Mkasi | SO9E06 with Aunty Ezekiel

  Рет қаралды 270,589

MkasiTV

MkasiTV

Күн бұрын

Mwaka 1986, mnamo tarehe 28 Oktoba, anga la sanaa Tanzania liliongeza Nyota ingine. Si Mwingine bali ni Aunty Ezekiel Greyson. Kwa wale wakongwe watamkumbuka Ezekiel Greyson aka Jujuman, mmoja wa wanasoka maarufu miaka ya 1970 na 1980, naye ndie baba Mzazi wa Nyota wetu.
Ambacho hatukujua ni kuwa leo hii, huyu angekuja kuwa mmoja kati ya kivutio kikubwa kwenye tasnia ya Uigizaji Filamu nchini na hata pale popote Kiswahili kinapofika.
Akiwa mtoto wa pekee kike kwa Baba yake, ilizua tafrani kwa mashangazi zake, kila mmoja akitaka mtoto aitwe jina lake, kuondoa ugomvi, ndipo alipopewa jina la "Aunty" kuwakilisha Mashangazi zake wote bila ubaguzi.
Maisha yake baada ya Elimu za awali yaliingiliwa na ukakasi pale alipokosakosa kuolewa bila yeye kuridhia, hata hivyo baada ya kuingia mjini na kuhangaika alivyoweza hatimae alifanikiwa kuendelea na masomo kidato cha nne na kompyuta.
Kuingia katika Sanaa ya Uigizaji kulianza pale aliposhiri Miss Mwanza mnamo mwaka 2006, wakati akiwa katikati ya shughuli ya uigizaji wa filamu ya "Miss Bongo" iliyoongozwa na William Mtitu. Kutokufanikiwa katika mashindano hayo ya Miss Tanzania kulimfanya afanye uchaguzi wa kubaki katika fani ya uigizaji aliyoendelea nayo mpaka hii leo.
Upande wa mahusiano ya Kimapenzi, Aunty alikutana na PDG maarufu Jijini Jack Pemba, ambae walifunga ndoa mwaka 2007, na pamoja na mifarakano ya hapa na pale ndani ya ndoa, zaidi kwa sababu ya wivu wa penzi, Aunty alifanikiwa kupata ujauzito, ingawa haikuwa rizki kwani ilipofika miezi 7 alijifungua na mtoto kufariki.
Mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa hatimae akatengana na Jack. Kwa sasa ameolewa tena na anaendeleza fani yake.....ingawa la muhimu zaidi....ameonekana kuwa karibu sana na Wema Sepetu, mshindi wa Shindano la Unyange la 2006, na pia rafiki wa kiume wa Wema, Diamond na wengineo!
Mastaajabu hayaishi, utamsikia akiongea mengi na Mkasi TV, na zaidi, kupata undani wa nini tutegemee toka kwake.
L•O•V•E
Follow MkasiTV on
Facebook : / mkasitv
Twitter : @MkasiTV
Instagram @MkasiTV

