EX WA BEKA AELEZA SABABU ZA KUACHWA "NISINGEWEZA KUMKATALIA HARMONIZE"/ALITUMA MESEJI MBAYA

  Рет қаралды 348,255

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер
@frankfelix5344
@frankfelix5344 3 жыл бұрын
Huyu ni mjinga sana ndomana wanawake ni nyoka unawezaje kujichukulia maamuzi kuwa vixing na hujatoa taarifa kwa mme wako beka well done
@mkobainnocent2368
@mkobainnocent2368 3 жыл бұрын
Kwani ametolewa mahali? Kama hajatolewa hana uhalali wa kuwa mke ni mzazi mwenzake tuu,,kikubwa yeye apige pesa maisha yaendelee,,kwani huyo beka ana vi chuplichupli vingapi?😁😁😁😁
@shadyarif653
@shadyarif653 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qn7Qo4xrjbh0irs
@shadyarif653
@shadyarif653 3 жыл бұрын
@@mkobainnocent2368 kzbin.info/www/bejne/qn7Qo4xrjbh0irs
@humphreynduye6239
@humphreynduye6239 3 жыл бұрын
Mkoba huna akili,,, nahx hujaoa ww And hujui ,,, nn maana ya mke ,, Mwanmke ukikaa nae miez miwil tuu hta kma hujmtolea posa n mkeo halal mkiachana kisheria mnagawana ,,, hta mlivyonavyo
@najmahamso8364
@najmahamso8364 3 жыл бұрын
@@mkobainnocent2368 alimuoa na huyo dem alislim na wakafunga ndoa ya kiislam
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 3 жыл бұрын
Shout out kwa mchaga OG na thisisaaliyaah na refresh kwa ujumla na wasafi media kwa kazi nzuri🤝👏👏
@danielathanas5872
@danielathanas5872 3 жыл бұрын
Both wanaonekana wako humble kwa kiasi Chao. GOD have them together.
@piusphilip307
@piusphilip307 3 жыл бұрын
Happy Kwa hakika, umempoteza mume, dadangu
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 3 жыл бұрын
Nouma kzbin.info/www/bejne/r3y7dIF8griqfsk
@MtotowaButere
@MtotowaButere 3 жыл бұрын
Much love kzbin.info/www/bejne/iZ7YaJqgZ9SXa7s true story jamani
@chamalawana3606
@chamalawana3606 3 жыл бұрын
Mungu anakuona we dada
@FauritoOmar
@FauritoOmar 5 ай бұрын
77777 um PB CGD
@satwanthoogan6746
@satwanthoogan6746 3 жыл бұрын
Ex- wa Beka,mzuri sanaaaa!😍👍👏
@shadyarif653
@shadyarif653 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qn7Qo4xrjbh0irs
@yohanayohanaadamu6483
@yohanayohanaadamu6483 3 жыл бұрын
Ndokasha achwa tena
@peter_paulofficialy
@peter_paulofficialy 3 жыл бұрын
She is so cute....i love her💕
@rogathebarran9944
@rogathebarran9944 3 жыл бұрын
Pole sana happy mi Bado nakuelewa wasikichanganye watu wa media rogathe bwawani biskuti upsent date kumbuka umejificha sana huko dar wasanii ni kama tu kina lao la usanii kila kitu wanaigiza na kuimba
@daudimatelot9339
@daudimatelot9339 3 жыл бұрын
Bonta alisema Mwanamke mzuri kama hana skills ni sawa na Pete ya dhahabu kwenye poa ya Nguruwe
@MtotowaButere
@MtotowaButere 3 жыл бұрын
Much love kzbin.info/www/bejne/iZ7YaJqgZ9SXa7s true story of
@shadyarif653
@shadyarif653 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qn7Qo4xrjbh0irs
@vummyjulias6951
@vummyjulias6951 3 жыл бұрын
Unamakosa razma ungempa taarifa mwenzaako
@vummyjulias6951
@vummyjulias6951 3 жыл бұрын
Dah naomba beka msamehee 2 uyu mdada Mana nimzur sana
@daudimatelot9339
@daudimatelot9339 3 жыл бұрын
@@vummyjulias6951ana tamaa sana uyo dada
@philbertemmanuel7630
@philbertemmanuel7630 3 жыл бұрын
Unaitwa tu hovyo kushoot wanakuona we danga wenzako huwa wanaandaliwa
@stevenchenga1978
@stevenchenga1978 3 жыл бұрын
Si ndio apo vixen huwa anaitwa na anaandaliwa kwa kupewa maudhui ya video jinsi itakavyokua na sio kukurupushwa Kama ww unavyosema...kweli walimuona ni cheap prostitute ndomaana
