MAMA Aliyekuta MWENYE NYUMBA AMEJENGA UKUTA Kwenye MLANGO WAKE, APEWA MSAADA wa NYUMBA...

  Рет қаралды 15,009

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

MAMA Aliyekuta MWENYE NYUMBA AMEJENGA UKUTA Kwenye MLANGO WAKE, APEWA MSAADA wa NYUMBA...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 90
@jambo3751
@jambo3751 3 жыл бұрын
Global tv hicho kipindi chenu cha MTAA KWA MTAA kimesaidia sana kutatua changamoto mbalimbali kwa mfano nimeona lile suala la soko jipya la kisutu mlivyowafuata wale wafanyabiashara na wakaeleza changamoto zao na mkuu wa wilaya na mkurugenzi wakafika kwenda kutatua zile changamoto👋👋👋 Hongereni sana global tv.
@dorcasseruhere6875
@dorcasseruhere6875 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Awaongezee mlipotoa Inshallah Amina
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Alhamdulillah ninafuraha kuona uyu mama kupata msada miomsaidia mwenyezi Mungu awazidishie mara dufu
@fatmaalwy4853
@fatmaalwy4853 3 жыл бұрын
Yarab mwenyezi mungu atunusur ewe mwenye nyumba kumuekea mwenzio ukuta utasema nn kwa allah kuacha kumvumilia kidogo nyumba utaoacha hapa hapa kila kitu utakiacha
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 3 жыл бұрын
Masha allah hongera baba kwa kumsaidia huyo dada
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 3 жыл бұрын
Mungu Awabariki Sana kwa msaada wenu mliompatia huyo Dada.. Mbarikiwe sana
@adijarashidi1426
@adijarashidi1426 3 жыл бұрын
AAmin yaarab 🤲🤲🤲
@lissamsalu12345
@lissamsalu12345 3 жыл бұрын
Mashalla pole Sana hidaya na pia hongera Sana
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Daah yani maisha haya tabu sana 😭😭 sema wame msaidia dada vizuri sana
@abdulrahmanhussein8719
@abdulrahmanhussein8719 3 жыл бұрын
Mashaallah allah awape zaidi mlichotoa.mungu akitaka kukufungulia hukupitisha kwenye mtihani mkubwa ili ufaulu
@salmasaid6862
@salmasaid6862 3 жыл бұрын
Pole Sana dada Mwenyezi Mungu akuongoze uweze kulea watoto wako hizo Ni amali za dunia hata yy ataiacha iyo nyumba ipo siku nyumba ya mwanadamu Ni kaburi hilo Ni gofu tu la duniani
@shuwenaghandi9253
@shuwenaghandi9253 3 жыл бұрын
Mbona sijaijua sababu ya kuweka UKUTA au mdeni sugu nini,😅😅 ila huyo mw nyumba kiboko hadi ukuta daaah!
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Alikua halipi kodi huyo sio labda
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 3 жыл бұрын
Ndio alikuwa halipi kodi ndo maana mwenye nyumba kaweka ukuta mlangon ili asiingie ndani Hahahahaha nacheka kama mazur jamani
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@neemakilomoni4258 kalipa hajakaa bure mwenye nyumba maenge
@mename6020
@mename6020 3 жыл бұрын
Alhamdulilah shukran nyng ni kwake Allah hazza wajaalah.. Allah akulipe kheri Alhabiby Qarama... Allah awalipe kheri woote wenye kusaidia....
@fallymetoo191
@fallymetoo191 3 жыл бұрын
MAASHALLAH Sheikh Karama na wenzako kwa kuguswana kadhia hiyo. M.mungu atawalipa ujira wenu. Allahumma bareek Inshallah.
@lilianmoyo316
@lilianmoyo316 3 жыл бұрын
Mungu awaongezee umri wa kuishi
@wamugimohammed3848
@wamugimohammed3848 3 жыл бұрын
MASHA ALLAH MASHA ALLAH MASHEKH WETU ALLAH AWAZIDISHIE UMRI ILI MWENDELE KUSAIDIA AMIN AMIN ALLAH AWALIPE faraja ya juuuuh Amin Amin
@fauziaabdullah3733
@fauziaabdullah3733 3 жыл бұрын
MashaAllah Allah barik
@mwadiabulymoshabani6336
@mwadiabulymoshabani6336 3 жыл бұрын
Baraka ya Mungu iwe nanyi🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@muniramunira401
@muniramunira401 3 жыл бұрын
Masha Allah
@oscarkasalile8442
@oscarkasalile8442 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa moyo wenu.
