No video

Mkasi - SO5E05 With Wolper

  Рет қаралды 304,886

MkasiTV

MkasiTV

11 жыл бұрын

Пікірлер: 78
@salehsaleh548
@salehsaleh548 4 жыл бұрын
Wolpa Ana Bonge la dimpoz 😊😊😊😀😀
@alibinali_
@alibinali_ 3 ай бұрын
2024 sahi maisha yame badilika ameshakuwa mama mtu huwezi kujua kesho yake iko vipi
@penielymwanga8954
@penielymwanga8954 11 жыл бұрын
Daaaaaaaaaaaaaaaa............................!Salama bana upo juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu msta wetu wana jitahidi kuiga swaga za kimtoni so wajitahidi kuwa wabuunifu vilevile wengi wana sema waliingia kwenye sanaa kiaina aina hivyo ina maana kwamba wangi si profesion bali wana baka fani so sanaa haitakuwa sana san a ni kaz za kukopi na kupesti hadi wafe
@saadamrisho5396
@saadamrisho5396 6 жыл бұрын
piga kazi wollper,najua we ni mtafutaji
@jamilamillas1095
@jamilamillas1095 10 жыл бұрын
Chagueni maswali ya kuuliza.
@neemakaluta9987
@neemakaluta9987 11 жыл бұрын
Me love this dada so much . Beautiful woman God bless your job @wolper
@daudispares5902
@daudispares5902 7 жыл бұрын
namkubali sana huyu dada anasema ukwele hongora sana
@senoritadida7415
@senoritadida7415 10 жыл бұрын
Wolper ndo nn kujiongelesha kama unaumwa jino? nachukia wa2 wanaojiongelesha coz ninahakika ukiwa uswazi kwenu huongei namna hiyo ni mcharuko na mpayuko kwakwenda mbele lakini mkishakuwa kwenye media ndo mnajipretend cjui kwann madem wa bongo movie hamjiamini
@rahmanaimnaim4718
@rahmanaimnaim4718 5 жыл бұрын
Daa jackline weni mzuri sana...Naujasiri sana mola Akuzidishie..AMIIN
@anicetphilip9987
@anicetphilip9987 7 жыл бұрын
We mwanamke wewe!! yaani wewe unapiga kazi inayokupa maisha ya anasa hivyo !!! usitutanie wewe
@giztony2009
@giztony2009 4 ай бұрын
Aise! Kumbe hawa akina wolper ni wamama nikimuona saiv ni kama alikuwa na miaka 30 saivi atakuwa na almost 42
@daudispares5902
@daudispares5902 7 жыл бұрын
salama we mkali sana
@emmysteyia8972
@emmysteyia8972 6 жыл бұрын
movie zako nazipenda Sana wewe na hemed na wapenda Sana
@danymuhuga
@danymuhuga 11 жыл бұрын
You guys gotta start posting HD videos... these 480p videos are taking all the fun away
@theophilustrizzy9093
@theophilustrizzy9093 11 жыл бұрын
Salama nakubali sana. Nmekupa cread zako before hujafa
@samuelstanley3967
@samuelstanley3967 11 жыл бұрын
ha ha ha..nampenda sana salama..kifupi namkubali
@witoobeth4558
@witoobeth4558 11 жыл бұрын
xo cute gel, umebarikiwaaa
@williamskemisola6625
@williamskemisola6625 7 жыл бұрын
Natamani mkasi wa asha boko pia
@barakahassan4114
@barakahassan4114 10 жыл бұрын
Wema sepeyu
@drtamimrs2501
@drtamimrs2501 10 жыл бұрын
wolper me nakukubali jembe......i wish ningepata ur pnumber nnazo clip cjui we can make adeal...
@alisalam1237
@alisalam1237 8 жыл бұрын
asanti
@abrahimali3628
@abrahimali3628 5 жыл бұрын
Salama visa sana eti muba kawa kama Hemed
@teefahbaby352
@teefahbaby352 5 жыл бұрын
muongo wlper ulikua mweuc umjichubua
@azaqzszs1972
@azaqzszs1972 7 жыл бұрын