@Maseras.love5
@Maseras.love5 3 жыл бұрын
It"s so painfull najiskia mawazo yamenizidi..nishawai experience such things kama ni mtu caring na huruma mbona akuache hio inamean kuna kitu ulifanya na ibra😭😭you so cute mamy we men we are not that good as you think utachezewa na uregret badae mnaendana sana na beka aki am ready to give you all kinds of things zenye utataka bora mrudiane na beka sipendi kuona true love ikivunjika beauty pls rudi nyuma.Nimefatilia hii story sana na imenigusa..From lamu Kenya
@claricmihegwa8783
@claricmihegwa8783 2 жыл бұрын
So painfull😪
@sniperreally9078
@sniperreally9078 2 жыл бұрын
Kwa waliomuonea huruma bekq let's go 🚶‍♀️
@isackwsmithwsmith9027
@isackwsmithwsmith9027 3 жыл бұрын
Teacher konde 🔥😍🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@starjay3052
@starjay3052 3 жыл бұрын
😁😁😁
@piusphilip307
@piusphilip307 3 жыл бұрын
Acha jeuri za kiiraki dadangu, mtafute Beka ndugu yangu, achana na wazugaji hao, wewe ni mtoto wa kike Una muda mchache sana wa kuondoka kwenye chat
@r14kgroup68
@r14kgroup68 3 жыл бұрын
Mwambie ukweli
@placidiasilvanus9113
@placidiasilvanus9113 3 жыл бұрын
Atleast umeeleza mema yake big up
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 3 жыл бұрын
Alafu Oooh wanaume kwa kununa wanamaindi vitu vidogo sio kununa wala kumaindi vitu vidogo tunaitaji heshma ya dhat na kweli sio heshma ya kuigiza
@aminahhill1277
@aminahhill1277 3 жыл бұрын
Waw I like the way she’s talking
@MtotowaButere
@MtotowaButere 3 жыл бұрын
Much love kzbin.info/www/bejne/iZ7YaJqgZ9SXa7s true story jamani
@azzizazizion5056
@azzizazizion5056 3 жыл бұрын
siongei kwa ubaya ila wanawake weng walojaliwa uzur bas wanahis kutulia na mwanaume mmoja watachelewa kimaisha so wanatumia uzur wao kama fimbo ndio mana weng wanaishiwa kudanganywa kwa kupewa pewa vijihela lakin mwsho wa cku watu wanapiga kisela wanasepa tumien akil
@elishaedson861
@elishaedson861 3 жыл бұрын
Kwr babu
@embeteidi5023
@embeteidi5023 3 жыл бұрын
Shida ya wanawake wa bongo wanaweka pesa mbele kuliko mapenzi
@lightnessdominick6887
@lightnessdominick6887 3 жыл бұрын
Nyie ndo mnataka iwe hivyo
@fathers19991
@fathers19991 3 жыл бұрын
Wende jaza mimba
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Tafuta pesa utapendwa hadi na chawa
@johnjoseph763
@johnjoseph763 3 жыл бұрын
Kwa kifupi Wanawake walio wengi ni tatzo sn na uwa hawajui km kuna kesho hyo ndio shda na wanajifanya wajuaji sn ndio maana wanaishia kuzaa zaa ovyo tu na hata uwaambie nn yanapita huku yanatokea huku
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
Kweli
@chamalawana3606
@chamalawana3606 3 жыл бұрын
Hii ndio aina ya wanawake wengi tulio waoa eee h mungu tusaidie
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 2 жыл бұрын
Aisee achaa2 n shdaaa
@jastinmollel5502
@jastinmollel5502 2 жыл бұрын
Unaongea vzr had raha mnapendana sana ubarikiwe madam
@erickthomas3436
@erickthomas3436 3 жыл бұрын
You can't decide and then ask for advice, about making decisions, he also knew that Beka would not agree with those decisions nor was it time to explain it to him, as that is the responsibility of the family
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 3 жыл бұрын
Happy una lugha za kubadilika. Ulisema unamjua beka ukimuaga hawezi kukuruhusu leo unasema ulikurupushwa. Hakuna mwanaume anaweza kukubali eti itokee kwa video bila kumshirikisha ulikosea sana.
