"NILIACHANA na GABO Nikiwa na MIMBA YAKE ya MIEZI 7, UKIMUANGALIA UTASEMA Ndio HUYU" - HUSNA SAJENTI

  Рет қаралды 190,726

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 180
@catherinekan1
@catherinekan1 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu atuongoze tusiolewe wala kuzaa na wanaume wa ovyo! 😥🥹🙆🏾‍♀️
@mommymomm2237
@mommymomm2237 3 жыл бұрын
Ikumbukwe km hakuna mwanamke ambae anapenda kuzaa na kila mwanaume jmn. Tusihukumu upande mmoja
@claudia1500
@claudia1500 5 ай бұрын
Husna ni mpole na mzuri sana! Itakuwa tu hukuwa na bahati na hao wanaume,kwanza mshukuru Mungu bora wengine wakupite manaa wanaume wengine usiombe kukutana nao maishani
@TheresiafaustineMeela
@TheresiafaustineMeela 20 күн бұрын
Neno lako limeniponya😢😢
@claudia1500
@claudia1500 20 күн бұрын
@TheresiafaustineMeela Asante mpenzi endelea kutabasamu ukisubiri mema ya Mungu juu yako
@rihannaahmed
@rihannaahmed 16 күн бұрын
Alimpiga character development
@esterelias65
@esterelias65 3 жыл бұрын
Mara nyingii wanawake wenye hurumaa ndo huwa wanaumizwaa zaidiii poleee dyadyaa mwanamke ku move on na mimba ya miez 7 sio rahis
@omanphone3455
@omanphone3455 3 жыл бұрын
Maskin pole sana
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Haswaa
@fetyalmas698
@fetyalmas698 7 ай бұрын
Kweli kbs
@RoseKhashim
@RoseKhashim 6 ай бұрын
Mm niliweza
@BahatiSunga-yk9qf
@BahatiSunga-yk9qf 26 күн бұрын
Kweli kabisa ndivyo alivyo
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 жыл бұрын
Diva NAKUPENDA 💟💟💟IKO KICHEKO CHAKO mie hoi my sster😂😂kama nawe ulipitia.pole sajent maskn.
@babyzuchu3866
@babyzuchu3866 5 ай бұрын
Nilikua Cjui Kama husna sajenti alipinduka Na gambo ze gamba ❤❤
@FaithJacob-i1b
@FaithJacob-i1b 11 күн бұрын
Mwanaume anatulia kwa mwanamke anaempenda na kumheshimu Vinginevo hawezi 😢
@DoriceEdward-l6s
@DoriceEdward-l6s 17 күн бұрын
Ila hongera ata kwa kuzaa na gabo dah mimi nampenda sana huyo man and a half
@RashdaAbdallahMahuwile
@RashdaAbdallahMahuwile 3 ай бұрын
Leo ndo naamin kweli mkamilifu ALLAH 😢😢😢gabo kweli huyu dada huku2lia umeenda kujikwaa kwa yule mmmh ngoja ninyamaze
@asuminimtulia568
@asuminimtulia568 20 күн бұрын
Mbna yule pia katulia jamn mdada wa watu Yuko smart
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 3 жыл бұрын
Husna eti yule gabo mamaaa😃😃😃
@hellenpatrick3041
@hellenpatrick3041 3 жыл бұрын
NIMEPENDA KUWA BORA UDATE NA MTU UNAEJUA NI MHUNI
@FatmaSaidy-u4e
@FatmaSaidy-u4e 13 күн бұрын
Nakuelewa sana
@joycemachibya4380
@joycemachibya4380 3 жыл бұрын
Mahusiano bhna ni kitu Cha ajabu San ,huenda ww haukuwa chaguo lake ndio hakuwa sahihi kwake ndio maana kwahy tusilaumu sana
@afidhisaid6123
@afidhisaid6123 14 күн бұрын
Wanawake siku zote ndio wenye shida lakini kila siku wanashusha kwa wanaume Sasa huyu mwanamke picha linaanza amepandisha nywele bandia Sasa Kuna maisha hapo