rahma from burundi jak kwa nini hukupenda dini ya ki Islamu?
@msogajosephat2661
@msogajosephat2661 10 жыл бұрын
Nice
@mariammsengi6212
@mariammsengi6212 11 жыл бұрын
OUCH,,,, Salama you shud help us appreciate the fact that we are dark
@veecash1603
@veecash1603 10 жыл бұрын
pengo linamfanya awe uncomfortable.....
@saidimgoa8593
@saidimgoa8593 6 жыл бұрын
Nakukubali Sana wolper
@kassianmwanitu4481
@kassianmwanitu4481 11 жыл бұрын
Good
@amourdelicieuse2961
@amourdelicieuse2961 4 жыл бұрын
Hapo wolper alikua na pua kambambi
@mahadmikunjo4048
@mahadmikunjo4048 11 жыл бұрын
gud job we need it
@ahmedmarijan7656
@ahmedmarijan7656 11 жыл бұрын
worper xo pretty i raeally aprist
@kelvinmutalemwa5432
@kelvinmutalemwa5432 9 жыл бұрын
nice
@florapaul9998
@florapaul9998 10 жыл бұрын
Nc mdada
@090909azazaz1
@090909azazaz1 11 жыл бұрын
Tunamtaka kitu wa makavu live
@asumani100
@asumani100 11 жыл бұрын
Tunamtaka Nay Wamitego Salam we real need him please.
@stewartmillanzi7198
@stewartmillanzi7198 6 жыл бұрын
That's very bad...I don't like people doing those kind of people. Unawezaje kufanya hivyo kwa mwenzio...!? Huo ni wivu wa ajabu sana...ni roho mbaya kutoka kuzimu. Hongera dada kwa juhudi zako kimaisha. Big up sissy...!!
@stewartmillanzi7198
@stewartmillanzi7198 6 жыл бұрын
I hate people doing those kind of things to others. Ni wivu mbaya sana...unawezaje kumfanyia hivyo...!? Hiyo ni chuki mbaya sana. Ila hongera sana dada kwa kupambana na maisha. Umekuwa mfano bora....!!
@peter7960
@peter7960 8 жыл бұрын
Wolper❤❤
@shakiramohammed5015
@shakiramohammed5015 11 жыл бұрын
wowo!!!!!!!!!!!!your so pretty.. dam
@salimsalmy1169
@salimsalmy1169 11 жыл бұрын
Shabadoo jaribu kuliza maswali ya maana, sio kuliza umetembea na boy friends wangapi? wangapi
@raysnamude9357
@raysnamude9357 11 жыл бұрын
Jackie u rock i love ur stiz
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 7 жыл бұрын
UMETISHA SANA KWA HAYA MAISHA UNAYOISHI,STPD.
@GloryBetson
@GloryBetson 24 күн бұрын
Mama P
@chiddoog8009
@chiddoog8009 11 жыл бұрын
alafu john maswali mengine uangalie sio unauliza tuu kama uko kijiweni...
@raphaeliibrahim291
@raphaeliibrahim291 8 жыл бұрын
jaman mpo
@salimsancho9063
@salimsancho9063 6 жыл бұрын
duuuhhhh iki kipindi vp ckuizi
@marypetro6040
@marypetro6040 6 жыл бұрын
Nakupenda Jackline wewe ni mwanamke unaejiamini endelea na moyo huo
@MegaOmbeni
@MegaOmbeni 11 жыл бұрын
Damn, u r so pretty my Wolper.
@asantengwalo5512
@asantengwalo5512 7 жыл бұрын
Miriam paul
@khadijibrahim437
@khadijibrahim437 6 жыл бұрын
hhhhhhh salam umenichekesha san
@esterdanford5563
@esterdanford5563 11 жыл бұрын
haahaha salama bana maswali yako eti kudesign chupi nini..Wolper we mzuri dada,mabinti wa kichagga tumebarikiwa!Ameein
@erastoselemani5443
@erastoselemani5443 5 жыл бұрын
Ester Danford hahahahaha
@lovejazzbass
@lovejazzbass 10 жыл бұрын
I am annoyed by those condescending and chip-shot questions from these gossipers. Sorry!
@alisalam1237