@martinkinyua7650
@martinkinyua7650 3 жыл бұрын
For sure this lady loved beka so much but beka sometimes he is non understandable.
@isackdalushi2255
@isackdalushi2255 3 жыл бұрын
Beka fleva yuko sawa kumwacha huyu dem maana hajielew wee unaishi na mme wako ushindwe kumpa taarifa wanaume hatupend hayo mambo
@piusphilip307
@piusphilip307 3 жыл бұрын
Mimi nakushauri fanya ufanyavyo, mtafute Babu Tale au Fella waongee na Beka
@oyay2821
@oyay2821 3 жыл бұрын
Kama ashaonjwa Beka hawezi mkubali kabisa
@babuunavaz9843
@babuunavaz9843 3 жыл бұрын
Ukiona demu anakuelezea kwa uzuri hivyo ujue kurudiana naye sahau 😂😂
@rickierunyota3613
@rickierunyota3613 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Kabisaaaaaa
@dankalama7677
@dankalama7677 3 жыл бұрын
Wahuni tumeelewa 😂😂
@shkjumaa8339
@shkjumaa8339 2 жыл бұрын
uko sahihi mwamba
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 3 жыл бұрын
Tatizo lenu no nizamu Hiko ndicho kilichokuwa kipimo kwako kwake sio jambo dogo kama unavyochukulia jifunze kitu hapo hili husije kuludia kwa mwanaume mwingine. Hata ningekuwa Mimi nisinge kuhuliza maana hulishajichukulia maamuzi mikononi mwako. No Matt unaenda kuonana na nani taarifa kwanza.
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 chezea pesa wewe wanawake heshimuni mlioko nao kwenye mausiano
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@mariamubonifac3775
@mariamubonifac3775 3 жыл бұрын
Kwahiyo beka Yuko singer🤣🤣🤣🤣wooo nitajimilikisha na mim
@Adeen.1
@Adeen.1 3 жыл бұрын
Alikosea sana kwa ufupi mwanamke hasomuheshimu mumewe hafai honestly...
@saleheabdallah5461
@saleheabdallah5461 3 жыл бұрын
We acha kijishusha thaman kwa kushobokea ustar mume wako ndo amekufisha mpaka hapo ulipo alaf unakuja kufanya vitu bila kumshirikisha huna stara ya kuwa mke wew..
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Hakuwahi kumuoa
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
Hapa ndo utaona jinsi walivyo wajinga ety nimekurupushwa na msanii mkubwa ko siwez mkatalia ni bora afanye dhen Amwambie akili za kijinga sana hawa wanawake wa mjin ni WA kudate nao maisha mengne ttatafta watu wengne wa kufanya nao maisha ujuaji mwingi
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Yes ni mjinga kweli huyu dada
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 3 жыл бұрын
Sahihi uzuri bilaa akili ni kasha kabisa
@frankbizatv6023
@frankbizatv6023 3 жыл бұрын
Upo sahihi
@stevenchenga1978
@stevenchenga1978 3 жыл бұрын
Huyu msichana ni mjinga Sana ata ambavyo anaongea..ety nilikurupushwa na msanii mkubwa so siwezi mkatalia afu msanii mwenyew Harmo mweny tamaa ya wanawake dah! Afu aliliwa kabisa siku iyo sio bure mpaka Beka akamaind
@AliMohammed-df7iz
@AliMohammed-df7iz 3 жыл бұрын
Wallah hujielewi mumeo utuambie msanii mkubwa
@Sppah697
@Sppah697 3 жыл бұрын
Happy umechemka! Umeona mwanaume wako hafai ukaina Harmanise/ Ibra ni zaidi siyo!
