MKE ANUSURIKA KICHAPO KWENYE MAZISHI YA MUMEWE, APIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA!

  Рет қаралды 27,753

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

MKE ANUSURIKA KICHAPO KWENYE MAZISHI YA MUMEWE, APIGA MAGOTI KUOMBA MSAMAHA!
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 45
@princessringo2879
@princessringo2879 2 жыл бұрын
Jamaaani dah aisee 🙆‍♂️🙆‍♂️baba wawatu alijua kujituma yule
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Jmn mung wang innalillah wainnaillah rajion amekuf yule baba wa wat😥😥
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Angekuwa mwanamme ingekuwa Sawa tu! Wangapi wanawatelekeza wamama na watoto zao, mke akifa anakuja kimya kimya msibani, na wanaume wenzie wanajikausha as if sio mkosaji. Anyway 😉 when it comes to a woman haipendezi, si mfano mzuri kuwaacha watoto na mume.
@princessringo2879
@princessringo2879 2 жыл бұрын
Alaf watoto wengine cy wa huyo baba eti
@edson2450
@edson2450 2 жыл бұрын
Mafeminist Kila kitu unalinganisha na Wanaume , Mwanamke ni nguzo ya familia kamwe usijilinganishe na mwanaume.
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@edson2450 hata kama na nyie inawabidi mjitambue na kujirekebisha, kila mtu atimize wajibu wake. Pia nimesema huyo mwanamke kakosea sana kumwachia mume watoto, lakini all in all hatujui alikuwa na sababu gani ya kuamua kumwacha mume na watoto na sasa Kwa aibu hii usikute anajuta
@edson2450
@edson2450 2 жыл бұрын
@@MsAggie5 No matter what hakuna sababu yeyote ya msingi ya kutetea alichofanya huyo mwanamke. Mbaya zaidi amemkimbia na kumuachia watoto wake, mbali na kumdanganya muda wote..
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Kumbe ndo huyu jmn 😭😭😭pumzika kwa aman baba w watu 🙏
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Ohhh it is so sad,this guy had a perfect healthy not long time ago
@doreenkaiza8037
@doreenkaiza8037 2 жыл бұрын
Hii nchi ina vituko
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Kila kukicha matukio
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Hiyo nimeipenda
@marthamilaji9385
@marthamilaji9385 2 жыл бұрын
Uonevu huo bana mbona sisi wanaume wanatutelekeza muacheni mama wawatu
@cattydaniel5016
@cattydaniel5016 2 жыл бұрын
Mbona wanaume wanatelekeza watoto kila siku
@masanjaabasi8970
@masanjaabasi8970 Жыл бұрын
Mmfungulie kesi yamapenzi 🤣nyie mm mwenyewe mpenzi wangu Anasumbuwa nisaidieni akae ata rokap lisaa tu 😋🙏🏻
@happynkya9770
@happynkya9770 8 ай бұрын
daaah kuna wanawake wana roho za ajabu jaman
@christinachriss9231
@christinachriss9231 2 жыл бұрын
Maskini badala ya kurudi kwao kasafiri mazima,lala salama
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
Unacheza NA njombe labda wamemuuwa
@gressluhimbo1020
@gressluhimbo1020 Жыл бұрын
Duh Kumbe amefariki Yule baba Dah apumzike kwa amani
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 24 күн бұрын
Mh.mh.kwanini alimkimbia🎉🎉🎉mh
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
😓😓😓😭
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@user-eg3fg3ic9q
@user-eg3fg3ic9q 6 ай бұрын
Mfunge huy0 muache raymond lukete wa kitunda kila kona anawatoto wafungwe wakinalukete kwanza
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mola msamehe mja wako
@user-eg3fg3ic9q
@user-eg3fg3ic9q 6 ай бұрын
Jamani mfungen raymond luketr kila kona anawatoto anaterekeza
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 жыл бұрын
Mm wala siwaungi mkono Kwa mlichomfanyia huyu mama kwani ni wanawake wangapi wanatelekezwa na watoto halafu mwanaume anaenda kuanzisha familia nyingine bila hata kujali.
@arafaoman9504
@arafaoman9504 Жыл бұрын
my tatiz wengine sio watoto wake pia ameenda kuishi na mwanaume mwingine a gechukua watoto wake na bado alipewa mimba na mtu mwingine na bado alinikuta na mtoto mwingine na akamlea vizuri tu
@badaral6167
@badaral6167 Жыл бұрын
Acheni kumuukumu wanaume wenyewe ndio wakeaza
@suzysam6002
@suzysam6002 9 ай бұрын
Achani ujinga wanaume wanafanya mangapi , mnajiona Bora sana au nyie Hanna dhambi
@petermboje5839
@petermboje5839 2 жыл бұрын
Uonevu huo tena hana ndugu wajuaji
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 2 жыл бұрын
Hee
@lameckntibandenche9553
@lameckntibandenche9553 2 жыл бұрын
Lakn sio poa
@suzysam6002
@suzysam6002 9 ай бұрын
Achani kujihesabia haki nyie watu mtaukuhujumiwa
@hanifaalbalushi2483
@hanifaalbalushi2483 Жыл бұрын
hana adabu wala huruma
@lameckntibandenche9553
@lameckntibandenche9553 2 жыл бұрын
duuuu
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
ongeren sn wananchi😂😂Allah amfanyie wepeai maiti yetu
@aprow2059
@aprow2059 Жыл бұрын
Malaya mkubwa
@doreenkaiza8037
@doreenkaiza8037 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@witnessmassawe932
@witnessmassawe932 2 жыл бұрын
Kuna wanawake wanajitoa akili mbona wanaume wanatutelekza
@junior-zj6bs
@junior-zj6bs 2 жыл бұрын
Ukion umezaa. Mwanaum amekutelekeza.. jichunguze tabia zako.. ttzo lzm n wewe
@masanjaabasi8970
@masanjaabasi8970 Жыл бұрын
Mmfungulie kesi yamapenzi 🤣nyie mm mwenyewe mpenzi wangu Anasumbuwa nisaidieni akae ata rokap lisaa tu 😋🙏🏻
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@happybajuta9769
@happybajuta9769 11 ай бұрын
🤣🤣
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
Зачем он туда залез?
00:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 3,3 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32