa si uandike kiswahili vizuri, au ulirushwa madarasa?
@evancykashaga6576
@evancykashaga6576 Жыл бұрын
Mbona mnatuminguvu sana kutaka kujulikana watu waMungu ivi ikindicho Kristo alicho agiza kweli ivi injiri haikoivyo
@ashahamad4624
@ashahamad4624 Жыл бұрын
Barikiwa sana nabiii wa MUNGU baba ..wema wako ni hadhina mbinguni.
@fredrick5514
@fredrick5514 Жыл бұрын
Wewe ni baba yupi mnataja, Binadamu ama mungu wa binguni, wacheni uppuzi ety Nabii mkuu wa nn kama ni kusaidia mtu si lazima utoe Kwa uwazi Bali mpe Kwa asiri ili mungu akubariki Kwa wazi Wacha kujivunia wewe ni Nabii msifu unasifa sana unageuza kanisa kuimbiza mareggae we unapotosha Wana wa mungu
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Naitwa Yusuph Maige nampenda sanaa nabii Joe Dave hakika anatimiza mapenzi ya Yesu Kristo ujue sisi wanadamu tu wepesi wa kuhukumu sana hata Yesu Kristo alipokaa na Mariam kahaba watu walianza kumhisi tofauti Kwa kulijuwa Hilo aliwambia nilikuja Kwa ajili ya watu waliopotea so acheni kumhukumu baba yetu
@emmanuelkasubi1063
@emmanuelkasubi1063 Жыл бұрын
Naitw emmanuel Kasubi Kutok mkoa wa tabora Nampenda san nabii geordavie Nafuatilia san mafundsho ya baba
@hassansuleiman4139
@hassansuleiman4139 Жыл бұрын
chunguza jina JoeDave
@ednambata9503
@ednambata9503 Жыл бұрын
Mwemw ww mtumish wa mungu kuna wat wanashida maskin, wazeee mnashindwa kusaidia hao watu
@alexchungu6263
@alexchungu6263 Жыл бұрын
wewe umejuaje kama hawasaidii ? au unataka akiwa ana saidia aoneshwe kwenye Tv ? au unafikir anaweza kusaidia masikini wote Tanzania ?
@bilaalmuhammad9499
@bilaalmuhammad9499 Жыл бұрын
Innalilah wa inna ilaihi raajiun
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Ooo Dude. Hongereni sana. Kuja MBELE ya Mh NABII Mkuu ni JAMBO lisiloelezeka kabisa wote jamiini walioweza fika machoni pake lazima wana baraka za AINA Mbalimbali.
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Жыл бұрын
njaa mbaya
@khadijamussa7727
@khadijamussa7727 Жыл бұрын
Huuu nizaidi ya msiba mungu tunusuru na pia utukinge na vizazi vevyetu harafu utakuta hapo Kuna matoto ya kiislm mungu tunusuru
@softtlipssLive
@softtlipssLive Жыл бұрын
There's Something Special About This Video 📺 🌟 👀, I like your Content 👀 More Love ❤️. Welcome KENYA 🇰🇪
@emmanuelonyangoochola9228
@emmanuelonyangoochola9228 Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi ,mpango wa Mungu na wengine wainuke kupitia ww Nabii Mkuu, najiambatanisha na maombi ya nyota kuwaka ili pia na mimi kazi zangu zikaonekane kwa mataifa Amen
@mlenglewis1747
@mlenglewis1747 Жыл бұрын
Mm ni mwokovu na singetaka kupigana na wokovu wenzangu kwa maneno ila apa naona kuna kumtukuza mwanadamu ila si Mungu,kila anaye ongea anampa sifa mtu ila c mungu🙏🙏baba?baba??