@mathiaslaurent756
@mathiaslaurent756 3 жыл бұрын
Huyu dem ni mjinga na ndio tabia nyingi za wanawake, anajiona mzuri na kuanza kusikiliza maelekezo ya wanaume wengine fikiria anasema ni msanii mkubwa nisingeweza kumkatalia dah!
@salamaseif4183
@salamaseif4183 2 жыл бұрын
Mjinga huyo
@Young_prosper
@Young_prosper 2 жыл бұрын
😉
@mwannerajabu8688
@mwannerajabu8688 3 жыл бұрын
Huyu bint mwanzo nilikuwa na muelewa ila Kadri siku zinavosogea namuona chenga. Et Leo hii anasema beka anajari Sana na huku interview zilizopita anasema Becka hajari. Inaonesha kabisa yy ndio ako na matatizo Ndiomaana Becka kagoma kukarudia na uzuri wote huo kabak kuhangaika ktk media😂😂
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 3 жыл бұрын
Ulimthaminii msanii mkubwa Harmonize..... Baada ya kuachika kakusaidia nini? Umeulizwa beka ni mwanaume wa aina gani?Umesema vizuri...mwanaume mwenye kujali sana na huruma ..Heshima... Umeulizwa tena kama unajutia ulichokifanya ni kitu kibaya? Anasema haujutii Wewe Dada unafeli sana..Kumbuka mambo ya anasa ni ya kupita tu..Istoshe unamtoto anateseka kwa ujinga wako na tamaa zisizo na mpaka.... Ushari wangu rudi kwa mungu wako piga magoti muombe radhi mume wako mrudiane mlee mtoto wenu..Jeuri ya kijinga haina faida....Mwenyezi mungu akufanyie wepesi....
@michaelsamwel2832
@michaelsamwel2832 2 жыл бұрын
P
@fridamweni8110
@fridamweni8110 2 жыл бұрын
Amiiin.
@officialkingdavid8301
@officialkingdavid8301 2 жыл бұрын
Umeongea ukweli ila wanawake hawanaga wema
@jumamazima53
@jumamazima53 2 жыл бұрын
Kabsa bro yan hpo umeong point za watu 100 umeong we pekeyako,,,big up Niga🤛
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 3 жыл бұрын
Waiting 🔥🔥🔥
@innobugobola1694
@innobugobola1694 3 жыл бұрын
Wanawake wa Dar kwa kupenda Kiki duh mpo Vzr aisee mnapenda san maixha ya Mtandaon kumb Njaa tu, kiukwel hauna Maajab
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 3 жыл бұрын
🙄🤣🤣
@joymafuru4006
@joymafuru4006 3 жыл бұрын
Wew unamaajabu gan acha ushamba
@mwangekatabia9136
@mwangekatabia9136 3 жыл бұрын
Sai ao waliomkurupuaha kufanya video wako wapi
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 жыл бұрын
Saiv wasafi bila kumzungumzia jeshi hamsikiki mjini khaaaa
@olipambwilo6055
@olipambwilo6055 3 жыл бұрын
Mabinti wengi wanasahau ni kuchanganya mapenzi na kazi
@abdulishaban7795
@abdulishaban7795 3 жыл бұрын
Wana wake wabaya saana wana wake yaaan cyo kabsaa yaaan mwanzon una muona mtu lkn tamaa aiseeeee tamaaa
@danielmwaisaka2330
@danielmwaisaka2330 2 жыл бұрын
Was a nice
@rashidyhongo1077
@rashidyhongo1077 3 жыл бұрын
Aiseeh sijui
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 3 жыл бұрын
Naungeomba kutombwa ungetombwa kwanza ndo umuombe mume wako ruhusa ya kuchepuka. Ulifeli dadangu just respect your husband before everybody.