Пікірлер: 73
@Themelodysinzoreshow
@Themelodysinzoreshow 10 жыл бұрын
She is very honest and beautiful too. I love her. Her make is on point. Not exaggerated. An African beauty right there.
@isaacmkinga1370
@isaacmkinga1370 10 жыл бұрын
Wooote wapo vizuri. ILa huyu jamaa anayepga kazi ya kusafisha kucha no chapakazi sana.. Hana time na story yeye no kupga kazi kwenda mbele.. Najfunza toka kwake. BG up brother
@beatricejoseph4584
@beatricejoseph4584 10 жыл бұрын
Woow aunty anajieleza vzur sana Salama nae anauliza maswali ad raha
@doctorukia
@doctorukia 10 жыл бұрын
Ahaha I love Salama. Ati shemeji Ngololo anaweza kujifanya kasahau akaenda kwa Aunty ahaha
@mczundaoriginal2491
@mczundaoriginal2491 8 жыл бұрын
SALAMA MUHOJI TENA AUNT EZEKIEL
@denniskamala3516
@denniskamala3516 9 жыл бұрын
Nyyc interview....aunty she is so honestly....going keep it up in her career
@khadijashee1084
@khadijashee1084 10 жыл бұрын
Salama i lyk ur show so much kip it up!
@sallykanze
@sallykanze 10 жыл бұрын
Napenda sana interview ya Aunty Eziekel ameongea vizuri kabisa hakuna swali lililomshinda love u Aunty Eziekel
@slayingtee6044
@slayingtee6044 5 жыл бұрын
Mkasi nimewamiss jmn
@annemakaka210
@annemakaka210 5 жыл бұрын
I like your maturity Aunty
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Mi nampenda anti jamani
@shamilaismail4050
@shamilaismail4050 10 жыл бұрын
Nimeangalia show nas smile, mwanzo mwisho.show nzuri sana, sana
@mathildemwangaza109
@mathildemwangaza109 4 жыл бұрын
Love you Aunti very honesty
@bernadettemalima8341
@bernadettemalima8341 10 жыл бұрын
She is cuutee...
@lizash4643
@lizash4643 10 жыл бұрын
Aunty is So Real ..
@vegsworld_0849
@vegsworld_0849 10 жыл бұрын
Amazing
@lwenhelezabron681
@lwenhelezabron681 10 жыл бұрын
tunajfunza mambo meng sana kuptia mitandao ya kjamii
@rogershaule6785
@rogershaule6785 10 жыл бұрын
nakukubali sana salama Jay
@aloicnyika4157
@aloicnyika4157 5 жыл бұрын
nimependa Sana dadangu kiswahili bila kuchanganya kingeri mwanzo mwisho siyo Kama wengine Mara yes Mara eti no
@fidecharles5210
@fidecharles5210 8 жыл бұрын
yani haichoshi kuangalia jmn nzuri
@doreenmalesi6039
@doreenmalesi6039 8 жыл бұрын
love ua name @aunty
@prettygrl2793
@prettygrl2793 9 жыл бұрын
woooow
@gibsongibo7962
@gibsongibo7962 10 жыл бұрын
looking gud aunty
@akalteresa1210
@akalteresa1210 10 жыл бұрын
Duh. Salama is so hot. Nice show. Aunty pia is so real.
@mildredivayo9241
@mildredivayo9241 7 жыл бұрын
nice interview with aunty hana madoido ata kidogo
@abdoumhadjou8711
@abdoumhadjou8711 9 жыл бұрын
Aunty nimzuri sana naomba 2kae
@markminja4307
@markminja4307 10 жыл бұрын
Lol She's de Good woman I gues.. No woman Share he income with a Man Yoooo Big Up Baby
@hapndondole56
@hapndondole56 10 жыл бұрын
Namkubar xaaaana aunty Ezekiel ad inaboa yaan
@harsonkamala1670
@harsonkamala1670 10 жыл бұрын
Nmependa source ya jina lako aunty its amazing
@nellyrukundo3387
@nellyrukundo3387 5 жыл бұрын
Unarangi nzuri
@doricekasyupa5183
@doricekasyupa5183 10 жыл бұрын
she so real i love you aunty
@stellahkgilbert3935
@stellahkgilbert3935 9 жыл бұрын
Nakupenda sana..hauna majivuno kama watu wengine..
@pascalvenus3078
@pascalvenus3078 9 жыл бұрын
nakubari xana dd
@yasinimwinyi371
@yasinimwinyi371 10 жыл бұрын
iko poa sana
@lucasnsumba5516
@lucasnsumba5516 8 жыл бұрын
interview nying wema anaongelewa du
@zamdahassan2549
@zamdahassan2549 10 жыл бұрын
She is cool
@HawahSaidi
@HawahSaidi 10 жыл бұрын
Nice aunty
@OnlyRuky
@OnlyRuky 10 жыл бұрын
Daaaa very nice show
@innocentkombe5090
@innocentkombe5090 10 жыл бұрын
So nice show
@buberwajohn1312
@buberwajohn1312 10 жыл бұрын
Ebwana eeeeeeh point taken she too honest mpaka nimependa
@fahadfahmy
@fahadfahmy 10 жыл бұрын
Kumbe Anti ni Muislam big up
@cosmasmwananonga8568
@cosmasmwananonga8568 6 жыл бұрын