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Chonde usimseme Chaz baba wangu. Bora uniite faragha tuongelee uko
@ZawadiJohn-j1q
@ZawadiJohn-j1q 26 күн бұрын
😂😂😂😂
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 3 жыл бұрын
Hamna mkamilifu ifike stage tuache kuongeleana
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 күн бұрын
KILA MTU NA MTUWE... ASIYE KUFAA WEWE ANAMFAA MWINGINE.. UKIONA MTU AMUENDANI JUA SIO FUNGU LAKO.. ACHANA NAE. UTAPATA WA KUENDANA NAE
@mandajamaly4843
@mandajamaly4843 16 күн бұрын
Huwezi kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja tu tunasubili na gabo ahojiwe😂🤕
@luluabdul2800
@luluabdul2800 3 жыл бұрын
Duh Gabo jmn😂😂😂
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Hongera
@SwahiliSister-o5v
@SwahiliSister-o5v 5 ай бұрын
Kiislamu kama mmeowana kuna mimba haikubaliki kabisa kwa M/Mungu
@FloraMika-n5m
@FloraMika-n5m 9 күн бұрын
Kama haikubaliki kwanini Mungu anatuhusu mtoto anazaliwa punguzeni kamdomo😢😢😢
@neemadorryantapa3082
@neemadorryantapa3082 3 жыл бұрын
Heshimu upande wa wake jamni acheni kukoment mambo ya ajabu
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 3 жыл бұрын
Wanaume kudadadekiiiiii jamani 😔
@reubenkissinga5802
@reubenkissinga5802 3 жыл бұрын
Na Wanawake kudadadeki jamanii!!!kwa upande wangu lakini!!🤪🤪🤪
@halimamis4236
@halimamis4236 3 жыл бұрын
Hata siamini jamani huyo Gabo ukimuangalia hafanani
@EsupatLaiser
@EsupatLaiser Ай бұрын
Uso unaonesha mkorofi
@wardagogodigo1111
@wardagogodigo1111 26 күн бұрын
​@@EsupatLaisersio ukorofi tu na uzinz anao.
@ubahalfan105
@ubahalfan105 3 жыл бұрын
Ndo mana kikaitwa kipindi cha lavi davi umbea mtamu nyinyi,, alafu wanao ojiwa nao pia ni mafala hayawezi jifichia siri zao ukisema staki kuongelea iyo ishu atakufanyaje ebo
@rashidjuma9774
@rashidjuma9774 3 жыл бұрын
Wallahi wananikeraga sana jimtu kutoa siri zake
@mamafatuma138
@mamafatuma138 3 жыл бұрын
Jamani gabo huyu huyu ama kuna gabo kweli ama ni mm ndio maskio yangu mambovu
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 3 жыл бұрын
Unawajua wanaume wewe ogopa sana wakimya
@mamafatuma138
@mamafatuma138 3 жыл бұрын
@@eyabdimaha3698 kweli kabisa
@doreenchacha7692
@doreenchacha7692 3 жыл бұрын
Siamin gabo😪
@monicamushi5192
@monicamushi5192 3 жыл бұрын
@@doreenchacha7692 yeye pia alikua aamini Ila yalivomkuta ndo akajua hajui😄😄
@pendoprosper4090
@pendoprosper4090 3 жыл бұрын
We amin maana huyu dada na gani toka kitambo kwel walikua wanapendana mpaka kaamua hivyo yalimshinda
@mwanamvuasuleyman4671
@mwanamvuasuleyman4671 5 ай бұрын
Nampenda sana huyu dada wallah anavyoongea napenda shepu lake alivyo jmn daah
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 3 жыл бұрын
Kama umezaa nae,.atabaki kuwa baba wa Mtoto wako, Diva atakusaidia nini kuhusu maisha ya mwanao, Acheni kuwasema waume milioachana mitandaoni, Kwasababu mlivyoanzana na nilikuwa mwayafanya mlikuwa wenyewe.
