MKE WA DEO FILIKUNJOMBE: Miaka Miwili Tangu Kufariki Kwa Mumewe

  Рет қаралды 167,939

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

IKIWA imetimia miaka miwili tangu kufariki kwa aliyekuwa Filikunjombe, mkewe Bi. Sarah Filikunjombe amefunguka mazito ikiwa ni pamoja na namna ambavyo ameendelea kuumizwa na kifo cha mumewe lakini pia mikikimikiki ya kupambana na maisha ili kuilea familia na watoto kuendelea kupata elimu bora.
Katika misa ya maadhimisho hayo jana nyumbani kwake, Mbagala-Kijichi jijini Dar, Sarah alisema akiwa kama mama anahakikisha maisha ya watoto wake yanastawi na kwamba kuna wakati maneno ya atoto hao, ambao ni Lee, Levis na Larry humuumiza pale wanaposema namna wanavyomkosa baba yao katika maisha.
Aidha, kwa upande ndugu na jamaa wakiwemo aliokuwa marafiki wa marehemu Deo amewashukuru kwa namna ambavyo wamekuwa wakijitoa kumpa faraja na michango ya mawazo mbalimbali kuhusu maisha ingawa kuna baadhi wamejitenga na familia yake tofauti na alivyokuwa akitarajia.
“Maisha yameendelea lakini kwa kweli kifo cha mume wangu hakisahauliki maishani mwangu, napambana kuhakikisha mahitajin ya wanangu ikiwemo kupatab elimu bora yanatimia tena kwa wakati, lakini kuna wakati kama familia tunamkumbuka sana Deo, lakini pia kuna wakati maneno ya wanangu mfano kama huyu Lee kwamba wanamkumbuka baba yao hakika huwa yananiumiza sana.
“Nawashukuru sana ndugu, jamaa na marafiki ambao wameendelea kuwa karibu na mimi kwa faraja na michango ya kimawazo, ingawa kuna baadhi ambao wamejitenga kabisa tofauti na ambavyo nilikuwa nawaza, lakini silauu maana maisha yamekuwa magumu na kila mtu anakimbizana na mchakamchaka wa maisha, namuombea tu mume wangu Deo, Mungu yu mwema,” alisema Sarah.