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Mmmh pole ndugu apo ulifeli, kabra ujaenda ungemuambia mwenzio, lkn umejiamulia tu.... Kaona umemzalau sio vzl my dear, cjui ulimuona jinga kumbe mwenzio ana msimamo wake
@aboubakarykitemi3721
@aboubakarykitemi3721 3 жыл бұрын
Sasaiv ana sura nzuri bdo umri ngoja afike miaka35 tu uone km utaitwa kwen izo shooting pumbv ww yni kisa konde ni msanii mkubwa ndo ufnye utkcho bila mumeo! wnawke wa ckuiz dawa yao kuwachfua tu afu unasep zako mamae kbsa
@isibanianews1329
@isibanianews1329 3 жыл бұрын
Wewe ni mshobokaji tu,lazima wawe walikuwa wanafanya na mengine.
@barakanassari700
@barakanassari700 3 жыл бұрын
Na hiyo ndo point Dada kuongea kwamba yeye kwake ni upendo 2 vingine havimsumbui
@bushsutimeline766
@bushsutimeline766 2 жыл бұрын
Hum
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 2 жыл бұрын
Aaah weeee ulishindwa kumheshimu mumeo kwa sababu ya pesa kwani Becka pesa alikuwa hakupi? Kwahiyo hapo ulipo umeridhika kabisaaaaaa na hayo madanga yanayokupa kiburi eti ingekuwa ni mwanamke uliyekamilika ilikupasa kabla ya mwaka mpya kuanza ungeomba radhi kwa mumeo
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 3 жыл бұрын
Mmewako hutakiwi kufanya vitu kama hivyo bila ruhusa yake unaonekana tu mdangaji unapenda maisha ya utandawazi hufai kuwa mke wa nyumbani bali wakula nae maisha ya anasa
@kapopaelisha6406
@kapopaelisha6406 2 жыл бұрын
bien sana
@mwangekatabia9136
@mwangekatabia9136 3 жыл бұрын
Huyo aligotwa uko location
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Una ushaidi
@athumanmbululo3980
@athumanmbululo3980 3 жыл бұрын
Njoo kwangu
@mwakazisaidi1175
@mwakazisaidi1175 3 жыл бұрын
She’s really
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Mdada mzuli mashaallah
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
Ety anipende kulko navompenda unawajua wanaume ww 😅😅😅 utapendwa na atakujali akishazagamua ndo utajua walivyo
@boyochu1308
@boyochu1308 3 жыл бұрын
Hajawajua vizuri huyuuu😀😀😅Subiri limfike
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
@@boyochu1308 hajui neno mwanaume hiyo me ina maana gan hapo mbela 😂
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 3 жыл бұрын
Ukitaka kuachana na mwanamke wako mjali sana. Ila kama mnataka kudumu mpelekeshe kama gari bovu. Yani mpe mikiki mpaka ajute kuzaliwa hapo mtadumu milele.
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 3 жыл бұрын
Kweli kaka
@dalilambalilaki3762
@dalilambalilaki3762 3 жыл бұрын
ASA Ayo ni mapenzi au?