@omanphone3455
@omanphone3455 3 жыл бұрын
Kadada kanafanna lulu Elizabeth maico
@kipipakipipa5050
@kipipakipipa5050 3 жыл бұрын
Sure
@surkozytm3331
@surkozytm3331 9 күн бұрын
Akili nyingi
@surkozytm3331
@surkozytm3331 9 күн бұрын
Nimekupenda bure
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 9 күн бұрын
@surkozytm3331 👍
@miftzorg-q4h
@miftzorg-q4h 20 күн бұрын
Asee huyo dada ni hatari kwa kweli mzuri balaa
@امينهعلي-ض5ث
@امينهعلي-ض5ث 3 жыл бұрын
Duuuuu kweli mbona afanani alivyo
@Mariam-r9s
@Mariam-r9s 24 күн бұрын
Mimi huwa najiuliza mtu unaachanaje na mwanaume ukiwa na mimba tena miezi nane jaman au uchawi
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 22 күн бұрын
Inafika hatua unaona bora ujiokoe kuliko
@manyakuulaompondelo4419
@manyakuulaompondelo4419 3 жыл бұрын
Hiyo miwani mmmhh
@husnayahya5070
@husnayahya5070 3 жыл бұрын
Huyu dada mbona mtumzima lkn hajielewi, km mtu mlishaachana kuna haja gani ya kumuongelea vibaya?, na mtu tayali yupo kwenye mahusiano yake ya ndoa?, kwajinsi unavyoongea unamaanisha kua gabo hana hata jema 1 kwako, sio kila mahusiano lzma yadumu au yafike kwenye ndoa, wewe na huyo kigagula mwenzio mkiachwa achikeni,
@EvaWaziri-so3gi
@EvaWaziri-so3gi 6 ай бұрын
Anaulizwa
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 25 күн бұрын
Jema gani na mtoto atunzi?
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 3 жыл бұрын
Ao ni Gabo mwengine atujuwi
@SteveMapene
@SteveMapene 7 ай бұрын
Wahuni ni wa kweli siku zote.
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 3 жыл бұрын
Mimba miez Saba jmn hebu fikirie ttz litakuwa wap mpk mtu kamua kufny maamuz si rahis kwa mwanamke Wanaume wanaume khaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 kwel wanaume baba wao mmj mama wao mmj
@mariellerashidi4649
@mariellerashidi4649 3 жыл бұрын
Hinawezekana hata mimi jana nilikuwa nimeshafunga mizigo namimba kubwa
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 3 жыл бұрын
Wanaume wanatutesa Sana dah pole mpnz
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 3 жыл бұрын
Wanaume wamefungasha mizigo tu pale kati inawalemea kichwani wamejaa madudu
@ZenaMsumagilo
@ZenaMsumagilo 7 ай бұрын
Hawajielewi kabisaaaaa
@deborahmchona5584
@deborahmchona5584 6 ай бұрын
Ndugu yangu we Acha Mimi niliondoka mtoto ana week moja na kidonda cha operation hawa viumbe wan Moto wao mbinguni
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Nilicho jifunza usije ukaskiliza upande mmoja wa story za mambo ya mahusiano, yani mnapoachana kila mtu anajiona yuko right kiupande wake.
@rahmamavura406
@rahmamavura406 Ай бұрын
Kwa gabo anaonekana kabisa jeuri.Kaacha mtoto kaenda lipa deni la demu mil8 kwa siku yankwanza tu hapo nikajua mmmh
@consoponsiano97
@consoponsiano97 13 күн бұрын
Mie nashngaag why unapoachan na mtu unaanza kumsema vby ten kwenye media why usifiche ubaya wake kulinda amani
@ThadeoMgunga
@ThadeoMgunga Ай бұрын
We mwenyewe b mdada kluka njia waonekana
@jamessaimon5439
@jamessaimon5439 23 күн бұрын
😂😂😂yule mwamba balaaa
@halimakuju6076
@halimakuju6076 27 күн бұрын
Inamaana sana hilo ulosema nibor ujue kama huyu masaambele hawa wanafanya kwakibur sana nawanamajibu sanaaaaa
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 3 жыл бұрын
Subhanallah 😳 huyuhuyu gabo mmhu Astagfirullah laadhwim na bahati kwasasa shemeji yangu kwa mdogo wangu wakijerumani wa manyoni maana isingekuwa si shemeji ningemfumuwa na radi ya caption🚶🚶
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Kumbe shemeji yako???
