MKE WA BEKA FLAVOUR ATAJA KILICHOMUUMIZA KWENYE BABY SHOWER YAKE, ISHU YA HARMONIZE ILIVYOTAKA KU...

  Рет қаралды 30,704

Msasa Media

Msasa Media

Күн бұрын

Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.

Пікірлер: 22
@CECILIAMAGANGA-sk8md
@CECILIAMAGANGA-sk8md 3 ай бұрын
Hongera dada... Ni mzuri pia una akili nyingi sana. Yaan umeamua kuzaa na baba mmoja. Mungu awatunze watoto wako
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 3 ай бұрын
Amina
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 3 ай бұрын
Hayo maneno ya nini na nini sidhani kama ataacha kutamka😊 hongera yake Dada happy
@TinasheBeture
@TinasheBeture 2 ай бұрын
BEKA NA HAPPY ❤❤❤ BAADA YA MYAKA KADHAA MTAONAGA UMUHIMU WA KUZAA WATOTO KWA MAMA MMOJA AWO BABA MMOJA ❤❤❤ RAHA YA UVUMILIVU ❤❤❤❤
@VenasiaEmmanuel
@VenasiaEmmanuel 3 ай бұрын
Hongera sana dada nami mungu anitendee miujiza
@Gersah
@Gersah 3 ай бұрын
Amiin
@WahidaHilaly
@WahidaHilaly 3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 3 ай бұрын
Mnamchosha wifi ytu waandishi khaaa miswali haina kichwa wala miguu
@aickatesha4542
@aickatesha4542 3 ай бұрын
Mungu awasaidie mfike mbali 💋💋
@sauda4505
@sauda4505 3 ай бұрын
Una sura kaliii mashallah
@smartonlinetv5144
@smartonlinetv5144 3 ай бұрын
Mmmmmmh... happy jamani msema kweli.....hataki kusema uongo
@hyacinthe313
@hyacinthe313 3 ай бұрын
Capo yenu naipenda sema hamutuliii dah😂 ira MUNGU awasaidie
@JAPHETSPORTARENA
@JAPHETSPORTARENA 3 ай бұрын
Hapo sawa kabisa.
@SelineChandja
@SelineChandja 3 ай бұрын
Nakupenda bure dada yangu❤❤
@paulinaemanueli6881
@paulinaemanueli6881 2 ай бұрын
Home 🏠 girl 🎉🎉🎉
@JaqilineJuma
@JaqilineJuma 3 ай бұрын
Hongera dada
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 3 ай бұрын
❤❤❤❤happy
@barakabarnaba-ge8xs
@barakabarnaba-ge8xs 3 ай бұрын
❤❤❤
@mwanahamisMussa-mc1rt
@mwanahamisMussa-mc1rt 3 ай бұрын
Ongela
@marthamwasumbi2387
@marthamwasumbi2387 3 ай бұрын
Comment zako kwa mumeo mmmh nadhani ujauzito unachangia😊
@subiranathanaeli-yd1tw
@subiranathanaeli-yd1tw 3 ай бұрын
Kachoka bhana wewe huoni Hadi anasema tunaongelea nin
@RizikiAdventine
@RizikiAdventine 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
THANSGIVING DINNER DATE For BEBII - Dem wa Fb & Oga Obinna
18:30
The Weekly Show KE
Рет қаралды 14 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 70 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 90 МЛН
Mr & Mrs. Nassib wakiingia ukumbini🔥
2:01
Mc Pongwe
Рет қаралды 7 М.
OUR LOVE STORY W/ BEKA FLAVOUR AND HAPPY REUTER | EP 04
1:32:24
Our Love Story Podcast
Рет қаралды 105 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 70 МЛН