@mosimba467
@mosimba467 3 жыл бұрын
Abanaee huo ndio ukweli
@njoroboihustla125
@njoroboihustla125 3 жыл бұрын
hahahaha ni shida
@karimabdoul7619
@karimabdoul7619 3 жыл бұрын
Angekuwa gari inge eleweka ila sas ni mwanadamu kama wew 😂😂😂💋
@saidmohd9406
@saidmohd9406 3 жыл бұрын
Ndio mambo
@bornfaceisaalivisonisaa7495
@bornfaceisaalivisonisaa7495 3 жыл бұрын
Hizo dharau hata mm ningekuluhusu uchanganye mbarigaa wende
@luthermbio7581
@luthermbio7581 3 жыл бұрын
Hawa viumbe hawa🙋🙋
@afandehassan1
@afandehassan1 3 жыл бұрын
Heri kuoa demu mwenye sura kaa lori ya jeshi but hivyo hivyo atarukiwa tu
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 3 жыл бұрын
Wanawake wengi wanaojiona wazuri wametenganisha malezi ya baba na mtoto kisa tamaa zao,Kingne nimejifunza hata Kama unampenda na kumjali mwanamke ambaye bado hujamuoa usimuoneshe upendo huo atakupelekesha na kuona hata akukosee vp huwez muacha kisa umezaa nae
@ibrahscharo2703
@ibrahscharo2703 2 жыл бұрын
Nakubaliana na wew Kakangu hili n somo kubwa sana kwangu.
@allybakari5265
@allybakari5265 3 жыл бұрын
Yan kwaukweli wanawake niwajinga Yan kwaukweli mm na hawawa2 sinaiman nao Yan kisa m2 ni msanii mkubwa akualibie ndoa
@johnasso6944
@johnasso6944 3 жыл бұрын
Acha izo Wew kazi Ni kazi Kwani Hakulipwa?Kwani Alipo anza kukutana nae hakuijua kazi Anaeifanya
@stevenchenga1978
@stevenchenga1978 3 жыл бұрын
@@johnasso6944 ww huyu binti alikua hafanyi uvideo vixen alikua ni *makeup artist* na aliingizwa na kutambulishwa na uyo aliyekua mumewe Beka... Ata Kama ingekua ww uyo ndo mkeo anakuaga nyumbani anaenda kazini kwa ajili ya makeup alafu unakuja kushtukia anaonekana kwa video ya msanii kawa vixen utamuelewaje uyo mkeo??
@drdbmwakipigo7927
@drdbmwakipigo7927 3 жыл бұрын
@@stevenchenga1978 na kwa kuongezea hapo Ukweli ni kwamba huyo demu aliliwaaa na kondeboy
@drdbmwakipigo7927
@drdbmwakipigo7927 3 жыл бұрын
@@johnasso6944 huyo demu baada ya kushoot video aliliwa na kondeboy hotelini
@stevenchenga1978
@stevenchenga1978 3 жыл бұрын
@@drdbmwakipigo7927 kabisa iyo nakubar maana tunamjua Harmonize ana tamaa Sana ya wanawake na ivi uyo mwanamke mshenzi ety siwezi mkatalia msanii mkubwa 😅😅😅😅 pumbavu kabisa
@mzalendoonlinemedia7170
@mzalendoonlinemedia7170 3 жыл бұрын
Tamthiliya ya PAZIA mmeipotezea Wabongo. mnakwama wapi!?
@chalodavid4537
@chalodavid4537 3 жыл бұрын
maybe kwa interviews za awali but kwa hii moja tu mwanamke anaonekana ako very smart kichwani na anajutia.