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 ай бұрын
Alikuona muhuni ndo akakuacha mana yeye simuhuni gabo mana anamke wanapendana snaa nawanaheshimiana snaa
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 3 жыл бұрын
Masikini pole
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 16 күн бұрын
Yaani kila cku wanaume ndio wakoßaji
@alfredmhana235
@alfredmhana235 3 жыл бұрын
Sifikilii kama huyu Dada anasema ukweri wacha tukimsikia Gabi na yeye ndo tutujuwa.
@maryamtan682
@maryamtan682 3 жыл бұрын
Unajua Kuna kipindi ht faiza Ali alisema kuwa gb ni mshezi.
@lonelady3368
@lonelady3368 3 жыл бұрын
kwani huyu diva mbona aulizi maisha ya maendeleo?kila anae kuja interview huulizwa kuusu Mapenzi tuu
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 3 жыл бұрын
Wasaniiii wetu hawana maendeleo wanajua photoshooot na makeup kuvaaa kupendeza madanga ya kuwanunulia magari crown na shopping na vacation Dubai na Zanzibar maendeleo sijui na kiwanja najenga nafungua kampuni hawana mambo hayo ya maendeleo utasikia kwa akina Diamondplatnumz alikiba na Harmonize
@fatmasaid9400
@fatmasaid9400 3 жыл бұрын
@@fredrickmatiku7783 kumbe umeonaa
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani 14 күн бұрын
Wanawake wengi ni wakorofi ndani ya ndoa
@EvaWaziri-so3gi
@EvaWaziri-so3gi 6 ай бұрын
Kweli tunaishi na wahuni wamejificha kwenye vivuli vya dini
@RoseAmilet
@RoseAmilet 4 ай бұрын
Haikuwa ridhiki yako rudhiki ilikuwa kwa huyo aliyekuwa naye sasa hakika wanapendana jamn
@tatusalehe8775
@tatusalehe8775 5 ай бұрын
Huyo Gabo na chaz baba je ACHA kuongelea mtu vibaya
@Ynah-dg2th
@Ynah-dg2th 25 күн бұрын
Alikua hakupendi
@Africa-n1u
@Africa-n1u 3 жыл бұрын
Sauti ndogo
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 7 ай бұрын
Ndo uliachwa hivyo
@marymanoni5536
@marymanoni5536 4 ай бұрын
Mambo hayo
@RichAuntie-g6s
@RichAuntie-g6s 5 ай бұрын
Hakumpenda itakuwa mwanamme akikupenda atafanya kila kitu kwaajil yako
@KoleYasini
@KoleYasini 16 күн бұрын
Na mtu wa dini azini usimpe sifa ambayo ana yupo mbali sana na dini
@mamuamtoto
@mamuamtoto 5 ай бұрын
Ni nguo gani hio maziwa nje!!stara ya Mwanamke ajisitiri
@GiftIddy-k2f
@GiftIddy-k2f 3 ай бұрын
Gabo kipengele hicho umefeli kwnn haumjari mtoto wako?
@hakizimanavaleriecamilla3895
@hakizimanavaleriecamilla3895 4 ай бұрын
Huyu si ndo yule aliye kuwa akipigwa kila mara na Gabo
@esthermbwambo7227
@esthermbwambo7227 3 жыл бұрын
Heri ujue huyu hamna kitu...
@MashaMbwana
@MashaMbwana 5 ай бұрын
Huyu ni nani tena
@rahabumwakajoka6721
@rahabumwakajoka6721 3 жыл бұрын
Hakuna ndoa,mahusiano marahisi,wanawake achani ujinga,na tamaa,na viburi vya uzima,.....mnafikiri waliozeeshana wameweza vipi,au ss wengine ambao bado tunarizungusha gurudumu la ndoa tunawezaje ,.....wadada mkoje kuweni na akili.