@hassansuleiman4139
@hassansuleiman4139 Жыл бұрын
ni kweli huyo ni mganga
@jamalmanzi5239
@jamalmanzi5239 Жыл бұрын
Ndo tulipofika sasa hv, sasa jiulize tunaenda wp😆😆 Allah atusamehe, atuhurumie
@mlenglewis1747
@mlenglewis1747 Жыл бұрын
@@jamalmanzi5239 kuna mambo yasiyo eleweka kabisa
@jamalmanzi5239
@jamalmanzi5239 Жыл бұрын
@@mlenglewis1747 We acha tu
@rubenibernald6138
@rubenibernald6138 Жыл бұрын
Ringo bwana etii tumepewa mamlaka yakukanyaga nyoka na nngeee ...et piga kelele kwa nabi wetuu..siyo kwa mungu wetuu tenaa
@priscajohn6090
@priscajohn6090 Жыл бұрын
Upo vzr baba' niwachache sana baba wanao toa' wengi wanataka kupokea! Natamani siku na mi² nikuone laivu
@musalufuke_1130
@musalufuke_1130 Жыл бұрын
Safiii mi kama muimbaji Mussa lufuke nasapoti kwa maana anacho kifanya ni moja ya kusema Mungu asante ila Mungu akulinde nabii mkuu uendelee vivyo hivyo kwa kusapoti pia tasnia ya sanaa tanzania balikiwa
@mbisetv8349
@mbisetv8349 Жыл бұрын
Nampenda sana anaweza kukusanya watu wote hivyo afuu mnaropoka ropoka tu fanyen nanyie kama mnaweza
@getrudamedard9607
@getrudamedard9607 Жыл бұрын
Yaani watu wanaongea sana Tz hii maneno ingekua pesa watu weng wangekua matajiri maana wanaongea sana
@nicolausmapunda9470
@nicolausmapunda9470 Жыл бұрын
Umeongea point san
@joelyjoely7827
@joelyjoely7827 Жыл бұрын
UUUNIUNJILIST MKALI WATU WANABADILISHWA APO NGULUMO YAUPAKO SALUT KWA NABII MKUU
@karamakarama8922
@karamakarama8922 Жыл бұрын
Allah Atustiri Na Umasikini Wetu ☝🏿
@florianakhweso5749
@florianakhweso5749 Жыл бұрын
Umaskini wako mwenyewe😁😁😀😁😁
@fatumaabasi777
@fatumaabasi777 Жыл бұрын
Aamiin
@leiratykisura6718
@leiratykisura6718 Жыл бұрын
Kweri watu wanapenda pesa na sio kuwa na eman wara kumpenda mungu uyo nabi kajua kucheza na hakiri za wasani
@swimmermoddy3263
@swimmermoddy3263 Жыл бұрын
Njaa mbaya saana
@Kabeya410
@Kabeya410 Жыл бұрын
Subuhanallah Waislamu ndo wanalengwa Sana kutolewa kwenye reli yaani tamaa ya pesa mnaitupa Dini INNALILAH WAINNA ILAYHI RAJIUN. msiba mkubwa.
@desderymakoi6595
@desderymakoi6595 Жыл бұрын
Kila kazi itapimwa kwa moto haswa baada ya tarumbeta ya unyakuo wa kanisa ndo itajulikana haya kuwa life is not for enjoyment
@jamali5199
@jamali5199 Жыл бұрын
Mngu akubaliki nabi mkuu Geor DEV naomba unifungulie milango ya maisha
@lugelongoi
@lugelongoi Жыл бұрын
Ww ni chizi
@mustafaalli4698
@mustafaalli4698 Жыл бұрын
Kwel kwa nabii GeorDavie kuna furaha sana...😊
@bilhakamarara4435
@bilhakamarara4435 Жыл бұрын
Jina la Mungu aliye hai anza na herufi kubwaa
@amanishiughaaa6345
@amanishiughaaa6345 Жыл бұрын
Daaaah ira nmecheka Ham rapa Alivyo dace Had raah yote tisa kumi kwa mkali wenu sasa
@rebeccamagita9174
@rebeccamagita9174 Жыл бұрын
Duuu kwel watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa,hongera zako nabii mkuu kwa kuteka maarifa ya wapumbavu
@reganshao
@reganshao Жыл бұрын
Watu wamekwisha yan
@majormajomjohn3775
@majormajomjohn3775 Жыл бұрын
Siku za mwisho,nao watawadanganya wengi,yamkin hata wateule
@stevendoo2086
@stevendoo2086 Жыл бұрын
Ni ngumu sana kumuelewa Nabii Mkuu....Amini kabisa huyu ni Nabii wa kweli wa MUNGU..na anawatumia celebrities kwaajili ya kuwavuta watu hasa wasio amini ili waje waamini wafunguliwe, Labda hawa wasanii ndo wafwate Pesa zake kwa maslahi yao ila Nabii keshafanikiwa....MUNGU AKULINDE NABII MKUU WA MUNGU.