@LearntowinLTN
@LearntowinLTN 3 жыл бұрын
Hakunaa
@kidamdende4337
@kidamdende4337 2 жыл бұрын
Såñå
@alira6789
@alira6789 3 жыл бұрын
Nimependa nilipoona kipande cha wimbo wa ibra..huu ndo upendo wadau
@emmanuelkato9122
@emmanuelkato9122 3 жыл бұрын
Acheni upumbavu wazazi wenu mbona awa ongelei mapenzi mnajifanya mna yajua sitaki like
@musason1680
@musason1680 3 жыл бұрын
🤣🤣
@Gody360
@Gody360 2 жыл бұрын
📢📢
@jumaasalim1008
@jumaasalim1008 2 жыл бұрын
Namsapoti beka sana cz huyo mwanamke nimshamba2 hajui mana ya ndoa
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 3 жыл бұрын
Ukweli huyu mama ni...m
@ashellyshadrack6964
@ashellyshadrack6964 2 жыл бұрын
Pumbavuuu sanaaaa wew
@sarahbraison417
@sarahbraison417 3 жыл бұрын
Wanaume wengine wababaishaji tu hapo bdo alikua hajakuoa kwahiyo una Uhuru wa kufanya lolote chamuhm heshima tu
@juliasmihwela1326
@juliasmihwela1326 2 жыл бұрын
Hapana watu hubarika wakiingia ndani sasa yeye hata hajaolewa anafanya mabaya je akishaolewa ingekuaje huyo usimtetee hana adabu tu na licho fanyiwa ni haki yake
@tonnykenga9468
@tonnykenga9468 3 жыл бұрын
Nonsense huyu mjinga bado anatafuta umarufu kilazima..mwka mzima story ni hio hio tu
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 жыл бұрын
Dada alikuwa natafuta ela
@salimali7930
@salimali7930 3 жыл бұрын
Kueni Makin mapenz aya ingiliwi sio kwa kumnyooshee mwengine kidole angalia na kwko usisahau Dunia duara..... Usha pitia na yatakukuta na twaishi nayo na pia twayaona.. .
@jastinefaustin9982
@jastinefaustin9982 3 жыл бұрын
Leo umevaa vizur halaf umependeza Ndugu mtangazaj
@jackiewowmukami7260
@jackiewowmukami7260 3 жыл бұрын
Hiii
@venancekavishe9823
@venancekavishe9823 2 жыл бұрын
Mwanamke ambae hana Akili basi sehemu zake za Siri zitapata tabu sana mamae
@luckyyusto8159
@luckyyusto8159 3 жыл бұрын
Fala Sana huyo msanii mkubwa yupo wapi? Na anakusaidia Nini!! Malaya wewe
@samwelmassi1932
@samwelmassi1932 3 жыл бұрын
Hafaiii kuwa mkee ila ni kwamatumiz anafaa etioi ila sifa za mkee hakunaa hata chembee
@kasrajymatimbwa6755
@kasrajymatimbwa6755 3 жыл бұрын
For sure ww ni mpuuzi mwanaume atakaeweza kuvumilia ni hanisi 2 na c mwengne
@shamsakiobiya2526
@shamsakiobiya2526 3 жыл бұрын
Huyu happy kafika mjini kajisahau amesahau alipotoka na beka,wasichana wa Arusha hawajatulia
@janemhango5884
@janemhango5884 3 жыл бұрын
Mimi kwa mawazo yangu tu huyu mwanamke kaona kapata vipesa kaanza kiburi wanawake wapole ni nyoka lakini atakuja kumkumbuka Beka kila mtu anakuwa na wivu kwa mtu ampendae hata wakiishi bila ndoa inatakiwa amsikilize huyo bwana ake
@saummohamedm435
@saummohamedm435 3 жыл бұрын
Wasafi habari zikiwa za kondegang wanavalia njuga washenzi nyie
@lareineminah1353
@lareineminah1353 3 жыл бұрын
Myaka mi 8 mtu amekuvumiliya vingi uka mu ache kwa message ? Beka hajawahi kukosea? Huu dada haku msameh!!!??? Wanaume huruma yenu finyuuu kabisaaa🤮🤮🤮 Happy Mungu akupe mwenye kheriii zaidi Nawe mara nyingine umsaminishe utakaye kuwa naye na usikubali kukurupushwa👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@asmaameir3663
@asmaameir3663 3 жыл бұрын
Ndo wale wale
@chrispinkilasi1648
@chrispinkilasi1648 2 жыл бұрын
Wanaume huruma yetu finyuuu kabisaaa? Sawa je unaesema atampata mwenye kheri atakuwa mwanamke?? Kubali tyu wanaume tuna wivu mkali hivyo shemeji alikosea kufanya maamuzi mwenyewe
@lareineminah1353
@lareineminah1353 2 жыл бұрын
@@chrispinkilasi1648 labda😡😡😡
@rahjah5882
@rahjah5882 3 жыл бұрын
Dada ulikosea, jamaa yuko right
@jizzomonster
@jizzomonster 3 жыл бұрын
Asa ww Dada tamaa mbaya itakuponza huwez kuacha kumuaga mmeo kosa kubwa hilo
@charleslwanga6317
@charleslwanga6317 2 жыл бұрын
Mama eeh hamunaga fimbo ilitembea...