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 25 күн бұрын
Wewe fia ndoa. Yalowashinda wameacha ndo maana kuna kuachana na talaka
@aidahtimothy9052
@aidahtimothy9052 3 жыл бұрын
Mtu ameshaoa unamzungumziaje na kwann usikae kimya mbona unaonekana mtu mzima ovyo kwa mdomo huo mmmh hata niwe mm tujifunze kukaa kimya wanawake sie khaaa!!
@lareineminah1353
@lareineminah1353 3 жыл бұрын
Dah Gabo wng🥵🥵🥵 dah siku mzaniii ivooo Ninavyo muonaga 🙈🙈🙈
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 жыл бұрын
Kiislamu mume hawezi towa talaka ikima mke anamimba mpaka ajifunguwe ndio anaachwa sasa sikuhizi nashangaa kusikia mume anamuacha mke akiwa mja mzito
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 ай бұрын
Kiislam kama kamuowa waiting wee
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 4 ай бұрын
Simtototo wake huyo kidini kwa vile hajakuowa dada wer
@isayajoram2434
@isayajoram2434 3 жыл бұрын
We unataka mwanaume awe chini yako sahau ilo huna ukarim
@zakatothman1645
@zakatothman1645 3 жыл бұрын
Kwan mahusiano ni vita jmn take it relaxed
@mosesmhina9980
@mosesmhina9980 3 жыл бұрын
Ni aibu Sana mwanamke kumwaga udhaifu wa mwanaume wake in public
@ericksylivester8757
@ericksylivester8757 3 ай бұрын
Sometime inabidi Ili kupunguza lawama
@jackiefredrick586
@jackiefredrick586 25 күн бұрын
Hapo aibu ya mwanaume asolea mwanae
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc 3 ай бұрын
Mme wa mtu tayari vipi una hoji vitu ambavyo sio kabisa avifai
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 16 күн бұрын
Sasa unamjuwa muhuuni alafu Bado ulikuwa nae tu
@nelsonngowi3950
@nelsonngowi3950 3 жыл бұрын
Yaani unavyoonekana dada wewe ndio tatizo. Muonekano wako tu unakutambulisha,na hauna sababu za msingi zakumchafua Gabo. We angalia hiyo video ulionyesha kumshangaa Ili kuteka Akili za watazamaji wamuone ni mbaya ila ulipotoa sababu inaonekano hazina mashiko
@thebosslady9001
@thebosslady9001 3 жыл бұрын
Usijaji kitabu Kwa kuangalia kava laitan ungekuwa mwanamke ungeelewa nini anaongeaa
@fadhiliyusuph5195
@fadhiliyusuph5195 3 жыл бұрын
The way jinc alivyoanza ni km ni big ishu kuubwa na alitaka kuaminisha kwamba jamaa ni shida lkn sababu haina point
@furahaabonga6642
@furahaabonga6642 3 жыл бұрын
Ilo litangazaji na lenyewe limbeya mno.Kwan ww umewaikuojiwa na nani kuusu maisha yako?.utalikuta halina ata boyfriend alafu linataka lijuwe maisha ya wengine🤷🏻‍♂️.kumbe nyie watangazaji wajinga sana,nyie ndo mnawagombanisha watu.msenge sana we mtangazaji.Kwann unamlazimisha na kumchimba dada wawatu ili aongelee mtu ambae hayupo tena nae.iv kama ameshaowa mwanamke mwengine uko aliko anajiskiaje uyo mwanamke mme wake akiongelewa vibaya?.au na nyie mnaohojiwa uwa mmeshaset kila kitu mtakachokiongea kwenye maojiano?.naisi mtakuwa mnalipa hela ili muojiwe radioni tu.wajinga wote.