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Kazi ya nabii ni kukomboa waliopotea na kutangaza utawala wa mungu..pia kuhubiri na yajayo na yaliyopita ...Ila siyo kujadiri utajiri wa kidunia....hasa kazi ya nabii siyo kufanikiwa kitajiri Zaidi Bali ahubiri neno la mungu liliokubariwa na siyo kuwapa watu utajiri
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 Жыл бұрын
Nabii Joe Davie Nakuombea uishi miaka ya ukamirifu zaidi you're a blesser
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Kwa lipi? Kumpa utukufu wa Mungu ? Aisee,Yesu turehemu
@ayoubbenson6455
@ayoubbenson6455 Жыл бұрын
Kuokoka ndio matunda sahihi zaidi mnalitumia jina LA yesu vibaya watu wanakuja kutukuza mambo ya Giza kwa jina LA yesu tufuate njia za Mungu hill ndio kubwa zaidi
@stephendavid5555
@stephendavid5555 Жыл бұрын
Nyakati zitasema acha wakipate wanachokitafuta Mungu awalehem
@rashidhamis5320
@rashidhamis5320 Жыл бұрын
Duh!!!!Dunia Ina mambosana
@pastorcarolicarlostokunmbo826
@pastorcarolicarlostokunmbo826 Жыл бұрын
Watu wanashida na hela na Nabii mkuu anashida ya kiki kwahiyo interest zimefanana.
@issansengiyumva5888
@issansengiyumva5888 Жыл бұрын
True
@Mc_Kibonge_Mwepesi
@Mc_Kibonge_Mwepesi Жыл бұрын
Na wewe una wivu na vinyongo utakufa vibaya weweee!!!!
@Hiza_kodeck2005
@Hiza_kodeck2005 Жыл бұрын
Mungu Ametenda
@selinatogolai3314
@selinatogolai3314 Жыл бұрын
Joe devi mii nakupend a sana mmungu akub ariki sana
@neemamjema1067
@neemamjema1067 Жыл бұрын
Ishi sana baba yangu Senior Prophet Dr GeorDavie 🤲🤲💪💪💞💞💞
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 Жыл бұрын
Baba Mungu akuongoze Daima..nabarikiwa sana unavyodhamini jamii.asiyekuelewa basi basiii basiiii tena
@marymwanziamary6623
@marymwanziamary6623 Жыл бұрын
Neno linasema tusifanyie kazi chakula cha tumbo kwa nini muabudu mwanadamu hii ni hasara kwenu MUNGU atabakia MUNGU milele habadiliki kamwe
@bongiwebantwini6373
@bongiwebantwini6373 Жыл бұрын
Ya Allah tupe mwisho mwema
@deotienndizeye7633
@deotienndizeye7633 Жыл бұрын
Eeee Mugu naitaji sikumoja ufikise Arusha Tanzania nimuone Nabii Mku usokwauso kwamana nikitaji jinalake kwamaombi yangu unajibu kwaharaka sana. Nabii ubarikiwe
@xembogasd1725
@xembogasd1725 Жыл бұрын
Mungu akulipe kwa unavojitolea vingine tumuachie Mungu
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Жыл бұрын
Kumb kwel wenyew Nguvu hawana bahati nkwl sasa kwl kusifia tu Gari pesa mmh...Mungu kwl n MKUU sana
@-KINKAU
@-KINKAU Жыл бұрын
Hongera baba kwa moyo wako ubarikiwe Nakufatilia sana maombi yako yananiponya nipo Austria tunatafuta maisha napona mengi kwakupitia wewe Ammen👏🏿👏🏿👏🏿
@-KINKAU
@-KINKAU Жыл бұрын
@ZIDANE TV Ndio
@janethkinabo3486
@janethkinabo3486 Жыл бұрын
Baba kwakweli unajua kunifurahisha, barikiwa mno baba. Nakuja na Mimi kuchota baraka zangu baba.