Пікірлер: 50
@patrickswai1979
@patrickswai1979 6 жыл бұрын
Mtangazaji aplekwe shule...yaani bure kabisa. Mama Deo...Mweke Mungu mbele mkabidhi maisha yako na ya familia yako
@rajabshaban4985
@rajabshaban4985 6 жыл бұрын
pole sister enderea kumtanguliza Mungu mbele mana ndio nguvu yako
@mariasanga1848
@mariasanga1848 6 жыл бұрын
mungu akutie nguvu mwanamke mwenzetu
@oliverlyimo1972
@oliverlyimo1972 6 жыл бұрын
Pole sana my dear endelea kumuombea mumeo DEO,Inauma lkn hatuna jinsi tumuachie MUNGU tu.
@mlowegodfrey5980
@mlowegodfrey5980 6 жыл бұрын
Shemeji KAZANA kumuomba mungu nasi tupo pamoja nawe Mh Deo tulimpenda sana
@anethnico4537
@anethnico4537 6 жыл бұрын
mungu akutie nguvu
@salimumohamed4920
@salimumohamed4920 6 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu
@ayshamahariq8126
@ayshamahariq8126 6 жыл бұрын
Pole sana daaa
@ismailmkecha8906
@ismailmkecha8906 6 жыл бұрын
huyu mtangazaji vipi mbona kimeo sana kajifunze kuzungumza naona unangata maneno
@mariammiraji2744
@mariammiraji2744 6 жыл бұрын
pole sana my dear
@Kabwela776
@Kabwela776 10 ай бұрын
Wambulu au wairaqw hawana maana ni malaya mbwa ukikataliwa na mbulu urudi kwenu ukatambike, ni kawaida kutombana ndugu kwa ndugu wana kila uchafu na ukute hao watoto sio wa filikunjombe jamani alioa bomu wajanja uwa hawaoi wairaqw au wambulu hawajui kukataa hao
@maigajohn702
@maigajohn702 4 жыл бұрын
R I p shujaa phillipo kunjombe
@angelshoo1153
@angelshoo1153 6 жыл бұрын
mungu azid kumuimarisha zaidi na zaidi jamani kwa kweli ni mwanamke shujaa r.i.p Deo
@betricemwami738
@betricemwami738 6 жыл бұрын
Angel Shoo
@betricemwami738
@betricemwami738 6 жыл бұрын
p
@ismailmagogo3848
@ismailmagogo3848 6 жыл бұрын
pole sana my
@stephanothomas3585
@stephanothomas3585 6 жыл бұрын
R I P. Mr D Filikunjombe.
@abdulshaban3993
@abdulshaban3993 6 жыл бұрын
ongea vzr tatizo unaiga sauti ya fulan ndo unachokosea
@theopistermganwa4378
@theopistermganwa4378 6 жыл бұрын
Wifi yetu kwakweli upo kimaombi sn. Ni mwanamke pekee anaeweza kuelezea ukweli juu ya uhusiano na ndugu katika majukumu ya familia. Du nimekupenda sn kwa hilo. Mungu akupe nguvu za kutosha kuhimili mpaka mwisho wa safari hii. R.I.P Deo Filikunjombe kaka yetu, Baba yetu,Ndugu yetu, Bwana alitoa na Bwana ametwaa...Apumzishwe kwa amani milele Amina.
@lusdaadam6247
@lusdaadam6247 6 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu sana mama li
@joycesanga462
@joycesanga462 6 жыл бұрын
Theopister Mganwa mungu akutie nguvu
@salimsaid5755
@salimsaid5755 6 жыл бұрын
Mtangazaji tafuta kazi nyingine kutangaza hujuwi fala ww
@jumasimai1293
@jumasimai1293 4 жыл бұрын
Mtangazaji unazalilisha taaluma ya uwandishi
@jumasimai1293
@jumasimai1293 4 жыл бұрын
Funguka dhamira yako fala ww huo sio uandishi
@jacklinechiruma2265
@jacklinechiruma2265 6 жыл бұрын
mung akpe wepes wakumwombea mmeo#deo
@firdausabdullah6315
@firdausabdullah6315 6 жыл бұрын
Nini ni.comment na mtangazaji una boo
@esthermatinde5748
@esthermatinde5748 6 жыл бұрын
Huyu mtangazaji hapana aisee
@mussamangalo7926
@mussamangalo7926 6 жыл бұрын
Mwandishi unaibaka taaluma sikupati unafanya nini
@tuliarafael4132
@tuliarafael4132 4 жыл бұрын
hahahaaa
@rehemabaraka9895
@rehemabaraka9895 6 жыл бұрын
Punguza kutafuna maneno ww mtangazaji pia sauti yako iko chini kila kitu eee eeee aaaa aaaa mm sijakuelewaaaa ila mke wa deo nimemuelewa sana pole sana mungu aendelee kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa wako
@betricemwami738
@betricemwami738 6 жыл бұрын
rehema baraka
@aminielndimbondimbo3246
@aminielndimbondimbo3246 6 жыл бұрын
Pole sna shemeji yetu mungu akujalie wepesi ktk hili
@navyoagrey9707
@navyoagrey9707 6 жыл бұрын
mh huyu mtangazaj chenga sana
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 6 жыл бұрын
Mtangazi naona unazunguuka sana wewe sema uliojia hapo.
@pascalsimwanza7869
@pascalsimwanza7869 6 жыл бұрын
Wakuombee wewe sio marehemu aombewe Ili iweje aliekufa hananafasi kwajambo lolote linalofanyika chini yajua
@elizabethchristopherkilumb4729
@elizabethchristopherkilumb4729 6 жыл бұрын
Tena usikubali kuolewa na mwanaume mwingine , lea wanao wifi yangu .
@mwinjumathomas5132
@mwinjumathomas5132 6 жыл бұрын
Elizabeth Christopher Kilumbo .kuolewa tena si dhambi hata kidogo kwani kufiwa ni mipango ya mungu, hivyo ni hiari yake kuolewa au la vyote si dhambi.
@diomedesmtayoba3744
@diomedesmtayoba3744 6 жыл бұрын
Mtangazaji kajifunze kuongea
@rehemabaraka9895
@rehemabaraka9895 6 жыл бұрын
Ovyo kabisa ww mtangazaji rudi shule kwanza
@rasijoackim3839
@rasijoackim3839 6 жыл бұрын
mtangazaji. iyo. siofaniyako. wachie. wengine. y ani. sijuii. tatooo
@deusmauka9626
@deusmauka9626 6 жыл бұрын
Olewa miaka 2 inatosha sifa za kijinga utaumwa mgongo bure, jiachie.
@rejinakimario7454
@rejinakimario7454 6 жыл бұрын
ovyo sana huyu dada hana hata chembe ya kuumia fala sana huyu dada
@lucyisrael6121
@lucyisrael6121 6 жыл бұрын
Rejina Kimario kwahiyo ulitaka alive kila siku ndo ujue ana huzuni,lo! Wanadamu sie ni shida
@fridajohn1898
@fridajohn1898 6 жыл бұрын
Mtu anamiaka miwili tokea afariki unataka mama wa watu aendelee kulia akilia utamsomeshea wtt wake ww au ndio utaanza kumcheka binadam bana
@patrickswai1979
@patrickswai1979 6 жыл бұрын
Mjane hana sabab ya kulia toka day one ili akuridhishe....msaidie kulia then post huku
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 6 жыл бұрын
Acha kumsakama dada wa watu. We huna ubinadamu kabisa. Huwezi kumwongelea huyu mjane namna hiyo. Acha ujinga.
@tuliarafael4132
@tuliarafael4132 4 жыл бұрын
@Ali Ali mmmmmmh! Jamani khaaa
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 21 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 703 М.
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
HOTUBA ISIYO SAHAULIKA YA SHUJAA WETU, HAYATI DEO FILIKUNJOMBE (Mbunge)
9:16
ST MEDIA (Simba technology Media)
Рет қаралды 38 М.