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😄🤣🤣🤣
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 3 жыл бұрын
Kabisa ushaachwa achika hayo mambo yakuadithia ya nyuma hayahusu yote anayoyaongea mengine ya uongo tu ilimrad amuumize mwenzio kwani mtu ukiwa nae nilazima kuanza kuaditihia vilivyo pita Mana hata yeye huyu asiyejuwa kuachwa nae bila shaka anamapungufu nandomana ukatemwa na wewe ukiwa na mahusiano yko mapya utafurahi wewe usiyejuwa kuacha aje akuhadithie hapa ifike wakati tukiachwa tuachika kabisa hata tisiyajadili yaliyopita hata kama mtangazaji kauuliza unapotezea ukiachwa achika buana
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 3 жыл бұрын
Anaehoji Alisha taka kuuwa ndoa za watu akimtaka mume wa watu awe nae yeye, Kwa matendo yake alijipatia jina A.K.A. kigagula,,,,Apenda Sana kulazimisha Wanaume wampende, Hana bahati,maskini,
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 3 жыл бұрын
Mbeya sana ! 🤣🤣tena anauliza huku akicheka cheka🤣🤣🤣
@YasintaNgimba
@YasintaNgimba 6 ай бұрын
Wewe ulikuwa wakupitiwa 2 na sio mke wala hukufaa kuwa mzazi mwenzie
@AishaMohamed-q3l
@AishaMohamed-q3l 11 күн бұрын
Mmmh
@consokeic1472
@consokeic1472 3 жыл бұрын
Hamsikiki kwani mwaongea pekeyenu.
@theblessedone7526
@theblessedone7526 3 жыл бұрын
Huyu kigagula msenge kweli I hate her with passion. Yani lachokonoa hadi ya uvunguni yasiyo stahili kuekwa hadharani
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Duh
@gladymtui3475
@gladymtui3475 5 ай бұрын
Upo sahihi wewe dada anajificha. Kwenye kivuli Cha. Dini. Hana lolote. Yule
@swalehemalombe3916
@swalehemalombe3916 3 жыл бұрын
Huyu Dada anatatizo
@ramamasenda6637
@ramamasenda6637 6 ай бұрын
Nawewe Malaya mbona
@jacklineandrew6303
@jacklineandrew6303 3 жыл бұрын
Mtumwafuko wangu
@Dusenge-TV
@Dusenge-TV 3 жыл бұрын
Hivi wanaomzungumzia ni huyu aula?
@claudiajames2003
@claudiajames2003 3 жыл бұрын
Nakuelewa
@victoriamatei7757
@victoriamatei7757 3 жыл бұрын
Annet wa Uba
@ZuhuraAthuman-u2i
@ZuhuraAthuman-u2i 21 күн бұрын
Akili mitope? Bado hamjaachana Kwa sbb umezaa nae hivyo bakiza AKIBA ya maneno mtoto wa kike..kazi kusimulia ya mwenzako wakati siajabu nawe una mapungufu yako
@fralex_1276
@fralex_1276 3 жыл бұрын
Hat msanii flan nae anajifanya ni wa dini xana
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Ali Kiba🤨🤨🤨🤨
@dennismusiba4836
@dennismusiba4836 3 жыл бұрын
Mbona wanaume wote wamekuacha?we huna tatizo zaidi ya kuwasema kwenye media?tumia akili yako na sio kufatisha wana habari kwa kuhatibu sifa za watu kwenye jamii
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 3 жыл бұрын
Kabisa anawachafuwa watu wakati yeye mwenyewe ana mapungufu ivo ivo
@dicelwantu2192
@dicelwantu2192 3 жыл бұрын
Wanaume jaman bac t
@joh7282
@joh7282 3 жыл бұрын
Ata kuuliza hawaulizi wameanza wanaume jmn kwa akili ya haraka haraka hakuna mwanaume anae weza muacha mpenzi wake au mtu wake akiwa ana mimba kubwa kiasi icho ata kama ni masikini kiasi gan au ni mhuni kiasi gan...izo ni zile pigo za kujifanya unamchukia alie kupa mimba kwa kisingizio ni mimba inampelekesha so ata ingekuwa ni mm nachapa rapaaaa stress za nn maisha ya saiz kila mtu anataka amani bwanaa acheni kulaumu sanaa
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Sio kujifanya inatokea kabisa kumchukia mwenye mimba ikawa hamuelewani
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 жыл бұрын
Usibishe
@aginessmgaza9899
@aginessmgaza9899 3 жыл бұрын
Mh
@abdulmalikaudreykaipa4007
@abdulmalikaudreykaipa4007 3 жыл бұрын
Muongo mbona alikufumwa hukuyasema hayo
@hannanommy302
@hannanommy302 3 жыл бұрын
Usiumie Husna Mamy, Lea Mwanao kwa hicho unachokipata, tena nakushauri Usimfuate kumuomba wala usimzungumzie usimpe Airtime, Fimbo iko uzeen Hakuna mwana aso na Baba Wala Mama, pigo na kilio Mwanao atakopokuwa amefanikiwa,
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
Hanan.....mbona unachukua NAFASI ya MUNGU ??????
