Huyu jamaa huchoki kumskiliza ,hata show ingekuwa ya masaa 24 nikoradhi kumsikiliza,Brother anamengi yakusema sana.....all in all he is one of my inspiration
@eramuro485310 жыл бұрын
Natamani ata kila week Fid angekua tu anakuwa interviewed. Much respect
@tumpiliksye10 жыл бұрын
top MC on the land pamoja na mwamba wa kaskazini Jo Makini heavy so heavy weight champions !!!
@mwikamakomba32836 жыл бұрын
Uko vizuri bhna mziki wako wako tu unaujua jua tu.
@deogratiusmkude66610 жыл бұрын
I was really waiting for this and i have already watched it twice, keep up the good work guys. And salute to Fareed, the special one/one of a kind.
@hopeshembi197310 жыл бұрын
I do love this dude so so so so much
@MbuzimbeyaRomak Жыл бұрын
Fid Q nakkubali san my brother. Kwan mistari yako imenicha na mimi roma k'" nijifunze kuimba hip hop nakkubal san blazaa
@kurutumikuki10 жыл бұрын
One of the realest Mceez..Fareed Kubanda..!
@michaelmallya56224 жыл бұрын
I'm still watching this in 2020
@saleemkatundu46965 жыл бұрын
you the king babu
@rosehillary87429 жыл бұрын
NAKUHESHIMU SANA NA NAPENDA SAAANA KAZI ZAKO FID Q
@clausdominic52947 жыл бұрын
No one like u bro
@sembosayenda71826 жыл бұрын
Weeeeee fid Mimi sijaria kabsa
@fahadfahmy10 жыл бұрын
Nice one Salama tuletee watu kama hawa wanaujua kuongea
@epafulazacharia586210 жыл бұрын
huyu jamaa namkubali sana, kwa mawazo yang ningependa afanyie kaz yake ya mzik ulaya
@hassankimega9808 Жыл бұрын
Ngoshaa,,,wewe n elimu tosha
@shanisshow186410 жыл бұрын
fid am hadzabe nakukubali sana.
@jamesakhabuhaya619410 жыл бұрын
fid fid mkali man.rispect man
@maikojoseph3774 жыл бұрын
Ukovizuli kubanda
@luciussanga249310 жыл бұрын
Msanii wangu bora round zote fid q
@bakarkingwaba550510 жыл бұрын
Yap bro kiukweli nimekukubali ila wabongo hatukufanyii haki kimuziki naomba ufikilie vitu vingine vya kufanya ili otoke hapo ulipo nikimaanisha kipato
@satohiroshi95986 жыл бұрын
Salama hilo shati vipi mbona kola zimepishana
@iusajomwakalinga65987 жыл бұрын
OK,
@kcstarztorch24810 жыл бұрын
hahahahhaaha killa show!
@mzigwaismymom22089 жыл бұрын
fidq is the best rapper hiphop tanzania
@bahatiayenga91817 жыл бұрын
mzigwais mymoml
@bahatiayenga91817 жыл бұрын
mzigwais mymom
@fortunatusmanyanda939810 жыл бұрын
gud
@mjombajomba293710 жыл бұрын
Top Elite Emcee in Africa
@aruscomp14510 жыл бұрын
Ni ful umakini
@virungamountains10 жыл бұрын
Ni ukueli, creativity bila kusukuma ni bure!!
@salvatorefridolin98789 жыл бұрын
ebwana kaka q noma ila cjawai ckia kumtoa dogo chipukiz uko kimya acha izo