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 3 жыл бұрын
Duuuuhhh et siwezi kataa kondeee sio mtuuuu mzuriiii
@vicentgodifrey899
@vicentgodifrey899 3 жыл бұрын
Matako wew
@happyelias9465
@happyelias9465 2 жыл бұрын
Eti mke wa beka 😏, mtu hajakuoa alafu anataka kukupanga mjinga nini dada fanya mambo yako , kama angekupenda angekuoa mfungu ndoa hapo unakuwa na uhakika na unachovumilia
@hassanchauluwa7308
@hassanchauluwa7308 3 жыл бұрын
Yani unakunywa sumu alafu unategemea maziwa.
@qassimmwalimu2771
@qassimmwalimu2771 2 жыл бұрын
Walai ulimdhilalisha mwenzio,aki so poa ulivomfanyia afu naamini bado mwapendana ila mnaona aibu jamii utawasemaje,hasa hasa kwa beka..harmonize na watu wengine watamringia sanaa,haezi tena jivunia mama mtoto wake tena mbele za watu, anyway that's is your destiney
@patrickirambona6508
@patrickirambona6508 3 жыл бұрын
Fala wew mwanamk
@nestorassani5461
@nestorassani5461 3 жыл бұрын
Nakuja hapa kwa sababu nasikiya jina la harmonize
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
🤣🤣
@thomasjoe6648
@thomasjoe6648 3 жыл бұрын
Wanawake jmniii kwamba hajutiii ukiuliza kwa nn hajutii penz LA mme wake atakupa sababu gani? Mpnz yanaumza ban kwa mtu uliekuwa nae haumcheat but cz ulikuwa unamcheat toka day ndo unaona kuwa hujutii means uliumia tyu just mmeachana but so mpnz Duh beack poleeee saaana brother mkubwa Ndo Wanawakeee
@wapotionline1421
@wapotionline1421 3 жыл бұрын
Dada wewe ni mbaya dada Kuna wanawake warembo bila mekap ,,,,ila pia ni mwanaume mjinga tu angeweza kuvumilia huo upumbavu wako hata mimi siwezi
@franklinkessy586
@franklinkessy586 2 жыл бұрын
Kunde Gang ni kikundi flani cha wahuni ambao hawana adabu wala heshima kwa wake za watu pumbavu kabisa
@khamisdaima1455
@khamisdaima1455 2 жыл бұрын
We dem mujinga sana hauwezi kufanya ujinga wa maamuz hayo, duh tamaa mbaya sana
@AbuBakar-fu9ov
@AbuBakar-fu9ov 3 жыл бұрын
Et harmoniz mtu mkubwa🤔🤔beka hajakosea. Kukutema fara ww kwahyo beka hana heshima ya kuheshimiwa kama harmoniz👹👹
@jerryamoni5347
@jerryamoni5347 3 жыл бұрын
Hhhhhhh nyota kaka😃😃
BEKA FLAVOUR AKAMATIA UNO KWENYE BIG SUNDAY LIVE
15:30
Wasafi Media
Рет қаралды 222 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
BABA LEVO afichua siri NILIWAONA NANDY na BILLNASS WAKIZAGAMUANA
8:36
Harmonize ft Baraboy__Bless (official music video)
3:31
Baraboy
Рет қаралды 26 М.
Wednesday VS Enid: Who is The Best Mommy? #shorts
0:14
Troom Oki Toki
Рет қаралды 50 МЛН