@hannanommy302
@hannanommy302 3 жыл бұрын
@@minskbelarus7255 Sina uwezo wa kuchukua nafasi ya Mungu,soma vizuri msg yangu.Ndugu yangu kulea mtoto peko yako ni mtihani mkubwa. Na siku zote wanaume ni maselfish. Wanasagamu kuna kukua nakupata mafanikio mfano mzuri tumtazame Diomond Husna lea mwanao kwa hicho unachopata usimuulize baba wa mtoto fainal uzeeni na yunsona
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 жыл бұрын
@@hannanommy302 DIAMOND hawakilishi wanaume wote . Kuna wanaume wameachiwa WATOTO na wanawake waliozaa nao Umamshauri ampotezee GABO na amlee mtoto peke yake; he siku MTOTO akimuulizia BABA yake unamshauri amjibu nini? Na siku ukimuona GABO na huyo Mzazi MWENZAKE utafikiri UNAOTA ??? Umehukumu bila kusikiliza UPANDE wa pili. Kama haya yamekutokea...... POLE sana.
@abdulmalikaudreykaipa4007
@abdulmalikaudreykaipa4007 3 жыл бұрын
Muongo ww mpumbavu gabo hana tatzo tatzo ww una mapepo mchafu hujui usaf ujui kuish na mwanadam unapenda mwaname umutawale
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Siku nawe diva wakuhoj mana unapenda ya wenzii hatar mmmmmm!!! Tena mfukufuku hatar khaaa unataka had vya ndani
@mishimzihir7301
@mishimzihir7301 3 жыл бұрын
Mablack boy cjui wanajikuta nan kwakwel
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 5 ай бұрын
Mkiona watu wametulia kwenye ndoa zao wewe ulishindwa kutulia mnaanza kuchokonoa ili tu na ndoa alio nayo ianze kuyumba ushindwe mmbwa wewe
@BimHamdi
@BimHamdi 24 күн бұрын
Waswahili wana sema usione ukazani nyumba nzuri c mlango bali ni ndani
@itsjkamolabeatz
@itsjkamolabeatz 3 жыл бұрын
😂😂rayvanny chuii🐯 ana chekesha na ma jibu yake ku husu Paula Wa kajala Jionee apa utoe maoni yako😂😂😂 👇👇👇👇👇👇👇👇 kzbin.info/www/bejne/hXm3iJhspM1nh9E
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 жыл бұрын
Heee, maakubwa 🤔🤔
@albertsayari7239
@albertsayari7239 3 жыл бұрын
Tatzo saut zpo chin
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 3 жыл бұрын
Uwenda wewe ndio shida , apo unatujaza tu uwongo ili tukuona upo sahihi
@baysuraoman7910
@baysuraoman7910 3 жыл бұрын
Kwa kujitetea nyie
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 3 жыл бұрын
@@baysuraoman7910 hawajambo😂😂
@saumuhamisimwandekwa5064
@saumuhamisimwandekwa5064 3 жыл бұрын
We dida nawe nahilo jimiwani lako
HUSNA SAJENTI AMWAGA MACHOZI AKISIMULIA ALIVYOACHANA NA CHALZ BABA
6:08
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
MIAKA 5 YA TIFFANY STORE NDANI YA NDOA NA GABO ZIGAMBA
22:09
Tiffany Store
Рет қаралды 83 М.
BWANA HARUSI KAMKATAA BI HARUSI   LIVE BILA UOGA.AKATAA ZAWADI 🧐
5:15
ELISHADAI ONE MEDIA
Рет қаралды 370 М.