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 Жыл бұрын
Kaka yangu mungu akubari sana
@sadasalum8778
@sadasalum8778 3 жыл бұрын
Maashaallah
@mustaphareua2370
@mustaphareua2370 3 жыл бұрын
Mko juu global tv
@sempaysensey6486
@sempaysensey6486 3 жыл бұрын
Mashaallah
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Ай бұрын
Asalam alaikum mungu awazidishie wote walio jitokeza kusaidia ila dada usihuzunike hata mbaya wako mpende maana anakutowa sehemu moja kukupeleka sehemu nyingine
@lulually5209
@lulually5209 3 жыл бұрын
Duuh huyu mwenye nyumba mzima kweli si angempa notis tu akahama au alimtongoza baada ya kumuona anaishi mwenyewe baada ya kukataliwa akaamua kumfanyia unyama huyu inatakiwa apelekwe lupango ili iwe fundisho kwa wengine
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
mtu anakufanyia jambo kukukomoa kumbe anakufungulia njia . ndio maana waislamu tukatakiwa tuseme Alhamdulillah kwa kila hali ikiwa siri au baya .
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Alhmdlahi
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 3 жыл бұрын
Mungu mkubwa had nimelia machoz mungu akubarik zaid
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
@@lucyhusein4043 . Amin , Mungu hakuondoshei km hajakuekea ila subra ndio tatizo kwetu binaadamu subra ni ngumu kwetu ingawa quran imetuahidi "hakika baada ya dhiki faraja " na Allah katu havunji ahadi . kinachotakiwa ni kuyaamini maneno ya Allah .
@fatmaothman6687
@fatmaothman6687 3 жыл бұрын
Alhamdulillah Allah Kadir
@beilababy7614
@beilababy7614 3 жыл бұрын
Ahahaha dha necheka mama Mazur vile, dha uyo baba ni noma sana
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 жыл бұрын
Mvali na kusaidiwa jevitu vyake atavipata maana kuna viru kama vitambulisho na vitu vya maana
@fatmaissa5685
@fatmaissa5685 3 жыл бұрын
Pole hidaya pole pole mamy
@iddyathman5504
@iddyathman5504 3 жыл бұрын
Huko mnakoishi hamnaga police 🚔? Mbona sioni msaada wao sasa kwako duuh hii ni Tanzania 🇹🇿hapa hapa kweli nouma
@abushaddad989
@abushaddad989 3 жыл бұрын
Unalinga na kinyumba chako anytime kinaweza pitiwa na moto au Chochote , hii dunia bwana tusiikumbatie Sana tunapita tu
@nzagambaog4843
@nzagambaog4843 3 жыл бұрын
Jenga yako huwezi jua labda nae msumbufu
@abushaddad989
@abushaddad989 3 жыл бұрын
@@nzagambaog4843 Nina nyumba na siwez lingia binadamu mwezangu hadi kumfungia mlango na matofali huko ni kukosa Utu , Dunia tunapita haijarish umehangaika kiasi gan kuijenga , huku ijenga kwa ujanja wako .
@ashaali1324
@ashaali1324 3 жыл бұрын
Allah awazidishie
@fatmahamad6177
@fatmahamad6177 Жыл бұрын
Mashallah huyo alomnyanyasa mjane nae yatamkuta malipo niduniani.
@user-br4tl7jv9j
@user-br4tl7jv9j 4 ай бұрын
Mwenye nyumba 😂😂😂😂😂😂😂
@Chemba67
@Chemba67 3 жыл бұрын
Na huyu ndorobo aliyeweka ukuta tutampata wapi??mtafuteni atueleze ujasiri huo kaupata wapi?
@zuhurambonde1982
@zuhurambonde1982 3 жыл бұрын
Yaani watu wanazarau Sana kumuweka mtu ukuta mungu atusamehe
@mtitagirloriginal9472
@mtitagirloriginal9472 3 жыл бұрын
Nyie mnaongea tu kwa kua hamna majumba hiv pengine halip kodi na yeye anategemea kodi mlitak afanyaje
@zuhurambonde1982
@zuhurambonde1982 3 жыл бұрын
Kuna busara zinatakiwa zitumike sio kuweka ukuta
@felistafutte2514
@felistafutte2514 3 жыл бұрын
Mwenye nyumba inasemekana ndio zake hata kituon wanampigia sim hajawah fika naanakes nying lkn ndio hivo fuatilien kwenye vyombo vingne vya habari
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@mtitagirloriginal9472 fyatilia maelekezo hajakaa bure nyie wenyemagofu yanyumba mnajiona mmewini sana
@ridhiwanimrishomrisho8534
@ridhiwanimrishomrisho8534 2 жыл бұрын
Matajir mko wap acheni kuzamini Mambo ya kipuuzi saidini wenye shida kama hawa na mungu atabariki Mali zenu
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Nikisema nakupenda mtangazaji ni sawa lakini shida umewahi kuambiwa na wengi
@ashamwandu6572
@ashamwandu6572 3 жыл бұрын
Yaaani hidaya huenda alimkataa mwenye nyumba,haiwezekani Kama anamdai utalatibu upo viongozi wa serikali za mtaa zinasaidia,,Pia Roho mbaya haijengi ,huenda ni tahila mwenye nyumba,mavitu ya kuacha tu tunapita vitu majumba Sichochote silolote,tutaviacha tuacha roho za unyama,dhambi,binadamu wakati wowote màuti yanakukuta ,ulifanya yapi ya kumpendeza mollah wetu??