Fahad10 sasa big up kwa ajiri ya usilaam au? a cha usenge ww
@njmanjma8626
@njmanjma8626 6 жыл бұрын
Kumbe nyote muslims... Lkn mbn hamujieshim mwavaa mavazi mabaya
@wanjazainabu800
@wanjazainabu800 10 жыл бұрын
Shemeji Ngololo
@sabrinamustafa7749
@sabrinamustafa7749 10 жыл бұрын
Aunt umenenepa uso ila show ilikua nzuri but salama usipende kumuliza mtu kuhusu ugomvi wa watu wengine utakuja kumuingiza kwenye matatizo
@firdausabdullah6315
@firdausabdullah6315 6 жыл бұрын
Langu jicho
@hashimndosi4274
@hashimndosi4274 10 жыл бұрын
9c
@maimuna1275
@maimuna1275 9 жыл бұрын
Unajua Dada uko pow
@joanitarita1568
@joanitarita1568 10 жыл бұрын
she cute
@alphokzkiza2206
@alphokzkiza2206 9 жыл бұрын
aise Aunty umenifuraisha saana kwahii interview yako, dah yaani kwamonekano wako unafanana nauliyo yaongeya kabisaa ( ilo la: kucheza seemu yakuchukuwa mabwana wa watu) ni kweli, usipocheza hivyo ao usipo cheza muuni huni kimtindo fulani haipendezagi kweli dadangu.....mmmmm nakupenda saana unanifuraishaga na movie zako , haswa haswa Mrembo kikojozi na Young billionaire .....tena nakuomba usipake cream kamawengine wanavyo paka,,, kaa ivyoivyo narangi yako,,,,ila kama unapakaga lohhhhh utapoteza upendo wangu kwako kweli...................
@charlesjakobo7953
@charlesjakobo7953 9 жыл бұрын
. No comments
@josh6094
@josh6094 8 жыл бұрын
Dah huyu anti
@monicamayunga2261
@monicamayunga2261 9 жыл бұрын
penda sana ant
@abdullatwifathuman9881
@abdullatwifathuman9881 10 жыл бұрын
Kitare
@manofreality3656
@manofreality3656 10 жыл бұрын
Tena huna haya wala hujui vibaya watamka hasa mimi muislam, ivi uislam mwauchukuliaje jamani?
@cggytv4293
@cggytv4293 8 жыл бұрын
Duuh
@paulinasenyagwa9515
@paulinasenyagwa9515 6 жыл бұрын
anti upo poa
@mateifransiss5662
@mateifransiss5662 5 жыл бұрын
Vop
@erickdonald7280
@erickdonald7280 10 жыл бұрын
madem bhana ni sheeeedr...
@mariamhamisi1248
@mariamhamisi1248 8 жыл бұрын
chezea aunt weye
@maimuna1275
@maimuna1275 9 жыл бұрын
love you sister Ant
@samwelmakelele5334
@samwelmakelele5334 8 жыл бұрын
Hello
@mariyaal5366
@mariyaal5366 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@glorianrose4949
@glorianrose4949 10 жыл бұрын
is salama gay or what just asking????
@bigfootproductionskongowea484
@bigfootproductionskongowea484 10 жыл бұрын
Lady!
@scaverryan3782
@scaverryan3782 7 жыл бұрын
jamani unajua tofauti ya Gay na Tomboy kweli we we???Gay/les this r lovers or da same gender ka mke na mke au mme na Mme bt tomboy ni mwanamke anayependelea mavazi style na muonekano wa kujipresent vile wanaume hujieka...#heshima#
@glorianrose4949
@glorianrose4949 7 жыл бұрын
scaver ryan That was a question and I do know what gay is because she dresses like one anyway u dint answer but thanks
@isaacmkinga1370
@isaacmkinga1370 10 жыл бұрын
Wooote wapo vizuri. ILa huyu jamaa anayepga kazi ya kusafisha kucha no chapakazi sana.. Hana time na story yeye no kupga kazi kwenda mbele.. Najfunza toka kwake. BG up brother
@denniskamala3516
@denniskamala3516 9 жыл бұрын
Nyyc interview....aunty she is so honestly....going keep it up in her career
@lwenhelezabron681
@lwenhelezabron681 10 жыл бұрын
tunajfunza mambo meng sana kuptia mitandao ya kjamii
@michaeljeremiah634
@michaeljeremiah634 7 жыл бұрын
nice anty
@innocentkombe5090
@innocentkombe5090 10 жыл бұрын
So nice show
Mkasi - SO6E01 with Kajala (Msimu Mpya)
28:59
MkasiTV
Рет қаралды 161 М.
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 71 МЛН
Mkasi | S13E01 with Shilole extended Version
50:11
MkasiTV
Рет қаралды 205 М.
AUNTY EZEKIEL NI MBWA TU - STAN BAKORA
4:12
Wasafi Media
Рет қаралды 112 М.
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
Aunt Ezekiel na ishu ya mume wake wa ndoa kumaliza kifungo
1:13
Mkasi - SO4E11 with Monalisa
27:59
MkasiTV
Рет қаралды 136 М.
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 71 МЛН