@alisalam1237 8 жыл бұрын
I know very unprofessional team
@erexous7
@erexous7 11 жыл бұрын
loh salama vipi maswali haya?!!!!eti hemedi kadinda?!!!!lol!!!
@lucassabuni-rh6tt
@lucassabuni-rh6tt Жыл бұрын
Joline
@salimsalmy1169
@salimsalmy1169 11 жыл бұрын
Wolper uko makini mdada kwenye maswali uliyoulizwa? poapoa
@francymeselano6627
@francymeselano6627 11 жыл бұрын
gari funguo.....
@hllard9526
@hllard9526 10 жыл бұрын
Mmmh
@shreefa9009
@shreefa9009 9 жыл бұрын
mmmmmh
@ceezbug
@ceezbug 11 жыл бұрын
Wolper so fine!!, i'll take her to the dentist, put her on a Range Rover Evoque, bring her back to Christianity then wife her..
@purplehaze8951
@purplehaze8951 11 жыл бұрын
yh hiyo gari ni ya kuhongwa kashasema sasa umalaya ni moja ya kazi zake. sasa na we salama mbona umekaa kama kibwengo au shetani na hizo nywele zako. inakuwaje style gani hizo?. au ndo kujionesha kama umepinda. nikitutana na wewe njiani usiku definately nakimbia. na Shabadoo vipi mbona sikufahamu na mswali yako ya kukatisha katisha na hizo syle za nywele vipi umzima wewe?
@neema3370
@neema3370 4 жыл бұрын
Nkbl
@pememas
@pememas 11 жыл бұрын
It feels like the crew is mocking her with maswali ya kejeli. She is pretty smart for some1 without an education.
@HighHeelsAndGladrags
@HighHeelsAndGladrags 11 жыл бұрын
@ricko, he wasnt relaxing her hair or performing a colonoscopy and shit like that....No pun intended. Who wears gloves when styling someone's hair or giving manicure? Its a fucking salon not an hospital.
@monicafrank6387
@monicafrank6387 10 жыл бұрын
Hahaa usinipake nyingi ntachafua shuka...bitch please!!! don't you wear a slipin cap....'!!! And you talking like you've swolen a frog...,!!!! Kaza sauti iyooo "acha nyege za kichaga"...😳😳😳
@staw83
@staw83 11 жыл бұрын
Hata mi nimeliona hilo and its really bad yan
@senoritadida7415
@senoritadida7415 10 жыл бұрын
Wolper ndo nn kujiongelesha kama unaumwa jino? nachukia wa2 wanaojiongelesha coz ninahakika ukiwa uswazi kwenu huongei namna hiyo ni mcharuko na mpayuko kwakwenda mbele lakini mkishakuwa kwenye media ndo mnajipretend cjui kwann madem wa bongo movie hamjiamini
@williamskemisola6625
@williamskemisola6625 7 жыл бұрын
Natamani mkasi wa asha boko pia
@msogajosephat2661
@msogajosephat2661 10 жыл бұрын
Nice
@salimsancho9063
@salimsancho9063 6 жыл бұрын
duuuhhhh iki kipindi vp ckuizi
@kelvinmutalemwa5432
@kelvinmutalemwa5432 9 жыл бұрын
Nice
Mkasi - SO6E01 with Kajala (Msimu Mpya)
28:59
MkasiTV
Рет қаралды 161 М.
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 3,9 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
Niwe wangye by Grand (official lyrical video)
6:04
Grand music ent
Рет қаралды 45
Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel
27:02
MkasiTV
Рет қаралды 270 М.
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
YahStoneTown
Рет қаралды 355 М.
Mkasi - S02E06 with Rita Paulsen
28:00
MkasiTV
Рет қаралды 158 М.
Mkasi - SO6E02 with Vanessa Mdee
29:55
MkasiTV
Рет қаралды 207 М.