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
Mtihani kwelikweli Allah atunusuru maana naiyona jahannam hiyooooo inawasubiri
@aloyceiluminata3650
@aloyceiluminata3650 Жыл бұрын
Hapo hakuna nabii Kuna utapeli na ushetani tuu!!
@esthercedrick4914
@esthercedrick4914 Жыл бұрын
njaa ni mbaya sana
@GitongaM
@GitongaM Жыл бұрын
I wish one day I will meet u daddy.....namimi uniekelee mkono wako....am from kenya
@annelunazo6660
@annelunazo6660 9 ай бұрын
Hawa wanamuabudu hadi wamemsahau mungu
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
kwer nime minnnn jamani wasaniii wabongo takuja shikwa kalioo jamani izo njaa tu baba wawatu ata mchokeni sasa mba haya nyie
@lameckwilliam8311
@lameckwilliam8311 Жыл бұрын
Mungu ni wa wote wenye mwili nabii mkuu piga kazi maneno yapo tu
@rosentikha1572
@rosentikha1572 Жыл бұрын
HAKIKA
@mollel1938
@mollel1938 Жыл бұрын
Tunakukubali sana Baba utubariki na sisi huku tulipo
@michaelkivuyo5365
@michaelkivuyo5365 Жыл бұрын
Baba usiniache baba ulipoenda Burundi nilitamani sana tuende wote ila sikufnikiwa baba usiniache kuniombea maana maisha ninayo yapitia si Vema sana baba ,me niko Nairobi,donhon
@jackiemaggy2484
@jackiemaggy2484 Жыл бұрын
Ole wanu mafarisayo na masodokaya siku inakuja nyinyi na nabii wanu aki moto inaniwait msipobadilika mtajuwa yesu mwana wa MUNGU hachazewi
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Jamani hadi hao hongereni Mungu awazidishie , hahaaaaa handsome boy
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 Жыл бұрын
Usiwe msemaji wake okoka umseme Yesu ambae amempamtumishi wake umaarufu
@reganshao
@reganshao Жыл бұрын
Kabisa jaman
@ayoubbenson6455
@ayoubbenson6455 Жыл бұрын
Anataka awe msemaji wake ili apige pesa yaani nashindwa kueleza tunavyoangamia maarifa yamefungwa
@paulwanyama4610
@paulwanyama4610 Жыл бұрын
Mwisho wa dunia kweli 2timotheo 3:1 siku za mwisho zitakua nyakati za hatari
@msafirikilongo7429
@msafirikilongo7429 Жыл бұрын
Watu wanafuata pesa lakini wakifika hapo wanabadilika kwa uwezo wa Mungu
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Amina gd
@agripamwangobola6488
@agripamwangobola6488 Жыл бұрын
George device mungu hakubarik
@magembedaniel2179
@magembedaniel2179 Жыл бұрын
Barikiwa sana Baba
@rosentikha1572
@rosentikha1572 Жыл бұрын
Ameen
@michaelkivuyo5365
@michaelkivuyo5365 Жыл бұрын
Thanks you brother
@johnbernad3990
@johnbernad3990 Жыл бұрын
Zanzibar hatuwataki msije kabisaaa 🤗🤗
@kelvindaudi2107
@kelvindaudi2107 Жыл бұрын
Asante sana baba mungu akupe uepo sikuzote
@rosentikha1572
@rosentikha1572 Жыл бұрын
Ameen
@sananasanana9114
@sananasanana9114 Жыл бұрын
mwenyez mungu turehemu
@nabiipeter
@nabiipeter Жыл бұрын
Mimi naitwa aposto Peter baba jodevi ni nabii Wa mataifa nampenda baba Yangu mungu anamtumia Sana Akuna Wa kumpinga kabisa baba baba nakupenda Mimi Niko Arusha usariver baba Mimi ninakubal Sana naninasema Sana hinjil yako Mimi pia nakuja baba uliniombea miaka mitatu hiliyopita nimefungua huduma nimeowa Kwa nabii ni jibu
@enizemwayingatv5196
@enizemwayingatv5196 Жыл бұрын
Hongeleni sana
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 Жыл бұрын
Homoraper Nivywema Mumuimbie Muumba mtashangaa baraka zitakavyo miminika
@wilkinssimkoko7920
@wilkinssimkoko7920 Жыл бұрын
Nabii mkuu anakubali Wimbo wa kumtukuza Mungu ubadilishwe atukuzwe yeye? Et Geor Davi is good badala ya God is Good!!