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 2 ай бұрын
Ndo maana kimbunga kimeitwa hidaya😂😂😂😂
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Mali inavunja utu' mhh.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Nihatari huyowenye nyumba
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Huyo mwenye nyumba mshenzi hafai apigwe MBWA YEYE
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Lipa kodi hauna ulemavu kujenga mchezo
@alitunu3086
@alitunu3086 Жыл бұрын
Nisaidie Na mm jamani
@fatmaissa5685
@fatmaissa5685 3 жыл бұрын
Wenye vipato lakini
@rosedalton543
@rosedalton543 3 жыл бұрын
Mwenye nyumba kiboko
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 жыл бұрын
Baba mwenye nyumba anatamaa na hivyo vitu na wala si kingine tamaa mbaya atoe tu vitu vya watu mambo mengine yaenderee
@rajabmsinzia7921
@rajabmsinzia7921 3 жыл бұрын
Ila mbona hamujamuhoji mwenye nyumba munajua huyo dada ni kiasi gani anadaiwa?
@isamony58
@isamony58 3 жыл бұрын
utakuwa ww mpangaji nimkorofii kulipa 😏😏😏😏😏😏😏
@ip_header
@ip_header 3 жыл бұрын
Possible
@benadethafrancis5223
@benadethafrancis5223 3 жыл бұрын
Hawa watoto ni watoto wenye shida lakini si yatima. Yatima ni mtu aliepoteza baba na Mama.
@mwanaishazain7985
@mwanaishazain7985 3 жыл бұрын
Ukisema si yatima unamaana gani? Kivipi sio yatima
@hafsamohamed6035
@hafsamohamed6035 3 жыл бұрын
Kufiwa na bba ND yatima .
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 3 жыл бұрын
Dada usione kama unajua kila kitu ...siku hizi baba na mama wote wanaweza kuqa wapambanaji kwa ajili ya maisha lakini kujumu la.malezi ya familia ni la baba na ndio maana wakina wamama ambao wanaishi bila wanaume wao wanaenda kusthtaki kuomba child support je uliwahi ona mwanaume aliyeachiwa mtoto na mzazi mwenzie analalamikia child support FIKIRI
@samirahassan3212
@samirahassan3212 3 жыл бұрын
wewe usituletee mafunzo ya kikiristo hii mada yakiisilam unatuletea itikaadi ya kikafiri ukome
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Yatima ni yule alofiwa na baba ila akifa mama baba akabaki unakuwa sio yatima uliza walimu wako vizuri kisherua baba ndo mtafutaji wa familia kwa hiyo akifa unakuwa yatima
@lissamsalu12345
@lissamsalu12345 3 жыл бұрын
Naombeni muende kibamba kidimu ukawahoji watu watu tunashindwa hata kununua magari barabara nimbaya Sana na hakuna madaraja please naomba mkahojoli watu ili mama samia aone jamani atusaidie jamani
@munguakulipekilalakherisch8240
@munguakulipekilalakherisch8240 3 жыл бұрын
Mungu akuwekee wepes
@munguakulipekilalakherisch8240
@munguakulipekilalakherisch8240 3 жыл бұрын
U
@globaltv_online
@globaltv_online 3 жыл бұрын
Lissa Msalu tutafute kwa simu no 0714207395
@magotimussa1849
@magotimussa1849 3 жыл бұрын
Uongo mtupu
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Kwanin unasema hivyo
@alfredmhana235
@alfredmhana235 2 жыл бұрын
Au ndo wewe mwenye nyumba nini usiye kuwa na utu mpuuzi sana wewe. Utavuna unachokitaguta.chizi wewe.
@sadigatoudiallo5391
@sadigatoudiallo5391 11 ай бұрын
Vbjggyi6
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 16 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
MAANDAMANO TUESDAY!! P0LICE ARR3STED IN PARLIAMENT WHILE PROT3STlNG
8:16
Vitu 6 hatari katika Maisha yako - Sheikh Othman Michael
27:26
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
25:56
Global TV Online
Рет қаралды 927 М.
Historia, Asili Na Maana Ya DAR ES SALAAM, TANGA / ZANZIBAR
14:44
Global TV Online
Рет қаралды 139 М.