@rashidbilal1150
@rashidbilal1150 Жыл бұрын
INNAH ILLAH WA INNAH RAJIUN
@mlapikauma7660
@mlapikauma7660 Жыл бұрын
Anatumia pesa kutaka atukuzwe. Ovyo sana.
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 Жыл бұрын
Dah kwa hiyo huyo ni Mungu Wenu
@mikelmathias6644
@mikelmathias6644 Жыл бұрын
Kwenye kusaidia iko hiv ningumu kumfata mtu mwenye shida bila kujua kama anashida pia kutoa ni moyo huyu anatoa hizi hela c kama anahela watu watu wanahela kulko huyu mzee lakin hawafanyi hiv kwaiyo hata Mimi naweza kutoa msaada sehem bac just nimeguswa na nilcho kiona ndio maana nimetoa msaada Sasa nayeye anaguswa na watu hawa anao wapa hela pale kanisan
@rosentikha1572
@rosentikha1572 Жыл бұрын
Uko sawa ndugu ila hawasaidii wa kansani tu husaidia watu wote bila kujali umri rangi kabila dini dhehebu wala upagani wala jinsia anafanya kwa moyo wa mungu mwenyewe
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Жыл бұрын
Amina tunashukuru sana
@justinendizeye714
@justinendizeye714 Жыл бұрын
Amen pamoja kbsa 🙏👏👏👏
@awadhakida6062
@awadhakida6062 Жыл бұрын
Usitoe maisha yako kwa mkate wa siku moja
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 Жыл бұрын
Mkaliwenu Ushapewa pesa Basi kamsaidie Mamako Japo Umjengee hata Choo" Umpe mtaji wa Biashara" ndo utazidi kufungukiwa.
@pendobaharia7227
@pendobaharia7227 Жыл бұрын
Kabsaaaa
@musafrancis3584
@musafrancis3584 Жыл бұрын
Nna ualakini kidgo km Kuna mungu kwel hpo....mungu tusamehe
@ednambata9503
@ednambata9503 Жыл бұрын
Teena wew unayeitwa Mkali wenu ni mbwa sana fara ww unashindwa kumtuza mamako fara ww
@samwelilulandala2384
@samwelilulandala2384 Жыл бұрын
Nyie wasanii matahira sana
@kawezaseleman5794
@kawezaseleman5794 Жыл бұрын
Unachukua hela kwa wanyonge unawapa wasanii kanisa nalo Lina chowa hongera Daniel mgogo kuwaambia ukweli
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 Жыл бұрын
Baba levo uko sahii
@fastonkuza2762
@fastonkuza2762 Жыл бұрын
Bwana atuhurumiye Sana
@mohammedathman5816
@mohammedathman5816 Жыл бұрын
Nabii mkuu Much love am from Kenya blessed
@davidbatista7882
@davidbatista7882 Жыл бұрын
naaminii katika jina kayesuuuuuuuuuuu
@NikodemuMushi
@NikodemuMushi Жыл бұрын
Baba na mimi
@nipolive..2745
@nipolive..2745 Жыл бұрын
Katavi tuna kusubili siku Moja ufke nabi mkuu. Tunakulewa na tunapokea upako
@ramadanemuze1296
@ramadanemuze1296 Жыл бұрын
Kuna wengine wanaiyo Seema Kama uyu ni nabii wa ukweli laki yoyote anayo soma Bible anadjua ukweli Nyumba ya mungu musifanye ya kufanya biashara🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@gwamakamwaipungu3202
@gwamakamwaipungu3202 Жыл бұрын
Baba nabii mungu akupeuzima wamirere baba
@shadracksiwakwi3388
@shadracksiwakwi3388 Жыл бұрын
Baba shikamooo
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 85 МЛН
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2,7 МЛН
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 7 МЛН